Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
25 Feb 2026
216 views
VYOTE NDANI GONGA94
REALLY LOVE* *31&32*
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
alifika mpaka chumbani akamkuta fahima analia ila mimba hizi yaani analia machozi kabisaaa
nahasira sana hivi huyu nwanamke katokea wapi halafu baba asinichanganye mimi nawezaje kuwa na ndugu shetani kama huyu seven sitaki kumuona humu ndani haraka alisema fahima kwa hasira sana, seven hakuchelewa haraka akarudi seblen
"""baba tafadhari naomba umuondoe cathe haraka kwa usalama wa fahima huko ndani han hali nzuri alisema seven, selina na sarafina waliposikia hivo haraka wakanyanyuka ili kumtoa cathe
mimi unanijuwa sina muda wa kubembeleza unakuja hapa na magoti yako wakati shetani tu ondoka ondokaaaa" alisema selina kisha sarafına akamburuza wakaanza kumtoa kinguvu huku cathe analian akiwaomba wamuachie, basi wakamtoa hadi nje,
**"shetani mkubwa wewe na usirudi tena hapa.*** alisema sarafina, kisha akamwambia mlinzi afunge mlango, walifurahi sana baada ya kumuona cathe anatapa tapa
***hahahahahhaha nyooo sijeuri yule mbona kawa mdogo kama piritoni alisema sarafina
***hahahhaha na bado atachakaa sana tu halafu tushajuwa anapokaa basi tuwe tunamchukua wifi tunavaa vizuri tunapendeza halafu tunaenda mpaka pale kumrusha roho" alisema selina
*"hahahahhahaha halooooow shoga yangu tulange siku twende ila kimya kimya kaka asijue maana akijua tunatoka na fahima we hatokubari anavompenda fahima wake he' alisema.
**"hebu acheni umbea we hebu kanitolee soda ninywe maana huyu mwehu kashanivuruga alisema mama seven huku akijipepea
huku chumbani seven alikuwa akimbembeleza kipenzi chake fahima
nakuahidi haitojirudia tena mamaaa pls. nisamehe kwa kushindwa kuyazuia machozi yako alosema seven
sawa ila ujue mume wangu mwanao ananisumbua sana mpaka nakuwa katika hali hiyo muda wote nahisi hasira tu mpaka najisikia vibaya alisema fahima kwa huzuni
noo baby usiseme tena hivo hebu acha anisumbue kwanza ukiwa kama hivo ndo naona raha mana kazini siendi nakuwa karibu nawewe tu muda wote kisura wangu" alisema seven
mh hahahhaha" alifurahi fahima tena alifurahi sana tu basi mapenzi yaoyalizidi kupamba moto
huku mzee fahad ikabidi ampeleke cathe nyumbani alifika na kumuonya asije akaenda tena pale maana tayari ashaharibu
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*
kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi...
alifika mpaka chumbani akamkuta fahima analia ila mimba hizi yaani analia machozi kabisaaa
nahasira sana hivi huyu nwanamke katokea wapi halafu baba asinichanganye mimi nawezaje kuwa na ndugu shetani kama huyu seven sitaki kumuona humu ndani haraka alisema fahima kwa hasira sana, seven hakuchelewa haraka akarudi seblen
"""baba tafadhari naomba umuondoe cathe haraka kwa usalama wa fahima huko ndani han hali nzuri alisema seven, selina na sarafina waliposikia hivo haraka wakanyanyuka ili kumtoa cathe
mimi unanijuwa sina muda wa kubembeleza unakuja hapa na magoti yako wakati shetani tu ondoka ondokaaaa" alisema selina kisha sarafına akamburuza wakaanza kumtoa kinguvu huku cathe analian akiwaomba wamuachie,...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/really-love-31-32
Maoni