Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33*
Gonga94 · Stories

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi kuhusi namimi hali yangu mbona hunijali alisema cathe kwa kumfokea baba yake, mzee fahad hakuipenda sana hiyo tabia

***wewe unanifokeamimi ? au ndo adabu ulizofundishwa na eva? yani mimi nakuelewesha kitu kwa upole halafu unanikoromea wewe mpumbavu nini tena kama huko ulikotoka hukufunzwa vizuri basi hapa utanyooka si unakaa na mama fatuma utanyooka vizuri alisema baba fahima kisha akaingia ndani,

mama fatuma na mwanae wakaanza kumcheka

***hehehheheeehehe halooooooow kujifanya mtoto wa kishua wakati sura yenyewe mavi tu":" alisema fatuma huku anacheka

wewe unasemaje.? yaani sura yangu kama mavi??? alisema cathe kwa hasira

sasa kama ungekuwa keki si ungesifiwa shoga yangu hhahahhaaa hilo wigi lenyewe la kuazima alafu unajifanya mzuuuuuri wakati tako huna hehheheheh haloooo00000000000*** alisema fatuma kisha wakacheka na mama yake,

cathe alipatwa na hasira sana akamvamia fatuma na kuanza kupigana, mama fatuma akaingilia akamkamata cathe na kuanza kumpiga kipigo huku fatuma nae akimchangia walimpiga sana akabaki analia tu bila kufanya lolote.

nyooooo we si mbabe haya nyanyuka nyau wewe nyanyuka paka shume wewe sikia kama huko ulikotoka hawajakwambia unakuja kwa nani basi kawaambie wakwambie, mimi ndo mama fatuma yaani nitakutuma mpaka uote. sugu za matako hapa ndo kwenyewe yaani funga kazi kamuulize fahima anaijuwa vizuri shuhuli yangu kenge wewe alisema mama fatuma, huku fatuma akicheka na cathe akilial

sana

***lakini haya maisha gani mimi siyawezi napigwa bila kosa siwezi lazma niondoke alisema cathe aiseee alikosea sana kusema hivo yaani ile anataka kunyanyuka tu alipigwa konde. moja la mgongo hilo kama bomu likampeleka hadi chini

unamkunjia nani mdomo wewe, nani unamkaripia yaani mimi unanipandishia sauti. paka wewe usiyekuwa na mama nyoo0 mlaaniwa mkubwa wewe ety naondoka usinipe

kesi hapa msubiri baba yako akirudi ndo uondoke mbele yake sitaki ujinga mimi haya sogea hapa ufue haraka sogea nitakuongezea lingine alisema mama fatuma kwa ukali haraka cathe akasogea na kuanza kufua nguo huku analia, huyo ndo mama fatuma bhana

muda ulienda ikafika usiku siku hiyo upande wal seven na fahima kulikuwa ni raha tu ila kwa upande wa cathe kulikuwa ni karaha na majonzi

basi siku nyingine tena iliwadia katika nyumba. ya mama calor siku hiyo alitaka kwenda kumuona mwanae cathe ikabidi wajiandae yeye na calor wakatoka kwenda kumuona.

ndani ya super market moja alikuwa seven akikusanya nguo viatu yaani mazaga zanga kibao ya kila aina na size, alinunua nguo nyingi sana basi alipomaliza akaondoka kuelekea. kwenye moja ya ukumbi mzuri sana uliopo mlimani city,

alifika na kupokelewa na walinzi alifanya siri sana familia yake wasijue lolote, alikagua ukumbi huo ulikuwa umeandaliwa vizuri na kupambwa vizuri ulipendeza sana alikagua kila Idara ya kila kitu kilikuwa sawa kabisa, alipoona kila kitu kipo sawa akaamua kupanda gari na kuondoka kuelekea nyumbani

alifika nyumbani na kuwakuta mama yake na

dada yake wamevaa vizuri sana alifika na kuwapa ishara kuwa kila kitu tayari na wakae kimya kabisa, basi aliingia ndani na kumkuta fahima akikunja nguo kuweka kabatini ndipo seven akamkumbatia kwa nyuma na kumkiss. sikioni

i miss you wife alisema seven.

i miss you too husband০০০ alisema fahima, seven alitabasam kisha akamgeuza fahima wakawa wanaangaliana

ujue sikutegemea kabisa kama nitakuja

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*



kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi kuhusi namimi hali yangu mbona hunijali alisema cathe kwa kumfokea baba yake, mzee fahad hakuipenda sana hiyo tabia

***wewe unanifokeamimi ? au ndo adabu ulizofundishwa na eva? yani mimi nakuelewesha kitu kwa upole halafu unanikoromea wewe mpumbavu nini tena kama huko ulikotoka hukufunzwa vizuri basi hapa utanyooka si unakaa na mama fatuma utanyooka vizuri alisema baba fahima kisha akaingia ndani,

mama fatuma na mwanae wakaanza kumcheka

***hehehheheeehehe halooooooow kujifanya mtoto wa kishua wakati sura yenyewe mavi tu":" alisema fatuma huku anacheka

wewe unasemaje.? yaani sura...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/really-love-sehemu-ya-33

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi really-love-sehemu-ya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

663
*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini*

*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*

470
WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21

249
REALLY LOVE* *31&32*

REALLY LOVE* *31&32*

216
SHAMIRA 17,18,19,20

SHAMIRA 17,18,19,20

140
SHAMIRA sehemu ya 15&16

SHAMIRA sehemu ya 15&16

130
SHAMIRA sehemu ya 13&14

SHAMIRA sehemu ya 13&14

126
SHAMIRA 21,22,23,24

SHAMIRA 21,22,23,24

118
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*

116
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10

106

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.31K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.06K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.15K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.37K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.35K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*
@majario LIVE

kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi kuhusi namimi hali yangu mbona hunijali alisema cathe kwa kumfokea baba...

SHAMIRA Sehemu ya 25&26 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi apo ndo maisha ya mimi na hamadi yakaanza. mwanzo nilikua simpendi sana ila siku zilivyooenda nikaanza kumpenda hamadi .mana nilikua naona anvyonipenda zile...

SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU Post Mpya
SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU
@majario LIVE

Nabii Yona (au Yunus) alipewa agizo na Mwenyezi Mungu kwenda mji wa Ninawi (Iraq ya sasa) kuonya watu waache maovu. Lakini Yona, akiona watu wale ni wakaidi sana, aliamua kukimbia...

MY CRAZY BOSS 11 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 11
@majario LIVE

"Asante sana Joy kwa kunikubalia kuwa wangu nakuahidi maisha bora kuliko unavyodhania, nitakupa maisha bora sana 😘😘😘". Nikamuangalia boss palee anavyojimalizaa ntafanyaje sasa ndo nsharopokaa mie acha tu niyakoge sina budi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 2 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 2
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEA Camilla alipotoka palee alikwenda moja kwa moja kwa aliyekuwa rafiki yakee muhimu sana kuna mambo alitakiwa kuyaweka Sawaa “ Karibu Camilla..” Alikaribishwaa ndani “ Asant sana ..”...

Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo Post Mpya
Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo
@majario LIVE

pichani aliyesoma PCM alipata division 1.3 akiwa na A za juu katika masomo yote kuliko wanafunzi wengine wote wa michepuo mingine kitaifa. Alihitimu secondary ya Tosamaganga Kidato cha nne pia...

REALLY LOVE* *31&32* Post Mpya
REALLY LOVE* *31&32*
@majario LIVE

alifika mpaka chumbani akamkuta fahima analia ila mimba hizi yaani analia machozi kabisaaa nahasira sana hivi huyu nwanamke katokea wapi halafu baba asinichanganye mimi nawezaje kuwa na ndugu shetani kama huyu...

*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini* Post Mpya
*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*
@majario LIVE

Asubuhi na mapema Enzo akaamka na kwenda Nyumbani kwake, na Mimi nikaanza mandalzii ya safari, kwanza nikafua nguo ambazo zilikuwa chafu, kisha nikaanza kuchagua nguo ambazo nitaenda nazo safarini. "Kweli Enzo...

SHAMIRA 21,22,23,24 Post Mpya
SHAMIRA 21,22,23,24
@majario LIVE

sehemu ya 21&22 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafungua mlango wa gari nikaingia ndani akasema vp mamy .nikasema powa najifanya nimenuna nakwambia ahh wap uongo mtupu😂. Akanambia shamira unajua...

SHAMIRA 17,18,19,20 Post Mpya
SHAMIRA 17,18,19,20
@majario LIVE

sehemu ya 17&18 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Mala akafika ashaa.naona na yeye alitoka akakuta natandikwa sasa. akasema shem nn jamani ebu muache , akasema unaona uyu mwanamke alivyo mjinga yani...

SHAMIRA sehemu ya 15&16 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 15&16
@majario LIVE

Watsapp 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akanmbia ooh umelala kipenzi changu mbona mapema sana na uajua saa 5 lazima nikupigie jamani. nikasema sipendi kuzulula usiku baby kwaiyo naamua kupumzika mpema...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

“hivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… “ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

“ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest