Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
Gonga94 Β· Stories

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

By Babie Love
Tsap 0742133100

Anzaaaa

β€œ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye Ndio mmiliki halali wa hotel hiyo

Msichana wa kisasa kabisa mwenye hadhi ya kitajirii haswaa alikuwa na kila kitu alichokitaka yeye alikuwa nacho

β€œ Madam Camilla kuna faili unatakiwa kuweka saini yako kwaajili ya mzigo hapaa....” aliingia mmoja wa wafanyakazi wakee kwenye hotel Hiyo

β€œOkay wekaa hapa nitashughulikia hapo mara moja .....” alijibu Camilla huku akichukua faili hizo akasain kisha akasema

β€œ Afu nahitaji chumba kizur kwajili ya part kubwa kiasi kitengenezwee kwa maua hai sitaki bandia hakikisha hiloo Oky?!?”

β€œ Sawa madam nitampa mtaalam wa urembo wa chumbani hakika atafanya vizur sana ..” alijibu yule mfanyakaz

β€œ Vizur unaweza kwenda ..”

β€œ Sawaa madam..”

Yule mfanyakaz Alitoka moja kwa moja hadi kwa meneja wao na kumtaarifu kile madam alichokitaka

β€œ Sawaa ukitoka muite Mariana Ndio anaweza kufanya hiyo kazii...”

β€œ Sawaa meneja..”

Mariana ni mmoja wa wafanyakazi pale kwenye hotel ile yeye alikuwa kwenye sehemu ya upambaji ama dizaini mkubwa wa chumba punde tu baada ya usafi

Mdada huyu alikuwa mkarimu mno kwa kila mmoja wao wengi wa wafanyakazi walimpenda sana Mariana

β€œ Mariana unaitwa na meneja tafadhal ..”
β€œ Meneja tena!?!? Kuna nini?!?”
Ali uliza Mariana kwasababu alijua kuna shida sio rahisi mtu kuitwa na meneja hovyo hovyo

β€œ Kuna kazi hii hapa hivyo meneja anakuita kwaajili ya maelezo kamili kwasababu ni chumba atakachotumia madam Camilla..”

β€œ Ahaaha Sawaa ngoja niende...”

Mariana alitoka haraka ofisini kwake na kuelekea kwa meneja haraka

β€œUmeniita meneja?!?!!” Aliuliza punde alipofungua mlango
β€œ Ndio nahitaji chumba kizur ufanye kwa ufanisi maana atatumia madam Camilla nadhan unamjua sitaki makosa yatokee ...” alisema meneja na kumfanya Mariana atabasam na kusema

β€œ Usijali meneja sitafanya makosa nakuahidii..”
β€œVizur .....”

Baada ya kuchukua maelezo jinsi ya hicho chumba kiweje Mariana alitoka ofisini kwa meneja na kwenda Kufanya maandilizi ya chumba hicho
🌹🌹🌹🌹🌹🌹

β€œ Hello darling hujafika badoo?!!” Ali onekana Camilla akiongea na simu kwa madaha yote akiwa bado ofisini kwakee

β€œ Nina dk kadhaa za kushuka aridhini mpenzi najua umenimis sana ..” iliskika sauti yakiume maridhawa kabisa iliyomfanya Camilla aachie tabasamu zito kabisa

β€œ Hakika nimekumic mno na Niko na maandiliz safi kabisaa nakuja muda sio mrefu hapo uwanja wa ndege dear ...”

β€œ Okay ❀️ Nakupenda sana ..”

β€œ Nakupenda zaidi Brayton ..”

Camilla baada ya kukata simu alichukua pochi yakee kisha akatokaa nje ya ofisi yakee na kutoka nje ya hotel Hiyo na ku ingia moja ya gari ya kifaharii mno iliyokuwaa tayari na dereva ndani

β€œ Twende uwanja wa ndege haraka ...” alisema Camilla baada tu ya ku ingia kwenye gari hiyoo

Dereva bila kusitaa aliwasha gari na safari kuanzaa kuelekeaa uwanja wa ndege
🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Mariana tayari alikuwa bize kwa kuandaa chumba cha boss wakee kama alivyoambiwaa alitumiaa akili yakee yote kufanya kazi Hiyo hakutaka kufanya makosa kabisaa

β€œ Weka rangi za kuvutia sitaki taa za angavu sana zinaumizaa macho hizo slzitakii okay weka kila kitu Sawa tuna dk 10 kila kitu kiwe tayari...”alisema Mariana huku akiwa bize sana na jambo hilo

🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Baada ya dakika kadhaa ndege ilitua kwenye nchii hiyo na kuteremsha abiria wakee na mmoja wao alikuwa ni Mwanaume mmoja anaeitwaa brayton

Camilla alifurah alipomuonaa mpenz Wakee baada ya miaka mitano kupita alikuwa masomoni kipindi hicho

β€œ Waoooow dear...” alisema brayton huku akimkumbatia Camilla kwa mahaba mazito mno hapo uwanja wa ndege

β€œ Mmmh kipenz nilikumiss mno..” alisema Camilla huku akiwa kwenye kifua cha Brayton

β€œ Ndio nimefika sasa naona na wewe umekuwa mkubwa sasa..!?!”alitania kidogo Brayton na kumfanya Camilla acheke sana

Ndipo walipoingia ndani ya gari kwaajili ya kwenda hotelini

β€œ Ooho ni muda sana Camilla Una fanya kazi gani?!?!” Aliulizaa Brayton

β€œ Aah niko na kaz ni nyingi otea ni kazi gani?!?!”

β€œ Aaah labda n msimamiz wa kazi maana tangu shule ulikuwa kiongozi wetu...”

Wote walicheka huku wakikumbatianaa kwa raha mno huku gari ikingia hotelini hapo ila Brayton alionekana kushangaa kidogo na kuuliza

β€œ Camilla Mbona tunakuja Huku nilifikiri labda utanipeleka home kwanzaa nimechoka nahitaji ku pumzika dear...!!?”

β€œ Aaah kwani hapa hatuwezii kupumzikaa?!? Nimekumic unajua?!?”

β€œ Nafahamu ila au basi twende tyu ..”

Camilla alifurahi baada kusikia hivyoo ndipo waliposhukaa na kupokelewaa vizur kabisa hakuamini hata Camilla mwenyew kama utakuwa vile

β€œKaribunii...”alisema Mariana huku akiwapatia vinywaji baridiii kabisa
β€œ Asante sana..” aliitikia Brayton huku akichukua glass moja

Lakini cha ajabu na kilichowashangaza wote walikuwa palee macho ya Brayton hayakutoka kwa Mariana kabisa

Kitendo hicho kilimkera mno Camilla na kumgeuza shingo yakee huku akimuulizaa

β€œ Unamjua huyu?!?”
β€œ Hapana hapana dear kuna nini kwani?!?”

Camilla hakutakaa kumjibu zaidi alimshika mkono na kuelekeaa kwenye chumba alichokiagizaaa huko juu

Brayton baada ya ku ingia ndani alistuka baada ya kuona jinsi chumba kilivyo dizaini wa vizur kabisa ndipo akaulizaa

β€œ Mtaalamu gani kafanya hivi?!?”

β€œ Brayton usinichanganye kabisa ulichokifanya hapo nje sijasahau huwez fanya hivyo mbele ya wafanyakazi wangu huoni aibu wewe?!?” Camilla akiwaka tayari

β€œ Aaah mpenz wangu nisamee unajua yan sijui ilikuwaje ila nisamehe sana nakuomba nisamehee..” Brayton alikiri makosa na kumfanya Camilla atulie sasa na kumkumbatia akisema

β€œ Nakupenda usinichanganye tafadhal...”
β€œ Nakupenda pia usijal..”
🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Huku nje gumzo lilizukaa hadi kumfanyaa Mariana ahisi hofu sana maana Camilla anaweza kumfukuza kazi kabisaa

β€œ Yaan acha wanaume hawaa et katumbua macho kabisa kwa Mariana badala ya madam Camilla yaan ..” alisema mmoja wa wafanyakazi hapo ndani na kufanya wote wacheke mno

Mariana alikuwa pemben aliwatazama tyu maana kwa upande wake alikosa Amani kabisa kwa kile kilichotokeaa ndipo simu yake ilipoitaa alipotazama alikuwa mdogo wake a napiga

β€œ Hallo ..”
β€œ Dada utaweza kuja maana leo nimetoka mapema tu ..”
β€œ Aaah Isabel chukua tu tax’s Nina kazi hapa tafadhal mdogo wangu nitakukuta nyumban..”

Isabel hakujibu alikata siku maana alichukia kutokuja dada yake kumchukua hakuja kumchukua Kama kawaida yakee

Mariana alichanyikiwa kwa kilichotokea pale maana ana weza kukosa ajira ile inayomfanya apate mahitaji yote yake na ndugu yakee
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Wawili hao wakiwa kwenye chumba cha wapendanao wakipata raha zote za dunia ndipo simu ya Camilla iliianzaa kuita bila kuchelewa Camilla alipokea huku akimtazama Brayton usoni

Brayton anamfahamu vizury Camilla hivyo hakungoja kuambiwa ndipo akachukua begi lake na kutaka kuondoka ndipo Camilla akamzuia huku akisema

β€œ Brayton unaenda wapi sasa?!?”
β€œ Camilla nimekuja hapa kwasababu sitaki kuaharibu mood yangu leo afu wew umeshaaanza simu zako nakujua vizur utaondoka uniache hapaa na sihitaji hilo....” Brayton aliongea kwa upole sana

Camilla alimtazama kisha akasema

β€œ Ni kweli kipenz hii simu ni muhimu pengine kuliko wewe na lazima niondoke Ndio ..”

Brayton alimshangaa sana ndipo akamuuliza kwa mshangao sana

β€œ Unasema mimi sio muhimu kama Hiyo simu?!?! Camilla sihitaji ugomvi ila naona unataka kunikwaza kwanini?!?”

Camilla wala hakujibu alichukua pochi yake na kumkiss shavuni kisha akaondoka zakee

Brayton alishikwa na hasira mno maana penzi lakee linamtesa kweli kweli ukizingatia anampenda mno Camilla

Ndipo alipoagiza chupa mbili za kinywaji kikali kwaajili ya ulevi kidogo ..............

Itaendeleaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1


By Babie Love
Tsap 0742133100

Anzaaaa

β€œ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye Ndio mmiliki halali wa hotel hiyo

Msichana wa kisasa kabisa mwenye hadhi ya kitajirii haswaa alikuwa na kila kitu alichokitaka yeye alikuwa nacho

β€œ Madam Camilla kuna faili unatakiwa kuweka saini yako kwaajili ya mzigo hapaa....” aliingia mmoja wa wafanyakazi wakee kwenye hotel Hiyo

β€œOkay wekaa hapa nitashughulikia hapo mara moja .....” alijibu Camilla huku akichukua faili hizo akasain kisha akasema

β€œ Afu nahitaji chumba kizur kwajili ya part...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/black-butterfly-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi black-butterfly
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

622
*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini*

*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*

378
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

287
WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21

237
REALLY LOVE* *31&32*

REALLY LOVE* *31&32*

169
SHAMIRA 17,18,19,20

SHAMIRA 17,18,19,20

134
SHAMIRA sehemu ya 15&16

SHAMIRA sehemu ya 15&16

124
SHAMIRA sehemu ya 13&14

SHAMIRA sehemu ya 13&14

121
SHAMIRA 21,22,23,24

SHAMIRA 21,22,23,24

104
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10

101

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.31K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.06K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.15K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.55K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.37K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.35K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*
@majario LIVE

kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi kuhusi namimi hali yangu mbona hunijali alisema cathe kwa kumfokea baba...

SHAMIRA Sehemu ya 25&26 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi apo ndo maisha ya mimi na hamadi yakaanza. mwanzo nilikua simpendi sana ila siku zilivyooenda nikaanza kumpenda hamadi .mana nilikua naona anvyonipenda zile...

SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU Post Mpya
SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU
@majario LIVE

Nabii Yona (au Yunus) alipewa agizo na Mwenyezi Mungu kwenda mji wa Ninawi (Iraq ya sasa) kuonya watu waache maovu. Lakini Yona, akiona watu wale ni wakaidi sana, aliamua kukimbia...

MY CRAZY BOSS 11 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 11
@majario LIVE

"Asante sana Joy kwa kunikubalia kuwa wangu nakuahidi maisha bora kuliko unavyodhania, nitakupa maisha bora sana 😘😘😘". Nikamuangalia boss palee anavyojimalizaa ntafanyaje sasa ndo nsharopokaa mie acha tu niyakoge sina budi...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEA Camilla alipotoka palee alikwenda moja kwa moja kwa aliyekuwa rafiki yakee muhimu sana kuna mambo alitakiwa kuyaweka Sawaa β€œ Karibu Camilla..” Alikaribishwaa ndani β€œ Asant sana ..”...

Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo Post Mpya
Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo
@majario LIVE

pichani aliyesoma PCM alipata division 1.3 akiwa na A za juu katika masomo yote kuliko wanafunzi wengine wote wa michepuo mingine kitaifa. Alihitimu secondary ya Tosamaganga Kidato cha nne pia...

REALLY LOVE* *31&32* Post Mpya
REALLY LOVE* *31&32*
@majario LIVE

alifika mpaka chumbani akamkuta fahima analia ila mimba hizi yaani analia machozi kabisaaa nahasira sana hivi huyu nwanamke katokea wapi halafu baba asinichanganye mimi nawezaje kuwa na ndugu shetani kama huyu...

*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini* Post Mpya
*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*
@majario LIVE

Asubuhi na mapema Enzo akaamka na kwenda Nyumbani kwake, na Mimi nikaanza mandalzii ya safari, kwanza nikafua nguo ambazo zilikuwa chafu, kisha nikaanza kuchagua nguo ambazo nitaenda nazo safarini. "Kweli Enzo...

SHAMIRA 21,22,23,24 Post Mpya
SHAMIRA 21,22,23,24
@majario LIVE

sehemu ya 21&22 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafungua mlango wa gari nikaingia ndani akasema vp mamy .nikasema powa najifanya nimenuna nakwambia ahh wap uongo mtupuπŸ˜‚. Akanambia shamira unajua...

SHAMIRA 17,18,19,20 Post Mpya
SHAMIRA 17,18,19,20
@majario LIVE

sehemu ya 17&18 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Mala akafika ashaa.naona na yeye alitoka akakuta natandikwa sasa. akasema shem nn jamani ebu muache , akasema unaona uyu mwanamke alivyo mjinga yani...

SHAMIRA sehemu ya 15&16 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 15&16
@majario LIVE

Watsapp 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akanmbia ooh umelala kipenzi changu mbona mapema sana na uajua saa 5 lazima nikupigie jamani. nikasema sipendi kuzulula usiku baby kwaiyo naamua kupumzika mpema...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

β€œhivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… β€œ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

β€œ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema β€œ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest