YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️ SEHEMU YA 05
MR. AB
Tulipoishia
Ile nimefika sebuleni kulikuwa na giza, nikapapasa swichi na kuwasha taa.
Sikuamini, nimewasha taa hivi, naona mwanaume kasimama katikati ya chumba amevaa boxer tu, ana tattoo zake ameinamisha kichwa chini.
Kuinua uso hivi sio mwingine ni yule mwanaume ambaye ametoka kwangu mchana, ambaye alijiita Jerry kama jina la mume wangu.
Kidogo nizimie.
Endelea
“Shindwa pepo” Nilisema kwa sauti kubwa huku moyo ukienda kasi
“Haha......” Nilishangaa yule kijana amecheka huku akinitazama kwa furaha, alionekana kutokuwa na lengo la kunidhuru.
“Yesu nisaidie” Nilijisemea kimoyo moyo huku nikisogea nyuma ili nikimbilie ndani.
Hakufanya chochote alizidi kusimama pale sebuleni ni nikaingia chumbani na kujifungia.
Mwili ulijaa barafu, mwili ulishindwa kufanya kazi kama ilivyo kawaida. Kiukweli alinitisha. Niliona cha kwanza kabla ya yote nichukue simu nimpigie mwenyekiti wa mtaa lakini nikaambiwa sina salio la kutosha
“Eeh Mungu wangu” Nilisema kwa sauti ndogo huku nikianza kuandika ujumbe.
“SAMAHANI KUNA MTU KANIVAMIA NDANI NAOMBA UJE UNIOKOE MUME WANGU HAYUPO” nilituma nikahakikisha umepokelewa ujumbe halafu nikatulia kusubiri majibu japo nilikuwa sina tumaini kabisa nilihisi atakuwa ameshalala.
Niliona anachelewa kunijibu hivyo nikachukua jukumu la kutoka kupitia mlango wa nyuma lakini kabla sijatoka chumbani ujumbe uliingia kwenye simu yangu
Nilihisi labda mwenyekiti kajibu hivyo nikaenda kuusoma haraka. Kutazama hivi sio wa mwenyekiti bali ni wa kijana yule maana namba nilikuwa nimempa mchana
“SAMAHANI ANITHA, USINIOGOPE MIMI SIO JINI WALA MCHAWI ILA SAMAHANI NIMEKUTISHA” aliituma nikaisoma na kubaki nikifikiria kidogo mara akaongeza nyingine “MIMI NILISHAWAHI KUWA JAMBAZI NINA MASTER KEY UFUNGUO AMBAO NAWEZA FUNGUWA KOFULI YOYOTE NDO MAANA NILIINGIA HAPA SEBULENI KWAKO ILI NILALE MAANA SINA SEHEMU YA KULALA”
Niliposoma huu ujumbe kwa mbaali ulinishawishi, kitendo cha kushawishika nilijikuta naketi kitandani, ila roho nyingine ikaniambia kwamba ananizuga yule sio mtu wa kawaida.
Niliendelea na wazo la kutoka nje, nilichukua simu na kuanza kutoka huku nikinyata lakini nilipofika kwenye mlango nifungue nilikumbatiwa kwa nyuma
“Uwiiiii....” Nilipiga yowe kwa sababu ya uoga, nywele zilisimama huku nikipatwa na ubaridi.
Nilijaribu kufungua mlango ila niliishiwa nguvu na kujikuta nadondoka chini na kupoteza fahamu.
Sikujua kilichoendelea ila nilishtuka baadaye nikajikuta niko kitandani nimelala chali naye kaketi kando ya kitanda anachezea “Shaya” sijui aliwapata wapi wanawaka waka mikononi mwake yeye anatabasamu tu.
Niliinuka kwa uoga kitandani bado sikumuamini maana niliona kama mzimu.
Kijana yule aliishika simu yangu na kunipatia, nilipotazama muda ni majira ya saa 10 na dakika 23 alfajiri.
“Saa 10?” Nilimuuliza akatikisa kichwa “Ondoka” Nilimuambia ila alinitazama kwa huruma uso wake ulionyesha hana pa kwenda.
Bado alikuwa na boxer pekee kifua kilijazia na alichorwa tattoo ya fuvu likichomwa moto kifuani
“Wewe, who are you?” Nilimuuliza ila akawa anatabasamu tu bila kunijibu maana uwezo wa kuongea alikuwa hana na sikujua alipoupotezea au labda alizaliwa hivyo
Alinionyesha kwa matendo ila alichomaanisha ni kwamba nimuangalie anachokifanya. Nilimtazama kwa makini nikaona amenyoosha mikono miwili akawa anaviringa viringa Shire (Shaya) wakawa wanajaa kule ndani.
Shaya ni nini? Nitakuelezea kwa kifupi
Shaya ni wadudu wadogo wadogo wapaao ambao wanakuwa kama wana taa yaani wanawaka waka wakati wakipaa gizani
Endelea
Shaya walifika kama 500 kule ndani mi nikawa nashangaa mara kijana yule akaenda kuzima taa ya chumbani na kukabaki giza
Haki ya Mungu uongo mbaya wale wadudu walivyokuwa wakiwaka waka kule ndani kulipendeza mpaka nikajikuta natabasamu na kuupenda ule mchezo.
“Wewee......Mbona wanawaka hivi unafanyeje? Wametoka wapi? Kwanini wanakufuata?” niliuliza maswali mengi mfululizo kijana yule hakujibu akawa anakimbia chumbani nao wanamkimbiza yaani inapendeza sana.
Yule kijana ambaye alifanana mnooo na mume wangu, alifikia mahali akawa amelala chini kabisa sakafuni nikaona na wale wadudu wakupendeza wamemfuata na kumlalia akawa anawaka waka huku anatabasamu
Nilikuwa namuona maana mwanga wa wale wadudu ulisababisha chumbani kusiwe na giza kubwa sana
“Aah wewee” Nilisema kwa furaha huku nikimshagaaa
Kijana aliinuka na kupanda kitandani akanishika na kunilaza chali halafu akanilalia na kunikumbatia.
Wadudu Shaya walimfuata kitandani na kutufunika sisi sote mimi na kijana huyo ambaye hakuwa wa kawadia sana
Nilisikia raha kiasi kwamba ile michezo yake niliipenda sana na hata kumkumbatia na mimi.
Kumbuka nilivaa night dress pekee na ndani kulikuwa na chupi tu. Naye alikuwa na boksa tu.
Tulianza kuchezeana huku wadudu wakawaka wakituzingira miili yetu yote na wengine wakipepea chumbani kote.
Kijana alinibusu shingoni mwangu nikasisimka na kumfumbia macho huku tabasamu mwanana likinitoka nikajikuta ninapanua mapaja akaingia katikati.
Nilisikia imeanza kumtuna kijana wa watu, na mimi michezo yake ilivyokuwa imenifurahisha ilinifanya nikawa namsugulia sugulia taratibu
Tuliendelea kupapasana mara ndimi zikagusana na kuanza kutekenyana.
Hata sielewi saa ngapi aliitoa kwenye boxer mimi nishaanza kuloa nilisikia amesogeza tu chupi yangu pembeni halafu kirungu chake kikatua kwenye mlango wa shimo langu.
Tulizidi kukumbatiana mara akajikandamiza kidogo nikasikia rungu imeingia
“Aaaah......shssshit” Nilisema na kuuachia ulimi wake halafu nikamkumbatia nikampa denda halafu nikanyanyua kiuno inaingia robo tatu nzima
“Auwiiii......aauwii” Nilisema nikiweweseka siwezi hataufumbua macho nitazame wale shaya wanavyowaka mi nimemnasa mkaka wa watu nainjoy taratibu.
Ghafla tunafanya vile nikasikia mlango umegongwa
“Wewe Anita......Anitaaaa” Ilikuwa sauti ya baba mmoja jirani aitwaye Ba Masoud.
Nilishtuka na kufumbua macho nikatazama
“Anitaaaa.....wewe binti” Sauti ya mwenyekiti ilisikika
“Yupo kweli au ameshatekwa huyu, usikute ameuawa tuko hapa hapa” Ilikuwa sauti ya mwanaume mwingine kumbe ndo wamekuja kunikomboa saa kumi akati message nimetuma saa sita.
Wakipiga kelele mlangoni mi natekenywa taratibu naona kama wananisumbua
JE BINTI ATAWAAMBIA NINI? USIKOSE SEHEMU YA 06
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni