Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 15
Gonga94 ยท Stories

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

D alitoka hukoo kasi akataka kumpiga Veda Tinner akazuiaaa nae alitoka ..

"Veda wewe kumbe ni mshenziii eeeh!!" Veda yupo kimyaa ananikata jichoo kaliii yaani hamtazami D anaembwatukia jicho lote lipo kwangu mie aibuu nilikuwa naogopa hapa Veda sidhani kama atarudi tena kazinii hicho tu ndio kilikuwa kinaniogopesha lakini et Kuogopa D kuniona nipo na mwanume mmh hata sikuwa na woga huo ...

"We malaya twende harakaaa nyumbani " akanishika mkono kunivuta aah wapi

"Mie siendii" nikarudi nyuma kwa nguvu mkono wake ukaniteleza

Aliponiona namkazia wee hasira yake ikapanda mara miaa

โ€œUnasemaje weweeeโ€ akapaza sauti,

"Siendi nawewe"

Akaniinulia mkono Ili anipige Tinner na Veda wote wakawahi Tinner akamzuia

Sijui nilipata wapi ujasiri ule, nikamkazia macho bila kuyumba

โ€œNipige basi, โ€ nikasema kwa sauti iliyokuwa inatetemeka yaani hasiraaa

โ€œNipigeeeeโ€

โ€œD acha ujinga, sitaki ugomvi nyumbani kwangu"
D akanigeukia tena, macho mekundu ya hasira mwenyewe alikuwa anatetemeka

โ€œUnanifanya mjinga yaani unaniacha ndani unakuja hapa kufanya ujinga na mwanaume mwingine tena rafiki yangu hivii Vero unajielewa wewe??"

"Utajua wewe!!"

โ€œUnachezewa na mwanaume nyuma yangu halafu unataka nikunyamaze?โ€

Nilicheka kwa uchungu, machozi yakianza kunijaa.
โ€œNyuma yako? Vipi kuhusu wewe na wale wanawake ile siku ulijari hata kidogo kuhusu mimii โ€ nikamuuliza sauti inatetemekaa

โ€œkwa hiyo huyu mjinga ndio alikukalisha chini akakuambia hayo ili kukujaza kichwa nawewe ukamuamini, Unajua anatumia wanawake wangap kwa siku huyu, embu nenda kwenye kila casino sio tu Tanzania, hata Uganda ujue anajulikana na kila malaya"

Veda alimkata jichoo hiloo akasogea karibu yake
"Aisee.... kama ukishindwa kutengeneza upande wako, Embu sepaa usitafute kunichafua kwa nguvu"

D hakuuliza alirusha ngumii, Bahati nzuri Veda akakwepa uwiii yaani leo mie nagombaniwa tena na mtu na Boss wakee hehehe Nyie haka ka moments rahaa

"Tafadhali sitaki ugomvi kwanguuuuu embu naomba D ondoka Tafadhali ondokaa....Veda Please huu sio wakati sahihi Tafadhali nakuomba kaka yangu"
Yaani Tinner bwana alipo kuwa anaongea na D alifokaa hee hadi na mie niliogopa halafu alipo geukia upande wa Veda mweeh akashusha sauti akaongea kama anambembeleza

Veda akanitazama kwa jicho la kuibia tukagongana macho akanitazama kwa muda kidogo afu hakuongea kitu akaondoka zake akatoka nje ya Geti daah nikajikuta hadi nashusha pumzi, nikaona ngoja niende zangu wakati naingia ndani D akanirushia neno

โ€œBasi kaa na huyo! Halafu tuone unaniletea dharau mie, nimekufanyia mangap wewe unamuona huyo Veda msafiii tuulize sieee tunao mjua weweee"

Hata sikuyajari maneno yake nikafunga zangu mlango nikabaki nasikia tu Tinner anamfukuza D namsikia tu D anasema sitaki anitafute tenaaa kwa lolote ..

Nikajua tu huyu analingia vitu vyangu na anajua nina vihitaji sana sasa atajua mwenyewe mie nishachoka bwana weee ..

Baada ya muda Tinner akaja ndani kama kawaida yake mie nimekasirika yeye anachekaa kweli kwelii

"Yaani Tinner niache huu hata sio Muda wa utani, kwanza unisamehe kuleta matatizo nyumbani kwako"

"Hata usijali shoga angu, Kwakua Veda ndio kaleta matatizo aaah mwenzio nime enjoyyy hatari "
Nikatabasam tu hata hamu ya kucheka sikuwa nayo

"Enhee una mpango gani sasa"

"Hata sijui kwakweli akili naona imesimama sijui nitapata vipi vitu vyangu yaani hapa Nishaaribu kila kitu "

"Embu tulale pakikucha tutapata jibu, halafuu na Veda ndo nini kumtunishia vile kifua boss wake jamani si atafukuzwa kazi yulee??"

"Yaani Tinner nilivyo chokaa hakia Mungu sitaki kufikiria chochote yeye ana yake na mie ninayangu atajua mwenyewe "

"Hayaa tulale shoga"

Usikuu aisee ulikuwa mrefuuu wenye mauza uzaaa kibaooo kifupi sikupata usingizi kuna muda nilijikuta tu namuonea huruma Veda mbona amejiharibia kazi kwa sababu yangu ..

Itaendelea....

Maoni

You're not logged in

Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 15

D alitoka hukoo kasi akataka kumpiga Veda Tinner akazuiaaa nae alitoka ..

"Veda wewe kumbe ni mshenziii eeeh!!" Veda yupo kimyaa ananikata jichoo kaliii yaani hamtazami D anaembwatukia jicho lote lipo kwangu mie aibuu nilikuwa naogopa hapa Veda sidhani kama atarudi tena kazinii hicho tu ndio kilikuwa kinaniogopesha lakini et Kuogopa D kuniona nipo na mwanume mmh hata sikuwa na woga huo ...

"We malaya twende harakaaa nyumbani " akanishika mkono kunivuta aah wapi

"Mie siendii" nikarudi nyuma kwa nguvu mkono wake ukaniteleza

Aliponiona namkazia wee hasira yake ikapanda mara miaa

โ€œUnasemaje weweeeโ€ akapaza sauti,

"Siendi nawewe"

Akaniinulia mkono Ili anipige Tinner na Veda wote wakawahi Tinner...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜   SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 14
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*

721
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*

450
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

345
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 37*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 37*

247
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 15

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 15

219
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 1 na 5

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 1 na 5

131
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.

97
THE SECRET MESSAGE  3 to 4

THE SECRET MESSAGE 3 to 4

90
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 14

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 14

55
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13

28

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.35K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.11K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.73K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.17K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.36K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.3K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ05 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ05
@majario LIVE

Alinitazama akiuma midomo yake akisema โ€œChiddy unaweza acha pikipiki mahali, ukaingia kwa gari unisindikize mahali?โ€ Niliona tayari fursa hii, nilitabasamu na kusema โ€œbila shaka dada yangu mzuri.โ€ Alitabasamu, basi kidume sikuwawia. Haraka...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13
@majario LIVE

"Wee nae nilikuwa nakwambia kila siku yule sio mwanaume, unaanza kusema ooh amenitolea barua, mimi nilijua tu hili litakuja litokee siku tuu yaani huyoo mkaaka ni mpuuzi sana kha! Mh...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.
@majario LIVE

19 MPAKA 20 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Mama akasema mungu wangu hajafanikiwa eewh hajafanikiwa. Nikasema ndio mama. Baraka akasema sio kweli shangazi . Mimi siwez kumfanyia hivyo shakira. Apo mimi...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*
@majario LIVE

"Habari za hapa?" Aliuliza Suzy baada ya kutufikia Mimi na pili. "Salama" Alijibu pili na Mimi Nikabaki nikimuangalia Suzy kwa dharau sana Maana huyu msichana amejua kuninyanyasa sana NYUMBANI kwao. "Nikusaidie nini Nilimuuliza Hapo pili akaniangalia...

So excited to see Akshay Kumar and Saif Ali Khan coming back together on screen! Post Mpya
So excited to see Akshay Kumar and Saif Ali Khan coming back together on screen!
@majario LIVE

If you grew up in the 90s, you know this duo was pure entertainment. From Main Khiladi Tu Anari to Yeh Dillagi, Tu Chor Main Sipahi, and Keemat, they gave...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 15 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 15
@majario LIVE

D alitoka hukoo kasi akataka kumpiga Veda Tinner akazuiaaa nae alitoka .. "Veda wewe kumbe ni mshenziii eeeh!!" Veda yupo kimyaa ananikata jichoo kaliii yaani hamtazami D anaembwatukia jicho lote lipo...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 1 na 5 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 1 na 5
@majario LIVE

Sehemu ya 1 Aseeee bwana.. mie nilipozi kwanza . Nikaamuangalia uyu demu mkari kisenge. Yani mtoto mzuri mzuri kwli. Sio masihara. Kisha sasa ana vitu. Vyaangu. Bwana mi sjawaahi kumuangalia mwanamke...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 14 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 14
@majario LIVE

Nikasogea hadi karibu na Geti yeye alikuwa kwa nje akanifanya na mie nivuke geti kidogo yaani mguu mmoja ukawa nje ya Geti mwingine ndani "Enhee" yaani nilikuwa makini nae mno "Aunt, Unaitwa...

REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 37* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 37*
@majario LIVE

basi ikabidi mzee fahad awaeleze wote juu ya taarifa za msiba huo, kwakuwa harusi ilikuwa Imeisha haraka watu walijiandaa kwenda hospitari, familia ya cathe ilikuwa na majonzi sana haikuamini kama...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*
@majario LIVE

Nilipanda kwenye gari ya Enzo, nikiwa na hasira ya usoni tu lakini nilikuwa Nina Furaha sana moyoni kwangu, my zangu huyu kaka nampenda na sio utani, Yaani nampenda kutoka moyoni,...

IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS Post Mpya
IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS
@majario LIVE

First and foremost, this collaboration hurt many Kenyans. They didnโ€™t see me coming. No one from Kenya or Tanzania pulled this project together. The entire thing was organized by...

๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League Post Mpya
๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League
@majario LIVE

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Arsenal ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Chelsea FC ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Liverpool FC ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Manchester City ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Newcastle United ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Tottenham Hotspur ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Barcelona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Real Madrid ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Atletico Madrid ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayern Munich ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayer...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*
@majario LIVE

biharusi wetu alitulizwa kwa staili tamu sana basi akajitoa kisha akashika shavu la fahima huku ameikamata vizuri maiki yani apo wambea wanapiga vigelegele vibaya mno tena john ndo kajiweka mbele...

THE SECRET MESSAGE  3 to 4 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE 3 to 4
@majario LIVE

๐Ÿ’ฌ03 Sina sababu ya kukuficha lolote. Lazima nikuambie ukweli. Rashid wewe Mungu anakupenda sana, mwenyezi Mungu anakupenda mno. Unafanya kazi zako vizuri kabisa mwanangu, lakini cha ajabu mwanangu kila nguo mpya...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
@majario LIVE

Pully alishtuka sana baada ya kuniona akabaki akinitolea macho akiwa na wasiwasi sana, macho yake tu yaliweza kueleza Kuwa kuna kitu akiko Sawa kabisa. "ISHANI umemuona amina wangu?" Mama amina aliniuliza kwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest