MIMI SIKUACHI๐ฅฐ Sehemu ya 54 na 55
๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก
Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba na nilitoa mimba yake. Anashatoka na watoto wangu tu. Yule mzeee alimuangalia saan princess. Akasema princess punguza hasira mwanangu. Binadamu hukosea sana . Ila ni vyema kusameheana na maisha yakaenda . Mpe watoro wake usimnyime .mbona kasema kafanana nao. Princess akasema hajafanana nao uyu n muongo ni amechanganikiwa tu. Nikasema princess mi sijachanganikiwa .unamaan mi siwez kuona kinachonifanana. Yule madame faustina akasema princess ebu tupe picha za wanao tuone. Princess akasema mi siwapigi picha wanangu. Mh
Et watoto wa miaka 7 .hana picha zao anakimbia kuonesha mana anaelewa ni kwa jinsi gani nimewafanana watoto wangu.basi yule mam akasema sikia nikwambia princesss.ni bola tuyamalize aya mambo apa. Kama nahisi uyu jamaaa kakufanyia chochote kibaya. We sema . Atalipa faini. Utapewa ila kumnyima wanae utashindwa. Princess akasema sijazaa nae. Yule madame akasema.sawa kama hujazaa nae . Mnaenda kupima dna kesho. Na ikigindulika ni watoto wake atawahudumia. Na atakuwa baba. Na kama ukikataa kwenda kupima. Tunampa jamaa anaenda mahakamani uko hawatataka mchezo na hakuna kumbembelezana kama apa .ila utapokonywa watoto wako. Akabaki kimyaaa .
Basi tukamaliza kakao na muafaka kwamba tukapime dna za watoto kesho. Aseeee nilitoka na furaha hii siku mana niliona wanangu ntawapata .ni ambana kidogo tu. Basi bwana .kesho yake namtumia sms hajibu. Nampigia hapokei. Nilipiga .mpka nikapiga tena. Akanitumia sms ebu tok apa . Siendi kokote nishasema.sio wanao. Ila princess ahaaa uyu maa ni mbishiii. Aseeee nilipiga simu hakupokea ataa. Mi sikuangaika nae. Ila kesho nilikuja ustawi sasa . Nikasema.a kwamba jana mwenzangu hajakubali kwenda kupima DNA .akapigiwa simu akaambiw tunampa barua aende mahakamani.akajibu sawa mpeni tutajuana mahakamani . Mh anajiamini . Naelewa pesa kwao ipo. Kweli mi nikaandikwa barua ya kuanza taratibu za mahakamani sasa
Basi mi nikaludi kwanza moro kujipa mda kidogo. Mana daah kazi inanitaka na bado mambo mengne yananitaka. Nilimtumia sms kuwa mi nishapewa barua . Nimekuja moro baada ya week.2 nikija dar naaanza proncess. Akanitumia sms ili upate wanao nilipe fidia milion 50. Khaaa kwanza nikacheka ata least leo kakubali awa ni wanangu. Nikampigia mda uo uo .akapokea .nikamuuliza upo serious akasema ndio .nilipe iyo fidia nifidie shida zote nilizopitia mpka kufukuzwa nyumbani . Mh nikasema sawa nakulipa kesho mchana .akanmbia sawa hakuna shida. Daah nikacheka account yangu nna milion 25. Tena iyo ndo nilikuwa nimeplan nijazie jazie nikafanue finishing nyumbani kwangu niamie. Ila akivyonambia nimpe fidia aniruhusu kuwa baba kwa wanangu weeee. Nikaona ela natafuta chapu tu. Mi nikaanza kuwapiga simu wanangu wa kazini. Nikawa nawakopa kisenge. Yani uyu milion 5 uyu 6 uyu 2. Mpka nijafikisha milion 45. Kesho yake mchana akanitumia account namb yake nimuingizi pesa nikampigia .nikamwambia princess sikia nimekosa milion 5 . Naomba nikulipe hii 45 kwanza. Akanmbia no sitaki uswahili nataka yote. Bila ya hivo tutaenda uko mahakamani na ntakana sio mwnao na ntaona hautaamini ww. Ahaaa nikamwambia basi mama ngoja nipe dakika 10. Alinipelekesha kisenge. Mpaka majasho ya pumbu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐
Ahaa nikaanza kufosi milion 5. Alafu annazidi kutima sms ikifika jioni hujatuma iyo pesa utasahau kuhusu watot. Ahaa nilichanganikiwa . Nikafosi kinoma nikapata. Iyo alinikopesha mwanangi lemi .mana lemi mwenyewe nilishamkopa. Nikamtumia milion 50 kwa account. Yake. Kanmbia sawa utapanga siku ya kuja kuwaona wanao. Nilitamni kwenda iyo siju ila ata elfu 30 ya mafuta sikuwa nayo. Aliniacha na mpumbu yangu tu. Manina.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐. Nikamwambia sawa. Akanambia kahaa si ulikuwa unadai watoto kwa fujo ww aya njoo uwaone. Mbona hutaki kuja . Nikajua unakuja leo.nikasema princess ntakuja week end . Kazi zimenibana. Princess akacheka akasema looh ata kuongopa huwez .sema huna ata mia pesa zote nishakupulusa mshamba ww. Nyooo kisha akakata simu yake. Nilijisikia aibu.na kweli hii siku sikuwa ata na buku mfukoni akiba zote nimempa uyu demu mamae.
Dah kweli kesho yake nimeingia job.nipo kma msenge. Yani ni vile gari yangu ilikuwa na mafuta na kazi msosi ni free. Ila nashukuru ilikuwa ni tarehe za mwisho wa mwezi. So sikusuffe sana baada ya siku 3 mshahara ukaingia sasa . Na kwenye biashara zangu kukatiki. Kwaiy kidogo . Ndo nikajiona mwanaume. Mana mwanaume bila pesa mfukoni daah sio powa . Kwaiyo iyo ijumaa ndo nikampigia princess sasa. Kuwa nataka kwenda kuwaona watoto. Akambia sipo nimeenda nao zanzibar kutembea kidogo. Nikasema mbona hujanipanga. Akanmbia ndo nakupanga kwaiyo kama bwana angu anataka kwenda kunitombea zanzibar nisiende kisa. Mh nikasema kwaiyo umeenda kutombwa na watoto? Akanmbia bwna sipo elewa hivyo akanikatia simu. Mi ikabidi nipoee.
Basi ikawa ndo hivyo. Kila nikimpigia ni sipo. Nimeondoka na watoto. Nimefanya iki na watoto. Asee mpka.nilichoka.simu iyo nimepigia akanmbia sipo nimeenda tanga .nimewapeleka watoto kutalii. Nikamwambia sikia princess. Nimeshindwa juu ya awo watoto tufanye nimeshindwa . Tumefanye upo huru na wanao . Na mm sio baba yao kuanzia leo mi sitawafatilia tena ao watoto unajua niliongea kwa uchungu mpaka nikawa nalia .akaniuliza ndo unajiliza makubwa. Sawa hakina shida nashukuru kwa kuukataa ubaba mapemaa sana . Kisha akakata simu yake ahaa nilichoka bwana miez 6 nambembeleza yey bado naoga matusi na dharau .aya kama nimekomsea sio kama hivi
Mi nikamkaushia kabisa princess. Yani ilikata kama mwez .siku iyo sasa hee simu yangu inaita bwana naangalia anayepiga ni princess kisha ananipigia video call. Mi nikashangaa. Ni usiku uo mdaa. Nikapokea ile simu . Mh nikamuona na yeye yupo maeneo ya nyumbani tu. Akanmbia watoto wako wanataka kukusalimia. Mh nikasema sawa wape simu. Kweli akawapa. Aseee hi siku nilipata rahaa ya moyo kweli kweli. Basi watoto wakwa wananinshangilia kabisa .et baba.unakuja kutufta lini. Ahaa aka ka kike ndo mkorofi et uyo sio baba yenu ni bab yangu et baba utanipa pesa nikanunue ice cream mana mama kaninyima .et baba utanipa na pesa nataka nikanunue kibanio cha nywele. Nikaona kabisa aka kakike aka katakuja kuwa kanapenda ela. Mwanaume wake atakoma๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐. We siku ya kwanza tu anataka ela kisha nikanaonekana kasumbufu yani kanafosi kaongee peke yake
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni