Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
Gonga94 Β· Stories

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Hivi unajua aibuu ya kumsema mtu nae anasikia hee!! Sa sikujua yule kaka amenisikia au ndo amefika sasa hivi..

Nilivyokutana macho na yule mkaka jamaniii, moyo ukanigonga ..
Yule mkaka hakuongea kitu, akatoa moshi mdomoni phuuuuuu, akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kama ananipima bei sokoni , Nikasema nimekwisha miee

Nikajikuta nasema kwa sauti ya kipole sanaaa ile ya mtu anaetafuta kujikosha

😬 β€œEeh… … aaah…sawa nakuja… dadaangu… hehehe…” yaani nacheka hata sijachekeshwa

Nikameza mate.
Ndani ya simu Tinner anapiga kelele:
β€œVerooo!!! unasema nini sasa?? "

Nikajibu haraka haraka:
β€œAaaaah hakuna banaa… nimesema tuu… kuna upepo hapa…”

"Chukua Boda basi yaani muda wote huo sa hii ungekuwa ushafika nawewe duuh"

Kuna boda ikawa inapita muda huo nikamwambia Tinner nakuja nakujaa nikakata simu nikasimamisha Boda

Alikuwa mkaka tuu yaani ni wale wale kiatu kavaa kinabembea piki piki amekalia tako moja, Huo mziki mamaaaa!! Makeleleee yaani aah ...hivi huyu Tinner huuku sijui kapapendea nini pa hovyo hivi jamani daah

"Naenda hapo juu kuna geti jeupe mwisho wa hili kilima..." nikampa maelezo kama niliyopewa na mwenyeji wangu yule kaka akasema " Fresh pakia sisteri tuondoke " nikatenga kiuno piki piki inataka kuondoka tu, yule kaka ambae ndio alikuwa nyuma yangu wakati naongea na simu akasema

"Oyaa ...Mikaa zuia hapo" piki piki inasimama

Eeeeh mamaaaa!!!
Nikajikuta nasema ndani ya moyo:
Halafu wala hajajitingisha yaani kabaki vile vile kaegamia mti kipisi cha bange ndomoni ..

"Mikaa eeh mwambie huyo Demu aondoke na mataili yake na hivyo viti "

Mungu wangu!!!! Nikishindwa kujizuia aisee nilitoa jicho hiloo kama mjusi kabanwa na komeo , anaeongea ananikata hilo jichooo halafu huyo mika sijui ndo mika akawa hata haelewi ila mie nikaelewa

"Ohoo huyu eeh hahah basi amesikia" nafikiri mika alijibu tu kwa kuropoka yule kaka hakutoa jicho kwangu jamani nilitamani hadi kulia nikaanza kujichekesha natafuta neno la kuongea silioni

"Sikia we sister ..... usifikiri kila mtu ambae hanukii pafyum kama wewe basi ni mwizi sawa au mtu anaekaa kijiweni hana kazi za kufanya haya maisha mueshimu kila mtu sawa Sisteri, Hakuna mwizi anaeweza kuiba vitaili vya gari yako hii umesikia wewe...." nyieee niliona aibuuuu unajua huyu kaka anaongea sauti nzito ya taratibu ila ananipaka shombo hatari

"Ooh mjombaa imekuaje..."

"Sister anazingua bwanaa......." si akawaelezea yoooote niliyokuwa naongea na simu nyieee miee sina pozi, Napepesa machoo kama mchawi kakamatwa ndani ya ungo mtupuuu, , sura ikanishuka kama paka jiziii

β€œAaaah… sio hivyo mie nilikuwa nataniana tu na rafiki yangu… yaani ni kawaida tu…” hapo naongea nacheka cheka, lakini miguu inanitetemeka kama niko kwenye tetemeko la ardhi

"Sasa sikia we Demu yaani hii gari usiache hapa kabisa yaani usiachee ... Beba ondoka nayooo kama utaibeba kichwani sawa ..Aisee sepaa yaan we unatuita sie wizi aiseee we kichaaa niniii oyaaa we Mika embu mshushee"

"Daah ...daah yaani tunaonekana wizi dada angu daa" yaani walinichachamaliaaa huyo kaka alieniamshia hili balaa akabaki kimyaa vile vilee kaegamia garii

Yule Boda akanigeukia, Nyie hata kushuka mie siweziii mwili umelowaaaa akanambia "dadaa umekosea sana yaani vijana wa huku mbona tuna adabu sana hatujui hata kuiba mia ya mtu iwe kaangusha basi tutamtafuta popote alipo tumpe mia yake hata iwe milioni... Umekosea sana Bangi ni sio uhuni ni wewe utakavyo iweka ndio itakuweka huku kwetu bangi ni starehe tu sister...."


Mie sura shuuuu yaani nimeshushuka nimesutwa miee uso chinii macho hayatulii sehemu moja, Tinner ndio anapiga simu huyoo ...
Nikamgeukia yule mkaka mwingine ndo alikuwa na hasira sanaa yaani kati ya wale niliwaona wamekaa pembeni

"Mie... yaani kaka zangu nilikuwa tu kwenye kutaniana na rafiki yangu nimetumia Utani mbaya naomba sana mnisamehe nawaomba sikuwa namaanisha kabisa" nikahitimisha kuongea kwa kumtupia jicho yule kaka alieegemea mti, tukakutanisha macho, jicho limekoza mibangi hatari

β€œ mika mpeleke....Usiogope, hatuibi hapa… tunavuta tu bangi zetu…” jamani nyiee sikuamini, Yaani ananiambia hivyo kwa kujiamini kabisa, kama anasema β€œtunauza karanga”.

Akawasha piki piki siaminiii mie tunakaribia kumaliza kilima kupandisha namuona Tinner anakuja kwa chini alipo niona akaanza kucheka mie hata hamu ya kucheka sina nikamwambia boda niache tu hapa hapa yaani natamani hadi kulie kwa ile aibu iliyo nipata kule daah ...

Tinner akasema "mie hela ipo ndani kaka mpeleke tu hadi kwenye ile nyumba pale" aah yaani hata sikuwa na hamu aisee nikamwambia "niache tu hela hii" nikatoa hela yangu nikampa yule kaka yaani sina hata hamu tena ya kuja kwa Tinner nimenuna uso wa haya umenishuka ....

Itaendelea...

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2


Hivi unajua aibuu ya kumsema mtu nae anasikia hee!! Sa sikujua yule kaka amenisikia au ndo amefika sasa hivi..

Nilivyokutana macho na yule mkaka jamaniii, moyo ukanigonga ..
Yule mkaka hakuongea kitu, akatoa moshi mdomoni phuuuuuu, akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kama ananipima bei sokoni , Nikasema nimekwisha miee

Nikajikuta nasema kwa sauti ya kipole sanaaa ile ya mtu anaetafuta kujikosha

😬 β€œEeh… … aaah…sawa nakuja… dadaangu… hehehe…” yaani nacheka hata sijachekeshwa

Nikameza mate.
Ndani ya simu Tinner anapiga kelele:
β€œVerooo!!! unasema nini sasa?? "

Nikajibu haraka haraka:
β€œAaaaah hakuna banaa… nimesema tuu… kuna upepo hapa…”

"Chukua Boda basi yaani muda wote huo sa hii ungekuwa ushafika nawewe duuh"

Kuna boda...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*

678
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

490
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

319
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

235
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

214
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

205
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

175
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

148
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

105
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

102

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.34K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba πŸ₯°πŸ˜† yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

SHAMIRA 8   MPK  12 Post Mpya
SHAMIRA 8 MPK 12
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ sehemu ya 8 Mwandishi; lissa wa huru media Sikuwa na habar na kushangaa kwake mm nilikuwa na mkatikia sio powa. watu wanashangalia sio powa nikaona yule kaka kajitoa chapu, kabaki ananishangaaaa yule...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
@majario LIVE

7 MPAKA 8 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie iyo jioni ndo nilikuwa wa kwanza kulejea home. Mana nilikuta baraka wala hajaludi. Nikaenda kubadili fomu za shule. Kisha nikatoka kumsaidia...

SASA. NAKUPENDA One to sex Post Mpya
SASA. NAKUPENDA One to sex
@majario LIVE

MPYA MPYA ( 1 MPK 6 ) 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi lissa wa huru media Sehemu ya 1 na 2 Mwandishi; lissa wa huru media Hellow...

SHAMIRA 1 mpk 7. Post Mpya
SHAMIRA 1 mpk 7.
@majario LIVE

MPYA MPYA πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media sehemu ya 01 "Nakwambiaje unajikuta mtoto wa mjini , mm ww sikuogopi wanakuogopa hao hao ,yani bwana angu unichukulie...

Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat Post Mpya
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
@majario LIVE

. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sudden death hit her especially hard and she went through severe...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO.......... Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya...

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*
@majario LIVE

SONGA NAYO... Moyo wangu ulishtuka sana baada ya kumuona. Enzo akilia kwa uchungu wa hali ya juu, Walahi niliogopa mno na nikibaki nikimtuliza Ingawa nilikuwa Nina butwaa ya hali ya juu. "Usiku Mwema...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest