Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*
Gonga94 Β· Stories

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nilipanda kwenye gari ya Enzo, nikiwa na hasira ya usoni tu lakini nilikuwa Nina Furaha sana moyoni kwangu, my zangu huyu kaka nampenda na sio utani, Yaani nampenda kutoka moyoni, imagine, kitendo cha kumuona tu najikuta nasahau shida zangu zote.

"Funga mkanda"

Alizungumza Enzo pale tu alipoanza kuendesha gart

"Sitaki

Nilijibu kwa SAUTI ya kudeka uku nikijifanya Kuwa bize sana, masikini Enzo wa watu, akasimamisha gari na kunisaidia kufunga

mkanda na safari ikaanza.

Kiukweli safari ilikuwa ni yenye ukimya sana, Enzo hakuwa akiongea kitu chochote kile na Mimi nilikuwa kimya nikimuangalia kwa kuibia

Ibla tu

Ila Nyleeeh Enzo amepungua sana, uso wake haukuwa na Nuru Kama ambavyo alikuwa mwanzo, Yaani Sijui niseme kitu gani lakini

daaaah Enzo wangu hayuko Sawa kabisa.

Enzo akaniangalia kwa muda uku akifocus na kuendesha gari kisha akavunja ukimya na

kuniuliza.

"Uku umetoka wapi San Hizi 7"

"Ndio Maana nilikuwa sitaki kupanda hii gari yako Walahi, kwani nilipotoka Mimi wewe panakuhusu nini?"

Nilimuuliza nikionesha Kuwa sitaki kabis shobo

na yeye.

"ISHANI Saa hivi ni usiku sana, Angalia muda vizuri ni Saa 5 inaenda Saa Sita, usisahau Kuwa wewe ni Mtoto wa kike"

Nikamuangalia na kumjibu.

"Usisahau Kuwa nilikuwa nikilala nje kila siku na sikuwai kudhurika na kitu chochote, by the way. Unaendeleaje wewe na Mke wako ?"

Hapo kwanza Enzo akashusha Pumzika nzito kisha akajibu.

"Sijui amesafiri ameenda Kenya na mama yake, ishani usitake kubadilisha mada nataka kujua umetoka wapi muda huu?"

"Kwani wewe nikitembea usiku huu unaumia nini Matembezi yangu yanakuhusu nini kwa mfano

? Enzo nishushe hapa panatosha"

Nilijifanya kuwa na hasira sana lakini moyoni kulikuwa na Furaha isiyokuwa na kifani.

Baada ya mwendo wa Kama nusu Saa hivi, Hatimaye nikafika NYUMBANI kwangu, haraka nikafungua mlango wa gari na kushuka.

"Ooooh Asante Mungu umerudi

Alizungumza pili ambaye nilimkuta hapo nje akizunguka zunguka tu

"Pili kuna nini Mbona Kama umepaniki?"

Nilimuuliza

"Nakupigia simu upatikani na muda unayoyoma tu ndugu yangu umenipa wasiwasi sana ujawai kuchelewa kurudi Kama hivi

Alizungumza pili akionesha kujali sana kuhusu Mimi, Yaani Kama ni Rafiki tu, Walahi Mungu amenibariki na huyu pili, huyu msichana ananijali na kunipenda sana sana

"Simu yangu imekufa chaji, lakini pia kulikuwa na kazi nyingi sana Leo na foleni Basi weeh"

Nilimjibu pili wangu kwajili ya kumtoa wasiwasi

tu

Pili sasa kwa umbea, akasimama na kuangalia gari kisha akaniuliza.

"Ushapata Bwana mwingine tena Mwenye gari 7"

Nikacheka na kumjibu.

"Amna Bwana, huyu ni kaka wa boss wangu tu kwakuwa tumechelewa kutoka Ndio ameambiwa.anilete NYUMBANI

Niliamua tu kumdanganya pili mama akili yake naijua vizuri sana, Yaani angejua Kuwa ni Enzo angemuwashia moto wa hatari sana.

Kwa hatua za haraka haraka nikasogea mpaka kwenye gari ya Enzo na kufungua mlango.

"Kwahiyo ulitaka niondoke ikiwa ujaniaga ?"

Enzo aliniuliza

"Wewe sikiliza Ebu nendaga Uko"

Nilijibu kisha kwa hasira nikabamiza mlango wa gari na moja kwa moja Mimi na shoga yangu tukaingia Ndani na Enzo nae akaondoka.

Siku iliyofuata Kiukweli nilikuwa ninauchovu wa kutosha, lakini pia miwili uliniuma sana kutokana na kufanya kazi mfululizo pasi na kupumzika.

Nikajikongoja zangu na kwenda kazini, kwa

Mara nyingine Tena nikachelewa kazini na kumkuta mama amina akiwa na Binti yake wanaendelea na kazi zao

"Naona sasa ofisi umeifanya Kama ya baba yako

Alizungumza mama amina pale tu nilipofika kazini.

Nikamuangalia kisha kwa SAUTI ya upole na

utulivu nikajibu.

"Kwa Leo sijusikii vizuri kabisa na nilikuwa naitaji kwenda hospital"

"Kwahiyo hapa Ndio hospital au Mimi ni ness?"

Mama amina aliniuliza akiwa amenishikia kiuno.

"Hapana mama, Nimekuja kukuomba ruhusa

lakini pia kuchukua Pesa ya Jana, na nilijaribu kukupigia simu lakini ujapokea

Mama amina akasimama kidedea na kuanza

kunifokea mbele ya wateja, na ukizingatia ni asubuhi, wateja wa chai na supu uwa ni wengi

sana kwakwell.

"We Binti sikia, Nafikili Mimi na wewe tumefika mwisho sasa Sawa, kila siku unakisingizio kipya

Binti yangu yupo atanisaidia kazi zangu"

Gafla pully au kwa Jina lingine amina akadakia.

"Weeeh mama akuuuuh Mimi na Hizi kazi wapi na wapi? Unataka nikomae na kubabuka na huu

moto au ?"

Hapo mama amina akanywea Kuwa mpole sana, kisha akanigeukia Mimi na kunifokea.

"Ebu kabadilishe nguo zako upeleke chai kule site

Kwakuwa Nina shida na kazi naitaka, nikajikaza na kwenda kubadilisha mavazi yangu na moja Ka moja nikaanza kuhudumia wateja uku na uku.

KI AFYA sikua vizuri kabisa na ile zunguka ya uku na uku, nikajikuta nikianguka chini Kamal Mzigo kutokana na kizumguzungu kikali ambacho nilikipata.

"Ndio nini kuanguka kwenye biashara yangu? Unataka ufie hapa niambiwe nimekutoa kafara si Ndio

Yaani mama amina amebadilika sana, Yaani amekuwa na Mdomo mchafu sana dhidi yangu

na ameanza hivi baada ya Binti yake kuja na vile

Ndio Binti yake ana hela Basi weeeeeh, walala hoi Kama Mimi ni kunyanyasika tu

Kwakuwa nilionekana Kuwa mgonjwa sana, nikapatiwa muda wa kupumzika na nilipokaa Sawa tu nikaruhusiwa kwenda NYUMBANI

Kama kawaida, Rafiki yangu pilli Ndio alikuwa

kila kitu, pili alinisaidia kwenye kila hatua Yaani mpaka kuniogesha alliniogesha shoga yangu.

"Asante sana pili Mungu akubariki mno Nilimwambia pili nikiwa Namaanisha, waswahili usema akufahaye kwa dhiki ndiye Rafiki.

Siku hiyo pili alilala na Mimi hakutaka kuniacha ata kidogo.

Hatimaye siku MBILI zilipita nikiwa bado naendelea kujiuguza

Ikiwa ni Majila ya jioni nikiwa nimekaa nje

napigwa na jua la kuzama, muda huo huo ikaja gari nyingine nzuri sana na kupaki mbele ya

Nyumba hiyo, Mimi na shoga yangu pili tukabaki tuklishangaa tu, kisha baada ya muda mfupi tu akashuka Suzy, huyu Suzy Bwana Sijui Kama

mnamkumbuka, huyo ni Mtoto wa mwisho wa madan groly, na Kama mnakumbuka vizuri, huyu Ndio alikuwa ataki kuniona pale NYUMBANI kwao.

"Huyu Nani Tena?"

Aliuliza pili kisha Mimi na yeye tukasimama na kubaki tukimtazama Suzy, ambaye aliposhuka tu

kwenye gari akaanza kutusogelea.

Je Suzy amekuja kufanya nini? Amekuja kwa wema au Shari? Tukutane sehemu

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*



Nilipanda kwenye gari ya Enzo, nikiwa na hasira ya usoni tu lakini nilikuwa Nina Furaha sana moyoni kwangu, my zangu huyu kaka nampenda na sio utani, Yaani nampenda kutoka moyoni, imagine, kitendo cha kumuona tu najikuta nasahau shida zangu zote.

"Funga mkanda"

Alizungumza Enzo pale tu alipoanza kuendesha gart

"Sitaki

Nilijibu kwa SAUTI ya kudeka uku nikijifanya Kuwa bize sana, masikini Enzo wa watu, akasimamisha gari na kunisaidia kufunga

mkanda na safari ikaanza.

Kiukweli safari ilikuwa ni yenye ukimya sana, Enzo hakuwa akiongea kitu chochote kile na Mimi nilikuwa kimya nikimuangalia kwa kuibia

Ibla tu

Ila Nyleeeh Enzo amepungua sana, uso wake haukuwa na Nuru Kama ambavyo alikuwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-nne

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-nne
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA*

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*

861
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8

659
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15

322
MY CRAZY BOSS 16

MY CRAZY BOSS 16

293
SHAMIRA sehemu ya 29&30

SHAMIRA sehemu ya 29&30

185
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33

SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33

160
SHAMIRA sehemu ya 30&31

SHAMIRA sehemu ya 30&31

132
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6

97
MY CRAZY BOSS 17

MY CRAZY BOSS 17

85
 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap

AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap

79

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.38K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.16K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.73K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.17K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.58K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.37K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.3K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.24K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 17 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 17
@majario LIVE

Haikuchukua muda sana , tuliwasili nyumbani kwa boss, tuliingia kiustaarabu sana na tulivyozama tu boss alianza kunionesha ukichaa wake. Alinisogelea karibu aligusanisha mdomo wake na wangu kwa fujo alianza kunipa...

 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap Post Mpya
AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap
@majario LIVE

Huyu binti hapa anaitwa Aminata na ana umri wa miaka 11 tu. Aminata alikumbwa na changamoto ya biashara ya utumwa. Na baada ya kutekwa hapa tunawaona wakiwa wamepelekwa katika soko la utumwa...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Bila kusema neno lolote, Mr. Marvel aligeuka akaondoka. Basi Salmon alitakiwa kusimamisha party lakini kabla hajafanya hivyo alimwangalia Noela akamwambia β€œOndoka! Unasubiria nini tena?β€πŸ˜’ β€œHutanipeleka hostel?” β€œNo, sina muda” β€œKwa nini? Nitarudi vipi jamani?”...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8
@majario LIVE

*SEHEMU YA SABA* Mimi na Enzo tulishtuka sana Walahi, lakini Mimi Ndio nilishtuka zaidi, Yaani hii ni zaidi ya sibu imagine mpaka baba mkwe sa hapa Ndio inakuja ile hali ya kutaka...

MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI Post Mpya
MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI
@majario LIVE

Sheila alikuwa binti aliyefanikiwa sana jijini. Alikuwa na kampuni ya uagizaji wa vipodozi na alikuwa akiishi maisha ya kifahari. Sheila alikuwa anajiandaa kufunga ndoa na Dr. Oscar, kijana kutoka...

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kiukweli uwaga namuogopa sana madam groly lakini safari hii imekuwa tofauti sana Tena sana. yaani sijasikia uoga wa aina yoyote fla na sikusikia Kuwa na wasiwasi juu ya uwezo...

SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33 Post Mpya
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Bai tumefika nyumbani akanishusha mwenye gari. akanikokota mpaka chumbani moja kwamoja akanipeleka bafuni nilichafuka na mapombe kama yote. Mwanaume akaniweka kwanza chini akaanza kunimwagia maji...

SHAMIRA sehemu ya 30&31 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 30&31
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie nikaongea na asha .akanambia shoga vijora vishafika nikamwambia changu nipelekee kwa fundi mwambie akitatue mpma mapajani na mgongoni kuwe wazi. kama kawaida yangu...

MY CRAZY BOSS 16 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 16
@majario LIVE

Siku moja nikiwa nimekaa boss alikuja ofisini kwa wafanyakazi wote ambapo mimi pia napendelea kukaa mahali hapo. "Nahitaji kuelekea kwenye party usiku wa leo najiuliza ni nani atafaa kunisindikiza, boss...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15
@majario LIVE

Aliendelea kunipa juice kwa utaratibu, huku anaaacha ananitizima nikitaka kuongea ananipa tena juice, aweee hii ilikuwa tofauti kwangu asee ilikuwa tamu kuliko ya siku ile, nilijikuta natoa ushirikiano hasaaa kwenye...

SHAMIRA sehemu ya 29&30 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 29&30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi aisha akasema sawa akasema sasa jambo ndo linakalibia na bado siku 2 tu kama una agaa anza kumbembeleza mapema.nikasema sawa shoga ngoja leo akirudi niongee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Kwaiyo Mr Marvel akahairisha kwenda eneo la pool, badala yake akamfuata Noela nyuma na kumuona akiingia chooni. Huko ndani Chooni, Noela alikua anatoa tu machozi kama hana akili nzuri. Moyo ulimuuma...

Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar Post Mpya
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
@majario LIVE

. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact. The story revolves around Radha, a poor village woman...

THE SECRET MESSAGE πŸ’¬05 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE πŸ’¬05
@majario LIVE

Alinitazama akiuma midomo yake akisema β€œChiddy unaweza acha pikipiki mahali, ukaingia kwa gari unisindikize mahali?” Niliona tayari fursa hii, nilitabasamu na kusema β€œbila shaka dada yangu mzuri.” Alitabasamu, basi kidume sikuwawia. Haraka...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13
@majario LIVE

"Wee nae nilikuwa nakwambia kila siku yule sio mwanaume, unaanza kusema ooh amenitolea barua, mimi nilijua tu hili litakuja litokee siku tuu yaani huyoo mkaaka ni mpuuzi sana kha! Mh...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest