Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mmmhhhh namba ni ya nani hiiπŸ˜ͺπŸ˜ͺ yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya tena🀨🀨 baada ya kuisoma ile msg iliniumiza sana nilipanic sana lakini niliyakumbuka maneno ya mamangu shangazi yangu pamoja na bibi yangu wametoka kunipa somo juzi tu tena leo hii wasikie kuwa ndoa yangu imeingia dosari natakiwa kuwa na akili pendo mimi tayari nilishakosea hapo nyuma.... kwa sasa natakiwa kujisimamia kama mke wa mtu na mama wa watoto wawili.....habari za kushindana na mwanaume niziache na huu utoto niliokuwa nao nyuma niuache nataka nimfanye mme wangu kuwa rafiki yangu nina imani nikifanya hivyo nitaua mahusiano yote ya nje mme wangu atakuwa huru kwangu na atanishirikisha kwa kila kitu anachokipitia endapo kama nikimfanya kuwa rafiki yangu.....nilibakia kuket pale kitandani huku nikiwa nawaza namna ya kuifanya ndoa yangu kuwa imara....nilinyanyuka na kuendelea na zoezi langu la kupanga nguo boo alitoka bafuni alf bahati nzuri vile anatoka tu bafuni na ile namba ndo ikawa inapiga kwa mara ya pili.....

Paschal aliiangalia ile simu then aliikata kwa haraka sana mmmhh mbona kakataπŸ˜”πŸ˜” alizima data akaiweka ile simu pembeni alinisogelea alinikiss aliniambia kuwa ananipenda na anatamani ndoa yetu iwe imara tuvishinde vikwazo nilimuitikia lakini kiwivu kilinishambulia sana nilitamani nimjue huyo anayemtafuta boo wangu ni nani😣😣nilitulia nalo rohoni nikamaliza kupanga nguo nikaingia zangu bafuni kuoga nilivyotoka bafuni nilimkuta boo akiwa katika hali ya taharuki🫣 vipi uko sawa nilimuuliza yani alionekana kuwaza sana....aliniambia niko sawa mke wangu nakuomba uvae ukimaliza twende tukale.... nilimuitikia nikamwambia sawa mme wangu nilivaa nikamaliza tukatoka..... alinishikilia mkono wangu aliniuliza tunaenda kula wapi?! Popote tu nilimjibu..... are you okay,!!?? Yes I'm okay hubby...

Tulienda kutafuta chakula cha usiku tulikula na baada ya hapo tulirudi kupumzika..... samahani mke wangu najua kuna msg uliifungua kwenye simu yangu naomba nikuelezee vizuri ili uweze kunielewa.....ni sawa mme wangu kama umechagua kuniweka wazi basi nitafurahi kuusikia ukweli kutoka kwako... boo aliniambia kuwa ile msg niliyoifungua ilitoka kwa lia na mimi nilipoingia bafuni aliiongea naye na alikuwa anampatia taarifa kuwa yeye ni mjamzito.....duh niliumia yani niliumia kupita kiasi adhabu gani hizi yarabii nilijihoji kimoyomoyo......nilijikaza ili paschal asigundue ni kwa ukubwa kiasi gani vile nilivyoumizwa na ile ishu... samahani mke wangu nakuahidi hakuna siku ambayo mimi nitaweza kurudisha mahusiano na lia naomba nikuondoe shaka juu ya hilo wife..... ni sawa boo lakini nakuomba ujisimamie sitopenda kushuhudia tukiwa tunarudi kule tulikotoka.....

Aliniondoa shaka aliniahidi ya kwamba sitosikia wala kuhisi au kuona chochote kati yake na lia paschal alimpigia lia alimtumia namba yangu akamwambia ukiwa na shida yoyote pitia kwa mke wangu yeye ndo atakuwa anakusikiliza shida zako.... lakini paschal nahitaji tuongee huwezi kunifanyia hivyo mimi siwezi kuongea na huyo mwanamke kwani hanipendi tafadhari nakuomba usinifanyie hivyo kumbuka nina kiumbe chako tumboni kwangu..... lia huwa ni kaongeaji sana kalianza kupiga kelele kule kwenye simu lakini paschal aliikata ile simu kisha aliziblock namba za lia baada ya lia kuwekwa black list alianza kunitirilishia mimi mvua ya matusi....alinichamba sana tu......

Sikumjibu kitu jamani mimi siyo pendo yule wa mashindano tena nop🀝 nilishaamua kuwa pendo mke wa Paschal Wife usipambane naye huyo wala hata sizani kama Ana ujauzito ni msumbufu tu take it easy mine....ni sawa hubby nimekuelewa ....tulilala na kesho yake tulianza safari ya kurudi USA baada ya kufika usa nilimtafuta lia nilipanga kikao nayy pamoja na paschal lia hakutaka kabisa kuja kuonana na mimi alitaka kuonana tu na paschal mme wangu alikataa akamwambia hawezi kwenda kuonana naye kama ishu ni huo huo ujauzito basi aulee tu then akishajifungua atamletea mtoto amlee...mme wangu naye alionyesha mabadiriko makubwa sana hakuwa yule paschal wa nyuma huyu wa sasa alikuwa kadhamiria kuijenga ndoa yake alibadiri hadi namba za simu kwa ajiri tu ya kumkwepa lia hii ilitokana na usumbufu wa lia kumtafuta paschal kila siku kwa kutumia namba mpya kwa sababu zile za kwake zilishawekwa blacklist .....

Siku zilisonga maisha yakaendelea ndoa yetu ilisimama mahala pake β™₯️ hapakuwepo na drama za aina yoyote ilipita miezi kadhaa kila mtu yuko na amani zake upendo na heshima vilitusaidia kuilinda ndoa yetu..... siku moja usiku mme wangu alinipigia simu aliniambia kuwa hatoweza kurudi nyumbani alidai kuwa alimtembelea baba yake alijua kuwa atawahi kurudi lakini kwa bahati mbaya kachelewa hivyo itabidi alale huko then kesho yake ataanza safari kurudi nyumbani..... sikumaind kwa sababu baba mkwe wangu alikuwa anakaa jimbo tofauti na lile tunaloishi sisi na kuna umbali mrefu.... nilimwelewa mme wangu na nikamtakia usiku mwema.... nililala kesho yake mapema asubuhi nilipigiwa simu na rafiki yangu eve huyu ni nurse katika hospital kubwa nchini marekani urafiki wangu na eve ulianza siku nilipoenda hospitalini kwao kujifungua mtoto wangu ambaye ni shazil.... siku hiyo eve alinichangamkia sana kila muda alikuwa anakuja kwenye kitanda changu kunifanyia vipimo na kunijulia hali yangu hata uchungu uliponikamata yeye ndo aliyenizalisha nilipojifungua mtoto wa kiume alifurahi sana alisema nimepata mchumba basi tulicheka sana pale na alimpatia mwanangu zawadi na urafiki wetu ndipo ulipoanzia pale tulifahamiana kiasi cha kuelezeana kijujuu maisha ya kimahusiano eve ni mtu mzima kiasi..... nilimwambia kuhusiana na hawa wanaume wawili ambao ni paschal na hemed nayy aliniambia niangalie kule ambako moyo wangu unapenda zaidi..... nilishamuonyesha paschal na hemed wote anawajua eve ni mama siyo bint kama mimi..... mara nyingi alikuwa akinishauri pale nilipokuwa nikielemewa na shida inayohitaji ushauri....

Nilipokea simu yake wenyewe tunaitanaga bestie eve ni wale watu wazima wanaojipenda hawapendi kabisa kuzeeshwa....aliniuliza za siku nilimwambia ni nzuri uko wapi nilimwambia niko usa best ila nimekugaya ni majukumu tu ndo yamenitinga lakini nakupenda na ninakukumbuka kila siku bestie yangu mke wa kijana wangu shazil😍😍 hahahaa ukimwambiaga hivyo anacheka aajisikia raha sana..... aliniuliza kati ya wale wanaume wawili unaishi na yupi?! Mmmmhh mbona kaniuliza swali hiliπŸ˜ͺπŸ˜ͺ mom kuna nini kwani😰😰 aah nimeuliza tu kwa sababu nilimuona mmojawapo usiku hapa hospitalini kwetu alikuwa na mwanamke mwingine mjamzito tulimfanyia operation alijifungua mtoto wa kiume.... nilihisi kama pumzi yangu inaenda kukata😟😟πŸ˜ͺ.....

Itaendeleaaaa.....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜


Mmmhhhh namba ni ya nani hiiπŸ˜ͺπŸ˜ͺ yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya tena🀨🀨 baada ya kuisoma ile msg iliniumiza sana nilipanic sana lakini niliyakumbuka maneno ya mamangu shangazi yangu pamoja na bibi yangu wametoka kunipa somo juzi tu tena leo hii wasikie kuwa ndoa yangu imeingia dosari natakiwa kuwa na akili pendo mimi tayari nilishakosea hapo nyuma.... kwa sasa natakiwa kujisimamia kama mke wa mtu na mama wa watoto wawili.....habari za kushindana na mwanaume niziache na huu utoto niliokuwa nao nyuma niuache...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-66-67

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

1.03K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

726
MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

655
MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 56...57

507
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜

501
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜

420
MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 58

MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 58

313
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

251
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

113
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

91

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.93K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.69K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.48K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.42K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.31K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 58 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 58
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh...

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGU❀️ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be BrΓΆtchenβ€”those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing societyβ€”it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity πŸ’”  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity πŸ’” Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hiiπŸ˜ͺπŸ˜ͺ yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama woteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest