Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*
Gonga94 Β· Stories

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


"Habari za hapa?"

Aliuliza Suzy baada ya kutufikia Mimi na pili.

"Salama"

Alijibu pili na Mimi Nikabaki nikimuangalia Suzy kwa dharau sana Maana huyu msichana amejua kuninyanyasa sana NYUMBANI kwao.

"Nikusaidie nini

Nilimuuliza

Hapo pili akaniangalia na kuniuliza.

"Mnajuana ?"

"Ndio"

Baada ya kumjibu Kuwa Mimi na Suzy tunajuana, pili akageuka zake na kwenda chumbani kwake na tukabaki Mimi na Suzy tukiangaliana tu

Safari hii Bwana Suzy alionekana Kuwa mpole na Mtulivu Sanaa na tofauti na Suzy Yule ambaye namjua Mimi.

"Umepajuaje hapa ?"

Nilimuuliza Maana naona ni Kama wanaanza kupazoea NYUMBANI kwangu, wanaambizana tu na kuja muda na Saa yoyote ile wanayojisikia.

"Tunaweza kupata muda wa kuongea mawili matatu?"

Suzy aliniuliza.

"Suzy unavyoangalia unahisi Mimi Nina muda wa kuzungumza na wewe? Unajua Mimi Siwaelewi wewe na familia yako mnashida gani

na Mimi? Mbona Mimi siwafatilli Kama ambavyo

ninyi mnafanya? Mnataka nini kutoka kwangu"

Kwa SAUTI ya upole Suzy akazungumza. "Ni kuhusu Enzo"

Weeeh kitendo cha kusikia Jina la habibi wangu, kwa jazba ya hali ya juu nikauliza.

Enzo amefanya nini? Anaumwa Amepata matatizo au? Nambie Enzo Ana shida gani?"

Suzy akatabasamu na kwa upole akazungumza.

"That is love, tazama unavyopata shida kutaka kujua kuhusu yeye, ishani hatuwezi kuzungumza

tukiwa tumesimama, hapa kuna mawili, tuingie Ndani kwako au Twende kwenye gari"

Nikafikilia kwa muda kidogo kisha nikaamua kumkaribisha Ndani kwangu liwalo na liwe tu.

"Karibu"

Nilimkaribisha

"Asante, Hongera Ndani kwako pazuri sana"

Alizungumza Suzy akinisifia Assaah Walahi Ndio alizidi kunipatia wasiwasi kabisa, yaani huyu msichana huu wema ametoa wapi?R Yaani Suzy ninayemjua mimi na huyu wa Leo ni

watu saba tofauti

"Enzo Ana shida gani?"

Nilimuuliza nikiitaji kujua

"Enzo anakuitaji sana ISHANI, sana Tena Sana, lakini pia Enzo anakupenda sana Tena sana"

Nikamuangalia na kucheka kwa dharau.

"Najua uniamini na kuna Namna unashindwa kunielewa lakini huo Ndio ukweli ishani, Enzo anakuitaji sana Tena sana"

Hapo kwanza Ndio nikakumbuka Kuwa huyu

Mwenyewe alikuwa anamtaka kaka yake, na Kwakuwa Leo yuko NYUMBANI kwangu wacha nimwmbie ukweli wake

"Kwahiyo hapo Suzy Unataka Mimi niwe na mahusiano na Enzo si Ndio ?"

"Ndio"

"Vipi kuhusu Mke wake? Au achana na Mke

wake, vipi kuhusu wewe 7 Maana najua unatamani sana Kuwa Mke wa Enzo, hivi hauna akili nzuri au? Enzo si kaka yako wewe?"

Suzy akatabasamu na kujibu.

"Ooooh kweli Enzo anakupenda sana mpaka amekuambia mambo yangu Mimi na yeye, lakini

kuna kitu kasahau Labda, Ishani Mimi na Enzo sio ndugu ata kidogo, Yaani ata nusu, Enzo

amezaliwa Pekee yake Kuanzia kwa baba mpaka

kwa mama"

Hapo kwanza nilishtuka na kwa shauku nikamuuliza

"Kivipi?"

Suzy akakaa vizuri na kuendelea kunipatia uondo wa mambo ambayo sikuwa nikiyajua

kabisa.

ISHANI Mimi sio Mtoto kishua Kama unavyofahamu, Mimi ni Binti wa KIJAKAZI tu,

Yangu mzazi alikuwa ni mfanyakazi pale NYUMBANI Kwa kina Enzo, na mama yangu

mama

alikuwa ni single mama, tangu nimezaliwa

sikuwa kuonana na ndugu ata Mmoja wa mama

yangu, na Ndio Maana ata mama yangu

alipofariki bado niliendelea kubaki kwa kina

Enzo

"Suzy unanitania si Ndio Hivi uwe tu Mtoto wa mjakazi halafu Ndio madam groly akupende

kiasi iko

"ISHANI yako mengi sana ambayo uyafahamu

na huu sio wakati sahihi, sitaki Kuwa muongo

kwako nampenda sana Enzo Tena sana,

Lakini Enzo anakupenda wewe mno, na

wahenga walisema Kuwa, upendo wa kwanza kwa mtu ni kumpatia Furaha na furaha ya Enzo

ni wewe tu na sio pully, ishani, nataka kumuona

Enzo akiwa na Furaha, nataka kumuona Enzo akiwa na amani Kama hapo awali, nimechoka

kuona na kusikia SAUTI ya kilio chake kila

Siku

Nikamuangalia Suzy kwa muda na

Kuzungumza.

"Suzy umekuja kunichezea wewe si Ndio?"

"Najua sio rahisi kunielewa lakini huo Ndio ukweli, tshani, Enzo anakupenda sana Tena

sana, kwa sasa hivi anapitia kipindi kigumu

sana

"Lakini Enzo amenitamkia Kuwa aniitaji kabisa

kwenye maisha yake"

"Kwa sababu anakulinda wewe ISHANI

Kwnza nikashtuka, ule mshtuko wa herufi kubwa

na kumuuliza.

"Ananilinda?"

Kabla Suzy ajanijibu swali langu, muda huo huo simu ya Suzy ikaita na Nick Rafiki

wa Karibu sana wa Enzo Ndio alikuwa akipiga.

"Hellow kaka nick"

Alizungumza Suzy baada ya kupokea simu.

Muda huo huo ikasikika SAUTI ya Nicki akiongea kwa jazba lakini pia na wasiwasi mkubwa sana

Ndani yake.

"Suzy, Nipo hospital, nimemleta Enzo ana hali mbaya sana amekunywa sumu"

"Nini?

Nilijikuta nikidakia kwa mshtuko wa hali ya juu

na kumpokonya simu Suzy.

"Nick unasemaje? Na umempeleka hospital

gani?"

Basi Niki akatutajia hospital aliyompeleka Enzo

na pasi na kupoteza muda Mimi na Suzy tukapanda gari na kwenda kwenye hospital

husika

Walahi nilikuwa Nina wasiwasi sana, njia nzima nilikuwa niktetemeka tu na kuna muda nilikuwa

Niona Kama sifiki, Basi foleni za hapa na pale Ndio zilikuwa zikinichanganya zaidi

Hatimaye kwa uwezo wa Mungu Mimi na Suzy

tukafika hospital, nyieeeeh ndugu yenu siku subili ata gari ipaki vizuri, chap nikafungua

mlango wa gari na kushuka na moja kwa moja

nikawal mapokezi ambapo nilikutana na nick akiwa anazunguka uku na uku.

"Enzo yuko wapi?"

Nilimuuliza nick nikiwa na wasiwasi sana.

Muda huo huo pia Suzy nae akafika kwenye

enec ilo na kuuliza swali lile lile ambalo Mimi Nilimuuliza Nick.

"Yuko emergency room hawaruhusu mtu kuingia

Yaani nilijikuta mawazo yangu yakienda mbali.

sana, nilijikuta tu nikikumbuka jinsi nilivyopoteza

wazazi wangu, kuna Namna pia Nilihisi Kuwa

naenda kumpoteza na Enzo pia, Kiukweli nilishindwa kuficha wasiwasi wangu na

nikajikuta nikilia kwa uchungu sana

"Aaaah Ishani Ndio nini sasa"

Alizungumza Suzy na kunishika mkono na

akanitoa nje kabisa ya hospital na Nick akatufuata

"Nafikili pia ishani ungeondoka tu Maana madam groly akikukuta hapa hali itakuwa sio

shwari kabisa na ukizingatia yuko njiani anakuja

uku

Alizungumza Nick akionesha kumuogopa sana

madam groly

Kwa ujasili wa hali ya juu, nikafuta machozi na

kuzungumza

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*



"Habari za hapa?"

Aliuliza Suzy baada ya kutufikia Mimi na pili.

"Salama"

Alijibu pili na Mimi Nikabaki nikimuangalia Suzy kwa dharau sana Maana huyu msichana amejua kuninyanyasa sana NYUMBANI kwao.

"Nikusaidie nini

Nilimuuliza

Hapo pili akaniangalia na kuniuliza.

"Mnajuana ?"

"Ndio"

Baada ya kumjibu Kuwa Mimi na Suzy tunajuana, pili akageuka zake na kwenda chumbani kwake na tukabaki Mimi na Suzy tukiangaliana tu

Safari hii Bwana Suzy alionekana Kuwa mpole na Mtulivu Sanaa na tofauti na Suzy Yule ambaye namjua Mimi.

"Umepajuaje hapa ?"

Nilimuuliza Maana naona ni Kama wanaanza kupazoea NYUMBANI kwangu, wanaambizana tu na kuja muda na Saa yoyote ile wanayojisikia.

"Tunaweza kupata muda wa kuongea mawili matatu?"

Suzy aliniuliza.

"Suzy unavyoangalia unahisi...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-tano

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-tano
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA*

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*

861
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8

659
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15

321
MY CRAZY BOSS 16

MY CRAZY BOSS 16

293
SHAMIRA sehemu ya 29&30

SHAMIRA sehemu ya 29&30

185
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33

SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33

160
SHAMIRA sehemu ya 30&31

SHAMIRA sehemu ya 30&31

132
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6

97
MY CRAZY BOSS 17

MY CRAZY BOSS 17

84
 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap

AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap

78

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.38K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.16K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.73K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.17K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.58K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.37K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.3K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.24K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 17 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 17
@majario LIVE

Haikuchukua muda sana , tuliwasili nyumbani kwa boss, tuliingia kiustaarabu sana na tulivyozama tu boss alianza kunionesha ukichaa wake. Alinisogelea karibu aligusanisha mdomo wake na wangu kwa fujo alianza kunipa...

 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap Post Mpya
AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap
@majario LIVE

Huyu binti hapa anaitwa Aminata na ana umri wa miaka 11 tu. Aminata alikumbwa na changamoto ya biashara ya utumwa. Na baada ya kutekwa hapa tunawaona wakiwa wamepelekwa katika soko la utumwa...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Bila kusema neno lolote, Mr. Marvel aligeuka akaondoka. Basi Salmon alitakiwa kusimamisha party lakini kabla hajafanya hivyo alimwangalia Noela akamwambia β€œOndoka! Unasubiria nini tena?β€πŸ˜’ β€œHutanipeleka hostel?” β€œNo, sina muda” β€œKwa nini? Nitarudi vipi jamani?”...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8
@majario LIVE

*SEHEMU YA SABA* Mimi na Enzo tulishtuka sana Walahi, lakini Mimi Ndio nilishtuka zaidi, Yaani hii ni zaidi ya sibu imagine mpaka baba mkwe sa hapa Ndio inakuja ile hali ya kutaka...

MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI Post Mpya
MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI
@majario LIVE

Sheila alikuwa binti aliyefanikiwa sana jijini. Alikuwa na kampuni ya uagizaji wa vipodozi na alikuwa akiishi maisha ya kifahari. Sheila alikuwa anajiandaa kufunga ndoa na Dr. Oscar, kijana kutoka...

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kiukweli uwaga namuogopa sana madam groly lakini safari hii imekuwa tofauti sana Tena sana. yaani sijasikia uoga wa aina yoyote fla na sikusikia Kuwa na wasiwasi juu ya uwezo...

SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33 Post Mpya
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Bai tumefika nyumbani akanishusha mwenye gari. akanikokota mpaka chumbani moja kwamoja akanipeleka bafuni nilichafuka na mapombe kama yote. Mwanaume akaniweka kwanza chini akaanza kunimwagia maji...

SHAMIRA sehemu ya 30&31 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 30&31
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie nikaongea na asha .akanambia shoga vijora vishafika nikamwambia changu nipelekee kwa fundi mwambie akitatue mpma mapajani na mgongoni kuwe wazi. kama kawaida yangu...

MY CRAZY BOSS 16 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 16
@majario LIVE

Siku moja nikiwa nimekaa boss alikuja ofisini kwa wafanyakazi wote ambapo mimi pia napendelea kukaa mahali hapo. "Nahitaji kuelekea kwenye party usiku wa leo najiuliza ni nani atafaa kunisindikiza, boss...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15
@majario LIVE

Aliendelea kunipa juice kwa utaratibu, huku anaaacha ananitizima nikitaka kuongea ananipa tena juice, aweee hii ilikuwa tofauti kwangu asee ilikuwa tamu kuliko ya siku ile, nilijikuta natoa ushirikiano hasaaa kwenye...

SHAMIRA sehemu ya 29&30 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 29&30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi aisha akasema sawa akasema sasa jambo ndo linakalibia na bado siku 2 tu kama una agaa anza kumbembeleza mapema.nikasema sawa shoga ngoja leo akirudi niongee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Kwaiyo Mr Marvel akahairisha kwenda eneo la pool, badala yake akamfuata Noela nyuma na kumuona akiingia chooni. Huko ndani Chooni, Noela alikua anatoa tu machozi kama hana akili nzuri. Moyo ulimuuma...

Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar Post Mpya
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
@majario LIVE

. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact. The story revolves around Radha, a poor village woman...

THE SECRET MESSAGE πŸ’¬05 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE πŸ’¬05
@majario LIVE

Alinitazama akiuma midomo yake akisema β€œChiddy unaweza acha pikipiki mahali, ukaingia kwa gari unisindikize mahali?” Niliona tayari fursa hii, nilitabasamu na kusema β€œbila shaka dada yangu mzuri.” Alitabasamu, basi kidume sikuwawia. Haraka...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13
@majario LIVE

"Wee nae nilikuwa nakwambia kila siku yule sio mwanaume, unaanza kusema ooh amenitolea barua, mimi nilijua tu hili litakuja litokee siku tuu yaani huyoo mkaaka ni mpuuzi sana kha! Mh...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest