Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
Gonga94 · Stories

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

*____________________________________*

*SEHEMU YA 11*


SONGA NAYO....................


Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye.

Mda huo tunatembea alikuwa akinisemesha kwa uchangamfu mnoo na kila alipokutana na mtu anaefahamiana nae alinitambulisha kuwa mimi ni mdogo wake .

Mtoto wawatu sikuwa na neno zaidi ya kuishia kutabasamu tu 😊 na safari ikaendelea dakika kadhaa mbele tukafika mwisho wa safari yetu, ambapo kulikuwa na nyumba kubwa iliyo choka kiasi flani.

Nilisimama huku nikiangalia mazingira ya eneo lile Alvin akaniita na kunambia " oya unashangaa hili jumba la dhahabu 😃 embu twende ndani kwanza uvute pumzi kisha urudi kuliangalia vizuri.

Maana ukiliangalia kwa macho yaliyojaa njaa na uchovu utaona kama kasri la kichawi"

Nilitabasamu na kumfuata tukaingia moja kwa moja ndani ambapo tulipita kwenye koldo moja ndefu kama njia ya kwenda mbinguni🤣, maana sio kwa urefu ule.

Kichwani nikawa najiuliza hii nyumba imengwaje na mbona vyumba ni vingi hivi 🤔, na niya familia au ya kutoa misaada kwa watu wasio na sehemu ya kuishi.

Niliwaza na kuendelea kumfuata nyuma Alvin ambapo alitembea hadi kwenye chumba cha mwisho kabisa ,akatoa funguo na kufungua kisha tukaingia ndani.

Akaweka nguo zangu chini na kukaa mimi nikabaki nazungusha macho kuangalia mazingira ya chumba kile , Alvin aliniangalia na kunambia " embu kaa bwana unashangaa kama mshamba "

Nilivyo ambiwa hivyo nilihisi aibu na kukaa chini huku macho yakiwa yanazunguka kumalizia kuangalia 🥲, basi Alvin baada ya kuona nimekaa akanambia .

"Sasa sikia ,hapa ndipo ninapoishi mimi na kwakua huna nauli ya kurudi kwenu basi itakubidi ukae hapa hadi pale itakapopatikana hiyo nauli"

"Jamani Alvin asante sana 🥲M/Mungu akubariki mnoo "

"Haina shida tuko pamoja "

"Aaah samahani ,unafikili mama yako ataweza kunipatia hela yangu 😥?"

"Mama yupi 😅 binti hiyo imeshapita yaani hupati hata senti, we chakufanya sasaiv ni kuanza kutafuta mavumba mengine "

Kuambiwa hivyo nilinywea na kumuuliza kwa upole sana " Sasa nitaipataje ile hali sina kazi wala ndugu yoyote 😥?"

Kwa huzuni aliniangalia kwa sekunde kadhaa na kusema " usijali nitakusaidia japo sina hela wala mishe siunajua tena bado mwanafunzi ,ila nakuahidi nitapambana kwaajili yako sawa mrembo😊"

Maneno yake yalinipa matumaini na kunifanya nitabasamu na kubaki nikiangalia chini kuficha machozi yaliyojaa machoni 🥺bila kujua alishaona 🥲.

Kwa upole alinishika begani na kunambia " usiwe mwepesi kulia bhna ,sisi ni binadamu tumeumbwa kusaidiana na tafadhali wakati mwingine uwe makini sio kila nyumba ni salama kwako kuingia.

Wala si kila mtu mzima ana utu na huruma , mjini watu wanafanya mabaya ya kila aina ili tu watimize mipango /haja zao kwa hiyo hata tukitengana leo tafadhali kumbuka na uwe makini."

Niliitikia ndio kwa kutikisa kichwa huku nikifuta machozi na kurudisha mafua ndani 😪, Alvin aliinuka na kunambia " nakuja sasaiv"

Nilijibu sawa akatoka nje na kuniachia nafasi ya kuendelea kuangalia mazingira ya mle ndani .

Kulikua chumba kidogo sana ambacho ndani yake kulikuwa na kigodoro kidogo ,hakukua na jiko wala chombo zaidi chupa za soda zilizokaa kwakuzagaa karibu kila kona ya chumba.

Vumbi na bui bui walio kuwa wakining'ia hadi kwenye nguo vilinifanya nikainuka na kuanza kukung'uta nguo na kuziweka vizuri, nikatoka nje ya chumba kuangalia kama nitapata hata fagio walau nifagie.

Bahati nzuri chumba cha nne kutoka kile chetu kulikua na fagio ambalo liliegeshwa pembezoni mwa mlango.

Basi mtoto wakike nikatoka na kulifuata ,kufika nikataka kugonga ili niombe maana si vizuri kuchukua kitu cha mtu bila kuomba ila chumba kilikuwa kimefungwa kumaanisha hakuna mtu.

Nikaona kwakua nafagia chap na kurudisha acha nichukue tu ikitokea mwenyewe akarudi Kabla sijamaliza nitaomba samahani, basi nikachukua , ajabu ile napiga hatua kurudi nikasikia weeeee🗣!

Nilishtuka na kugeuka kuelekea nje ambako nipo sauti ilikotokea ,nikakutanisha uso na mwanadada kanishikia kiuno huku akiwa kaweka uso kama mtu aliekamuliwa limao.😬

Niliogopa nikataka kurudisha lile fagio akaniwahi na kusema "eeee✋️subiri kwanza mbona unaharaka ya kurudisha 😏"

Aliongea na kupiga hatua kuingia ndani akaja hadi karibu yangu akawa ananiangalia kwa kunichunguza mwisho akaniuliza " we mgeni ee!!?"

Nikajibu "ndio ,samahani kwakuchukua fagio lako bila ruhusa yako nili........!" Kabla sijamaliza alinikatisha na kusema .

"Haina shida nilijua ni hawa vishtobe maana kazi yao kutumia vitu vya wenzao kununua vyao aaah 😏, mh nambie shoga umehamia hapa au umeletwa na bwana ?"

Neno umeletwa na bwana lilinifanya nikaguna badala ya kujibu ,akauliza tena " eti umehamia au umekuja kugawa dhambi 😊"

Kugawa dhambi ! kwanini nigawe dhambi kwamba naonekana kama mgawa dhambi au hapa kazi yao kubwa ni kugawana hizo dhambi😏 😐, niliwaza na kumjibu " hapana nimgeni wa Kaka Alvin "

Nilivyo mwambia hivyo alionekana kushangaa na kuuliza "kaka yako Alvin 🤨,hapa kuna mtu anaitwa Alvin!?"

Oooh! Itakuwa anajulikana kwa jina lingine na kwanini anakazana kuniuliza maswali kama shida ni fagio lake si achukue tu 😏😒 "aaam! Namaanisha nimekuja na kaka yangu anaishi chumba kile cha mwisho "

Nilivyo mwambia hivyo alitabasamu😊 kama vile kaona furushi la hela 💰na kunambia "weee!🤗 usiniambie huyo bonge la Kaka ni kaka yako ? "

Aaah ni kaka yako wewe😒😏 niliwaza na kubaki nikitabasamu tu akanambia " Sasa sikia mrembo wangu we chukua fagio ukafanye zako usafi , alafu ngoja nikupe ndoo na dekio maana vumbi la humu ndani haliishi kwa fagio tu."

🤔Mbona kama nashobokewa ghafla alikuwa anamtaka Alvin nini maana shobo zimeibuka ghafla kama ushuzi wa usingizini 🙁😒.

Bwanaee bidada yule aliingia ndani akachukua ndoo na dekio akanipatia na maji juu ,nikapokea hapo uso nimeujaza tabasamu pana ila ndani huku niliyokuwa nayawaza na kuongea ni Mungu anajua 😆.

Basi baada ya kupokea nilishukuru na kuondoka ,kidogo kidogo nikawa nageuza shingo kumuangalia vizuri 🥲 nikawa nawaza huyu ndo ile mbagala rangi tatu niliyoisikia au 🤔.

Maana kababuka ngozi kawa kenge si kenge mjusi si mjusi yaani yupo kama kituko cha taifa , si chai ya rangi wala maziwa wallah vipako vya bei rahisi vinajua kuniunguzia watu😆.

Maana hawezi kuniambia eti anaugonjwa wa ngozi hivyo ni vipako vilivyo mkataa ,mmmh anatisha bwana na sijui madhara ya vipako hivyo vimeenda kunyonya na kuvyonza mafuta na nyama za mwili.

Maana sio kwa wembamba ule ,vimiguu kama katuni wa kuchorwa ,sijasema vitako mmmh nifunge mdomo mie nisije nikaonekana ninaringa bure acha tuseme wote niwa Mungu😎.

Haya bwana nilianza kufanya usafi huku nikiimba nyimbo zangu za kilugha😊, kazi ikawa nyepesi kama kumsukuma mlevi ,chezea kazi na mziki wewe😇 ni full vibe .

Dakika 30 zilinitosha kuweka kila kitu sawa , nikarudisha vitu vya watu kwa moyo wa shukrani na kurudi kukaa , bwanawee nimekalisha nyama zangu chini hata dakika mbili hazijaisha nasikia mlango unagongwa.

Nikasema ingia, kimya nikasema tena ingia kimya ,nikahisi huenda ni watoto so nikatulia mara ukagongwa tena nikaona eeeh ni majini au misukule 🤔.

Haraka nikainuka na kwenda kufungua ajabu nafungua tu napokelewa na sura ya bidada mwenye rangi tatu zake mjini, uso wake ulikuwa na tabasamu nono hadi nikashangaa 🧐.

Uliza basi kipi kilicho mleta hadi anagonga na kukaa kimya kama hana sauti, 😏bila kuongea aliangalia ndoo yenye maji aliyokuja nayo na kurudi kuniangalia huku akitabasamu na kupepesa macho kama vile ananilembulia 🧐.

Nilimuangalia like huyu vipi ni dishi ama ana kitu anachokitaka kwangu 🤨, kwa sauti ya chini isiyo onesha maswali wala wasi wasi nikamwambia.

"Karibu dada😊" akajichekesha na kusema " Asante mwaya ,nimeona nikuletee maji uoge maana utakuwa umechafuka 😊"

Mmmmmm! Huu ni ukarimu au natengezewa mazingira ya kuingizwa mitegoni 😐🤨maana sielewi ,maji ya kuoga 🤔 okay acha nione yajayo huenda nawaza sana .

Niliwaza na kushukuru kisha nikayachukua na kutaka kuyaingiza ndani akanishika mkono kunizuia na kunambia " nivyema kama ungeenda kuoga sasaivi 😊"

Okay 🤨hii inaanza kutisha sasa hadi mda wa kuoga ,embu ngoja huyu dada anaweza kuwa mganga nini 🤔 na kama ni mganga anataka nini kwangu nyota?

Aaah kama ni nyota kaangukia pua hii nyota itamletea makasumba hatakaa aone auheni nyota yangu mimi 😅aaah aulize historia yangu kwanza asije kukanyaka kinyesi .

Haya acha nimpe anachotaka " aaam sawa ngoja kwanza nichukue kanga basi " niliongea nikajua ataitikia sawa na kuondoka ila aliitikia na kubaki amesimama huku akitabasamu ty.

Kwa mashaka niliingia ndani nikavua nguo na kujifunga kitenge kisha nikatoka na kumkuta bado kasimama ,nikachukua ndoo na kuomba anielekeze lilipo bafu akanipa maelezo .

Nikashukuru na kupiga hatua kulifuatia bafu , hatua tatu tu akaniita kugeuka akanyosha mkono uliokuwa na sabuni na kusema " shika sabuni"

Na hii tena 😦😦

SEHEMU YA 12

SONGA NAYO.................

Nilipokea na kwenda bafuni ,kufika nikakuta kuna maji mengine kwenye ndoo, naona ndo wanayotumia watu , sasa nikaona huyu mtu si wa kumuamini kirahisi hivi.

Bila kufikilia mara mbili mbili niliacha maji aliyonipa na kuoga yale niliyokuta ,sabuni pia sikuitumia nikailowanisha tu kisha nikamimina yale maji kwenye ndoo niliyoikuta mle na kutoka.
Ajabu ile nimetoka nakuta kasimama hatua kadhaa kutoka ulipo mlango wa bafu, nilimuangalia kwa macho yenye kiulizo 🤨akacheka tu.

Ukweli sikumuelewa na kwa namna flani nilipata uoga,yaani kwanini anipe maji alafu aje kusimama karibu na bafu ina maana anataka kuhakikisha kuwa naoga kweli au?🤔

Na kwanini afanye hivyo🤨 aaah huyu atakuwa mchawi aisee yaani hii si ya kupinga maana duh😐,niliwaza na kumrudishia sabuni yake kisha nikaingia ndani yeye akabaki nje .

Baada ya kuingia ndani nilivaa haraka Alvin asije akaja akakuta sijavaa yakawa mengine 🥲, basi bwana baada ya kuvaa nilikaa kumsubiri .

Bahati nzuri hakuchukua mda akawa amerudi akiwa na chips mayai mbili pamoja na soda , nilipokea na kutenga tukazifinya kwanza .😋

Na baada ya kumaliza ikawa ni story kwenda mbele , Mda ulienda usiku nao ukawa mrefu nikawa nasubiri aondoke ili nilale ila ndo kwaanza alizidi kuongea wala hakuonesha dalili ya kuondoka. 🥴

Niliendelea kuvumilia huku nikipiga miayo ya usingizi 🥱 nae kama jinga lisilo weza kujiongeza hata kwakusoma picha 😏 likawa bize kuongea hadi usingizi ukanichukua kabisa.

Nililala nikaja kushtuka baada ya kuhisi kuguswa na kitu mapajani, niseme tu yowe nililopiga lilitosha kukimbiza mende wote waliokuwa ndani ya chumba na mipaka ya jirani😆😁.

Alvin alishtuka na kuniuliza " we nini mbona unapiga mikelele hivyo 😦"

Haraka niliinuka huku nikijitengeza sketi yangu vizuri na kumuuliza " ulikuwa unataka kunifanya nini 🤨?"

"Kukufanya nini ukimaanisha nini ?"

"Wewe acha kunijitoa ufahamu nimesikia kitu cha baridi kinanigusa hapa"

Nilivyo sema hivyo Alvin alicheka na kusema " Okay kwahiyo una maanisha mimi nataka kuku...embu acha ujinga wako me nilikua nachukua mto kwa bahati mbaya nikakugusa ila haina maana nilitaka kufanya ujinga na wewe.

Kwanza uondoe hayo mawazo ya kipumbavu akili mwako ,me siwezi kufanya upuuzi kwako."

"We muongo mto ulikuwa mbali na mimi sasa mapajani mwangu umefuata nini "

"We bwanaee acha ufala wako basi, nimesema ni bahati mbaya ila naona unanikomalia , na nikwambie kiufupi tu we sio mambo yangu hata nitamani kufanya loloye na wewe.

Yaani unajiona hivyo ulivyo sina kitu ninachoweza kutamani hata kimoja ,kwa hiyo kua na amani kabisa na kama hunioni au kunichukulia kama kaka yako basi nione kama rafiki yako ."

Aliongea na kujilaza,, nilibaki namuangalia kwa sekunde kadhaa Kisha nikamuuliza " huoni kama si sahihi kulala na mwanamke kitanda kimoja ?"

"Si sahihi kivipi na imeandikwa wapi ?"

"Sio swala la kuandikwa wapi ila sote tunajua kuwa si sawa "

"Wewe embu rudisha mwili wako hapa ulale , me nimesha kwambia wewe ni rafiki yangu mbali na kuwa rafiki yangu huna chochote cha kunifanya nikutake .

Embu ngoja niamke labda naongea lakini sauti inaishia tumboni, sikia me mwanamke mnene sio mambo yangu kabisa tena sifagilii hata kwa dawa .

Licha ya hivyo sichanganyagi urafiki na mapenzi, so wewe kwangu ni rafiki hata ungekuwa na vitu ninavyotaka bado nisingeweza kukusogelea kwasababu naheshimu urafiki wetu ,sawa kwa hiyo ondoa shaka "

Aliongea na kurudi kulala, nilisimama kwa mda mrefu huku nikijishauri nilale pembeni yake au nilale hata chini tu🤔.

Nikaona aawee mwanaume ni mwanaume tu acha nilale zangu chini nisije kutwa na kitu kizito bure 🥲, basi nikalala zangu chini .

Dakika mbili mbele Alvin akaamka na kunambia "oya acha ujinga basi ,sa ndo nini kulala chini ?"

Nikamjibu kuwa haina shida acha nilale hapa tu , alivyo mkorofi alikuja kunivuta na kunirudisha kwenye godoro nikataka kurudi akanishika na kunambia .

"Sipendi ubishi , kwa hiyo usitake kuniharibia usiku wangu sawa ?" Aliongea akionesha kuchukia sana ,nikawa sina jinsi zaidi ya kutulia .

Kishingo upande nikalala pembeni yake, mda ukasogea hatmae kukakucha kitu cha kwanza alinambia " haya umelala usiku mzima pembeni yangu vipi umemenguka nyama au kuna mahali pamepungua ?"

Sikuwa na jibu zaidi ya kukaa kimya ,akajiandaa pale na kuondoka me nikabaki nyumbani , sasa kama kawaida bidada mwenye rangi zake tatu akaendeleza upendo wake.

Akaniletea chai hadi chakula cha mchana , na kwa jinsi alivyo bana kuhakikisha nakula nilishindwa hata kukataa japo nilikuwa na wasi wasi maana so kwa kuchangamkiwa kule 😐.

Basi bwana siku zilisogea wiki mbili zikakata nikiwa bado naishi na Alvin, ambae alihakikisha napata chakula kwa wakati .

Na si chakula tu alihakikisha mda wote anaokuwa karibu na mimi uso wangu usikatike tabasamu , alinijali kupita kiasi hadi nikahisi ananipenda nini ?.

Maana sio kwa upendo ule aliokuwa akinionesha 😊, bidada mwenye rangi tatu zake mjini hazikuwa zikipanda tena na hii ni baada ya kujua ukweli kuwa mimi na Alvin sio mtu dada yake .

Hii ina maana alikuwa akinijali kwa sababu alitaka kumuonesha Alvin kuwa yeye anamoyo safi wa kuweza kuwapenda ndugu zake kwa maana hiyo apewe nafasi tu maana moyo wake ulishamzikia chalii kitamboo 😃.

Bahati mbaya Alvin hakuwa na mda nae hata kidogo kwa hiyo hasira zake zooote akazihamishia kwangu 😏 ,niseme tu kwa huyu dada ndo nilikoona rangi halisi ya wadada wa uswazi.

Mamaa nilikuwa nasuuzwa mie ,vijembe vya wazi wazi na taraabu za mipasho ndo kitu ilikuwa inatamba tu , Wardah mie nisie na damu wala chembe chembe za uswahili.

Nilikuwa zangu bize na mambo yangu wala sikuwahi kujisumbua kwa lolote ,,yaani ni full amani ☺️☺️.

Basi bwana baada ya siku 21 kupita Alvin alirudi nyumbani kama kawaida nikampokea matunda aliyo kuja nayo , nikayaandaa tukala na baada ya kumaliza akaanzisha maongezi kwa kunambia.

"Wardah , nimefanikiwa kupata nauli ya wewe kurudi nyumbani,ila kuna jambo ambalo litahitaji uamzi wako ?"

Maneno yake yalinifikilisha kwa sekunde kadhaa huku nikijiuliza itakuwa nini 🤔, kwa sauti iliyojaa hofu nikauliza " jambo gani tena 🥲?"

Kwa uso uliojaa tabasamu lenye maumivu akanambia ...................

SEHEMU YA 13

"Kuna kazi imepatikana "

"🙄jamani umenishtua nikajua labda ni kitu kikubwa "

"Kupata kazi sio kitu kikubwa ?"

"Inategemeana ni kazi gani ,hata hivyo sihitaji kufanya kazi kwa mtu tena "

"Kwa hiyo uko tayari kurudi kijijini ?"

"Yeah na ndio nilichokuwa nikisubiri kwa wakati wote huu si ndio?"

"Yeah, lakini Wardah sidhani kama nisahihi kwako kurudi nyumbani maana najua huko hakuna future yoyote zaidi ya kwenda kupoteza mda.

Sikia najua unaweza kuwa umekosa amani juu ya watu ila safari yako bado mbichi sana ,unatakiwa upambane kujikomboa "

"Nakuelewa lakini naweza kujikomboa nikiwa kwetu kwa hiyo naondoka ?"

"Hapana huwezi , Wardah sijawahi kufika kwenu lakini kutokana na historia yako niamini mimi unatakiwa uwe mbali na mji wa baba yako .

Si kwa ubaya ila ndio njia pekee itakayo kufanya ufanikiwe , kumbuka ulitamani sana kusoma kumbuka maisha uliyokuwa ukiota kuyaishi je unafikili kurudi kuwenu kutakamilisha yote hayo?

Jibu ni hapana huwezi ,na ndio maana nakushauri tafadhali baki ,mimi niko tayari kuwa ndugu yako katika mji huu na kila mara utakapo hitaji support yangu nitakuja.

Ila tu uniahidi kwamba hautakata tamaa, wala hauta uza ndoto zako kwa uoga bali utapambana kwa jasho na damu kuyafikia maisha yale uliyohitaji "

Maneno yake yalifanya nikatabasamu na kumuangalia kwa mda kisha nikamwambia " unaongea kama rahisi vile ,lakini sio rahisi kama unavyodhani, Alvin ! dunia ya leo kufikia malengo pasipo kuwa na mgongo au bega la kuegemea ni ngumu sana .

Na unajua wazi sina mama sina baba sina kaka wala dada ambae naweza kumpigia leo nikamwambia nahitaji kitu flani au msaada flani nikasaidiwa.

Alvin niko peke yangu na ndio wadogo zangu wapo lakini kwa asilimia mia 💯 hawana msaada wowote kwangu wala mimi sina msaada wowote kwao.

Tupo kama hatupo zaidi niseme tumekuja kuwasindikiza wenye maisha kuishi maisha yao, hivyo naomba usiongelee lolote kuhusu ndoto zangu.

Maana nikama unachimbua donda lililokuwa linaelekea kupona "

"Hapana Wardah maisha hayako hivyo, na tambua kua kufanikisha ndoto zako hakuhitaji familia yako bali ni Mungu na juhudi zako "

"Unataka kunambia watu wote ambao hawajafanikiwa hawajitumi au kumtegemea Mungu ?"

"Sina maana hiyo wala siongelei watu wengine naongea na wewe , Wardah sio kila mtu aliefanikiwa alifisaidiwa na familia wala si kila aliefeli alikosa familia ya kumshika mkono.

Bali kitu unachotakiwa kujua nikuwa kila mmoja ni main character kwenye story yake mwenyewe , na ukiwa kama main character huhitaji mtu mwingine kuandika story yako.

Ni wewe ,kesho yako inaandikwa na maamuzi na matendo yako ya leo ,,vile vile mafanikio huja kwa maamuzi na upambanaji wako .

Embu nione mimi sina baba ,mama yangu ndo yule ni mama kwa kuzaa ila si mama katika malezi , hajali kesho ya watoto wala sifa katika jamii zaidi amegeuza mwili wake kama kitega uchumi.

Je umeshajiuliza ni naishi vipi katika dunia hii ile hali kila mmoja ananinyoshea kidole na kuniita mtoto wa malaya ? ,, au unafikili nafurahia kusikia na kuona yote hayo?.

Okay tuachane na hilo, Wardah mimi sijawahi kupata au kuhisi upendo wa mama wala wa baba japo nimekuwa nikiwaona .

Na ndio wote si masikini lakini pesa zao hazikuwahi kunifikisha kokote kwenye maisha yangu, zaidi nimekuwa nikipambana mwenyewe na kuhakikisha naishi maisha ninayotaka .

Sasa niambie tofauti yangu na wewe ni ipi ? Hakuna na ndio maana nakwambia pambana ufikie malengo yako wala usiwaze sijui sina mtu wala sina hiki, aaah huhitaji mtu aje akufanikishe .

Bali Mungu na juhudi zako baasi ,kwa hiyo nakuomba sana baki , kama unaona ni haraka sana unaweza kufikilia ukipata jibu nambie ila ushauri wangu ni huo fanya kazi."

Nilikaa kimya kwa mda mrefu kisha nikamuuliza " Unahisi hiyo kazi itakuwa salama kwangu ?"

"Asilimia mia ,na nimekutafutia mwenyewe kwa hiyo ondoa shaka utakuwa salama "

"Okay ,ni kazi gani?""

"Kazi za ndani?"

"Oooh😔" nilijibu na kuinama kwa huzuni , ukweli moyo wangu haukuwa tayari kurudi kwenye kazi za ndani tena 😪.

Alvin alinishika mikono akaniinua uso wangu na kunambia " tafadhali usiwe mnyonge wala usiogope , Wardah niko na wewe leo na hata kesho ila tafadhali usikate tamaa .

Maana moyo wangu unatamani kuona ukifurahia maisha ya ndoto yako ,tafadhali sana usininyime kuliona hilo "

Yalikuwa ni maneno mazito yenye hisia kali kiasi cha kunifanya nishindwe kujizuia na kujikuta nalia 😭,Alvin alinivutia kwake na kunikumbatia akawa ananipapasa mgongoni taratibu huku akinambia .

"It okay utafika nakuamini " 😪🥲 nyie maneno yake yalizidi kuniliza 😭 nilijihisi tofauti kwa kiasi ambacho siwezi kueleza 🥲 ndoto zangu zilizokuwa zimefunikwa na wingu zito la kukata tamaa ..

Wingu lilianza kufifia taratibu na mwisho zikaonekana na kurudi kutanda kwenye kuta za moyo wangu , kiu iliyokata nayo ikarejea kwa kasi .

Basi bwana baada ya kulia kwa mda mrefu nilijitoa kwenye kumbato taratibu nikataka kujifuta machozi akanishika mkono kunizuia na kunifuta yeye mwenyewe tena akiniangalia usoni bila hata kupepesa jicho pembeni. 😊😊

Angalia yake ilifanya nijihisi aibu ,nikaangalia chini akaniinua uso taratibu na kuniita "Wardah " nikaitika kwa kuguna " mmm!"

Akanambia "niangalia usoni " nikamuangalia kwa aibu aibu akanambia "we ni mzuri na nimrembo sana "

Nilitabasamu na kuangalia chini kwa aibu 🤭kisha nikamuuliza "kweli ?"

Akajibu " yeah kweli " nilijibu asante na kutaka kuinuka ajabu alinivuta kunirudisha kisha aka....................

SEHEMU YA 14

SONGA NAYO ...................

Akanambia " niahidi kwamba hautabebwa na upepo wa dunia "

"Nakuahidi 😊"

"Kweli au unaongea tu "

"Kweli ,na wewe niahidi kitu kimoja "

"Kitu gani hicho ?"
"Niahidi kuwa utakuwa rafiki yangu kwa siku zangu zote " nilivyo sema hivyo alitabasamu na kusema.

"Nakuahidi nitakuwa zaidi ya rafiki si leo si kesho bali siku zangu zote " wote tulitabasamu na kubadili mada tukaongea mengine ,mda ulienda na siku ikaisha .

Kesho yake jioni baada ya kurudi nyumbani aliniomba twende tukaonane na huyo boss anaehitaji binti wa kazi , sikuwa na pingamizi nikajiandaa kisha tukaongozana .

Haikuwa karibu hivyo ilitubidi kupanda usafiri wa Umma ambapo tulitumia saa moja na madakika yake ndipo tukafika sehemu husika.

Kama kawaida nikageuza macho yangu huko na huko kuangalia mazingira ya mji ule , kwa sauti ya ndani nikasema " mmm! Hapa nipazuri kuliko hata kule "😊

Basi bwana baada ya kukaribishwa kwa ukarimu wa hali ya juu tulikaa kusubiri mwenyewe afike maana tuliambiwa ametoka kidogo.

Ili kupoteza mda tukaona tujiweke bize kwa kupiga story zetu huku matani na vituko vya hapa na pale vikiendelea ,mda ulienda zikapita kama dakika 50 hivi tukasikia geti likifunguliwa.

Wote tukakaa kimya maana tulihisi aliefika ni mwenye nyumba, na kweli baada ya mda mfupi mlango ulifunguliwa akaingia mwana mama wa makamo kiasi cha kuuelekea utu uzima .

Wote tukasimama na kumsalimia akatukaribisha na kuomba msamaha kwa kuchelewa , Alvin akamjibu kuwa haina shida .

Basi baada ya hayo kupita mama yule aliniangalia na kumsemesha Alvin,"bila shaka huyu ndo binti uliesema utaniletea?"

Alvin akajibu" ndio madam ni huyu "

"Okay ,,binti karibu nyumbani kwangu jisikie huru kabisa "

"Asante madam "

"Karibu! Mh unaitwa nani?"

"Wardah ndio jina langu "

"Oooh Wardah,, we ni mwislam eeh?"

"Ndio "

"Okay haina shida ,aaam nadhani ndugu yako ameshakwisha kukueleza kuwa nakuhitaji ili unisaidie majukumu ya nyumbani "

Nilijibu ndio akanieleza taratibu za nyumba yake pamoja na majukumu yangu kisha tukakubaliana kiasi atakacho nilipa na baada ya hayo yote kuzungumzika tuliaga kurudi nyumbani.

Maana sikuja na nguo kwasababu ilikuwa anione kwanza kisha akishalidhia ndo nirudie nguo , hivyo baada ya makubaliano kupita tukarudi nyumbani.

Siku hiyo ikapita kesho yake asubuhi na mapema nikakusanya kila kilicho changu Alvin akanisindikiza hadi sehemu yangu ya kazi , ngoma ikaja kwenye kumuaga 🥲, mdomo ulikuwa nzito kusema byee moyo ndo kabisaa haukutaka kukaa mbali nae hata kidogo 😪.

Kilichotokea hapo nikilio kama naenda kuchinjwa vile 🥲😪, Alvin akanibembeleza wee lakini wapi machozi yaligoma kukata kabisa 😪😪 na ukiniuliza nini kilikuwa kinaniliza ni nini wakati nilipaswa kufurahi kuwa nimepata kazi.

Jamani mazoea 😪 nimemzoea mnoo huyu kijana , yaani amekuwa mtu ambae anafanya najisikia salama awapo karibu yangu na ni mtu pekee aliefanya nijihisi wa thamani .

Sasa leo naenda kuwa mbali nae 😪aaah niacheni nilie tu 😭 maana nani anaejua 🤷‍♂️kama kesho tutaendelea kuwa marafiki 🥲vipi kama mkata kamba atapita na urafiki wetu kwa kigezo cha kuwa mbali au ubize 😪🥲 .

Roho inauma jamani 😪 ila basi tena sina namna haya ndo maisha 😪, kwa huzuni nilifuta machozi na kumpungia mkono wa kwakheri 👋 na yeye akanambia byee 👋na kunipa kisogo😪.

Nyie nilitamani kumkimbilia 😪lakini sikuweza nikaishia kugeuka na kila mmoja akapiga hatua kwenda mbali na mwenzie😪😪🥲.

Nikaingia ndani na yeye akatoka nje ya geti, kichovu nikakaa kwenye sofa , Daria binti wa boss wangu akiwa ameshika begi langu alitabasamu na kusema.

"Basi dada usiwe kama unaomboleza ,hamjaachana bali mtaendelea kuonana"

Sikumjibu kitu zaidi ya kufuta machozi huku nikiangalia chini , mara nikakumbuka kitu haraka nikainua uso na kumuangalia Daria usoni akataka kuuliza kitu ila kabla hajauliza niliinuka haraka na kutoka nje mbio 🏃‍♀️ .

Nilikimbia hadi nje ya geti nikawa naita Alvin 🗣 bahati mbaya alikuwa amefika mbali kidogo nikaona hata siwezi kuacha uaende hivi nikaanza kuzichanja mbuga huku nikiita Alvin 🗣

Mbio zangu hazikuzaa matunda kwani ile namuona tu ndo akawa anaondoka na boda boda 🥲, nilisimama kichovu sana 😔 kwa huzuni niliangalia kacha niliyovaa mkononi na kusema.

"Nilitaka nikupe hii kama zawadi na ukumbusho wangu kwako 😔😪" niliongea kwa huzuni sana hadi machozi yakanitoka .

Basi kwa huzuni niligeuka nyuma ili kurudi ndani ila nikashtushwa kuona kijana kasimama nyuma yangu huku akiniangalia , nilimuangalia kwa jicho la hasira na kutaka kumpita ajabu akasimama mbele yangu kunizuia na kusema.

"Samahani" sikuona sababu ya kuitikia samahani yake kwanza siko kwenye mood ya kujibu mtu saizi😏.

Nikataka kuondoka akanizuia tena 🙁, nilichukia nikataka kuongea ila akaniwahi na kusema " naweza kupokea hiyo zawadi kwa niaba yake ?"
Kwa sauti isiyo na masiala nikamjibu " tunafahamiana 🙎‍♀️😠" pamoja na kuongea huku nikionesha sitaki mazoea ya kijinga , alitabasamu na kusema.

"Sawa kama hutaki kunipa acha nikupe mimi kwa niaba yake ,maana najua hata yeye anatamani angekuachia kitu "

Aliongea na kutoa chocolate mfukoni na kunyosha mkono kunipatia huku akisema " hii ndio zawadi yangu kwako ila kwa niaba yake "

🙄ila watu wengine bhna yaani una mparamia mtu usomjua na kujichetua namna hii ,😏nilitamani kuachia sonyo ila nikaona haina maana nikaona acha niondoke zangu.

Ila kwa mara nyingi akasimama mbele yangu kunizuia na bila kutegemea alishika mkono wangu kilazima na kuweka ile chocolate kwenye kiganja changu na kuifunika kwa mkono wangu wa pili.

Sio siri nilichukia 😡, kwa hasira nikataka kujitoa mkono wangu kwake ila kabla sijafanya hivyo nikasikia sauti nyuma ikiniiya "Wardah "

Haraka niligeuka na kukutana uso kwa uso Alvin akiwa amekunja uso kwa hasira 😠.

SEHEMU YA 15

SONGA NAYO...................
Haraka niliitoa mikono yangu kwa kijana yule na kusema " A aalvin umerudi " niliongea kwa hofu iliyoambatana na kigugumizi.

Alvin hakujibu akanishika mkono na kutaka kunirudisha ndani sangap yule kaka asimzuie na kusema " hata kama umerudi si vyema zawadi kurudishwa ,Wardah pokea zawadi yako"

Aliongea na kutaka kunipa kwakunishikisha mkononi Alvin akamuwahi na kuichukua ,bila hata kuongea akanishika mkono hadi karibia na geti la kuingia.

Umeanza kufanya nini ndio lilikuwa neno la kwanza mara tu alivyo niachia mkono, nami kwa upole nikamwambia " samahani si mfahamu hata hivyo nilikuwa nakukimbilia "

"Haitakuwa mara ya kwanza kukawambia kuwa makini , kumbuka una malengo makubwa sana "

" Nakumbuka yote ,mh achana na hiyo nilikuwa nimekuletea zawadi🥲 " niliongea huku nikivua ile kacha mkononi mwangu na kushika mkono wake nikamvika.

Baada ya kumvika aliuangalia mkono wake kwa mda na kusema ," Asante haya urudi ndani sasa maana nimerudi baada ya kusikia sauti yako ikiniita "

"Ooh sawa asante na byee " alijibu poa nikaingia ndani ya geti na yeye akaondoka 🥲, Daria alikuwa amesimama hatua kadhaa kutoka geti lilipo ,alipoona naingia tu akacheka huku akikung'uta mikono.

Sikumuuliza nini kinacho mfanya acheke maana nilihisi ameona kilicho tokea nje japo hakuna lakuchekesha, ilanilivyo mfikia nikasema " samahani nilisahau kumpatia Alvin kitu ndo maana nimemkimbilia"

"Haina shida 😊,ila dada una dakika chache tu hapa tayari ushaanza kunifanya nione mambo ya kina jumong live, sijui huko mbele kuna nini 😄"

"Una maanisha nini !"

"Hamna ila unamjua yule kaka aliekupa chocolate 🍫?"

"Namjuaje na nimefika sasaiv😒"

"Okay, kwakua ndo umefika na mimi ndo nimekupokea nitakuwa mwenyeji wako kwenye kila kitu na kama hutojali tunaweza kuwa marafiki 🥲"

"Sawa asante "

"Sawa asante ndo una maanisha nini 😏, sikia bhna kama unamadharau mimi na watu wenye madharau ni mbingu na ardhi🤨

Na sinaga shobo na watu ni kwamba nimetokea kukupenda tu baasi so kama unaona roho yako haitaki kuwa na urafiki na mimi sema mapeeema Sawa dada?"

Okay sitakagi kukutana na watu wenye roho mbaya kama yule binti mwa fulani ila huu urafiki mbona kama unalazimishwa 😒

Niliwaza na kusema " samahani sijadharau ila nimepokea ukarimu wako asante "

"😊haina shida ,sasa twende ndani nikakupe mambo ya humu na vitongoji vyake " alinishika mkono tukaingia hadi kwenye chumba ambacho niliandaliwa .

Kufika akakaa kitandani na kusema "Sasa iko hivi yule ngoja kwanza nianze na mimi, aaamn kama ulivyo sikia naitwa Daria ni mtoto wa pili nina miaka 20 niko chuo mwaka wa kwanza.

Napenda kula kila kitu, kuvaa nguo nipendazo ni vipensi na vigauni vifupi, rangi yangu pendwa ni purple .

Haya yangu ni hayo ,sasa nikupe ya mtaa 😊."

Aliongea na kuinuka akatoka nje ya chumba na kurudi na maji kwenye chupa ndogo, akanywa fundo moja na kurudi kukaa kitandani kisha akaendelea kusema.

"Mh tuendelee nilitaka nilainishe koo kwanza , kwa hiyo kuhusu yule kaka uliekuwa umesimama nae anaitwa Samuel anakaa kwenye huu mjengo ulio pakana na sisi .

Na humo ndani wako wakaka hawa watatu, mkubwa wao yuko nchi za watu huko na huyo ni kisu tena kisu kikatacho kuwili maana so kwa handsome ule .

Wa pili ndo huyo Samuel kama unavyomuona kijana wawatu kapanda hewani , rangi yake na muonekano wake ndo kama ulivyo uona .

Naona kwenye maxsi za uhandsome atapata 8/10 huku huyo kaka yake akishikilia zoote 😊, haya kuna huyo wa mwisho yeye nae ni niwa moto hajapishana na huyu Samuel.

Sasa ukiachana na hao vijana wa mzee Watson kuna hili jengo la upande wa pili humu napo kuna wakaka hao wawili ✌️ dada dada nimekuita mara mbili kama walivyo wawili.

Nasemaje hao ni viwembe vya rungu kwanza rangi zao ni za maji ya mchele ,mionenakano ndo kabisaaa ,sasa sifa yao kuu ni umalaya hao ukijichanganya kidogo tu unapitiwa na unaachwa mchana kweupeeee.

Sasa ujichanganye kije kukuta kitu niko pale sitakufuta chozi hata kidogo ,na nimesahau kukupa sifa za hao vijana wa Mr Watson ,, my friend hao nimkauzu kuliko jina lenyewe.

Yaani hawataki mazoea na mtu yoyote si wa kwanza wala wa mwisho japo yule wa kwanza kazidi wote, na naona wanaringa kwasababu hela kwao ni nyingi maana mtaa wote huu wao ndo wanaongoza nadhani hata mjengo wao unajionesha .

Basi sasa ukiachana hao, hiyo nyumba ya mbele hapo humo kuna wadada ni warembo balaa ila umalaya nao umelala pale "

Aliweka pozi akanywa maji ,nikaona eeeh huyu ataongea hadi siku ipinduke ikanibidi nijifanye nimelala maana sio kwa maneno hayo, mtu unaongea bila kumeza mate jamanii😐.

Basi baada ya kujifanya nimelala alikaa kimya akachukua maji yake na kuondoka , nikafungua macho na kukaa kitako .


ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*


*____________________________________*

*SEHEMU YA 11*


SONGA NAYO....................


Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye.

Mda huo tunatembea alikuwa akinisemesha kwa uchangamfu mnoo na kila alipokutana na mtu anaefahamiana nae alinitambulisha kuwa mimi ni mdogo wake .

Mtoto wawatu sikuwa na neno zaidi ya kuishia kutabasamu tu 😊 na safari ikaendelea dakika kadhaa mbele tukafika mwisho wa safari yetu, ambapo kulikuwa na nyumba kubwa iliyo choka kiasi flani.

Nilisimama huku nikiangalia mazingira ya eneo lile Alvin akaniita na kunambia " oya unashangaa hili jumba la dhahabu 😃 embu twende ndani kwanza...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-11-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji
*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*
*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112

1.18K
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

685
MY WANGU❤️ sehemu ya 113

MY WANGU❤️ sehemu ya 113

647
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 70...71💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 70...71💘💘

618
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

213
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4

118
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7

91
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

87
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6

80
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

68

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.22K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.97K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.33K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.32K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY 🦋 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa “ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic “rich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGU❤️ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYO…… “Wewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza “Huyu ni nani tena?” Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. “Sikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wake” nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6
@majario LIVE

Maneno ya Boda boda yalikuwa yananifikirisha sana, nikafika nyumbani sina hata rahaa, kila nikapiga sana simu ya D hakuwa anapokea nilipiga sanaaa hata hapokeii .. Usingizi hauji yaani kila nikikumbuka wale...

Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov Post Mpya
Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov
@majario LIVE

after talks with the Russian ambassador as it tries to extradite him back to face charges. “Working with the Ghana Police CID, we have activated international legal action through INTERPOL...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO...... "Uwiiiii mamaaa, sir nisamehe.." Alilalamika yule mwanafunzi. ( yani unaongea hivyo na mtu ambaye ananifanya nikose usingizi, nishindwe kula harafu unaongea unavyojisikia na mimi nikiwa hapa kabisa, pokea na hicho..) Nikamshushia kingine...

AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo Post Mpya
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
@majario LIVE

utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivyopangwa awali na kubainisha kwamba kanuni zinaruhusu. Akizungumza na chombo kimoja cha Habari...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest