Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
Gonga94 Β· Stories

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

..... Baada ya kushuka mwenye piki piki sasa nikawa natembea haraka haraka kuliko hata mwenyeji wangu, Tinner anaongea hata namsikiliza basi ...

"We nae mbona umenuna hivyo usinambia una wasi wasi bado na ile gari yako hapo chini??" Yaani alivyotaja gari moyo ukafanya pyaa, nikaona sura ya yule kaka katili alieamua kunidhalilisha na lile jicho lake palee

"Yaani Tinner hakiamungu najuta kuja hukuu yaani najutaa dah"

"Sa unajuta kisa nini, hiko kilima??"

"Bora hata kilima, Ule muda nakuambia kwamba naogopa wataniibia vitu kwenye gari?"

"Mhu...."

"Yaani bwana kumbe kuna mkaka mwingine mvuta bangi mwenzao kanisikia yoteee yaani........" nikamuhadithia tu juu juu mana hata mood ya kuongelea hilo swala sikuwa nayo

Mie namuelezea, Tinner anacheka hadi anakosa pumzi:

β€œHahahahahah Verooo nimekuambiaaa hamna wizi hapaaa!!”
Nikajibu kwa hasira
β€œTinner acha kucheka bwana, mie
nimepata Aibu!”

" hahahaha daah mwenzangu pole najuaga aibu ya kusutwa na wanaume khaa!!, Tuachane na hayo shoga karibuu hapa ndio kwangu mhuu unapaonajeee!!???'"

Nikaitazama Nyumba kweli ilikuwa nzuri sana kubwaaa haswaaa ina kila kitu nyumba ya kishua sema ndio ipo kwa wahuni kibaoo huku mitaa hata haieleweki nyumba mbaya mbaya kibao eeh sijui mwenye nyumba aliwaza nini tu

"Kodi shingap??" Nikamuuliza baada ya kunywa maji hata presha nikaona imekaa sawa kidogo...

"Nalipa kodi wapiii, , , nilitaka tuonane ili nikupe habari livee..... shogaaaa nilipata bwana huyooo mume wa mtu huko nimemkurupua hii ndo nyumba yake kanipa niishi silipi kodi na_kasema ataninunulia gari yaani hehehe we verooo aah Can't wait hakiiii "

Hee !!! Haya yalikuwa mapya kwangu nitasema nini mie nikabaki kucheka na kumpa hongera maana ana mwezi mmoja kasoro tangu ameachana na bwana ake yule malaya malaya, mie nikajua yupo single kumbe kashapata li mme la mtu huko haaa!! Aliniacha mdomo wazi

'"Heheheee !! Loo! We kiboko dadaaa, heheh huogopi ?? Mme wa mtu sumuu bint weeee!"

"Kwani nilimfataa, si kanifata mwenyewe , Kizuri kula na mwenziooooo"

"Hahah Tinner umekuwa sasaaa eeh naona umeanza kujua na misemo "

"Hahah we acha tu ..... hilo babaaa ni zurii we Vero yaani natamani hata asingekuwa kaoa jamani daah nimepata mwanaume wa ndoto zangu ila ndo hivyo tayari mume wa mtu, yaani hata sielewi ila ananipendaaa acha ananidekeza hatari hadi najuta kupoteza muda kwa kelvin najutaaaaa!!"

"Enhee vipi kelvin nae... hajakutafutaa??"

"Aache afee....kutwa simu anauliza nimehamia wapi, yaani silipendi lile kaka mxeeeuw ....Embu ngoja niandae chula kwanza tule usinitajie Kelvin aisee yaani usimtaje kabisaa hapaa "
Nikabaki nacheka tu wakati yeye ameenda kuandaa chakula, walivyokuwa wanapendana na Kelvin jamani looh mpaka mie nilikuwa najiona yatima mana mpenzi wangu huyo yupo bize bize hatari .....

Basi ile siku nilishinda hapo kwa Tinner tulipiga story kibaoo yaani kutwa nzima alikuwa akimsifia tu huyo.bwana ake mpya hapo penzi hata wiki mbili halina hahah ile hizo sifa duh naona usiku taya zilimuuma maana mpaka alianza kurudia sifa sijui alikuwa anasahau kama hili alishanambia maaana mmh ...

Mida kama ya sa kumi kumi hivi nikaaga mie niende zangu Nyumbani kuweka weka mazingira sawa maana kesho natakiwa asubuhi kazini.....
Akanisindikiza kushusha kilima kwenda ilipo gari yangu yaani nilipo anza tu kushuka moyo ukapiga paa!! Nikajikuta nakumbuka ile aibu ya Asubuh , nikawa naomba mungu nisije mkuta haswaa yule mkaka gentleman mie hata simjui jina ila alivyo mmmh embu nisianze kumsifia mana amenikera hatari ila ni mkaka wa maana sauti nzito imetuliaaaaa hatari ....


Basi nikawa naomba kweli mungu nisije kumkutaa hapo yaani hata nikasahau kama Tinner ananisimulia natakiwa kum support, yeye nae bado tu ana story za mbaba wake aaah ushoga kazi mie mpaka nilianza kukerekwa sasaaa ..

Ile napiga jicho chini kule kwenye gari, maana niliisogeza pembeni kupisha njia, jamani wahuni wamejazanaa wewee ile ya asubuhi chamtoto babaaa, wakaka ni wengiiiii
"We Tinner wewee....." mwenzangu nilisita kutembea kwanza

"Ninii....??"

"Ndo wengi hivyo.?"

"Sasa unawaogopa?"

"Je kama wamehadithiana, Nifike tu waanze kuninanga mmmh we kachukue gari yangu mwenzangu mie hapo siendi' Nilichukua funguo nikawa nampa, ukweli nilikuwa naogopa kabisa

"Embu twende bwana upo na mie hakuna hata atakae thubutu kukugusa embu twende "

Mmmh nikawa natembea kwa kuogopa, tukafika mpaka ilipo gari, Tinner akawasalimia kwa mbwe mbweee kweli nao wakaitika flesh fleshiii yaani ilee hai haii mie tena mdomo mzitooo hatari natamani kuangaza macho labda nitamuona yule kaka sikumuona ila yule aliniamshia popo nilimuona yule alinigokea kweli kweli nusu anizabe ma bazi.

Nikaagana na Tinner hapo nikawaambia asanteni, wakasema usijali sister kuwa na amani, Nikaseondoka, hata sijafika mbali nikawa nimeona duka nikakumbuka bora nichukue kabisa maji naweza kupata kiu njiani....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3


..... Baada ya kushuka mwenye piki piki sasa nikawa natembea haraka haraka kuliko hata mwenyeji wangu, Tinner anaongea hata namsikiliza basi ...

"We nae mbona umenuna hivyo usinambia una wasi wasi bado na ile gari yako hapo chini??" Yaani alivyotaja gari moyo ukafanya pyaa, nikaona sura ya yule kaka katili alieamua kunidhalilisha na lile jicho lake palee

"Yaani Tinner hakiamungu najuta kuja hukuu yaani najutaa dah"

"Sa unajuta kisa nini, hiko kilima??"

"Bora hata kilima, Ule muda nakuambia kwamba naogopa wataniibia vitu kwenye gari?"

"Mhu...."

"Yaani bwana kumbe kuna mkaka mwingine mvuta bangi mwenzao kanisikia yoteee yaani........" nikamuhadithia tu juu juu mana hata mood ya kuongelea...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-3

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*

678
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

490
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

320
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

235
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

214
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

205
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

175
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

148
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

105
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

104

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.34K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba πŸ₯°πŸ˜† yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

SHAMIRA 8   MPK  12 Post Mpya
SHAMIRA 8 MPK 12
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ sehemu ya 8 Mwandishi; lissa wa huru media Sikuwa na habar na kushangaa kwake mm nilikuwa na mkatikia sio powa. watu wanashangalia sio powa nikaona yule kaka kajitoa chapu, kabaki ananishangaaaa yule...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
@majario LIVE

7 MPAKA 8 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie iyo jioni ndo nilikuwa wa kwanza kulejea home. Mana nilikuta baraka wala hajaludi. Nikaenda kubadili fomu za shule. Kisha nikatoka kumsaidia...

SASA. NAKUPENDA One to sex Post Mpya
SASA. NAKUPENDA One to sex
@majario LIVE

MPYA MPYA ( 1 MPK 6 ) 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi lissa wa huru media Sehemu ya 1 na 2 Mwandishi; lissa wa huru media Hellow...

SHAMIRA 1 mpk 7. Post Mpya
SHAMIRA 1 mpk 7.
@majario LIVE

MPYA MPYA πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media sehemu ya 01 "Nakwambiaje unajikuta mtoto wa mjini , mm ww sikuogopi wanakuogopa hao hao ,yani bwana angu unichukulie...

Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat Post Mpya
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
@majario LIVE

. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sudden death hit her especially hard and she went through severe...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO.......... Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya...

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*
@majario LIVE

SONGA NAYO... Moyo wangu ulishtuka sana baada ya kumuona. Enzo akilia kwa uchungu wa hali ya juu, Walahi niliogopa mno na nikibaki nikimtuliza Ingawa nilikuwa Nina butwaa ya hali ya juu. "Usiku Mwema...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest