Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58
Gonga94 · Stories

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡


Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh ngoja nijaribu tu 😄 hata hivo wanaume si tumeumbiwa mateso wacha nijitese tu nilitoa pesa mfukoni nikanunua nguo za ndani vinguo fulani hivi hatari sana Princess akivivaa vile mamae atawaka hatari muhuni nanunua akamvalie mwanaume wake dah lakini kwa vile najipendekeza ili niwe karibu na watoto wangu hakuna namna itabidi nifanye tu basi nilichukua braa za rangi kadhaa pale na vichupi chupi fulani hivi vya kisasa nikafungashiwa nikaondoka zangu mpaka home nimefika tu ndani nikapiga simu kwa mama la mama nimwambie kuhusu mizigo ili akiniruhusu hata mida hiyohiyo niende nikaipeleke..

Nilipiga simu kinoma haipokelewi dah nikaona fresh nikaiacha nikaenda kwanza kuoga nimemaliza kuoga ile natoka tu bafuni nakuta simu inaita Princess huyo anapiga nikaipokea fasta kabla haijakata ikikata naweza nikanuniwa mwaka mzima na watoto nisiwaone🤣🤣🤣🤣🤣kichaa sana yule mwanamke hello naam vipi akasonya vipi ya nini mbona unapiga piga sana simu una shida gani..ah samahani nilitaka tu kuwajulia hali hahahahaaa kutujulia hali hiyo vipi sitaki uzoee zoee kunipigia simu koma kabisa nimekwambia😣😣

Sawa mama nisikilize basi nilichotaka kukwambia ongea haraka niko bize unanipotezea muda.. haya mama nimewachukulia vitu naomba unielekeze mnapokaa nije nivilete..vitu gani na nani kakuomba?? Princess jamani watoto kuna vitu waliomba niwanunulie nimeshavinunua naomba niwaletee..

Uwaletee wapi hivi janaume zima et naomba niwaletee uwaletee kwa nani?? We unajua kodi ya nyumba sh ngapi au unalegeza tu lisauti lako libaya lione ka jinga akakata simu dah nikajicheka kwanza😂😂😂😂sasa hizi chupi nitavaa mimi au🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nilijiona msenge kinoma ila fresh

Siku ikapita kimya siku ya pili kimya mmmhhh siku ya tatu nikaamua kujipigisha simu hola hapokei ikakata kama wiki bila mawasiliano siku moja usiku akanitafuta akaniuliza ni vitu gani ulitaka kuleta? Nikamtajia tu vile vya watoto akasonya akaniambia kwahiyo hao watoto walijileta wenyewe duniani nikacheka kimoyomoyo kumbe kweli yule mwenye duka aliongea ukweli.eh

Kwamba nikipeleka zawadi za watoto peke yao mama yao atanuna bora hata nilikubali kununua na zawadi za mamtu..ila sikumwambia nilitulia akachamba we badae akaniambia kesho zilete ila usije mpe tu mtu alete na kama ni mavitu ya ovyo atarudi nayo..

Naomba nije mimi pleas nikaongea kiume kwa sauti Fulani hivi mpaka bibie akashindwa kutoa jibu la haraka akakata simu😅😅😅badae akatuma msg subiri nijifikirie dah haya bwana nikatulia huku naomba Mungu nikubaliwe tu kweli..

Hiyo siku akanitafuta akaniambia wako sehemu niende bahati nzuri nilikuwa nyumbani sikutaka kupoteza muda maana nilipewa dakika chache nikichelewa wanaondoka... nilibeba vile vitu nikapakia kwenye gari fasta nikaifuata ile location kwa mbali nikawaona aiseee nilitoa hadi machozi sikuamini..

Nilienda hadi sehemu walipo watoto wakanikimbilia wakanikumbatia kwa furaha sana nikaanza kuwagawia zawadi zao mama yao akawa pembeni tu anaangalia anabenua midomo nakwambia hatari..

Nilicheza na wanangu pale wakahitaji na baadhi ya vitu pale nikawanunulia ilikuwa raha sana haikupita muda mrefu mama yao akaniambia muda umeisha tunatakiwa kuondoka akawakusanya watoto wakawa wananililia dah..

Basi ikabidi nimuombe niwarudishe mimi nyumbani lakini mamtu hataki hata kusikia kanikazia muda huo hata zawadi sijampatia bwana ziko kwenye gari naogopa kinoma maana anaweza akazikataa nikaaibika😅😅😂😂😂

Nilivoona amekaza kuondoka nikawaza mmhh acha tu nimpatie zawadi zake akikataa basi kweli nilienda kwenye gari nikazichukua alafu watoto nikawaambia nendeni kwenye gari tukabaki wawili mimi na mama yao..

Nikajikaza kisenge yani nikamwambia hizi hapa nimekuletea heee hakuamini akajidai kukataa nikambembeleza mpaka akachukua akaanza kuziangalia nani kakwambia uniletee zawadi za hivi kwa sauti Fulani hivi ya kudeka hahahaaaa nikajua hapa fresh twende basi nikupeleke nyumbani lamama🥰🥰🥰🥰

Akakubali ile sitaki nataka tukaenda kwenye gari mzee baba moyoni nachekelea tu nikimwangalia mtoto Princess anazidi tu kuiva kanawili huyo basi alinielekeza wanapokaa nikawapeleka hadi nyumbani na juice nikapewa😂😂😂😂unajua kilichofuata ni nini???

Penzi likarudi tena la moto kinyama siku hiyo napigiwa simu usiku mtoto hajisikii vizuri nipeleke dawa nafika huko nakuta mamtu ndo hajisikii vizuri anautaka hahahaaaaaaaaaaa sikutaka kupoteza muda mzee nikatumia fursa vizuri nikaanza kufanya maandalizi ya nguvu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Itaendeleaaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡


Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh ngoja nijaribu tu 😄 hata hivo wanaume si tumeumbiwa mateso wacha nijitese tu nilitoa pesa mfukoni nikanunua nguo za ndani vinguo fulani hivi hatari sana Princess akivivaa vile mamae atawaka hatari muhuni nanunua akamvalie mwanaume wake dah lakini kwa vile najipendekeza ili niwe karibu na watoto wangu hakuna namna itabidi nifanye tu basi nilichukua braa za rangi kadhaa pale na vichupi chupi fulani hivi vya kisasa nikafungashiwa nikaondoka zangu...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-sehemu-ya-58

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-sehemu-ya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya  28 na 29
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 28 na 29
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

1.08K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

905
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

686
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

538
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘

535
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58

494
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

484
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

125
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

118
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

101

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.93K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.32K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 07 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 07
@majario LIVE

SONGA NAYO Asubuhi wa kwanza kuamka nilikuwa mimi,nilijikuta na uchovu wa ajabu sana,nikaona niamke nielekeee chooni kukojoa Ile natoka tu kwenye shuka 😳😳nikagundua nipo uchi wa mnyama🥲hapo ndo akili ikanirudi nikagundua yaliyojiri...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh...

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGU❤️ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be Brötchen—those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing society—it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity 💔  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity 💔 Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest