Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*
Gonga94 ยท Stories

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


biharusi wetu alitulizwa kwa staili tamu sana basi akajitoa kisha akashika shavu la fahima huku ameikamata vizuri maiki yani apo wambea wanapiga vigelegele vibaya mno tena john ndo kajiweka mbele kabisaaaaaaa anaruka ruka tu yeye na selina

""my lovely wife leo natimiza ahadi yako ambayo nilikuwa niisema kila siku kuwa nasuprize zako tamu za kukuonyesha nina upendo wa dhati kwako, ujue mke wangu wewe ndiye uliyeweza kunipa amani na furaha na ukaninyanyua nilipoanguka wewe ni nguzo kwangu sio ya umeme bali ya moyo watu waliangua kicheko hadi biharusi alishindwa kujizuia ni kicheko tu

*"nakuahidi nitakupenda nguzo yangu mpaka mwisho wa maisha yangu i swear my wife leo ninazawadi zako tatu tamu sana naimani ukizisikia utafurahi mno alisema fahim watu walishangilia na kupiga mayowe kutaka zitajwe zawadi hizo

*tajaaaaaa jamani taajaaaa taja tajaaa*** kelele za watu zilizidi kuchangamsha harusi hiyo.

"zawadi yako ya kwanza ni duka zuri languo za kike aina zooote nishalipa jina kabisa linaitwa FAHIMA FASHION lina kila aina ya nguo za mwanamke naimani utalipenda nimetimiza malengo yako ya kuwa mfanya biashara mkubwa mke wangu alisema fahima nyleeeeeeee shangwe zikazidiiiiiii fahima alimkumbatia mumewe kwa nguvu sana huku akilia kwa furaha mumewe akamuomba di aweke mziki wa diamond msumari ili amfute machozi mkewe

si Ikawekwa kipande kizuuuuuri sana alisema mimi sitompata wa thamani sasa hii ninini muulize huyu nani wamebaki kutabiri siku mbili tutaachana mana so kwa penzi hili mbona wataroga sana nyie nyie fahima alifutwa machozi na mumewe huku akiimbiwa kanyimbo kataaaam cha mahabbatt, langoni mwa kumbi hiyo alikuwa cathe akilia kweli kweli huku akikamatwa vizuri na walinzi, mara ya mwisho alikuwa nyumbani sasa sijui hata kamwambia nani mdada mwanga huyu alizuiliwa kuingia ndani akabaki kushuhudia tu aliliaaaaa nyieeee

aiseeeeee dundo likawashwa hapo tena

upande wa mama fatuma alikuwa anataka kujiandaa kutoka kwenda sokoni alivaa vizuri akatoka zake nje ndipo akamkuta fatuma akitapika alishangaa

***Munguuuuuuu kwahiyo na fatuma ushaibeba yalaaaaaaaaa alisema mama fatuma huku akiweka mikono yake juu kichwani

""nitalweka wapi sura yangu mimi jamani huyu mtoto jamani mimi nimpeleke wapi alisema mama fatuma kwa huzuni sana, ndipo futuma nae akanyanyuka na kutaka kuelekea ndani we paka haya sogea hapa sogea halafu mkavuuuuu kama chapati ya juzi nyoooo0 ushaibeba eeee sasa nakwambia mlete huyo kikaragosi wako alokubebesh hiyo mimba lasivyo utatafuta pa kukaa nyau wewe"" alisema mama fatuma mwa ukali

""yani mama unaniona naumwa lakini ndokwaanza unaanza kelele jamani ah"" alisema fatuma kisha akaingia ndani

"mbwa wewe nakwambia utatafuta kwa

kwenda nani anataka aibu nani he usinivuruge

wewe mtoto alisema mama fatuma kisha

akaondoka zake

upande wa harusi mambo bado yalikuwa moto dj akasimamisha mziki ili zawadi ziendeleeee

""zawadi yako ya pili ni gari safi kabisa lange rav4 sitaki upate tabu mke wangu usafiri wako upo tayari nisha kuandalia wife akisema fahima nyleeeeeeeeeee watu wakazidi kushangiliaaaa

""zawadi ya tatu na yamwisho nimekununulia nyumba safi sana nalmani utaipenda mke wangu ipo masaki wewe ndio mama mjengo rasmi kwenye nyumba hiyo nakupenda sana mke wangu imalizia kusema hivo aiseeeee 6 6 6 & & & & watu walishangilia agness rafiki wa fahima na selina we acheni tu walitamani kuvua nguo wakae uchi kabisa,

biharusi akaona usinitanieeeeeeee akashika maiki kumwambia dj weka zuchu raha nataka nimfurahishe mume wangu hadharani watu sasa ziki lishawashwa ืชืช biharusi akashika maiki uwanjani anamuimbia mumwewe kwa kunengua balaaaaaaaa yani kwanza kasema deka deka namimi

najlachiaaaa

hivo alivojiachia sasa hatariiiiiii

kanipa shuruti la kumteka teka silaha kanigawia, mapenzi kimara kunipeleka peleka peleka mpaka mwisho washuki hashukii ndiye ananipa raha kunipeleka peleka mara mwendo wa mashuti mashuti, aaaaah kaniweka gerezani kunifundisha vizuri mengi hayana lingani yataka kuyakaririr kanicholea ramani mpaka mjini kisiri kigundu nchi nanan rangi yake ni kizuri rahaaaaa kupendwa raha kupendwa raha biharusi alijuwa kuupatia wimbo huo alicheza vizuri sana na mumewe huyo hakika ilikuwa ni furaha kubwa sana

cathe alitoka mahali hapo akiwa na mawazo mengi sana na huzuni kubwa sana alikuwa anatembea barabarani akiwa na mawazo tu hakujuwa nini mwisho wa maisha yake alijutia sana kuyaharibu maisha yake alimlaani sana devi ambaye kwa wakati huo hakujuwa yupo wapi, alitembea njiani akiwa analia sana sana kutokana na kuwa na mawazo mengi alijikuta akiingia road barabarani bila kujitambua, kuna pikipiki ambayo ilikuwa inakuja kwa spidi sana haikujiandaa kama kutakuwa na mtu mbele yani ghafla tu ikamgonga catherini vibaya mno

ilimrusha vibaya sana akaangukia uapande mwingine pikipiki hiyo ikatoka spidi mia haikutaka kusimama hata watu wakashindwa kukariri namba za pikipiki hiyo, wasamalia mwema ikabidi wamsaidie cathe kumpeleka hospitari, alikuwa anavuja damu nyingi sana nyingi mno aliumia vibaya sana sehemu za tumbo

walijitahidi kunuwahisha hospitari walifika hospitari daktari alipomuangalia cathe tu akashtuka maana tayari alikuwa kashapoteza maisha, ilikuwa ni masikitiko makubwa sana, wasamalia hao wakaamua kumsachi kwa bahati nzuri wakakutana na bisness card ya baba yake wa kufikia mzee cryton, haraka wakampigia simu kumpa taarifa hizo

ilikuwa ni taarifa za kushtushwa sana hadi mzee cryton akapata presha na kuzimia, calor nae hakuamini kama amempoteza dada yake hata mama cathe nae alilia sana alilia vibaya mno nayeye akajikuta anazimia ghafla tu,

uku ukumbini hakuna aliyepata taarifa zozote kuhusu cathe, sherehe yao iliisha vizuri sana jioni hiyo watu wakawa wanamalizia kula chakula hapo ndipo mzee fahad akapigiwa simu na kupewa taarifa hizo, aiseeeee alishtuka vibaya sana mpaka akashindwa kula chakula

wanasemaga damu nzito kuliko maji hatakama alifanya mabaya atabaki kuwa mtoto wako tu na damu yako tu

Itaendelea.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*



biharusi wetu alitulizwa kwa staili tamu sana basi akajitoa kisha akashika shavu la fahima huku ameikamata vizuri maiki yani apo wambea wanapiga vigelegele vibaya mno tena john ndo kajiweka mbele kabisaaaaaaa anaruka ruka tu yeye na selina

""my lovely wife leo natimiza ahadi yako ambayo nilikuwa niisema kila siku kuwa nasuprize zako tamu za kukuonyesha nina upendo wa dhati kwako, ujue mke wangu wewe ndiye uliyeweza kunipa amani na furaha na ukaninyanyua nilipoanguka wewe ni nguzo kwangu sio ya umeme bali ya moyo watu waliangua kicheko hadi biharusi alishindwa kujizuia ni kicheko tu

*"nakuahidi nitakupenda nguzo yangu mpaka mwisho wa maisha yangu...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/really-love-sehemu-ya-thelathini-na-sita

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi really-love-sehemu-ya-thelathini-na-sita
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*

800
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*

499
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

311
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*

268
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 13

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 13

193
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 37*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 37*

171
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 1 na 5

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 1 na 5

98
THE SECRET MESSAGE  3 to 4

THE SECRET MESSAGE 3 to 4

87
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 14

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 14

25
IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS

IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS

12

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.35K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.1K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.73K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.17K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.36K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 1 na 5 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 1 na 5
@majario LIVE

Sehemu ya 1 Aseeee bwana.. mie nilipozi kwanza . Nikaamuangalia uyu demu mkari kisenge. Yani mtoto mzuri mzuri kwli. Sio masihara. Kisha sasa ana vitu. Vyaangu. Bwana mi sjawaahi kumuangalia mwanamke...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 14 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 14
@majario LIVE

Nikasogea hadi karibu na Geti yeye alikuwa kwa nje akanifanya na mie nivuke geti kidogo yaani mguu mmoja ukawa nje ya Geti mwingine ndani "Enhee" yaani nilikuwa makini nae mno "Aunt, Unaitwa...

REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 37* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 37*
@majario LIVE

basi ikabidi mzee fahad awaeleze wote juu ya taarifa za msiba huo, kwakuwa harusi ilikuwa Imeisha haraka watu walijiandaa kwenda hospitari, familia ya cathe ilikuwa na majonzi sana haikuamini kama...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*
@majario LIVE

Nilipanda kwenye gari ya Enzo, nikiwa na hasira ya usoni tu lakini nilikuwa Nina Furaha sana moyoni kwangu, my zangu huyu kaka nampenda na sio utani, Yaani nampenda kutoka moyoni,...

IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS Post Mpya
IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS
@majario LIVE

First and foremost, this collaboration hurt many Kenyans. They didnโ€™t see me coming. No one from Kenya or Tanzania pulled this project together. The entire thing was organized by...

๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League Post Mpya
๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League
@majario LIVE

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Arsenal ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Chelsea FC ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Liverpool FC ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Manchester City ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Newcastle United ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Tottenham Hotspur ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Barcelona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Real Madrid ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Atletico Madrid ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayern Munich ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayer...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*
@majario LIVE

biharusi wetu alitulizwa kwa staili tamu sana basi akajitoa kisha akashika shavu la fahima huku ameikamata vizuri maiki yani apo wambea wanapiga vigelegele vibaya mno tena john ndo kajiweka mbele...

THE SECRET MESSAGE  3 to 4 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE 3 to 4
@majario LIVE

๐Ÿ’ฌ03 Sina sababu ya kukuficha lolote. Lazima nikuambie ukweli. Rashid wewe Mungu anakupenda sana, mwenyezi Mungu anakupenda mno. Unafanya kazi zako vizuri kabisa mwanangu, lakini cha ajabu mwanangu kila nguo mpya...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
@majario LIVE

Pully alishtuka sana baada ya kuniona akabaki akinitolea macho akiwa na wasiwasi sana, macho yake tu yaliweza kueleza Kuwa kuna kitu akiko Sawa kabisa. "ISHANI umemuona amina wangu?" Mama amina aliniuliza kwa...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*
@majario LIVE

alishangaa mno ikabidi amuulize maswali mengi mpambaji hii ni harusi ya shemeji sasa mbona unanipamba kama biharusฤฑ?": aliuliza fahima usijari maana nimepeewa maelekezo kuwa wewe utakuwa kama mlinzi wa bibi harusi hiva utapambwa kama...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 13 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 13
@majario LIVE

Nikasikia kuna nini hapoo???" Halafu muda huo Veda alikuwa ananitazama machoni na mie nimtazama yaani tunatazamana nina uhakima mioyo yetu ilikuwa inaongea maana kwa yale macho ya veda daah achaaaa Nikageuka...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana baada ya kukutana na madam groly Tena NYUMBANI kwangu. "Amepajuaje hapa ? Au amekuja na pully?" Nilijiuliza kimoyamoyo uku nikimuangalla madam Groly kwa wasiwasi uku nikiwaza amekuja kufanya nini...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kwanza nilishtuka sana, nilimuangalia Enzo kwa makini sana lakini enzo hakuwa na uwezo ata wa kuniangalia, muda wote alipepesa macho akiangalia pembeni tu wakati akizungumza. Maneno makali sana juu...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12
@majario LIVE

Nilijitetea kwelii japo nilikwangua ka_akiba kangu ila niliona aibu sana kurudishiwa ile pesa aah nikasema acha nilipwe na Mungu tu .. Akanibembeleza sanaa nikakataa wakati naondoka akaniomba namba ya simu nikawaachia...

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Sehemu ya 16 na 17. Mwandishi; lissa wa huru media kijana . Nakuuliza si unajifanya mjanja .basi tutasomana . Ata mimi ni mjanja wa zamani. Baba yangu alimuangalia sana adrian....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest