Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 1 na 5
Gonga94 Β· Stories

AFANDE MILLAN😎 1 na 5

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Sehemu ya 1


Aseeee bwana.. mie nilipozi kwanza . Nikaamuangalia uyu demu mkari kisenge. Yani mtoto mzuri mzuri kwli. Sio masihara. Kisha sasa ana vitu. Vyaangu. Bwana mi sjawaahi kumuangalia mwanamke kwa kitu chochote. Sijuh tabia ..wala kwan nna mpango wa kuoa sasa. Ama sijuh suraaa. Ahaaa mi sura ya nn sasa. Mi nachanganakiwa na mwanamke mwenye maziwa makubwa.. ahaaaaa apo mimi unaniweza . Navurugwa kinoma noma . Ata mwanangu ibraa. Ananielewa vizuri kuwa. Mie afande mshenzi mshenzi🀣🀣🀣🀣. Basi uyu dada bwana ndo alikuwa amefika ofisini kwangu sasa. Sielewi ata kimemleta nn illa nilivyoona pale kifuani mwanaume nikachanganikiwa kisenge. Daah mtoto kufua kimeinuka kweli kweli.

Basi mi nikamuangalia kwa umakini kweli kweli uyu mwanamke. Na nilivyo very serious sasa . Una weza kusema mwanaume ndo uyu . Ila doooh Nilivyo mshenzi sasa. Kuna mda naajiambiaga kabisa kuwa mi nikifa . Ahaa mungu. Hatakuwa na discussion na mimi wallah. Moja kwa moja motooni. Mana mimi bwana nimesoma dini keli kweli. Yani mm ukiniamsha ata saa 8 za usiku, Qur an imejaa apa kichwani . Ila kwa wanawake weeee . Mi hakuna cha kunitenganisha na wanawake. Yani mi sielewi huu umaraya niliupata wapi .sijuh tu. Mana mi ni kijana wa kipemba. Nazani mnaelewa ni kwa jinsi gani wapemba tunavyoijua vizur sana dini ya kisslamu . Ndo mm na kwetu kuna dini kweli kweli. Yani sio dini masihara. Yani dini serious. Ila mie sasa weeeeeee. Dini naijua sana ila chini napaelewa bwana. Mi.mpaka uo mda nna miaka 37. Na sijaoa . Na nilikuwa ni askari wa jeshi lla polisi . Na sio askari tu .mi nilikuwa na cheo kikubwa sana kwa uo mda ..so wala sio kipole pole. Mpunga nilikuwa nao. Na ukiacha hivyo tu

Sie kwetu pesa pesa sio shida. Yani mzeee tu pesa anayo. Alafu alikiwa na zile mashua za uvivi kama zote. So kwetu pesa. Haijawahi kuwa tatizo kabisaa. Na sisi kwetu tupo watatu . Na wote wa kiume . Wa kwanza ni broo wangu amenipita miaka 7. Yeye ni mwanajeshi na yupo apa apa dar anaishi chanika. Kisha nafata mimi ndo askari polisi pia mi nipo dar naishi gongo la mboto. Kwenye nyumba yangu kabisa . Na mdogo wetu wa mwisho ni daktari . Uyo ana miaka 30 na yupo zanzibar. Na wazee. Na kati ya ao wote washaoa. Yani kaka angu na mdigo wangu washaoa. Kimbembe mie . Ahaaaa mzeee na bi mkubwa wamemaliza maneno yote . Dua zote. Ila wapi mi kuoa weeee. Apo nna watoto watano mpaka umri uo. Ao ndo wa bahati mbaya . Na kila mtoto mimi nimezaa na mwanamke mwengine. Yani kila mtoto ana mama yake apo. Manina . Na bado hakuna wa kunishika . Weeee washikaji zangu wote wananijua vizur . Kuwa uyu bwana ahaaaa ni motroo. Mi napenda sana kutomba kuliko kula weee. Napenda wanawake sitaki kuwaambia. Asa nikioa inakuaje . Wallah labda nipite mpaka sunna ya mtume..nioe wanawake 10 ndo naweza nkarizika kwa ninavyojiona . Ila mwanamke mmojaaa . Weee thubutuuu🀣

Basi bwana . Yule dada sasa alivyoingia ofisini kwangu mi nikamkalibisha . Nikamwanbia karibu sana . Yule dada akanmbia asante afande millan mi niliomba appontnent na wewe week moja iliyopita . Na nikaambiwa naweza kufika leo. Nikasema ahaaaa sawa sawa ndio nambie . Akanmbia afande mi naitwa jackline nassoro mushi. Mh alivyonamibia hivyo ndo nikajua uyu kumbe ni mtoto we tajeer mushi. Aseeee uyu demu baba yake ana kesi nzito sana ya madawa ya kurevya. Kwaiyo nilishamuelewa kilichomleta apa . Na sio kwamba baba yake kasingiziwa no . Mzeee wake ni kweli ni mfanya biashara wa madawa . Na mm binafsi. Nachoshukuru mungu. Mi nna principles zangu za kazi. Mi sio polisi mpindisha sheria kabisaa. Kama una kosa. Aseeeee we jiandae ukapambane mahakamani tu. Usitegemee utanionga mimi. Ntapindisha mambo . Labda ukawaonge wakubwa zangu mi nipokee oders . Apo sasa nakuwa nimebanwa mana oders imetoka juu . Ila mm kama mm. Sio kweli kabisaaa yani

Basi bwana , mi nikamwambia ndio mrembo jack . Unasemaje sasa. Akanmbia aseee afande millan mi nataka unisaidie mzee asifike mahakamani. Mana najua kabisa akifika tu . Hii kesi ni kubwa na lazima atakutwa na makosa na atafungwa.. uyu fala nn kwaiyo mimi nipate dhambi za kumuachia muuza madawa . Aendelee kualibu vijana..nikamwambia oooh so we umejipangaje katika kulizuia hilo. Akanmbia we nambia nikikupa kiasi gani hii kesi tunaizima na mzee anatoka. Nikacheka .nikamwambia sikia mi sitaki pesa asa pesa mi jack za nn. Mi nilizo nazo zinanitosha sana tu. Yani mi sina shida ya pesa kwa sasa. Ila unacho cha kunipa kama unaona inawezekana basi fresh . Tumalizane. Yule dada akaningalia kisha akatabasamu akambia afande millan sijakuelewa kama hutaki pesa unataka nn. Nikamwmabia mi nataka penzi . Kama unanipa penzi basi sawa. Mzee wako wala haendi kokote. Akanmbia una uwakika. Nikamuuliza kwani mm naonekana muongo. We kuwa na amani na uniamini. Akanmbia lakini mimi ni mke wa mtu ujue. Nikasema sawa na mimi ni mume wa mtu. Basi yule dada akacheka. Akanmbia mh sawa ntafanya kwa ajili ya baba. Mi nikasema.sawa nikampa bussiness card yangu. Nikamwambia nichek kesho saa 11 jioni. Akanmbia sawa na asante

Kisha akanyanyuka . Akatoka ndani. Ile anatoka tu. Akaingia afande ibraa. Asee ibraa ni mshikaji wangu mkubw asana..uyu tangu na tangu . Mimi mpaka napandishwa cheo mpaka leo hiii. Ni mwanangu sana. Yani sana tu. Na ananijua sana ata yeye hajapoa ila mie nimezidi bwna. Na bola ya yeye kaoa . Ile mie weeee thubutuuuuu,.basi ibraa akanmbia ahaa naona mtoto katoka anatabadamu ushamsoundisha basi. Nikasema sass je si kajileta mwenyewe . Kwa nn nisijilimbwase bwana. We tulia uyu kesho anaelekea kibra mapema sana. Yani sanaaa tu .naenda kumtafuna. Ibra akanmbia nakujua utamtafuna mtoto wa watu na hakuna ambacho utamsaidia.nikasema sasa unataka mm nisaidie kutoka kwa muuza madawa acha ujinga. Mi mtot nimemulewa kifua kimejaa kile. Acha kesho nikajilimbwase mimi. Ibra akacheka akanmbia daah we msenge muuaji wewe. Yani jamaa una mambo mengi kinoma..nikasema eeh mie tena asa mtu kaja kunilingishia mi nafanyaje. Vasi tukacheka sana baada ya apo ibra akatoka kwenye ofisi yangu nikabaki mie mwenyewe. Nikawa busy naendelea na kazi zangu. Ahaaa mda uo uo. Naona simu ya mama . Nikajua kumeckucha nikapokea .kisha nikamsalimia mama. Tena salamu ya dini. Assalym alkyekum mama. Mama akaniitikia akanmbia sikia we mtoto .unanielewa vizur we mzinzi mjaalana wew. Eeeh mama ne nishamzoea🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Akanmbia we unataka kuzini mpaka lini. Utazalisha nje mpaka lini. Et we pumbavu . Nambie kwanza. Eeeh mpaka lini unazini. Hivi we unajua zinaa inapunguza riziki millan. Mbona kama hujasoma dini wewe. Eeeh we huna aibu eeh. Nambie kwanza huna aya wewe. We mbona mshenzi sana . Nikasema asa mama unanipigia sa hizi huoni uhuu mda wa kazi . Mimi mama ntaoa mbona shida hivi mama. Kuoa sio kukulupuka . Mi ntaoa mama. Akanmbia nakwambia wewe ntakukomesha yani nakukomesha mda sio mrefu . Dawa yako inatokota soon inawiva mjinga wewe. Ahaaa mie nikanyamaza kimya . Mama akakata simu yake. Hizi nyimbo za mama mi nishazizoe. Weee kuoa mie hapana . Kuoa habadani kwa kweli. Mi kuoa bado bado sana. Bado nipo nipo sana. Basi mie nikawa busy na kazi zangu . Nikapiga sana kazi . Baada ya kumaliza kazi zangu . Nikacheki mda ni saa 10 jioni. Nikamstua ibraa .nikamwambia twenzetu mda wa kazi umeisha sasa. Akanmbia powa powa mwanangu . Mi nna cheo kikubwa yani. Kwaiyo kuna vitu najisimamia mm kama mm. Na ata ibraa yupo chini yangu kwaiyo naweza nikamchukua nikasema kuna sehemu naenda nae. Kumbe ndo imetoka iyoo .tunaendaa barrrrrr

Basi kweli mi nikamchukua mwanagu . Tukaingia gongo la mboto .mana ata mwanagu ibraa anaishii gongo la mboto. Na unaanza kufika kwake kisha kwangu. Ila kabla hatujaenda nyumbani . Tukaingia sehemu ya kunywa kwanzaa. Tulivyoingia tu . Sie tunajulikana bwana. Basi waiter akaja chapu.akasema karibuni jamnai. Ahaaa mr millan naleta kama kawaida. Nikasema uhakika. Leta mama . Apo teali nishamshika kalio uyu muhudumu nalipapasa uku naongea . Yani daaah hizi tabia zangu achana nazo kabisaa. Ndo nilivyo . Alafu sasa siku mama akijua natumia pombe .naona atakesha kuniombea kwa mungu siku nzima. Ila sasa mwanae nakunywa aswaa. Japo nna kichwa kigumu sana cha kulewa ila pombe napiga sana . Yani napiga aswaaaa kudadeki. Basi yule dada akaenda akachukua vinywaji. Ila vile vinywaji vikaletwa na mdada mwengine . Mnene mweusi hivi. Amajazia jazia ila kifuani hakuna kitu. Ata. Basi mie kama kawaida yangu .nikapeleka mkono wangu kwenye kiuno chake nikamshika aseeee. Yule dada akachukia akanitoa kwa nguvu mkono wangu. Khaaaaa mi nikamuangalia vizur kwanza kwani hanijui kama mimi staff apa ama vp.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ«‘πŸ€”πŸ€”

3 MPAKA 5
🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈
AFANDE MILLAN😎
Sehemu ya 3 na 4


Khaaaa nikamuuliza vp mrembo , mbona unanisukuma kwan kuna shida. Yule dada akaningalia na mm nikamuangalia. Mashallah kazuri bwana katoto cheupe cheupe, wala hakunijibu ila akaanza kuweka vinywaji kwenye meza, mi sikutaka kuelewa , nikahisi mala ya kwanza huenda alinitoa kwa bahati mbaya., safari hii nikapeleka mkono kwenye makalio yake,aseee uyu dada akanitoa kwa nguvu. Kisha kwa hasira akanambia we kaka vp mbona hujiheshimu. Unanishikaje makalio bila ya ruksa yangu huna adabu ww. Khaaaaaa nikatabasamu kwanza kisha nikamuuliza ,we demu mshamba wa hizi kazi nn, asa kushikwa tu unacomplain hivi, nikitaka kuma utanipa wewe, we mshamba nn, alafu ungekuwa unajiheshimu ungefanya kazi bar we maraya tu, acha kujishaua .yule dada akaniangalia kwa hasira , akanmbia kwaiyo kila. Anayefanya bar unahisi maraya eeeh,. Muone kwanza mbaba mzima lakini halina akiri, khaaaaa nikataka kumuinukia mana niliona kama anazidisha zalau mbwa nn,

Khaaaaa ibra akanmbiaa ,ahaaaa millan nn sasa ebu kausha.,nikasema we unamuelewa uyu maraya et ananmbia mm sina akiri mpumbavu nn uyu, unannijua vizuri mm uyu,. Nilishapanik , yule dada alivyoona nimshapanic yeye akanyamaza kimya, kisha sasa akaja yule dada wa kwanza , ambae anaitwa shey, ambae ndo nilimpa oders ya vinywaj kwa mala ya kwanza. Akaja akasema vp tena boss millan imekuwaje kwani, nikasema ntie mnatuletea watu wa aina gani apa., mnatuletea watu washamba washamba kazin, yani mtu kushikwa kiuono tu anaanza complain anajihisi nani kwanza , mshamba nn, khaaa, shey akasema basi boss jamani samahani ni mgeni bado hajazoea kazi, kisha akwambia yule dada, zena uyu ni mteja wetu wa heshima, yule zena aksema kwaiyo kama mteja wa heshima ndo anawazalilisha wanawake, ebu acha mambo yako, uyu kaka hana heshima ata kidogo looh

Khaaaa nilikiangalia aka kademu, yani anajiamini nn kwanza , nikamkata jicho kali, yani nilitamani niinuke nimkate vibao mpaka achanganikiwa mamae, basi yule dada wa kuitwa zena akaondoka sasa, pale akabaki yule shey, akanzaa kuniomba msamaha , akanmbia samahani boss, ni mgeni ndo mana , hajazoea bado, na hajui taratibu za kazi zetu,mi sikupenda yani niliona yule demu kaniletea zarau kinoma kwa jinsi alikuwa ananiongelesha, nikamwmabia shey, mwambia sana yule maraya ajiangalie , shey akanmbia sawa kisha akaomba sana msamaha, alafu akaondoka zake kuendelea na majukumu yake. Basi mi nikawa nishatibuka yani, yani kajanamke kananipandishia sauti ahaa kumamamake , sio kweli , sikutamani ata kuendelea kukaa pale, nikamwmabia ibraa twenzetu mwanangu, ibraa akanmbia khaaaa yani ndo unasusa kunywa kwa ajili ya mtu mmoja, nikasema twenzetu bwana, basi ibraaa akcheka kinoma, akanmbia ahaa uyu demu ndo kiboko yako sasa, kwanza uliona alivyokuwa anakupandisha na kukushusha, nikaona na ibraa ananichanganya tu,. Mi nikanyanyuka nikaenda kwa shey , mana yeye ndo anaka sehemu ya malipo, nikavuta pochi, nikalipia bia zote nilizoagiza alafu sijakunywa at moja sasa, yani zimejaa vile vile mezan,shey akanmbia jamani boss samahani , usikasilike, nikasema sijapenda huduma yenu ya leo, kisha nikasepa uku ibraa ananifata nyuma.

Tumeingia kwrnye gari, ni misonyo tu, ibraa akanambia we bwana endesha vizur usije ukanibwaga, we umezidi , we kila demu unamuona maraya ndo shida, wengine wanatafuta pesa babu, kuwa na heshima, sio kila baamedi ni maray ana anajiuza shauri lako, nikamwambia we msenge ntakushusha kabla hujafika kwako hautaamini, ibra akacheka akanmbia ahaaaa yule dada wa kumwita zena kiboko bwana, sio kwa michambo ile . Ahaaa nilimind yani yule demu alinihalibia siku kinoma nnavyowaambia,. Basi ndo hivyo ibraa alinitania mpaka tunafika kwake, tumefika nataka kushuka akanambia we unashuka unaenda kwa nani? , nikasema jamani si naenda kumsaimia shemu ama, akanmbia acha ufala wewe. Ulivyo maraya siku utakuja kumtongoza mke wangu, sepa kwako, nikasema au sio basi baridaha mwanangu mi nasepa kwangi, akanmbia powa powa. Mi nikamucha ibraa kwake nikanyoosha kwangu sehemu moja inaitwa viwege uku uku gongo la mboto, na nimejenga nyumba ya uwakika, mpunga kwa kiasi chake ninaoa bwana

Basi nimefika kwangu, nna hasira kisenge yani niliona kama yule demu kanidhalilisha kunijibu vile, yani kanambia mimi sijiheshimu , anajua vyeo vyangu kwenye hii nchi yule, daah nilimuwaza sana yule dada wa kumuita zena, kwakua nilikuwa na njaa, mwanaume nikaingia jikoni nikatoa ugari safi kabisa.,nikakanga na samaki, nikapiga , kisha sasa nikatulia sebleni kuna game ilikuwa inaendelea hii siku yani arsenal alikuwa anacheza na ndo chama langu kubwa hilo, basi nikiwa nimetulia pale. Mama ahmad ananipigia, uyu demu nimezaa nae mtoto wangu wa mwisho, na mwanangu ndo kwanza ana miaka 4, na niliwaambia nna watoto 5 , na wote ni wakiume yani, mwanaume nipo serious katika kazi

Basi mi nikapokea simu ya mama ahamed, nikamwmabia ndio nambie, akanmbia we baba mbona una tabia mbaya sana, ni siku ya ngapi hujamtumia pesa mwanao, au unataka atunzwe na nani, ahaaa wanawake bwana, yani mtu namtumia pesa kila siku, usipotuma siku moja inakuwa shida et unaonekana umtaki mtoto na umuhudumii, nikammuuliza kwani sijatuma pesa siku ngapi, mbona demu una mdomo sana wewe, akanmbia bwana ebu nitumie pesa, nikamwmabia au sio , akanmbia yaa nikasema powa njoo uchukue nyumbani kwanza nimekumiss sana, akanmbia looh ndo ulichokiacha au sio, mwanaume hauna ata aibua unaendekeza sana umaraya wewe. Mi bwana kati ya awa wanawake 5, wote mm nikitaka kupasha nao viporo ni fresh tu, kwanza kati yao kila mmoja ananipenda ila mie ndo miyeyusho ,na uyo mmoja , ndo alikuwa mtu wangu wa kwanza wa kujifunzia mapenzi, yupo zanzibar , yeye kaolewa , uyu sasa ni vile yupo mbali na kaolewa , kun mda alikuwa ananmbia yeye anataka kuachika nije kumuoa mm, nikamwmabia we kama umemchoka mumeo achika, ila usizani kuna muoaji, utachina, weee akatulia zake ila mwanangu mi nahudumia fresh, na ndo mtoto wangu wa kwanza anaitwa bajuni na ana mika 8

Basi nikamsaondisha uyu demu wa kuitwa mama ahmed, akanmbia nikija nataka unipe laki 3, nikamwmabia umepata mama , njooo , yani mi nikiongea tu na mwanamke tael nishadinda ata sielewi uhuu umaraya mi niliupata wapi kumanina, basi kweli bwana, nimekaaa kama dakika 30, ahaaa mchumba ananipigia simu njooo ulipie boda mie nimefika, ahaa mwanaume nikatoka njeee kweli kaja na mtoto, mi nikampokea mtoto ,kisha nikamlipia boda ,nikaingia nae ndani, kaja na mtoto ila mda uo dogo kashakuwa na usingizi, mi nimampeleka chumba chengine ,kisha nikapanda na mchumba ndani kwangu, ahaaaaa nikakiwasha vizur, aseee mi sijifiii ,ila kwenye aya mambo , utasalender ww, mi nikaanza kupiga show , utaelewaa kwanza nachelewa sana kukojoa, sababu najua jinsi ya kumentain lishe, huwez kunikuta mi nakula mavyakula ya mafuta,sijuh chipsi, yani mwanaume mzima unakuta anakula chipsi yai, manina, lazima utapiga kimojaa tu , upo hoi,ila mie nikimshika demu mamae ataeleza tena nawakomeshaga wale mademu wa kuwanunua , mana mi kunua maraya fresh tu,.nyie si mnasemaga wapemba wamelegea eeeh, basi mwanbieni habiba awape namba zangu mje kunijalibu, mtaelezana mbona kwenye group umuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Basi apo sasa mama ahmed anajitahidi kunipa mambo, mala kaninyonya , mala kanishika mapumbu, mala kanitingoshia makalio, nalizika sasaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ, , basi nikamkamua sana mtoto, mpaka ananisema , na anaijua kwanza shughuri yangu ni nzito. Mi ata least nipige vitatu ndo nalizika, kimoja ahaaa wpi ,mi sitaki uo usenge , tutabakana tu mpaka nilizike, basi bwana saa 8 usiku ndo tumelala nipo hoi, asubuh na mapema nimeamshwa na mama ahmed et anaongea na simu yangu, khaaa uyu demu chizi nn, nikampokonya ile simu ,naangalia eeeh et alikuwa anaongea na mma muktar, uyo nimezaa nae mtoto wangu wa 3 yani muktar, nae ana miaka 4, yani kipindi natembea na mama muktar ,pia nilikuwa natembea na mama ahmed

Nikaikata ile simu, nikamwambia mama ahmed uhu usenge wakupokea simu zangu umeenza lini, na unapokea kama nani, akanmbia hivi we mwanaume umaraya utaacha lini, kwaiyo sisi unatifanya unvyotaka, kwaiyo kumbe na uyo mama muktar anakujaga umu unamlala kama unavyonilala mie si ndio, we mshenzi mbona maraya sana, nikasema mama ahmed unanijua vizur sana mi sina mda wa kubishana na mwanamke , ntakubonda apa hautaamini, nikavuta suluali yangu, nikatoa pochi, nikampa lako 3 aliyotaka, nikamwmabia kamchukue mwanao msepe, laki 3 nshakupa , si ulikuja kufanya biashara , aya sepa mengine hayakuhusu ,mi kiukweli nna mkono wa kupiga, yani mwanamke akinijibisha jibisha ,ahaaa nishamuweka mabao mda sana, kwaiyo mama ahmed akanyamaza kimya mana ananijua kweli, mdomo wake ananiletea kwenye simu, sio live tukikutana

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈
AFANDE MILLAN😎
Sehemu ya 5


Basi mi nikaingia bafuni, nikapiga maji fresh,nilipitoka nikakuta mama ahmed kashaondoka zake, na mama muktar anapiga simu kinoma, mi nikapokea, nikasema hallow nambie, akanmbia looh baba huna aibu wewe, nakwambia we utakufa kwa ukimwi, nikamwmabia bwana ebu nambie hii asubuh umenipigia unataka nn, masuala ya kufa na ukimwi we achana nayo hayakuhusu kwanza, akanmbia looh,najuta sana kuzaa na wewe, mh mnafiki mkubwa nikimwmabia tu nataka kukuoa anakuja na mabegi yake yote, mi ni handsome wewe. Si mnaelewa wapemba waupe tunavyokuwa, so nilikuwa najua hizi mbwe mbwe tu na vile kajua jana usiku nilikuwa natombeka na mma ahmed ndo wivu umemkamata ananza kunitafutia sababu, akanmbia okey mtoto anaumwa ndo mana nimekupigia nahitaji pesa ya kwenda kumpeleka hospital, nikamwmabia we juzi nimekutumia laki 2 ya matumiz ya mtoto umemalaizaje pesa, alafu uyo dogo nishamkatia bima na bima nimekupa unaomba pesa ya nn, akanmbia sawa nampeleka hospital na iyo bima japo mm sikuwa nataka kuitumia wanachelewa kumuhudumia

Nikamwmabia iyo bima ni kubwa hawawez kuchelewa kumuhudumia, aknmbia sawa utakuja kumuona mwanao leo,? Mh nikajua hana lolote kanimiss tu , mtoto anautaka uyuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ, nikamwambia saw ntakuja kumuona ,kisha nikakata simu yangu, na nikaanza kujiandaa sasa , kwa ajili ya kuelekea kazini, nikavaa fresh mwanaume ,hii siku nikapiga na gwanda zangu fresh kabisa., apo ukiniona utasema mwanaume mstaarabu ndo uyu jichanganye manina zako,. Nikaingia kwenye ndinga yangu, nikaanza kudrive kuelekea kazini sasa, ahaa uko njiani napata smsm kibao za mama ahmed , et mimi maraya , et mm mshenzi, et mm sijuh nn, ahaa na yeye anayataka, mina ananijua kabisa mpaka tumechana kama mm maraya , asa jana kilimleta nn, na wakati ananijua tabia zangu, hakuna ambae hajui tabia zangu kati yao, na bado nikiwataka wanakuja, sijuh wanafata pesa mi sielewi bwana

Basi mwanaume nikasogea mpka gongo la mboto mwisho pale nikamchukua mwanangu ibraa , mana yeye bado hakuwa kanunua usafir na tukaelekea kazini,,mi nafanya kazi kwenye kituo kikubwa sana cha polisi apa dar, ila siwezi nikakitaja samahanini kwa hilo, basi mwanaume nikaingia kazini kuwajibika na kazi, kiukweli kwenye masuala yangu ya kazi, mi napenda haki kinoma, ila ukijichanganya mwanamke unatka kunihonga, mi nakwambia nipe kuma tu, wala.sitakagi pesa ila usizani ndo ntapindisha sheria thubuti, mzigo ukinipa napiga , na haki itafatwa,

Basi nikiw aofisini busy sana, mh nikapigiwa na namba ngeni, mi nikapokea ile simu nikasema hallow, akanmbianyess hallow mr ni mimi, jackline mushi, yani mtoto wa mzee mushi , ambae ukinambia nikutafute leo jioni, nimamwambia ooh mrembo, si nilishakueleza nnachokitaka, so kama upo tayari kwa hilo basi tunaweza kukutana, akanmbia yaa nipo teali, nakusikiliza wewe tu, nikamwambia sawa nakuchek,. Kweli bwana mwanaume nilivyokata simu tu, nikabookng hotel maenneo ya mbez beach , kisha nikamtumia location uyu demu, na mchumba akanijinu kuwa hakuna shidaa saa 1 usiku atakuwa apo, ahaaaa nikamuita ibraa, nikamkabizi baazi ya majukumu, nikamwambia mwanagu mi nasepa apa, nimepata emergency kidogo kuna mtu naenda kukutana nae, akanmbia weeeee mtu gani we unaenda kukutana na yule mtoto wa mzeee mushi bwana nakujua , nikacheka nikamwambia ahaaa uwakika iyo we huoni mtoto ana vitu vyangu pale kifuani, ibraa akacheka sana akanmbia ahaaaaa we kiboko yako yule zena baamedi, nikamwambia acha usenge yule zena mi sijamalizana nae lazima aingie kwenye anga zangu, ibraa akanmbia aahaa ngoja tutaona. Nikasema fresh

Unataka kujua nn kiliendelea

β€οΈπŸ“Œ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 1 na 5


Sehemu ya 1


Aseeee bwana.. mie nilipozi kwanza . Nikaamuangalia uyu demu mkari kisenge. Yani mtoto mzuri mzuri kwli. Sio masihara. Kisha sasa ana vitu. Vyaangu. Bwana mi sjawaahi kumuangalia mwanamke kwa kitu chochote. Sijuh tabia ..wala kwan nna mpango wa kuoa sasa. Ama sijuh suraaa. Ahaaa mi sura ya nn sasa. Mi nachanganakiwa na mwanamke mwenye maziwa makubwa.. ahaaaaa apo mimi unaniweza . Navurugwa kinoma noma . Ata mwanangu ibraa. Ananielewa vizuri kuwa. Mie afande mshenzi mshenzi🀣🀣🀣🀣. Basi uyu dada bwana ndo alikuwa amefika ofisini kwangu sasa. Sielewi ata kimemleta nn illa nilivyoona pale kifuani mwanaume nikachanganikiwa kisenge. Daah...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-1-na-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO*     SEHEMU YA THELATHINI
* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* SEHEMU YA THELATHINI
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*
*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40

1.16K
AFANDE MILLAN😎 41 to 42

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

638
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18

490
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18

239
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

234
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 19 - 20

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 19 - 20

221
AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡

AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡

101
Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC

Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC

8

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.65K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.81K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.29K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.87K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.67K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.66K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.62K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.56K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳. Anadhani labda ameenda chuo...

AFANDE MILLAN😎 41 to 42 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Sehemu ya 41 Basi bwana , zena alivyoniona mnazani alisimama,hapana bali ndo kwanza akaongeza speed ya kuelekea kwake ,na mm nikawa namfata kwa haraka ili asije akajifungia, basi zena akaingia...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
@majario LIVE

β€œDad, Ninakupa masaa 24 Uchague. Ukimchagua Noela, huta niona tena. Lakini Ukinichagua mimi, utaachana na Noela then tutaendelea na maisha yetu kama zamani” Baada ya kusema hivyo, Salmon na mama yake...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
@majario LIVE

Basi mimi nikaludi nyumbani nipo stressed kinoma , yani mawazo yamenijaa mnoo, nawaza inakuwaje sasa demu ndo kashanikazia ,ila naumia mnoo kwa ile hali yake na bado anaendelea kufanya biashara...

AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡ Post Mpya
AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡
@majario LIVE

Kila mwanamke ana mzunguko wake lakini hii ndiyo mizunguko ambayo kila mwanamke lazima awe na mzunguko mmoja kati ya hizi:πŸ‘‡ 1. MZUNGUKO WA SIKU 22. Huu ndo mzunguko mfupi kuliko mizunguko yote...

Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC Post Mpya
Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC
@majario LIVE

Baada ya jana klabu ya Simba kutangaza kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja beki wao kitasa Rushine De Reuck, baadhi ya mashabiki wa soka nchini πŸ‡ΏπŸ‡¦Afrika Kusini haswa wa Kaizer...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

ENDELEA....... Madame Yustar alitoa amri mimba itolewe ili kuepusha laana kwenye ukoo wao. "Hapana siwezi kutoa mimba hata iweje" Mellisa alimvimbia mama yake. Saa ngapi asilukiwe akaanza kutembezewa kichapo. Nae hakukubali apigwe kilahisi,...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

ENDELEA......... Mipango yangu iliendelea kwenda vizuri. Nilifanikiwa kufungua duka langu la spea za magari mke wangu alikuwa nsimamizi mzuri. Japo hakuwa na elimu ila alikuwa na akili ya biashara sana na...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Niliwaona mama na baba yangu wakiwa wanamshangaa sana yani walishangaa mpaka wakanisahau mtoto wao kama naumwa πŸ˜‚ Basi mimi niipomuona Anfrey nilinyanyuka na kwenda kumkumbatia " Nasrat wangu, yupo wapi mtoto...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Siku iliyofuata, Noela alipofika chuoni alihisi hali si ya kawaida. Watu walikuwa wanamuangalia kwa macho ya ajabu, wengine wakinong’ona pembeni yake. Alijaribu kupuuza lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipoingia darasani😭. Mwishowe,...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Salmon alisimama pale akimtazama Noela na baba yake kwa macho yaliyojaa hasira na maumivu. Hakutegemea kabisa kumuona Noela akiwa kwenye dinner ya kimapenzi na baba yake mwenyewe. Iris yeye alisimama pembeni,...

Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie) Post Mpya
Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie)
@majario LIVE

lazima baadhi ya mambo tuambiane ukweli mchungu hili uwe tiba kwa vizazi vijavyo pamoja na wasanii chipukizi. Hili swala la Chado Masta kuzaa na Kidemu Jau kuna namna sio salama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
@majario LIVE

Daaah unajua mtoto alibaki kashangaaa ,et akasogea nyuma yangu akajificha, aseeee zena akainuka kwa kwa hasira ,akaja akamvuta mtoto, akamipiga konde moja la mgongo zito kwei kweli ,yani hii siku...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi nikasema ummy upo mama, ummya kanmbia ndio baba nimekumiss, kila siku niktaka kuongea na wewe mama ananikatazia, nikasema ooh sawa mama ndo mana leo nimekuja kukuona mama sawa, basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi zena akanmbia ni sawa pia, nikasema powa ibraa twenzetu, ibra akanmbia mh millan usipanic bwana ,uyu mwanamke alafu sa hizi ana hasira, ebu tulia tuongee vizuri kaka, mbona...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest