Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
Gonga94 Β· Stories

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nikashuka kwenda kuchukua maji wakati nageuka kuondoka nikakutana uso kwa uso na yule kijana sasa, Moyo paah aibuu yaani nimekuwa naona aibu muda wotee kama nimejinyea jamani daah

Akanipita kama hanijui nikajisemea sijui kanisahau.? Ila sio kirahisi hivyo weweee yaani awe amenisahau mmh

Nikajikaza huyooo, nikamgeukia mana alikuwa ashanipita yupo dukani nikapiga hatua kadhaa nikarudi mpaka alipo "kaka asante .. lakini pia naomba unisamehe kwa ile changamoto pale naomba sana unisamehe"

Akageukaa !! Akanikazia macho halafu akacheka kwa kupindisha tu mdomo pembeni "usijali sister kuwa na amani, Mitaa yetu haina wizi kabisa vijana wote wanajishughulisha kwahiyo unakaribishwa sana" nikashusha na pumzi maana kaniongelesha vizuri kweli sio kama mara ya kwanza ..

"Asante!!..."

Nikaachia tabasam dogo tu la aibu, wakati natembea kwenda kwenye gari nilihisi bado ananitazama ila sikuthubutuu kugeuka .

Nikaingia kwenye gari kwanza nikashusha pumzi nzito huku nimeshika kifua, Nikafungua maji nikapiga funda tatu za faster faster nikafunika nikaeka pembeni kabla sijawasha gari nikageuza shingo kumtazama yule kijana nikamuona anaenda kwenye Honda moja kubwa ilikuwa imepaki pembeni akaiwasha baada ya kupanda ilikuwa kubwa nae alivyopanda ilimpendeza hatari ....

Nikachukua simu nikapigia Shoga angu Tinner
"Si nimemuona yule kakaa.... hahaha yaani sijui kwanini namuogopa jamani aah .... hahah Tinner bwana ile li zuriii .... hahaha acha ujinga na D wangu jee akhaaa ....aaaaah siwezi hamna bwan huyu kaka unajua sijui yupoje ana muonekano wa pekee sana nimempenda ila sio kimapenzi we mjinga....... hahaha acha ujinga bwana weeee baadae mie ngoja niende nyumbani bwana we baki na wahuni wako mwenzangu nyumba za bure hahah poleeee.... kwaheri bwanaaa."

Nilikata simu maana Tinner alikuwa ananiletea mada zingine et aniunganishie huyo kaka anaona nimesha fall kwenye penzi mmh aah wapiii nimempenda tu mwonekano wake una vutia ila sio kama mpenzi hapanaaa ... Nikawaesha gari nikasepa zanguuu kwanguu ...

Nilipo fika nyumbani nikawa bize kuandaa andaa mazingira kwa ajili ya kesho kazini huwa napenda sana kuandaa nguo zangu mapemaaa kila kitu kiwe sawa ...

Mpaka usiku sikuwa hata nimemtafuta Tinner, nikainuka nikaenda kuoga. Maji ya moto yakashuka juu ya mabega, nikavuta pumzi ndefu. Aibu ile ya asubuhi mdada kama mie kushushuliwa vile ilianza kupungua, nafasi yake ikachukuliwa na mwonekano wa yule kaka jinsi alivyo mzuri ana muonekano mzuri afu anavuta ma bangi vile mmh,
Haya bwana nilipo toka kuoga nikajitupa kwenye kochi, Ndio nikashika Simu, kufungua nikakutana na ujumbe wa Tinner.
β€œUmefika salama? Au bado uko njiani unamfikiria β€˜kaka Honda’?”
Nikacheka peke yangu

β€œAcha ujinga wewe. Nimfikirie wa nini sasa"

"Hayaa jibu, umefika salama "

"Ndio bwana, nilikuwa bize bizee mwaya ndo mana sikukutafuta haya mie nalala unajua kesho naingia asubuhi"

"Hayaa usiku mwemaaa " ..

Nikaingia zangu kulala, Hiyo siku ilikuwa ndefu kwangu na matukio ambayo sikuwi kuwaza ipo siku nitapitia, ile siku ikapita hivyoo ...

Asubuhi niliamka nimeshasahau yote ya jana nikaanza siku mpyaa yaani habar za wale vijana wajinga wote kwangu zilifutika, nikaingia kazini ...

Sasa tangu ile siku niende kwa Tinner ilikuwa imepita kama wiki hivi maana w/end moja tu ndio ilipita .
Boyfriend wangu mimi Alikuwa amesafiri karibu mwezi ulikuwa umepita ni mtu ambae yupo bize sanaaa yaani bize huwa anatumia muda mchache sana na mie mchache mnoo ni mtu wa kusafiri sana nje ya nchi , Asubuh akanipigia simu akanambia amekuja yupo home, Waooo nilifurahi sanaaaa sikuwa na sehemu ya kwenda nikaona acha W/end yangu leo ikaishie kwa babyyy , wakati najiandaa akanipigia simu akanambia

"Babyy.... Samahani mpenzi wangu gari yangu moja imepata shida hapa.ndio nataka kuelekea huko nipo na kijana wangu ambae ana iendesha amefika hapa sasa hivi ndo kanipa hizi taarifa "

"Shida gani??" Nikamuuliza huku nimeishiwa hamu mana nilijiandaa kumpa mauono feni Hatari

'"Wamezuia mzigo wangu ngoja nikafatilie ila napita hapo kukupa zawadi zako, Nikimaliza tu mambo yangu utakuja"

Nikasema sawa...

Nikatulia nyumbani kusubiri zawadi, huwa ana magari makubwa haya yanasafirisha mizingo nje ya nchi ana magari mengii makubwa haya malori mengi hata sijui mangap ila ni mtu wa business sanaa nayeye ndio kila kitu kwangu ...

Basi bwana kama saa moja hivi likapita nikasikia piki piki nje ya geti, kabla sijainuka simu yangu ikaita honey ndio anapiga , nikapokea chap akanambia njoo nje mana siwezi kuingia niko na mtu hapa, nikasema sawa nikainuka mbio mbio, na vile nilikuwa nimem_miss nilijipanga nikifika namkumbatia nampiga ma busu kama yoteee ...

Ile nafungua geti nilikutana na bonge wa Surprise aiseee mpaka miguu ikawa mizito gafla kuvuka geti lile tabasam lote likapotea ..
D alikuwa yupo pamoja na yule kaka mvuta bangi aah weee sijui kwanini nikajikuta yaani ile kujiamini kunaisha koteee ..

Nikajikuta nagongana macho na yule kaka nikakwepa haraka nikawa naangalia taili la Honda yake alikuwa na ile ile Honda inampendeza hatari na hivi limakaka li refuu ila wakaka warefuuu aisee mpo romantic sanaaa sema tu hamjijui hata wafupi jamani msije kunipopoa mawe n nyie mnanafasi yenuu So mwaah ila leo nitaongelea hawa warefuu maana ndio walio nikunaaa haswaa hahaha ...

Basi D akaja akanivuta mweeh akanishika kiuno akanibana kiunoni kwake
"Mrembo wangu ... nilikukumbuka sana ujuee" mie nacheka chekaa kama mwehu naona aibuuu naiba iba kumtazama yule kaka hana hata habari na sie anatazama ki vyakeee

Itaendelea....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4


Nikashuka kwenda kuchukua maji wakati nageuka kuondoka nikakutana uso kwa uso na yule kijana sasa, Moyo paah aibuu yaani nimekuwa naona aibu muda wotee kama nimejinyea jamani daah

Akanipita kama hanijui nikajisemea sijui kanisahau.? Ila sio kirahisi hivyo weweee yaani awe amenisahau mmh

Nikajikaza huyooo, nikamgeukia mana alikuwa ashanipita yupo dukani nikapiga hatua kadhaa nikarudi mpaka alipo "kaka asante .. lakini pia naomba unisamehe kwa ile changamoto pale naomba sana unisamehe"

Akageukaa !! Akanikazia macho halafu akacheka kwa kupindisha tu mdomo pembeni "usijali sister kuwa na amani, Mitaa yetu haina wizi kabisa vijana wote wanajishughulisha kwahiyo unakaribishwa sana" nikashusha na pumzi maana kaniongelesha...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-4

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 14
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

887
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

466
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

430
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

283
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

178
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

64

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.59K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.35K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho Post Mpya
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 18 " Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani." "Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani". Muda wote nilikuwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest