Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
Gonga94 Β· Stories

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilijitetea kwelii japo nilikwangua ka_akiba kangu ila niliona aibu sana kurudishiwa ile pesa aah nikasema acha nilipwe na Mungu tu ..

Akanibembeleza sanaa nikakataa wakati naondoka akaniomba namba ya simu nikawaachia namba yangu mie nikasepa zangu, yaani nipo hoi na kuuguza Tinner ananicheka tuu yaani duh.

Asubuhi nikaingia kazini kama kawaida bwana halafu sasa leo tena nilichelewa sanaa yaani nilichelewa mpaka basi, nikapishana na ile familia ndio inatoka muda huo mie niko hai haiii

Yule wa kiume akawa ananifata mbio ananiita "dadaa, Dadaa!!'" Nikageuka haraka

"Dadaa kaka anataka kukuona hatujaondoka tulikuwa tunakusubiri" Daah yaani nilikuwa nimechelewa mnoo

"Mdogo wangu mwambie kaka nimechelewa sana kwahiyo mpe salam zangu, Ipo siku tutaonana nae sawaa'" niliongea haraka haraka hata sikusubiri jibu lake mbio kwenda ku saini aisee naweza fukuzwa kazi hivi hiviii ..

Nikaingia kwenye majukumu yangu mpaka mchana yaani hata muda wa Lunch sikuwa nimeupata kabisaa, na siku enyewe kukawa na wagonjwa kibaoo mpaka jioni namaliza zamu jamani jamani jamani mgongoo inauma njaa yaani nipo hoii namwambia Tinner yaani pika chakula kingiiii nilikuwa na njaaa hatari afu hela ya kula sina nilikuwa nimefulia wee haha jua kali na hivi D ndo hatuuelewani akasitisha huduma kabisaaaa kwanza anavyonikera sasa hivi yaani hata kumuongelea nasikia hasiraaa ..

Basi jioni ile natoka nikapita pale ku_ sign out, Wakati nipo na Sign Nesi ananambia kuna watu wapo mapokezi tangu asubuhi wanakusubiri wewe wamekaa muda kweli yaani tumeshinda nao
Moyo ukafanya paaa!! Jamani asije kuwa yule mama na watoto wake jamani mie hadi nilikuwa nimesha wasahau nikamuuliza ni mmama akasema hamna mkaka tu hivi handsome handsome yupo na kivulana kile kilikuwa na mama yao humu anaumwa .

Hee!!! Mpaka nikashangaa kwahiyo huyo kaka amekaa anasubiri kunilipa pesa au kusema asante jamani, kwanza nikacheka nilivyosikia et handsome hahah ..

Ikabidi nielekee huko kuwaona hapo nawaza jinsi gani nitazikataa hizo pesa akinirudishia hahaha japo sina hela nimekaukiwa lakini inabidi tu nikatae si nimechagua thawabu bwanaaa hahaha hakia Mungu Uchamungu kaziiii hatari , Yaani nilikuwa natembea huku napanga maneno akisema dada hizi hapa pesa zako mmh nasema aah hapana kaka hapana afu nijichekeshe chekeshe hapo niondoke akiwa hajaja kunilipa kaja tu kunishukuru namwambia sawa kaka tupo pamoja bwana usijali huku nacheka cheka mmh mbona hatari...

wakati ndio nakaribia mapokezi nikavuta pumzi ndefuu, nikajikazaaa hatari nikaweka uso wa mbuzi kavu we ile natokeza tu nikasikia sauti ya mtoto yule wa kiume

"Kakaaa Doctor huyooo" mweeeeh kaka yake si ndio akageuka kutazama upande nina tokeaaa hamadii macho kwamacho na Veda, Aisee Dunia ndogo au ndo inazunguka kila mara ni huyu kaka tuuuu khaa..
Ni kitendo cha sec tu mwili wote ulitetemekaaa halafu ni muda mrefu sijamuona wala kusikia habari zake na nilikuwa nishaanza kumsahau japo kichwani picha yake iligoma kutoka ..

Ni kama wote tulipigwa na bumbuwazi, ni kama muda ulikuwa umesimama kupisha macho yetu yatazamane, Veda alibaki kasimama kama sanamu mkono mmoja aalikuwa ameshika soda hata yeye hakutegemea kukutana na mie kabisa

"Dadaa, kaka alitaka kukuona, ndo maana hatujaondoka"

Nikageuka chap kama umeme nikaanza kupiga hatua kuondoka haraka, kabla hata sijamaliza hatua ya tatu akaniita

"VEROOO....." OOOOOH hii ndio ilikuwa mara ya kwanza kusikia huyu kaka akiniita jina langu jamani ana sauti nzuriii, Nikashangaa mguu hauinuki kupiga hatua, nikabaki nimesimama moyo unaenda kasiii sauti ya Veda ilikuwa inarudia rudia kwenye maskio yangu inagonga mpaka kwenye ubongo jamani mweeee, Sauti ilinichoma mpaka kwenye moyoo nikasikia nimesisimkaaa, nikajikaza nikavuta pumzi ndefu, Ile nataka tu kuondoka akanivuta mkono nikajikuta nimegeuka bila kupenda halafu yupo hapa mbel yangu aloo mkaka mrefu yaani mpaka niinue uso kumtazama ..

"Ah, Vero...tunatakiwa kuongea tafadhari!!"

"Sina cha kuongea nawewe!!"

'"Please...tuache yote yaliyotokea tusahau tuongelee hili la mama yangu siwezi kujifanya sioni kitu wakati natakiwa hata kusema asante nikiwa nimepiga magoti..."

"Veda ... nilifanya as a doctor na sio vingine tafadhali usinielewe vibaya " nikauvuta mkono wangu

"Bonny embu kanisubiri kwenye piki piki..." akamtoa mdogo wake, Dogo akatoka yaani mwenyewe hata haelewi hivi
Sijui kwanini nilikuwa najisikia hasiraaaa yaani sielewi mana kuna upande namchukiaaaaa Veda lakini akitoka kwenye macho yangu namkumbukaaa afu najuta hata sijui kwanini ...

"Veda achana na mie tafadhali " sikutaka kabisaa kuongea nae, nae akawa ananifanya nyuma ananiimbisha nimsikilize kwakweli sikutaka hata kumpa nafasi..

Wakati natoka getini akanivuta kwa nje halafu akanibana ukutani yaani waswahili sijui wazungu huwa wanasema Zero distance, nikajikuta nameza mate kwa pupa nusu nipaliwe ananukia ki harufu kizuriiiiiii waoooh yaani Veda mweeh nikajikuta naona wivu hao wanawake zake wa kule Cassino jamani daah kwahiyo huwa wanalalia hili jifua la Veda nae huwa analala na wanawake wawili wawili aaaah haaaa nilijikuta et machozi yanatokaaa hapo hajaongea kitu tunahemeana tu...

Nikasikia "kuna nini hapo!!!??" Wee nilishtuka maana hii sauti sio ngeni kabisaaa

Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12


Nilijitetea kwelii japo nilikwangua ka_akiba kangu ila niliona aibu sana kurudishiwa ile pesa aah nikasema acha nilipwe na Mungu tu ..

Akanibembeleza sanaa nikakataa wakati naondoka akaniomba namba ya simu nikawaachia namba yangu mie nikasepa zangu, yaani nipo hoi na kuuguza Tinner ananicheka tuu yaani duh.

Asubuhi nikaingia kazini kama kawaida bwana halafu sasa leo tena nilichelewa sanaa yaani nilichelewa mpaka basi, nikapishana na ile familia ndio inatoka muda huo mie niko hai haiii

Yule wa kiume akawa ananifata mbio ananiita "dadaa, Dadaa!!'" Nikageuka haraka

"Dadaa kaka anataka kukuona hatujaondoka tulikuwa tunakusubiri" Daah yaani nilikuwa nimechelewa mnoo

"Mdogo wangu mwambie kaka nimechelewa sana kwahiyo mpe...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

626
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

604
REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34*

REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*

346
MY CRAZY BOSS 12,13,14

MY CRAZY BOSS 12,13,14

314
SHAMIRA sehemu ya 27&28

SHAMIRA sehemu ya 27&28

170
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12

150
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 11

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 11

148
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18

132
MY CRAZY BOSS 15

MY CRAZY BOSS 15

127
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 13

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 13

97

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.34K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.08K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.73K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.16K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.57K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.38K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.36K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
@majario LIVE

Pully alishtuka sana baada ya kuniona akabaki akinitolea macho akiwa na wasiwasi sana, macho yake tu yaliweza kueleza Kuwa kuna kitu akiko Sawa kabisa. "ISHANI umemuona amina wangu?" Mama amina aliniuliza kwa...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*
@majario LIVE

alishangaa mno ikabidi amuulize maswali mengi mpambaji hii ni harusi ya shemeji sasa mbona unanipamba kama biharusΔ±?": aliuliza fahima usijari maana nimepeewa maelekezo kuwa wewe utakuwa kama mlinzi wa bibi harusi hiva utapambwa kama...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 13 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 13
@majario LIVE

Nikasikia kuna nini hapoo???" Halafu muda huo Veda alikuwa ananitazama machoni na mie nimtazama yaani tunatazamana nina uhakima mioyo yetu ilikuwa inaongea maana kwa yale macho ya veda daah achaaaa Nikageuka...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana baada ya kukutana na madam groly Tena NYUMBANI kwangu. "Amepajuaje hapa ? Au amekuja na pully?" Nilijiuliza kimoyamoyo uku nikimuangalla madam Groly kwa wasiwasi uku nikiwaza amekuja kufanya nini...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kwanza nilishtuka sana, nilimuangalia Enzo kwa makini sana lakini enzo hakuwa na uwezo ata wa kuniangalia, muda wote alipepesa macho akiangalia pembeni tu wakati akizungumza. Maneno makali sana juu...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
@majario LIVE

Nilijitetea kwelii japo nilikwangua ka_akiba kangu ila niliona aibu sana kurudishiwa ile pesa aah nikasema acha nilipwe na Mungu tu .. Akanibembeleza sanaa nikakataa wakati naondoka akaniomba namba ya simu nikawaachia...

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Sehemu ya 16 na 17. Mwandishi; lissa wa huru media kijana . Nakuuliza si unajifanya mjanja .basi tutasomana . Ata mimi ni mjanja wa zamani. Baba yangu alimuangalia sana adrian....

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 11 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 11
@majario LIVE

Ikabidi tu nikubali kinyongee ila roho iliniuma sanaaa yaani mpaka chozi lilinitoka aiseee... Tinner akabaki kunibembeleza na hapo hata sijui atakuja linii mjinga kweli huyu kakaa gari yangu tena aah roho...

Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire Post Mpya
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire
@majario LIVE

for achieving the highest score of 719 and earning Rank 1 in the examination! πŸŽ‰πŸ‘ Your outstanding achievement brings pride not only to your province but also to your Isabelino...

Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto Post Mpya
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
@majario LIVE

yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni. Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo...

THE SECRET MESSAGE πŸ’¬ 1,2 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE πŸ’¬ 1,2
@majario LIVE

01 Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu...

MY CRAZY BOSS 15 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 15
@majario LIVE

"Watu wote waliohudhuria kikao waliondoka , chumbanai humo tulibaki mimi pamoja na Boss Erick, macho yake muda wote yaliangaza kwangu ." "Nimekumiss sana mrembo wangu, nimemiss sura yako, tabasamu lako,...

MY CRAZY BOSS 12,13,14 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 12,13,14
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 12 Kama ofisini hapafai naomba twende nyumbani,yaani twende sasa hivi,boss alizungumza. Hapana ,sio sasa hivi,nilijibu. "Sawa kama ni baadae,boss aliitikia" Nilitoka na kuagiza lunch kisha nikampelekea boss nakuendelea...

REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34* Post Mpya
REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*
@majario LIVE

upande mwingine calor na mama yake walifika na kumkuta cathe akiwa anaosha vyombo, mama cathe alishangaa sana kuona mwanae anafanya kazi, cathe alipomuona mama yake alinyanyuka na kwenda kumkumbatia huku analia cathe...

SHAMIRA sehemu ya 27&28 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 27&28
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana shoga akanishukuru mno. Bado nikamtoa lunch mimi sindo tajiri tena alikula alichokitaka nakwambia. Basi baada ya yote tukaenda charambe sasa .nikapita kwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest