Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO*     SEHEMU YA THELATHINI
Gonga94 Β· Stories

* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* SEHEMU YA THELATHINI

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


🦈
Nikamwambia sikia usilie mbeleya mtoto basi sio sawa , mana ummy alikuwa pale lale sebleni anamuangalia mma yake anavyolia, zena akanmbia swa nipeleke nyumbani kwngu tu, nikasema now ni usiku sana nakurudishaje zena ata mimi nimechoka sana, naomba leo ulale apa mwanamke wangu, kisha kesho mm ntakurudisha nyumbani, zena akawa hataki, nikajua ana hasira, nikambembeleza sana basi apo zena ndo akakubali ila kishungo upande na baada ya kumbembeleza sana, apo ka ummy kalishakuwa na usingizi kweli kweli, mi nikamchukua mtoto nikaaenda kumlaza chumba chengine, kisha nikamchukua zena nikaingia nae chumbani kwetu, doooh tulivyoingia ndani tu, zena akaanza kunisomea kesi, akawa ananambia hanielewi, nimebadirika , now nimekuwa sina mda nae kabisa na wakati yeye ananipenda sana , nikasema basi mama yangu zena, kuanzia now ntakuwa makini na wewe, na ata kama nikiwa busy vp ,ntajitahidi kutenga mda kwa ajili yako , akanmbia sawa na nikamsoundisha sana mchumba ndo yakaisha na akanisamehe

Basi bwana, usiku huu akalala kwangu, na game akanipa, mtoto akaflash kabisa, ila asubuh sasa tukatoka mapema sana ,mana mm nilikuwa naingia kazini, so nikawachukua kabisa na nikawapitisha kwake, kisha mimi nikanyoosha kazini sasa, bwana hii siku nilimueleza ubraa kuwa zena ni mja mzito, ila mwenyewe antaka tuzae, ibraa kanmbia millan, unazingua kaka , kwa nn usimuoe zena, mbona zena ni mwanamke mzuri tu, na mpaka ameshakubebea mimba, ebu oa kaka, we unataka uoe ukiwa na umri gani, umri unaenda millan uo au mpaka ukizeeka ndo utaoa, zena ni binti mzuri si kila siku unanaieleza habari zake, unataka kuangaika na maraya wa mjini millan, eeeh unataka kuangaika na maraya wa mjini millan, acha upumbavu kaka, ebu muoe zena ,utamjutia uyoo, nikasema tulia wewe ,mi sina ratiba za kuoa kwenye maisha yangu kabisaaa, yani plan sinaa, apoo jamani mama yangu hamalizi week, ni simu ananikumbusha juu ya kufanya ibada ya ndoa ,ila mm bwana nilishjiona kuoa mi siwez,yani kutulia na mwanmke mmoja ahaaa thubutu

Basi ibraa aknisihi sana pale ,ahaa mi wala sikujali wala nn, na mida mida tukawa busy tunaendelea na kazi , mnazani ndo nilimpigia zena kama nilivyomwambia ,ahaaa uo mda nnao sasaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ, mimi sikumpigia wala.nn na wlaa.sikwenda kwake kabisaa, kama.siku 3, siku zote hizo yeye ndo ananipigia analalamika ,mi mpaka nikawa nakasirika sasa mana usumbufu bwana ,mi namwambia nipo busy ye hanielewi ananipigia simu tu khaaa, basi mda mwengine nakuwa simpokelei wala nn, yani mm mwanamke nikishatembea nae, ananikata kinoma siwafichi, nakuwa simtamani sana, labda tusikutane mda mrefu,basi bwana mahasiano ya mm na zena ndo yakwa hibyo kwa shida shida kweli kwli mpka ikapita miezi 2, kuna mda naend akumuona ila ndo lawama kibao, ila ahaaa mi sikuwa namjali wala nn, kwanza nawaelewa wanawake ndo kazi zao kuongea

Siku iyo zena kanipigia simu usiku saa 6 nilikuwa club na wanangu , yani mdundo umenoga kisengeeee , wachumba kma wote mambo niyapendayo, et naona zena ananipigia simu saa 6, mi.sikumpokelea ile simu, zena akapiga tena, sikupokea , eheee akapigia kama mala 5, ila nyie zena mimba yake ilikuwa inamuendesha bwana, mie nikakausha nashangaa kanitumia sms, nifungulie mlango nipo kwako, khaaaaaa uo mda saa 6 usiku, alomwambia mm nipo nyumbani nani, alafu uyu zena nilishaanza kumuona ananipanda kichwani, yani anaona kama vile yeye ndo ananimiliki sanaaa khaaaaa

Mwendelezo unakuja
Tafadhali changia ulicho nacho najua Hali ya maisha yetu 0768304821 omary luambano πŸ™πŸ™πŸ™ tovuti hii Bila wewe siwezi peke yangu

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* SEHEMU YA THELATHINI



🦈
Nikamwambia sikia usilie mbeleya mtoto basi sio sawa , mana ummy alikuwa pale lale sebleni anamuangalia mma yake anavyolia, zena akanmbia swa nipeleke nyumbani kwngu tu, nikasema now ni usiku sana nakurudishaje zena ata mimi nimechoka sana, naomba leo ulale apa mwanamke wangu, kisha kesho mm ntakurudisha nyumbani, zena akawa hataki, nikajua ana hasira, nikambembeleza sana basi apo zena ndo akakubali ila kishungo upande na baada ya kumbembeleza sana, apo ka ummy kalishakuwa na usingizi kweli kweli, mi nikamchukua mtoto nikaaenda kumlaza chumba chengine, kisha nikamchukua zena nikaingia nae chumbani kwetu, doooh tulivyoingia ndani tu, zena akaanza kunisomea kesi,...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-season-two-sehemu-ya-thelathini

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-season-two-sehemu-ya-thelathini
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40

1.16K
AFANDE MILLAN😎 41 to 42

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

636
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18

489
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18

238
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

231
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 19 - 20

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 19 - 20

221
AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡

AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡

101
Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC

Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC

8

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.65K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.81K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.29K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.87K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.67K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.66K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.62K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.56K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳. Anadhani labda ameenda chuo...

AFANDE MILLAN😎 41 to 42 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Sehemu ya 41 Basi bwana , zena alivyoniona mnazani alisimama,hapana bali ndo kwanza akaongeza speed ya kuelekea kwake ,na mm nikawa namfata kwa haraka ili asije akajifungia, basi zena akaingia...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
@majario LIVE

β€œDad, Ninakupa masaa 24 Uchague. Ukimchagua Noela, huta niona tena. Lakini Ukinichagua mimi, utaachana na Noela then tutaendelea na maisha yetu kama zamani” Baada ya kusema hivyo, Salmon na mama yake...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
@majario LIVE

Basi mimi nikaludi nyumbani nipo stressed kinoma , yani mawazo yamenijaa mnoo, nawaza inakuwaje sasa demu ndo kashanikazia ,ila naumia mnoo kwa ile hali yake na bado anaendelea kufanya biashara...

AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡ Post Mpya
AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡
@majario LIVE

Kila mwanamke ana mzunguko wake lakini hii ndiyo mizunguko ambayo kila mwanamke lazima awe na mzunguko mmoja kati ya hizi:πŸ‘‡ 1. MZUNGUKO WA SIKU 22. Huu ndo mzunguko mfupi kuliko mizunguko yote...

Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC Post Mpya
Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC
@majario LIVE

Baada ya jana klabu ya Simba kutangaza kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja beki wao kitasa Rushine De Reuck, baadhi ya mashabiki wa soka nchini πŸ‡ΏπŸ‡¦Afrika Kusini haswa wa Kaizer...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

ENDELEA....... Madame Yustar alitoa amri mimba itolewe ili kuepusha laana kwenye ukoo wao. "Hapana siwezi kutoa mimba hata iweje" Mellisa alimvimbia mama yake. Saa ngapi asilukiwe akaanza kutembezewa kichapo. Nae hakukubali apigwe kilahisi,...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

ENDELEA......... Mipango yangu iliendelea kwenda vizuri. Nilifanikiwa kufungua duka langu la spea za magari mke wangu alikuwa nsimamizi mzuri. Japo hakuwa na elimu ila alikuwa na akili ya biashara sana na...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Niliwaona mama na baba yangu wakiwa wanamshangaa sana yani walishangaa mpaka wakanisahau mtoto wao kama naumwa πŸ˜‚ Basi mimi niipomuona Anfrey nilinyanyuka na kwenda kumkumbatia " Nasrat wangu, yupo wapi mtoto...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Siku iliyofuata, Noela alipofika chuoni alihisi hali si ya kawaida. Watu walikuwa wanamuangalia kwa macho ya ajabu, wengine wakinong’ona pembeni yake. Alijaribu kupuuza lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipoingia darasani😭. Mwishowe,...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Salmon alisimama pale akimtazama Noela na baba yake kwa macho yaliyojaa hasira na maumivu. Hakutegemea kabisa kumuona Noela akiwa kwenye dinner ya kimapenzi na baba yake mwenyewe. Iris yeye alisimama pembeni,...

Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie) Post Mpya
Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie)
@majario LIVE

lazima baadhi ya mambo tuambiane ukweli mchungu hili uwe tiba kwa vizazi vijavyo pamoja na wasanii chipukizi. Hili swala la Chado Masta kuzaa na Kidemu Jau kuna namna sio salama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
@majario LIVE

Daaah unajua mtoto alibaki kashangaaa ,et akasogea nyuma yangu akajificha, aseeee zena akainuka kwa kwa hasira ,akaja akamvuta mtoto, akamipiga konde moja la mgongo zito kwei kweli ,yani hii siku...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi nikasema ummy upo mama, ummya kanmbia ndio baba nimekumiss, kila siku niktaka kuongea na wewe mama ananikatazia, nikasema ooh sawa mama ndo mana leo nimekuja kukuona mama sawa, basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi zena akanmbia ni sawa pia, nikasema powa ibraa twenzetu, ibra akanmbia mh millan usipanic bwana ,uyu mwanamke alafu sa hizi ana hasira, ebu tulia tuongee vizuri kaka, mbona...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest