Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
Gonga94 Β· Stories

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee.

Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka kama paka zee, Aibuu yaani sijui hata nasema ninii, hapo sina hata nguo ndo naanza kupapasa naitafuta gauni yangu, akanitupia T_shrt yake nijifutie hahah yaani kimya kimyaaa nikajifuta, Hee si namuona anaondoka yaani hata hasemi kwaheri au natakiwa kufanya nini.

Nikaona kaenda kugonga geti moyo ukalipuka nikasema huyu hawezi kwenda kumwambia kweli D amenilala humuu, weee nilivaa haraka haraka nikachomoka mbio yeye alikuwa ameingia ndani ya geti nikawasha gari mbiooo kwanguuu
Njia nzimaa naenda nawaza kuhusu Ule mjunjano pale aloo, Sijui nifurahie au nihuzunike maana nimebakwa hivyo, habari za D ameenda kulala na wanawake watatu hata sikuwa nazikumbuka tena, Nikachukua simu yangu nikamtumia sms Tinner

"Shoga nimebakwa mwenzio" hapo hapo akapiga simu hahah sijui alijua nipo hoii nimetatuliwa

"We Veroo upo serious??" Aliniuliza kwa hamaki kweli mpaka nikaanza kucheka

"Afu ujue utakuja kuniua na presha mjinga wewe, Enhee D amekubaka mana sio kwa cheko hilo"

"Bora hata D shoga angu yaliyonikuta leo mmh hata sijui nianzie wapi"

"Bwanaa embu anza hapo hapo!"

"Veda amenibaka dada tena kwenye gari ya D"

"Veda....Veda ndo nani "

"We nae si yule mvuta bangi wa huko kwenu"

"MUNGU WANGUUU....!!! hahahah we Vero kwelii???"

"Unachekaaa??"

"Hahaha hata sijui nacheka niini ilaa I'm sure umefurahiaa huo mbako eeh"

"Mxeeeuw!!!"

", enhee embu nambie ilikuwaje??"

" Nitakuja kesho shoga angu yaani sa hii hata akili haifanyi kazi ila nina makubwa hatari ..." Nikakata simu nikanyoosh goti mpaka kwangu , Nilifika hoi miguu bado haina nguvu kama nimepandisha kilima

"Mungu wangu .... hivi Veda amewaza nini??? Kwahiyo amenibaka hahah uuuuh hata siaminiii " nilikunywa maji mengi sanaaa lakini mpaka ndani ya glass nilikuwa naona ile picha ya Veda kuanzia anavyo fungua mkanda mpaka zipu yake anavyoniekea uuuh nikajikuta nasisimka tenaa

"Ohooo ..." nikajitupa kitandani kwanza usingizi haukupita kabisaa yaani nilikuwa nageuka huku nageuka kulee jamani jamaniii huyu kaka aligoma kabisa kutoka kichwani vile alivyokuwa ananinyonya lips mwili wotee unasisimkaaa, mpaka nikawa najipiga makofi ya kwenye paji la usoo anitoke lakini wapiii, Nyie mpaka majogoo yana wiki mie Veda hajanitoka kabisa kichwani....

Palivyokucha kibishi kibishi tu hivyo hivyo nikajiandaa kwenda kazini, nikapanga nikitoka kazini niende kwa Tinner nikamuadithie yaliyonikuta jana labda nitapumua, nishajiandaa zangu nimeupara natoka tu D anaingia tena akiwa na Veda mweeh, Nilihisi miguu kama imepiga shotii .

Sio D ndo alinishtua Noo!!! Ni Veda yaani ile kumuona Veda halafu tukagongana machoo mie picha nzima ya jana ikaniijia kichwani na hivi li mkaka mbavuu aah weee, Moyo ulikuwa una dunda kma ngoma ya harusi ya ghafla, alikuwa kawaida kama jana hakikutokea kitu, mikono kaweka mfukoni, macho yakee ..aaah yale machoo ndio yalinimaliza na vile alikuwa ananiangalia kwa wizi wizi yaani kama ananipimia hivi na mie nashindwa kabisa kulitoa jicho kwake, Kuna muda tuligongana macho kwa sec tu ila mie niliona kama dakika nzima imeisha tunatazamana, mkavuu hata kutabasam hakuna, Nilihisi kachanganyikiwa walaiiii...

"Wife ndio unatoka!!" yaani D anajitoa kabisaa ufaham hahah yaani kaa jinga et pamoja naa upuuzi wake wa jana anavyoniuliza hapa jamani kama hakuna kilichotokea jana

"NAOMBENI MTOKE NYUMBANI KWANGUU!!" yaani niliongea kwa msisitizo na ukaliii tena nilimaanisha

β€œVerooo, yaani unanifukuza hapa??” kama jingaa, nilishusha pumzi kwa hasira mana anajitoa ufahamu nikapiga hatua kadhaa nikamsogelea na alikuwa karibu na gari yangu

"D mie na wewe tulimalizana jana , Kwahiyo kila mtu ana maisha yake TOKA KWANGU!!!"

"Ah ...khaa...Veda hivi unamuelewa huyu mwanamke???"
Veda akanitazama mpaka nikajikuta nameza mate kwa nguvu, Hasira, Aibu na Hofu vyote humo humoo ..

"Ulinidharau D, umenidhalilisha mbele ya wanawake zako umenifanya nijione sina maana D Toka kwanguuuu!!

"Aah, , Vero Unajua jana nililewa sana mke wangu, sikumbuki chochote kilicho endelea, Yaani hata sijui nikueleweshe vipi, Veda embu nisaidie kumwambia kama wale wanawake waliniwekea ma dawa kwenye kinywaji!!'"
Baba hilii hata haya halina jamani, Huyo Veda sasa hahaha embu ngoja kwanza nicheke akaondoka na hapo akatoka nje ya getii hahaha yaani hadi nilitamani kucheka

"Sikia Vero wale wanawake sikufanya nao chochotee aliwatumia Veda baada tu ya wewe kuondoka pale" yaani angejua huyo Veda alinibanjua kwenye gari zaidi ya lisaaa humo hata asingeropoka huu ujinga .

Nikaona huyu ananichanganya tu hata kama napenda hela mwenzangu ila nilimuamini sana huyu mwanaume jamani sanaaa nikajua nimepata ila kwa picha ya jana mmmh hapana natakiwa kujitafakari upya juu ya maamuzi yangu ..

Wakati naenda kufungua mlango wa gari akawa ananizuia anataka nimsikilize aah, zikatokea purukushani hapo vuta nikuvute mie sitaki kabisa habar zake analazimisha kweli et wale wanawake Veda ndio alitembea nao yeye alikuwa amelewa sana hata hajielewi, Mjinga kweli sasa kama alikuwa Hajielewi ikawaje akaelewa Alienda nyumbani nawanawake na Veda akalala nao, mara aliwekewa madawa yaani anajikanyaga huku na kulee ..

Nikamsukuma huko nikaingia kwenye gari wakati nawasha gari yeye akatoa upepo kwenye tailli ya mbele, Nilisikia hasiraaaa akanambia haya shuka tuongee ukinisamehe nitakununulia gari ya kifahari ambayo utaendana anayo, Nilimtolea bonge wa msonyo nikashika nikafungua geti bahati nzuri kulikuwa na Boda inapita Nikapanda, Veda alikuwa amesimama nje ..
Hata niliposema nisimtazame sikuweza nikajikuta tu tumekutanisha macho, akanikazia macho huku anatoa moshi puani nyieeeee shhhh So romantic hili kakaaaa la mtumbaaaa hahaha

ITAENDELEA.....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8


Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee.

Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka kama paka zee, Aibuu yaani sijui hata nasema ninii, hapo sina hata nguo ndo naanza kupapasa naitafuta gauni yangu, akanitupia T_shrt yake nijifutie hahah yaani kimya kimyaaa nikajifuta, Hee si namuona anaondoka yaani hata hasemi kwaheri au natakiwa kufanya nini.

Nikaona kaenda kugonga geti moyo ukalipuka nikasema huyu hawezi kwenda kumwambia kweli D amenilala humuu, weee nilivaa haraka haraka nikachomoka mbio yeye alikuwa ameingia ndani ya geti nikawasha gari mbiooo kwanguuu
Njia...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-8

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*

678
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

490
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

319
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

235
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

214
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

205
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

175
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

148
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

105
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

104

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.34K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba πŸ₯°πŸ˜† yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

SHAMIRA 8   MPK  12 Post Mpya
SHAMIRA 8 MPK 12
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ sehemu ya 8 Mwandishi; lissa wa huru media Sikuwa na habar na kushangaa kwake mm nilikuwa na mkatikia sio powa. watu wanashangalia sio powa nikaona yule kaka kajitoa chapu, kabaki ananishangaaaa yule...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
@majario LIVE

7 MPAKA 8 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie iyo jioni ndo nilikuwa wa kwanza kulejea home. Mana nilikuta baraka wala hajaludi. Nikaenda kubadili fomu za shule. Kisha nikatoka kumsaidia...

SASA. NAKUPENDA One to sex Post Mpya
SASA. NAKUPENDA One to sex
@majario LIVE

MPYA MPYA ( 1 MPK 6 ) 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi lissa wa huru media Sehemu ya 1 na 2 Mwandishi; lissa wa huru media Hellow...

SHAMIRA 1 mpk 7. Post Mpya
SHAMIRA 1 mpk 7.
@majario LIVE

MPYA MPYA πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media sehemu ya 01 "Nakwambiaje unajikuta mtoto wa mjini , mm ww sikuogopi wanakuogopa hao hao ,yani bwana angu unichukulie...

Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat Post Mpya
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
@majario LIVE

. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sudden death hit her especially hard and she went through severe...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO.......... Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya...

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*
@majario LIVE

SONGA NAYO... Moyo wangu ulishtuka sana baada ya kumuona. Enzo akilia kwa uchungu wa hali ya juu, Walahi niliogopa mno na nikibaki nikimtuliza Ingawa nilikuwa Nina butwaa ya hali ya juu. "Usiku Mwema...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest