Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
Gonga94 · Stories

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen

unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda mchache tu jioni sitaki kukuona hapa aliserna baba cathe

"lakini mume wangu unamfukuza mtoto wako kama mbwa kweli ??? uyu situmemzaa wote unataka aende wapi uamuzi unaouchukua angalia usije kujutia alisema mama cathe

"baba cathe kakosea sana istoshe ni mwanao

na msamaha kashaomba kinachotakiwa ni kukaa chini na kuzungumza tujue tunafanyaje nakama devi kamkataa inatakiwa tumpeleke polisi kwanini amchezee mwanai alafu amuache unatakiwa uwe na uchungu baba huyu ni mtoto wako hata iweje alisema calor

"unachosema ni kweli lakini calor haukuwepo wakati mama yako ananijibu jeuri alikuwa hanisijilizi kwa lolote juu ya cathe alikuwa yupo

radhi amsikilize cathe lakini sio mimi mumewe, sasa leo nimuangalie nani nachotaka cathe utoke hapa atakaye kutaka atakufuata alisema baba cathe huku akiondoka, cathe alipiga magoti kuomba msamaha lakini bba yaje hakutaka kusikia iondoke na kuwaacha hapo

baadae kweli seven impeleka fahima hadi bar hiyo agness alipomuona fahima hakuamini alimfata na kumkumbatia alifurahi sana kumuona alifurahi mno

ulipotelea wapi shoga yangu jamani nilikumiss sana alisema agness

acha tu ila nusu iniponza na pia nusu

uneniokoa shoga yangu alisema fahima kisha akaanza kjmuhadisia mkasa mzima tangu sikulle alipopeleka soda chumbani kwa seven mpaka hapo alipo sasa alimuhadithia kila kitu

agness

masikini shoga yangu duh pole sana lakini pia hongera nafurahi kukuona ukishi maisha ya amani sana nanimi jiandae zawadi maisha haya nishayachoka naolewa shoga yangu alisema

agness

Jamani hongera sana sitakosa kwenye hilo nitakuwa nawewe bega kwa bega shoga yangu alisema fahima

asante shoga yangu halafu fatuma alikuwa anakuja hapa ety kukuulizia shoga nilikuwa nampa vidonge vyake anaenda kunywa na maki huko mbele alisema agness wote wakacheka

usiniambie ko Ikuwa unamchambaaaa" alisema fahima

"ndiyo yani nilikuwa namchamba kisawasawa

hadi leo kakoma kujaa halafu nikaja kusikia amefumaniwa shoga kapigwaaaaa he yani natamani siku wakuone ulivyo pendeza nahisi roho zitawatoka alisema agness basi walicheka na kifurahi sana

shoga sasa mbona shem nae kaja huku alisema ag

unauliza tena he yani yule karna mlinzi unavo

muona kila napoenda nyumaaa kila kona nyumaa wivu umemjaa mpaka unamwagika ko pale anavoniona roho yake saaafi mwenyewe

alisema fahima basi agness akacheka san walifurahi sana kwakweli mashoga hao walipendana sana, basi hatimae wakaagana na

kuondoka zao

upande mwingine kazini kwa mzee fahad alikuwa yupo bize kwelikweli na kazi mara simu yake ikaita ghafla ilikuwa namba ngeni ikabidi aipokee akaipokea ikasikika sauti ya mwanamke

akilia sana

"unashida qani binti aliuliza mzee fahad

baba mimi ni yule dada wa sikuille ulonisaidia gari yangu naitwa cathe alijitambulisha

ooh sawa sasa mbona unalia hivo shida nini alisema mzee fahad

nina matatizo makubwa bab yangu naomba uje hapa kwetu nitakuelekeza kwakuwa wewe ni mstaarabu naomba unisaidie alisema cathe

sawa mwanangu lakini ilibidi kwanza uniambia tatizo jikija nijue nakisaidia vipi na nijue naanzaje alisema mzee fahad basi cathe

akaanza kumuhadisia mambo yote kuhusu maisha yake hadihapo lengo la kumuita mzee fahad nikuja kumuombea msamaha kwa baba yake ili yeye asifukuzwe, mzee fahad alisikitika sana akampa pole ikabidi aage kazini kwao na kuanza kwenda nyumbani kwa kina cathe

ambapo ashaelekezwa

upande mwingine katika apartment ya devi siku

hiyo devi aliingiza mwanamke ndani yani kazi

yaje ilikuwa kulewa tu na kuingiza wanawake

mpaka hapo alibakia oesa chache sana

katika akaunti yake maana aliendekeza sana starehe basi akiwa katikatiya starehe zake na mwanamke wake mara mlango ukagongwa kwa

fujo sana yani uligongwa kwa fujo mno

devi akaenda kufungua akiwa amekasirika sijui

nani huyu anayekuja kituvurugia mood yetu pumbavu sana alifika na kufungua mlango

aiseeee hakuamini baada ya kumuona calor kaka yake cathe, calor alimsukuma devi kisha akaingia hadi ndani.

"kwahiyo umemtia mimba mdogo wangu halafu unamuacha unastarehe na hao kahaba wenzio eeeh si ndio alisema

halafu usinlite kahaba umekuja katika majumba ya watu hata salamu huna anaanza

kutukana wewe unajuwa chanzo chake uyo dada ako tamaa zake ndo zilimponza na malaya sana sio mimi tu anawanaume kibao sasa nitaikubari vipi mimba kama sio yangu je alisema devi nyingine

maneno hayo yalimchoma sana calor alimpiga ngumi devi kwa hasira kisha akamuongezea na

mshenzi mkubwa wewe tena koma kumuita mdogo wangu malaya wakati wewe ndo malaya

mchafu takataka wewe wakati unamtongoza hukujua kama anawanaume hukujua kama

anamchumba kilichokufanya umtongoze nini

kana sio ushoga huo alafu unajifanya kidume sio wewe si jeuri haya pigana hapa nipo leo pigana alisema calor kwa hasira sana

uondoke alisema dwvi

oya usinichukulie poa sikuogopi naomba

"nani aondoke wewe mbuzi nini yani hapa nimekuja kujua moja tu utamuhudumia mdogo wangu au humuudumi alisema calor kwa hasira sana

amuhudumie nani aende kwa mabwana zake

huko alisema devi kwa jeuti sana

"hahhah et ee basi usijari ataenda ila devi kama ulivoyaharibu maisha ya mdogo wangu namimi nakuhakikishia nitayaharibu maisha yako na

utajutia sana kwaheri alisema calor na kuondoka devi alibaki akiwa anacheka tu

ety wananitishia pumbavu zenu haya fanyeni

mnachotaka nyau nyie alisema devi kisha akamfata mwanamke wake na kuendelea na starehe zao,

nyumbani kwa seven aliwasili akiwa na mpenzi

wake fahima waliingia ndani na kumkuta sarafina pekeyake mama yuko wapi? alisema seven

wamepata ugeni nyumbani wa shangazi eriko kwahiyo wameondoka alisema sarafina

"ah haya ko umebaki wewe cha umbea alisema seven

"ndiyo nataka nichunguze umbea alisema sarafina

muone kwanza umbea tu alisema seven kisha akaongoza kwenda chumbani akimuacha fahima na sarafina

wifi nikupe umbea alisema sarafina

hhhaahaha nipe alisema fahima

muda sio mrefu utanunuliwa bonge la zawadi alisema sarafina

"weee zawadi gani hiyo aliuliza fahima kwa

shauku

weeee mimi mwenyewe kaka hajaniambia anajuwa nitasema tu ko hata sijui ila ndohivo alisema sarafina

"Jamani wanatabia mbaya tu ngoja niende mara moja chumbani asant sana my wifi alisema fahima kisha akatoka kuelekea chimbani alipo

seven

upande mwingine mtaani uswahilini alionekana kijana calor akiwa na vijana watano

akizungumza nao walikibaliana biashara hiyo kisha wakapewa pesa kila mmoja baada ya hapo wakasambaa na calor akageuza kurudi nyjmbani kwao

huku mzee fahad alifika mpaka alipoelekezwa alifunguliwa geti na mlinzi kisha cathe akaja alifurahi sana kumuona mzee huyo

akamkaribisha hadi ndani seblen akaenda

kumuita mama yake kumtaarifu ugeni huo, baada ya dakika tatu mama cathe alifika seblen hapo akiwa na mumewe,

mzee fahad alipomuona mama cathe alishtuka sanaa mnoooo na mama cathe nae alishtuka wakajikuta wanaitana

fahad?

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*



upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen

unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda mchache tu jioni sitaki kukuona hapa aliserna baba cathe

"lakini mume wangu unamfukuza mtoto wako kama mbwa kweli ??? uyu situmemzaa wote unataka aende wapi uamuzi unaouchukua angalia usije kujutia alisema mama cathe

"baba cathe kakosea sana istoshe ni mwanao

na msamaha kashaomba kinachotakiwa ni kukaa chini na kuzungumza tujue tunafanyaje nakama devi kamkataa inatakiwa tumpeleke polisi kwanini amchezee mwanai alafu amuache unatakiwa uwe na uchungu baba huyu ni mtoto wako hata iweje...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/really-love-season-two-sehemu-ya-ishirini-na-moja

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi really-love-season-two-sehemu-ya-ishirini-na-moja
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

1.05K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

993
MY WANGU❤️ sehemu ya 113

MY WANGU❤️ sehemu ya 113

862
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘

463
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

217
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘   N0 74...75💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 74...75💘💘

198
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

195
REALLY LOVE* *22&23*

REALLY LOVE* *22&23*

142
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

96
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

88

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.24K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.98K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.51K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.34K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.33K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘   N0 74...75💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 74...75💘💘
@majario LIVE

Hongereni sana kwa jinsi mlivyokaa nahisi nyie ni wapenzi eh aliongea doctor 😍😍 ndiyo doctor wala hata hujakosea huyu ni mke wangu.... paschal alimjibu yule dactari.... jina langu ni...

REALLY LOVE* *22&23* Post Mpya
REALLY LOVE* *22&23*
@majario LIVE

walibaki kushangaana tu, baba cathe alishangaa sana maana hakumfaham mzee fahad lakini alishangaa baada ya mkewe kufahamiana na mzee huyo, pia cathe alishangaa kumbe mama. anamfahamu basi itakuwa vizuri msamaha...

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA* Post Mpya
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
@majario LIVE

upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
@majario LIVE

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula...

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY 🦋 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa “ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic “rich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGU❤️ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYO…… “Wewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest