Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga tu.ipo silence vile. Basi simu ina display kabisa . Jina linatoka MY HUBY🌹. Basi ndo nazidi kuogopa naona kama vile mlige kaniona. Zayd akanmbia unalia sababu umemcheat jamaa. Kwan we unajua uko anafanya mambo mangap faridah usijutie hili .mbona mm nimeinjoy .na mimi sikufichi nakupenda sana. Nakupenda mno faridah tangu shuleni. Apo mlige anapiga kweli kweli. Na akianza kupiga hachoki mpaka utakapopokea skmu. Nikasema zayd ondoka niache mwenyewe kwanza. Namjua mwanaume wangu uwa anakuja gafra .naomba uwende tutaongea tu. Zayd akaningalia sana kisha akanisogelea akanibusu shavuni. Akanmbia nakupenda sana faridah na asante kwa penzi lako tamu nakutakia siku njema. Akanyanyuka akaondoka . Mimi ndo napumua apo natetemeka .

Yani mlige anazidi kupiga simu. Mi nikpokea simu .nikasema halllow. Mlige akanmbia vp mama mbona napiga simu hushiki mke wangu. Mh nilijikaza kweli kweli . Nikasema nilikuwa nimelala kidogo mume wangu. Akanmbia upo sawa lakini mana mm naona moyo unauma sana leo. Nikaogopa mnoooo. Mlige kama ana mapepo. Nikasema mimi nipo sawa kipenzi kuwa na aman tu. Akanmbia ahaaa sawa kama.ndo hivyo mke wangu. Mana daah nimeshangaa tu sijielewi. Mpaka nimempigia na mama kumuuliza na yeye kama yupo sawa . Naona sijielew elewi kabisa. Nikasema pole mume wngu. Akanmbia alafu tabia ya kukupiga simu mala kumi .mi sitaki.kuanzia leo ukitoka chuo weka simu sauti. Nikasema sawa mume wangu

Basi akaaanza kunipigisha story zengine kabisa. Mh mi mpka naogopa yani. Akanmbia daah mke wangu kuna li madame limeamia leo shule bwana. Jipya hilo ana bonge la tako kudadeki. Sijuh niluke nalo. Nikacheka tu. Nikajua muongo atake kufanya umaraya anambie mimi. Namjua mlige . Ni anapenda sana masihara ila ukimboa wee. Ana kisirani kikali mnoo. Bsi tukaongea ongea na nikajitahidi kujifanya niko sawa. Ila mh wala sikuwa sawa. Tukaongea sana na baby mpak saa 7. Ndo tunaagana mi nakata simu

Mh nakuta zayd kanitumia sms nyingi mnoo. Yani nyingi kweli kweli. Ananmbia nakupenda sana na nakuhitaji sana . Ata nini kitokee mimi sikuachii. Yani kwa utamu niliupata leo sio kweli mama. Nakuhitaji kinoma faridah. Kwani mshikaji si yupo kagera acha mambo yako. Mh mm sikumjibu sms yake ata moja. Nikapumzika nikiwa na mawazo sana juu ya nilichokifanya leo. Mh mlige akijua ananiua najiona kabisa. Mlige ana hasira sana. Yani sana. Nikaona ebu ngoja ntajua mbele. Kesho yake bibi mie nikaamka asubuh. Nikampigia kwanza mlige. Ndo huwa nafanya hivi kila siku namsalimia . Akiniwahi anaanzaa yeye basi tukaongea akanmbia ahaa jana nimekata simu pale nimelala mke wangu nimeota nakutomba nimeamka nimejichafua kweli. Nikacheka. Yani akiri za mlige . Kama mtoto mambo yake na story zake wakati mkubwa mno kwangu .

Basi baada ya apo. Nikajiandaa mtoto wa kike . Nikajipulizia pafymu. Nikanukia aswaa . Nikachukua pochi yangu. Na taratibu nikatoka .nikachukua boda. Uyoo mpaka chuo. Basi bwana apo shoga yangu angel mda wote anamsifia zayd. Ni mkaka mzuri. Ananifaaa yani mambo kibao. Nikamwambia we si unajua mi nna mtu.akanmbia we nawe . Uyo mlige si unanambia ni mtu mzima .we kaa na uyu ni mkaka mdogoo kabisa . Atakufaa sana . Shida inakuwa nn. Acha mambo yako. Alafu mlige yupo kagera . Ya uku anayajuaje.nikabaki kimya apo ata sikumwambia kama uyo zayd na kufanya teyari kashanifanya. Basi nikiwa clss zayd alituma sana sms jamani. Oooh unaendeleaje sijuh nimekumiss .ila weee skkumjibu kabisaa mm. Naanzaje .nikamkaushia kimyaaa. Basi bwana ikapita week zayd ananisumbua mnooo. Anakuja mpka nyumbani kwangu. Anagonga mnoo .mie kimya ndani .nikawa sasa sifungui mlango nikisikia hodi. Ikawa hivyoooo. Namkwepa sana. Yani sana. Uyu kaka. Sababu nilishajua nimekosea ila sikutaka kuludia kosa sasa.

Basi hivyo mpaka ukakata mwez . Mimi sijakutana na zayd .na apo nilishamblock kabisaaa. Nikapata rikizo kubwa ya miezi 3. Apo na field ni miezi 2. Alafu mwez ndo wa kupumzika na baby. Basi nilionge na mpenzi . Akaniombea field kule kule nyumbani nyakanazi. Nauli elfu 1 tu. Yani hakutaka field mm nifanyie dar. Basi akanmbia nakutumia naulu uludi nilitamani nikufate ila kazi zimenibana sana. Nikamwambia sawa namuelewa mlige.kuna mda anabanwa sana. Na ukiacha ualimu pia ni mfanya biashara so anapambana sana. Basi bibi mie kweli baby akanitumia nauli. Na kweli nikasafiri kesho yake mpaka kagera. Nilikuwa nimemmis nikamwambia nafikia kwake. Akanmbia hayupo yupo wiliyani bukuba so kwanza .nifike nyumbani kwetu kisha yeye atakuja kuniona jionii. Nyie nilivyofika nyumbani sikuamini. Nilikuta suprise. Nilikuta nyumba yetu imekarabatiwa imekuwa nzuri na ya kisasa sana. Yani imependeza. Imepigwa bati za msouz nakwambia. Nyieeee mpaka nikataka kulia mm. Mama akanikumbtia akanambia basi bwana mlige alisema tusikwambie ni suprise karibu mtoto wetu

Nikishangaa mpaka ndani kawa nunulia wazazi wangu furnitures nzuri. Nyie nilijkuta nalia kwa uchungu. Na kujutia kwa nn nilimsaliti uyu baba. Weeee mama alinikumbatia akanmbia basi bwna ebu acha. Basi mama akaningiza chumbani kwangu . Wooooow ni kuzuri nakwambia kuna kitanda na godoro jipyaaa .na kabati. Kaniwekea picha yangu kubwa ya graduu ya form six. Nyieee nilifurahi. Mma akanmbia we mtoto ukimuacha mlige utapata laana. Basi mie nikawa nalia . Mana baba wa watu anajitoa mno kwa ajili yangu mpka kajenga nyumbani. Kwetu hatukuwa na umeme kawaweke. Kaweka na maji aseee ana upendo sana mligeeee. Yani sikuamini leo kwetu kuna tv ndani na sofa nzuri. Kuna mlango wa geti.kuna tilesss asee acha kabisa. Mama alinielezea kuw ni mlige ndo kafanya yote kwa mda wa miez 5 nyuma . Hatukukwambia tu. Na pesa ya kula analeta apa. Ndani vyakul kama vyote ni yeye. Nyieee mie sikuamini mwenzenu. Nilitaka kuchanganikiwa .hivi uyu mwanume ana upendo wa aina gani lakini😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭


Basi nilikuwa siamini . Namuangalia mma mpka kanenepa na baba alikuwa na furha sana. Alinmbia sisi wana ume tunajuana tulia na uyu kijana mlige. Mwanangu . Basi nikamkumbatia na baba tu . Ana rahaa na furaha . Nikajua kweli.mlige kama kunipenda ye kachanganikiwa sasa na mm..basi kweli mida ya jioni mlige ndo akaja kuniona apo nishaongea sana na wazazi. Nilimkumbatia mbele ya mama na baba. Basi mama aksema mkalibishe mwenzio chumbani ndo mkaongee. Kweli mie nimampeleka mpaka chumbani kwangu. Mlige ana fujo et anataka kunikula mda uo uo. Nkamzuia et hatakai kuelewa .nikamwambia kuna mama apa. Aknmbia daa powa bwana ila ona nilivyodinda na mzee wako yupo utatokaje sasa. Nimekumiss kisenge .mi sitalala leo. Ebu ata unisindikize basi .alafu nakuludisha ila mligeee. Anapenda chini mjinga uyu. Basi nikawa nacheka. Akaniuliza na issue za shule. Na maendele nikamjibu nipo pwa.aseee nilipiga magoti na nikamshukuru mnoo kwa upendo wake .kubwa kwa kuwajengea nyumbani mpaka nikawa nalia. Mlige aliniinua akanmbia awa ni wazazi wangu kabisa. Mi sikuwa nafurahia walivyokuwa wanaishi vile plsss mama naomba kuwa na amani na usinipigie magoti. Ili niombee nipate zaidi mumeo ili nije kuwasaidia zaidi wazazi nyiee . Nilikuwa nalia na mengi mwenzie akaanza kunibembeleza .

Baada ya kunyamaza . Tujaongea sana . Mda wa saa 2 . Ndo anaondoka anataka nimsindikize. Basi tukatoka ndani .namkuta bba anaangalia taarifa ya habar. Nikasema baba na mama mie namsindikiza mlige. Baba akasema sawa usiku huu usifike mbali. Kijana wangu mlige ufike salama. Mlige akasema sawa baba. Basi mam akasema ngoje nije kusindika mlango. Hee na mama akatutoa mpaka njee. Mama akanmbia wewe leo kalale kwa mwenzako . Uyu mzeee mie ntampanga tu. Ila mama 🤣🤣🤣🙌🙌🙌. Mlige alifurahi et akatoa elfu 30 . Ahaa mama nilisahau chukua hii utakunywa sodaa. Ahaaa mlige 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83



Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga tu.ipo silence vile. Basi simu ina display kabisa . Jina linatoka MY HUBY🌹. Basi ndo nazidi kuogopa naona kama vile mlige kaniona. Zayd akanmbia unalia sababu umemcheat jamaa. Kwan we unajua uko anafanya mambo mangap faridah usijutie hili .mbona mm nimeinjoy .na mimi sikufichi nakupenda sana. Nakupenda mno faridah tangu shuleni. Apo mlige anapiga kweli kweli. Na akianza kupiga hachoki mpaka utakapopokea skmu. Nikasema zayd ondoka niache mwenyewe kwanza....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-82-na-83

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 46
MY WANGU❤️ sehemu ya 46
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU sehemu ya 41 na 42
MY WANGU sehemu ya 41 na 42
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 43
MY WANGU sehemu ya 43
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35
MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35
MY WANGU❤️ sehemu ya 32 na 33
MY WANGU❤️ sehemu ya 32 na 33
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
MY WANGU❤️ sehemu ya 55
MY WANGU❤️ sehemu ya 55
MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60
MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
MY WANGU sehemu ya 36 & 37
MY WANGU sehemu ya 36 & 37
MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62
MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62
MY WANGU❤️ sehemu ya 56 na 57
MY WANGU❤️ sehemu ya 56 na 57
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 58
MY WANGU❤️ sehemu ya 58
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
MY WANGU❤️ sehemu ya 24 na 25
MY WANGU❤️ sehemu ya 24 na 25
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

671
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

584
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

412
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37

285
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘

284
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87

222
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

135
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

125
REAL LOVE  Chapter 12

REAL LOVE Chapter 12

43

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.85K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.06K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  Chapter 12 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 12
@majario LIVE

kitendo cha fahima kushikwa na seven. kiliwakera sana walikasirika ghafla tu lakini fatuma hakusahau dhamira yake akatoka haraka mpaka kwa fahima na kumsaidia kumshika mkono mwingine lakini mzee fahad akamkemea kabisa "wewe...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi mimi nilikaa home siku 3. Nikapigiwa simu ya kwenda kusaini mkataba katika iyo bank. Na kweli nilienda nikasaini mkataba wa miaka 2. Na mshahara ulikuwa ni mrefu sana ....

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Daaah yani sikuwa naelewa nifurahi pale . Ama ninune. Yani nilikuwa katika hali ambayo ata siielew. Basi zayd akanishika mpaka karibu na ile gari kabisa. Akafungua milango na nikaona...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘
@majario LIVE

Nilitoka kule ndani kwa Tristan bila hata kuwaaga🙈🙈 wenyewe walikuwa wako busy kubebishana😆 nilichukua usafiri nikaenda hadi maeneo ya kule nyumbani kwa Hemed ilikuwa ni mida kama saa tano sita...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

Basi bwana kuanzia apo rasmi mi nikavunja mkataba na princess kabisa. Nikawa busy na maisha yangu kabisaa. Lemi aliniulizaga we ndo unahusika na mimba ya princess nikasema hapana siusiki kivyovyote...

REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest