Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA sehemu ya 30&31
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA sehemu ya 30&31

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media

Basi mie nikaongea na asha .akanambia shoga vijora vishafika nikamwambia changu nipelekee kwa fundi mwambie akitatue mpma mapajani na mgongoni kuwe wazi. kama kawaida yangu kesho nipo live apo. Akasema kakubali mpenzi kwani?.nikasema aah wapi kavimba kama chui kanambia marufuku kwenda kokote ila labda sio mimi. Mimi siwezi bwana .mimi saa 10 jioni nipo apo.mana shughuri ilikuwa usiku ukumbini saa 2 hivi. Ashaa akanmbia powa. Kama kawaida mwanaume akarudi jioni ila sikumchangamkia sana mimi nilikuwa normal tu.nikamuomba pesa akanmbia unataka sh ngapi.nikasema nataka laki 2.apo nna laki 9 nimeziweke nataka nikamtunze shoga yangu.wanione tajirrrr.iyo lako 2 nilitaka kwa ajiri ya matumizi yangu madogo madogo nikienda saku. Mwanaume hakuniuliza akanmbia lete suluali niliyovaa leo nikaenda kumchukulia akafungua wallet akanipa akasema ila sitako uende saku kama unaenda kuemea vitu vyakao ni sawa. Ila masuala yako ya kwenda shughurini siyataki shamira. Nikasema sawa mie siendi kipenzi niamini tu .akasema sawa hamna shida ata

Basi bibi mie nikawa mpna nikalala na baby vizur .asubuh mchumba akaenda kazini. Mimi simu kama zote za mashost zangu.nikawa napokea nawaambia nakuja najiandaaa basi mwanamke nikaoga nikavaaa vizuri nikanoga nikabeba pochi yangu brand na nzuri alininunulia hamadi nikakodi boda mpka charambe nyie na simu nikazima mana nilijua uyu mwanaume ata piga atanivuruga kichwa tu mie.
Basi nimefika kwenye sherehe mashoga zangu kama wote na aisha pale full kelele chezea sie tenaa. Basi tukaaanza kushughurika na shughuri mpka saa 1 . Tukaingia ukumbini bwana apo nishavaaa kijora changu na nishakipasua tena. Nilitikisa shughuri nakwambia siku iyo nilikuwa mimi ndo mrs mapesa. Nilichamba maasadi wangu wote. Kuwa nna bwana mwenye pesa zake na sina show mbovu mjini. Nyie nilimtunza shoga laki 9 tena uwanjani natamba shamira mie na nilivyokuwa mzuri. Nna nywele org kichwani utnambia ninu na hamadi anajua kuuhudumia jamani.basi nilitikisa si wamenizoe natunzaga elfu 30 siku iyo sio shida zangu
Mashost niliwanunulia pomba za kutosha chezea mie wewe.
Mi mwenye apo nshakunywa bia zangu nimechangamka vibaya sana . Basi nilivyomaliza kumtunza shoga. Nikaludi kukaa na wenzangu tunakunywa bia apo iyo saa 4. Aisha akanmbia shoga hamadi anaipigia sana nikamwambia zima simu asitusimbue msenge uyo.weee pomba zishanijaa kichwani mie. Basi ashaa akazima simu tukaendelea kunywa uku shuguli inaendelea .likapigwa tarumbuta kama kawaida yangu nikaingia kati nilicheza jamani kama namcheza mwanangu. Nililuk kweli kweli. Yani nilicheza mpka nilihisi apa nimecheza leo .na nimelifaidi ili tarumbeta .basi shughuli iliiisha saaa 7 ndo mimi na asha tukatafuta boda . Mpkaaa saku kwetu ile tunafika tu nakuta gari ya hamadi ipo nje kapaki .
nikona kumekucha ila nikajikaza na pombe zangu nipo mbwiiii. Hamadi alivyoona piki piki akashuka.kisha akanifata na Hakutaka kuongea akanishika mkono . Akawa ananiingiza katika gari yani nimelewa mno.nikasema wewe vp bwana nijie kesho mi leo nimechoka .ila wala hakujibizana na mimi akaniingiza katika gari kisha akafunga mlango wa gari .
Hakuta ata kuongea na aisha akingia katika gari akaanza kuendesha gari uku kakasilika kinoma. Nilikuwa nimelewa na vile anaemdesha nikajisikia vibaya.sijuh ni arufu ya mafuta ama nini vikanitibua . nikaanza kutapika nakwambia gari zima nilijaza matapishi yangu mpka yeye mwenye nilimtapikia maeneo ya chini uku .ila hakuniuliza ata akaijikaza mwanaume akaendesha gari tukafika mpka mbezi nimeloa matapishi kudadeki🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA sehemu ya 30&31


Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media

Basi mie nikaongea na asha .akanambia shoga vijora vishafika nikamwambia changu nipelekee kwa fundi mwambie akitatue mpma mapajani na mgongoni kuwe wazi. kama kawaida yangu kesho nipo live apo. Akasema kakubali mpenzi kwani?.nikasema aah wapi kavimba kama chui kanambia marufuku kwenda kokote ila labda sio mimi. Mimi siwezi bwana .mimi saa 10 jioni nipo apo.mana shughuri ilikuwa usiku ukumbini saa 2 hivi. Ashaa akanmbia powa. Kama kawaida mwanaume akarudi jioni ila sikumchangamkia sana mimi nilikuwa normal tu.nikamuomba pesa akanmbia unataka sh ngapi.nikasema nataka laki 2.apo nna laki 9 nimeziweke nataka nikamtunze shoga yangu.wanione tajirrrr.iyo lako...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-sehemu-ya-30-31

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira-sehemu-ya
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*

856
*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA*

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*

496
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15

319
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15

247
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13

220
MY CRAZY BOSS 16

MY CRAZY BOSS 16

196
AFANDE MILLAN😎 1 na 5

AFANDE MILLAN😎 1 na 5

180
SHAMIRA sehemu ya 29&30

SHAMIRA sehemu ya 29&30

172
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.

157
SHAMIRA sehemu ya 30&31

SHAMIRA sehemu ya 30&31

101

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.37K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.13K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.73K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.17K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.57K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.37K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.3K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI Post Mpya
MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI
@majario LIVE

Sheila alikuwa binti aliyefanikiwa sana jijini. Alikuwa na kampuni ya uagizaji wa vipodozi na alikuwa akiishi maisha ya kifahari. Sheila alikuwa anajiandaa kufunga ndoa na Dr. Oscar, kijana kutoka...

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kiukweli uwaga namuogopa sana madam groly lakini safari hii imekuwa tofauti sana Tena sana. yaani sijasikia uoga wa aina yoyote fla na sikusikia Kuwa na wasiwasi juu ya uwezo...

SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33 Post Mpya
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Bai tumefika nyumbani akanishusha mwenye gari. akanikokota mpaka chumbani moja kwamoja akanipeleka bafuni nilichafuka na mapombe kama yote. Mwanaume akaniweka kwanza chini akaanza kunimwagia maji...

SHAMIRA sehemu ya 30&31 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 30&31
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie nikaongea na asha .akanambia shoga vijora vishafika nikamwambia changu nipelekee kwa fundi mwambie akitatue mpma mapajani na mgongoni kuwe wazi. kama kawaida yangu...

MY CRAZY BOSS 16 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 16
@majario LIVE

Siku moja nikiwa nimekaa boss alikuja ofisini kwa wafanyakazi wote ambapo mimi pia napendelea kukaa mahali hapo. "Nahitaji kuelekea kwenye party usiku wa leo najiuliza ni nani atafaa kunisindikiza, boss...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15
@majario LIVE

Aliendelea kunipa juice kwa utaratibu, huku anaaacha ananitizima nikitaka kuongea ananipa tena juice, aweee hii ilikuwa tofauti kwangu asee ilikuwa tamu kuliko ya siku ile, nilijikuta natoa ushirikiano hasaaa kwenye...

SHAMIRA sehemu ya 29&30 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 29&30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi aisha akasema sawa akasema sasa jambo ndo linakalibia na bado siku 2 tu kama una agaa anza kumbembeleza mapema.nikasema sawa shoga ngoja leo akirudi niongee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Kwaiyo Mr Marvel akahairisha kwenda eneo la pool, badala yake akamfuata Noela nyuma na kumuona akiingia chooni. Huko ndani Chooni, Noela alikua anatoa tu machozi kama hana akili nzuri. Moyo ulimuuma...

Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar Post Mpya
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
@majario LIVE

. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact. The story revolves around Radha, a poor village woman...

THE SECRET MESSAGE πŸ’¬05 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE πŸ’¬05
@majario LIVE

Alinitazama akiuma midomo yake akisema β€œChiddy unaweza acha pikipiki mahali, ukaingia kwa gari unisindikize mahali?” Niliona tayari fursa hii, nilitabasamu na kusema β€œbila shaka dada yangu mzuri.” Alitabasamu, basi kidume sikuwawia. Haraka...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13
@majario LIVE

"Wee nae nilikuwa nakwambia kila siku yule sio mwanaume, unaanza kusema ooh amenitolea barua, mimi nilijua tu hili litakuja litokee siku tuu yaani huyoo mkaaka ni mpuuzi sana kha! Mh...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.
@majario LIVE

19 MPAKA 20 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Mama akasema mungu wangu hajafanikiwa eewh hajafanikiwa. Nikasema ndio mama. Baraka akasema sio kweli shangazi . Mimi siwez kumfanyia hivyo shakira. Apo mimi...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*
@majario LIVE

"Habari za hapa?" Aliuliza Suzy baada ya kutufikia Mimi na pili. "Salama" Alijibu pili na Mimi Nikabaki nikimuangalia Suzy kwa dharau sana Maana huyu msichana amejua kuninyanyasa sana NYUMBANI kwao. "Nikusaidie nini Nilimuuliza Hapo pili akaniangalia...

So excited to see Akshay Kumar and Saif Ali Khan coming back together on screen! Post Mpya
So excited to see Akshay Kumar and Saif Ali Khan coming back together on screen!
@majario LIVE

If you grew up in the 90s, you know this duo was pure entertainment. From Main Khiladi Tu Anari to Yeh Dillagi, Tu Chor Main Sipahi, and Keemat, they gave...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
@majario LIVE

D alitoka hukoo kasi akataka kumpiga Veda Tinner akazuiaaa nae alitoka .. "Veda wewe kumbe ni mshenziii eeeh!!" Veda yupo kimyaa ananikata jichoo kaliii yaani hamtazami D anaembwatukia jicho lote lipo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest