Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
Gonga94 Β· Stories

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi akanivuta kwa mkono mmoja akanibana kwenye kiuno chake baada ya salamu hapo kanipiga ma busu kama yotee halafu njeee hapo sema mitaa nayoishi ushua mwingi sana ..

Akanambia "vero .. huyu Veda ni kijana wangu anasimamia gari zote namuamini sana lakini pia ni dereva wangu wa muda mrefu sanaa huyu ......Veda huyo shemeji yako Vero leo imekuwa kama bahati mmekutana hivi " mie nikacheka cheka tu, Huyo Veda kama hanijui babaa!! Alinitazama juu mpaka chini hata salamu hakunipa akatazama pembeni haya bwana sikupenda pia ..

D akanipa begi lilikuwa kuwa hilo akanambia humo kuna zawadi zangu yeye anawahi nikasema sawa kinyooonge yaani mood yoote iliisha baada ya kumuona hapo Veda nishajua jina lake anaitwa Veda, nimeingia ndani akili inaita Vedaa ..

Nikampigia shoga angu Tinner nikamuhadithia kumbe yule kaka mvuta bangi anajuana vizuri na D na ni msaidizi wakee eeh basi tukabaki tunashangaa wote hapo, mana hata kwangu ilikuwa surprise kubwa ndo mana watu wanasema usimdharau usie mjua aisee leo nimeamini basi bwana hicho kitu kilikuwa kigumu sana kutoka kichwani ...

Nikafungua zawadi zangu aloo heheh ngoja kwanza nicheke kupendwa si ndio huku bwana, mamaaa nilikuwa nimeletwa pochiii sio pochi za afu kumi kumi Tandika sijui ilala Nooo!!! Pochi expensive wazungu wanasema viatu mamaa sio vya wahaaa vya afu tano tano kariakoo Hapanaaa!!! Viatu high quality mamaa!! Hizo nywele za wazungu jamani vi nguo ki sister duh heheh nikamtambia shoga anguu hatari, Mungu kanipa mwanaume wa maana kabisa huyuuu ..

Nakumbuka mpaka Usiku D hakuwa amenitafuta kabisa ikabidi nimpigie simu, nikawa nasikia kelele kelee simu inakatwa nikamtext "kwani upo wapi jamani mbona hivyoo!??"

Akanijibu "nipo sehemu najipooza na machungu ya kazi vipi unataka kuja??" Khaa nilisikia hasiraa ila nikajikaza yaani kaona kujipoza na kazi ni bora sana kuliko miee, Nikasema "ndio"
Akasema " request hapo njoo mpaka The land ni kasino ipo Morocco " duh haya mambo ya kasino tena jamani mbona mapya kwangu ila kwakua nimemkumbuka sana D wangu na hapo hakawii kukuambia hata kesho kuwa anasafiri .

Ikabidi niite usafiri tu niende huko huko, nikafika mpaka nje hapo ya hilo cassino kubwaaa kama kwa wazungu, nikampigia simu hakupokea akanitumia ujumbe ushafika nikasema ndio akasema okay namtuma mtu Akufate, basi nikajitengeneza vizuri hapo nimependeza mama weee hatari nawakaa nimevaa viwalo vipyaaa mtoto wa kike na ka wigi kangu so mwaah yaani nimewaka ...

Akanipigia simu akanambia simama karibu na hilo bwawa hapo ili akuone nikasema sawa kweli nikasogea karibu na hilo bwawa la kuogelea nikachukua simu nachat na udugu wangu Tinner hapo nishapiga picha kama zote mie mitiko ya hivi hata sijawahi nakutana na D nyumbani kwake basi .

Nikashtuka mtu amenisogelea karibu kuinua macho sa ngap nisimuone huyo sijui ndo Veda eeeh huyu tenaaaa heee!!! Nikaishiwa pawa kwakweli kaa!! Akasema nifate sauti kavuuu nene nzitoo, duh mpaka miguu ikaanza kukongana anatembea harakaa jamani mie nakiatu kirefu sijui alitaka nianguke daah ..

Tukaingia humo ndani nikamkuta D amekaa kwenye meza imejaa Pombe kali machupa makubwa makubwa, wanawake humo jamani jamani jamani Kuna mtu anasema et wote tutachomwa moto sawa?? Hapana jamani moto unazidiana mie kweli nina dhambi ila nilivyokutana na hawa wanawake walio jaa laana humu ndani wooiii niliishiwa pawaa !! Uchafu unaofanyika kwenye makasino jamani loo mungu atulindie vizazi vinavyokuja maana ni hatari ..

Basi nikakaa pembeni ya D, Veda nae akakaa pembeni akachukua kipisi cha Bange , D akamwambia "Mzee ya ngapi hiyo?? Ipo siku utaamka akili unaziacha kitandani " Veda akacheka kidogo yaani kidogo kama tu hajachekaa mana alisogeza tu mdomo pembeni afu akaweka ki Bange chake akaanza kupuliz wanawake wapo matako nje njee wanakuja kuhudumia mie naona aibu kuna wengine wanacheza pale mbele wapo uch mweeh watu wana enjoy kuna wacheza kamali yaani kila aina ya michezo haramu ipo mule nilijikuta sina amani tena ya kukaa hapo nasema hapana jamani hii sio Tanzania yanguu jamani mbona sijawahi hata kusikia haya mamboo ...

D akanimiminia Pombe akanambia kunywa hii mamaa!, nikasema mie hapana hata sinywi akanilazimisha nionje hata kidogo hapana sijawahi nikakataa kata kata akanambia sasa umekubali kuja huku kufanyaje au we unahisi starehe ni moja tu kufanya mapenzi eeh??" Niliona aibuu nikamtazaa hivi ananitania au nikamkuta yupo serious

Akanambia "ukiwa mwanamke wangu lazima ujaribu vyote sawa haya jaribu hii mie si ndio mumeo Nakupa kunywa" akawa ananipa kwa lazima nikasema hapana mie situmii jamani, basi tukawa tunabishana kweli

Mwisho akanambia basi nenda nyumbani nikitoka hapa nitakuja maana hapa sio Bar kusema utaagiza soda na wewe bado kashamba kashamba sana " yaani huyu anae ongea hapa ni mpenzi wangu ambae kila siku ananiahidi kunioa huyu, tuna karibia kufunga mwaka kwenye mahusiano yetu na nina mpenda sana tu ukiacha hela zake mana kanahela za kuoga haka kajamaa ...

Maneno yake yaliniuma ila nikahisi ni ka sababu amelewa tu ndo mana anaongea hivi hajawahi kabisaa kunivunjia heshima ..

Ilibidi tu niinuke kuondoka mtoko ushaingia doa kwanza sehemu enyewe inalaana kibao mie sio vitu vyangu hivi jamani hivi mume wa mtu anawezaje kwenda sehemu kama hii jamani au mie ndo mshambaa??

Akamwambia veda anisindikize sikuwa mbishi Veda akanitoa mpaka nje akaita boda akanilipia kabisa nikamuuliz sasa mnawezaje kuja sehemu kama hii jamani??" Nilijikaza sana uvumilivu mwenzangu ulinishinda, hata hakunipa jibu akanambia Nenda kapumzike"
Akageuka kuondoka zake dah nikaondoka yule boda akawa ana cheka tu akanambia hujazoea eeh, nikasema hata kwa bunduki aisee siwezi kuzoea huu uchafu akanambia kawaida tu wanaume wapenda anasa wakikosa hivi vitu wanaweza hata kufa kwa alosto aisee....

Moyo ukapasuka kwahiyo na D ni mpenda anasa eeh...

Inaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5


Basi akanivuta kwa mkono mmoja akanibana kwenye kiuno chake baada ya salamu hapo kanipiga ma busu kama yotee halafu njeee hapo sema mitaa nayoishi ushua mwingi sana ..

Akanambia "vero .. huyu Veda ni kijana wangu anasimamia gari zote namuamini sana lakini pia ni dereva wangu wa muda mrefu sanaa huyu ......Veda huyo shemeji yako Vero leo imekuwa kama bahati mmekutana hivi " mie nikacheka cheka tu, Huyo Veda kama hanijui babaa!! Alinitazama juu mpaka chini hata salamu hakunipa akatazama pembeni haya bwana sikupenda pia ..

D akanipa begi lilikuwa kuwa hilo akanambia humo kuna zawadi zangu yeye anawahi nikasema sawa kinyooonge...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 14
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

886
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

464
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

429
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

406
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

282
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

176
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

64

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.59K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.35K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho Post Mpya
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 18 " Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani." "Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani". Muda wote nilikuwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest