SHAMIRA sehemu ya 29&30
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi aisha akasema sawa akasema sasa jambo ndo linakalibia na bado siku 2 tu kama una agaa anza kumbembeleza mapema.nikasema sawa shoga ngoja leo akirudi niongee nae. Akasema powa. Basi mie nikajituliza mpka babya isiku karudi. Nikamkalibisha vizuri hii siku full kumpeti peti kumbe nataka kumwambia jambo langu. Bsi kweli mwanaume alivyotoka kuoga nikamsogelea kwa mbwe mbwe sana nikaanza kumfuta maji mwiilini mwake yeye akanishika kiuno. Nikasema baby akasema yes mama nambie. Nikasema baby mimi kesho kutwa nna shughuri ya rafiki yangu kule saku naomba niende sotachelewa kurudi. Nikaona kaniangalia sana kisha akasema huendi. Mh nikaaacha kumfuta kwanza nikasema sasa kwa nini jamani mpenzi. Akasema sikia sipendi uo uswahili hzo shughuri wewe za nini na itakusaidia nini .sihitaji shamira. Nikachukia nikasema lakini ni marafiki zangu jamani.inakuwaje sasa . Na wamenialika. Akasema ndo mana nilikuwa sipendi uende kule mana nilijua utayazua tu
Sitaki ayo mambo yako na sitaki kusikia hizo habari kabisa shamira .khaaa nyie uyu mwanaume anasema nini lakini. Nikasema mi nitaenda bwana mana ni shosti wangu na tunasaidiana vitu vingi sana. Akanambia ebu sema tena shamira sijakuelewa vizuri.nikabaki kimya mana nilishaona kabadirika. Akanmbia sasa kama wewe mwanamke nataka nikuone unaondoa mguu wako apa unaenda katika iyo shughuri ndo utanijua sasa. Basi nikasonyea moyoni.ila nilisema mimi labda sio shamira kunifuga uko kwiyo anikome uyu.
Basi nikajiganya kununa sikutaka maongezi nae.nikaenda kuoga nilivyotoka nikapanda kitandani .akasema sasa unalala kwani tumeshakula. Twende tukale kwanza .nikasema nimeshiba. Akasema unajua sipendi kuongea mala mbili mbili.nikija apo ulipolala ntakudunda shamira hutaaamini naomba unyanyuke tukale. Mh nikaona ngoja ninyanyuke mana uyu mwanaume ana mkono mbaya akikupiga weee atanichana. Basi taratibu nikainuka uku nimenuna kweli
Tukaenda mpaka mezani nikapakua chakura kidogo. Yani chakura nilikipika mwenyewe kwa mbwe mbwe zote ila kimenitumbukia nyongo.niikala kidogo tu .nikataka kunyanyuka. Mwanaume akafoka wewe unaenda wapi.nikasema nimeshiba jamani.akasema we tangia lini ukala kidogo hivyo au ndo anataka kunambia kuwa shughuri kwako ina umuhimu kiasi iko sio. Nikasema hapana ila nimeshiba tu.
Akanambia kaa apa umalize iko chakura mh nikaludi tu nikaendelea kula. Mpka nikamaliza chakura .mwanaume akanishika tukaingia chumbani akataka penzi mbona nilitoa. kujinunisha nimejinunisha na kutombwa nimetombwa kudadeki. Na alivyomaliza akanikumbatia tukalala mpka asubuh . Akainaga anaenda job na hataki kusikia upumbavu wowote.nikabaki nimevuta mdomo tu .ila mwanaume kanikazia et kesho kwa shughuri siendi anaumwa uyu.labda sio mimi shamira siwezi kuacha asiri yangu kwa kweli.
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni