CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12
Kilichoniashtuaa sio kwamba nilifika nje nikashtuka hapana, yaani nilishtukaa baada ya kuingia ndani maan nilimkuta Hussein na Zakia wapo ndani tena kitandani na kwa mkao. waliokaa kwanza wanaonekana kuchoka kana kwamba kuna kitu walitoka kufanya na kiliwachosha sana hii ilinivunja nguvu jamani nilijihisi kuzimia maan nguvu za kutoka sikuwa nazo wala za kubaki hazikuwepo pia hiii iliniogopesha mno
Zakia alishtuka sana, ila Hussein hakuonekana kutetereka hata kidgo Zakia kwahyo ndio uliniitia huu ujinga hapa? yaani umeniita nije nione umelala na mchumba wangu sio?" Zakia alikuwa anakataa kwa kutikisa kichwa tu, "lakini Salma mimi sijakutumia sms na hili ulilolionaa ......... kabla hajamaliza sentensi alidakia Hussein
"Kwani unabishana na huyu mshamba wa nini? kwani mimi na wewe tumeanza kudate leo, alikuwa akiongeaa akiimaanisha akimwambia Zakia kisha akanigeukia mimi Afu wee sikia mimi siwezi kuwa na demu afu hanipi mzigoo mimi ni mwanaume sawa eeh kwahyoo sitaki kabisa kuingiliwa, na bora umeona kabisa leo livee maaana, nilikuwa natafuta jinsi ya kukwambia ili tubwagane, wewe uliona wapi mchumba wa barua ya miaka miwili, afu kingine kilinifanya nibaki na wewe ni vile vipesa pesa vyako maan vilikuwa vinanisave maaan pesa yangu ya mshahara ndio nimeamua kumfungulia mpenzi wangu duka" nilichoka leo ndio najua kama Hussein anakazi tena inamlipa vizuri ila mimi ni anachukua tu pesa yangu kwa ajili tu ya kunifurahisha mimi maana ni kweli nilikuwa nikimla mimi nafurahi sana ndio akili ikaja kumbe hat lile duka ambalo Zakia kafunguliwa nikamuuliza kafunguliwa na nani hakunambiaa kumbe ni Hussein, sikujizuia nilianza kulia pale pale ndani walipokuwepo
"Wee sikia toka bhana peleka uchuroo wako huko kwenu sio hap kwahyo ulitegemeaa kwamba mimi naweza kukuoa shtuka mwanamke wangu hata nyumbani kwangu hupajuli wee vipi?" Maneno ya Hussein yaniumiza sanna hata kama ndio utembee na rafiki yangu? Hussein?" Nilimwambia Hussein, alicheka kwa dharau kweli akanitizama akanambia sasa wewe unahisi nani kanionganisha nae kam sio wewe ulinipa namba mwenyew mimi kwenye kuongea nae nikampenda kwanza ni kisu zaidi yako" hayo maneno aliyasema Hussein akinambia bila hata huruma, moyoni nilithibitisha lile neno kwamba Zakia ndio alikuw kipaumbele kwake na sio mimi Salma mtoto wa kijijini, hii iliniumiza sana kwakweli nililia kwa sauti lakini ndani kwa watu nipo muda huoo
"ila shga angu, nakuomba usimwambie James kuhusu hili nakumba sana utakuwa umeniumbua yaani nilikasirika zaidi yaani kumbe bado anamchezea akili mkaka wa watu jaman roho yangu iliniuma na nikajikuta namuhurumia sana James, kumbe hata hyo kazi Zakia alinitafutia ili awe huru na mchumba wangu, nafsi yangu ilisononeka sana jamani niliumia sana nikaondoka kwa hasira ila nakumbuka Hussein alinisindikiza na maneno haya nenda mdada mwenye mikosi yake mjini, usie kuwa na bahati ya kuwa na mwanaume, mtu mwenye gundu" kisha akamgeukia Zakia akamwambia tulia babe huyoo mjinga mpotezee, hawezi fanya lolote, kwanza huyo bwege wako fanya uachane nae sawa?" Mengine sikuyasikia niliondoka nikiwa mnyongee, ingawa nilikuja mchangamfu...
Nilirudi nikalala nikiwa na mawazo sana kwanza niliblock huyo Hussein na huyo mdada wake Zakia ila nikawa nawaza maan alonitumia sms inavyoonekana sio Zakia ni nan huyo alokuwa anataka kunijulisha ukweli kuhusu mwanaume wangu?
Nilimsubiri dada, maaa yeye pekee ndio nilobaki nae upande wangu na ambae inabidi nimuamin kwasas dada alifika tu nikamkumbatia kwa furaha sana, huku nikilia sikusubili aniulize nilimuadithia kila kitu....
Itaendeleaa.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni