Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3
Gonga94 Β· Stories

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

By Babie Love
Tsap 0742133100

Endelea

Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee

β€œ Mariana unaitwa na madam Camilla ofisin kwakee..” alikuwa meneja akimpa taarifa
β€œ Kwani kashafikaa...!?!”aliuliza Mariana
β€œ Ndio anakusubirii...”

Mariana hakupoteza muda alipandisha ngazi na kuelekeaa ofis ya Camilla na alipofika alifungua mlango na kuingia

Camilla alikuwa mezan kwake huku miguu ikiwa juu ya meza yakee akizungukuzungukaa huku peni mdomoni kwakee alikuwa na madaha mno

Mariana alijawa na hofu mno ya kupoteza kazi yakee ndipo Camilla alipomgeuzia laptop yakee ili atazame alichokifanyaa jana .

β€œ Sikuhizi umeanza kuwa na amri na mimi eeh?!?” Aliuliza Camilla

β€œ Hapana Hapana Hapana sio hivyo....”
Mariana alijitetea

β€œ Kimya.....” Camilla alifoka hadi alisimama sasa na kuongea kwa msikitizo

β€œ Sihitaji mfanyakaz kama wew mwenye kuingilia mamlaka yangu hii biashara yangu kazi ni moja tu na pia nakulipa ila sikuhitaji...”

Mariana alistuka sana kazi ile inamuhutaji mno hivyo akapiga magoti chini kabisa na ku muomba

β€œ Madam Sija fanya kubwa mimi Naomba hii kazi ina maana kubwa kwangu nategemewa na hii kazi madam please Nakuomba et ..”

Camilla alicheka kwa dharau jinsi Mariana alivyopiga magoti chini akimuomba sana

β€œ Labda nikuulize yule Brayton unamjua ?!? β€œ
β€œ Hapana ila niliona anatapata tabu Ndio maana nikampeleka Hospitali madam nakuomba Niko chini ya miguu yako usinifukuzee kazii..”
β€œ Toka ofisini kwangu toka...”

Camilla aliwaka kwelikweli na kufanya Mariana anyanyuke pale chini na kutoka nje ya ofisi ya Camilla huku akijifuta machozi maana kufukuzwa kazi sio jambo la rahisi sana

Aliumia mno huku akilia machozi taratibu alishusha ngazi ndipo alipokumbana na Brayton akiwa nae anakuja alipo

Haraka alijifuta machozi haraka haraka na kujiweka Sawaa ila Brayton alimuona akamuulizaa

β€œ Unalia nini?!?”

Mariana hakumtazama usoni zaidi alijibu huku akitabasamuu vizur tyu

β€œ Hapana kuna kitu kimeniingia jichoni hivyo niko Sawaa tu usijali...”

β€œ Basi Sawaa ila nshukuru sana kwa kile ulichokitenda jana asant sana ..”

β€œ Usijali ..”

Mariana baada ya kusema hivyo Ali taka kushuka ila Brayton Alimzuia kwa kumshika mkono ndipo Mariana alipomgeukia na kumtazama usoni .....

Mariana akimtazama Brayton kwa muda kisha akatazama ule mkono aliyokuwa ameshikwaa kisha akamrudia usoni mwake hakuwa na la kusema

Wakiwa kwenye hali Hiyo ndipo alipotokeaa Camilla na kuwakuta kwenye hali ile

β€œ Brayton nini kinaendelea hapaa?!?” Aliuliza camilla

Muda huo Mariana alichukua fursa Hiyo akaondokaa zakee na kuwa acha

β€œ Brayton nini Una fanya na wafanyakazi wangu eeeh ?!?” Camilla alianzaa kufoka

β€œ Hapana Camilla hakuna kitu hata wee ulikuwa unaona hapa hakuna cha zaid mpenz wangu eeeh ...” alisema Brayton huku akijaribu kumshika lakini Camilla alikataa akirudi nyuma na kumnyooshea kidolee

β€œ Brayton usinifanye mimi mtoto hivi wee mwanaume wa aina gani wew?!? Sikiliza Brayton huu upuuzi itafika muda nitachoka sitaki masihara unasikia wewe....”

Camilla alifoka haswa kisha akaondoka pale ila Brayton hakumuacha alimfata nyuma nyuma huku akiongea

β€œ Camilla nisikilize basi Camilla... Camilla...”

β€œ Hebu niache wewee eeeh ...” alifoka Camilla na kufanya baadhi ya wafanyakazi wake kuacha wanachokifanya na kuwatazama wao

Brayton alitazama jinsi wafanyakazi wake wanavyowatazama ila hilo hakujali Bado alisema

β€œ Camilla Nakupenda sana na siwez fanya unavyodhani wewe yule Ali nisaidia tyu please nielewee...”

β€œ Eeeh alikusaidia eeh vipi pale kwenye ngazi mmeshikana mikono kabisa eeh vipi nilikuwa mnasaidiana?!?” Camilla alidhamilia kabisa kwa ugomvi

β€œ Hapana sio hivyo Camilla hebu twendee...” Brayton Ali taka kumshika mkono ili waondokee ila Camilla hakutaka hilo alisogeza mkono wakee pemben kisha akasema

β€œ Sipend mazoea..” kisha akatoka nje ya hoteli Hiyo

Brayton kwa kiasi Ali ona Haya kidogo ila alijikazaa na kuondoka pale maana alijua amemkasirisha sana Camilla.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Mariana alishikwa na huzuni mno kiasi kwamba hakujua atafanya nini maana yeye mama na baba kwa Isabel mdogo wake
β€œ Dada Mbona unalia ?!?” Aliuliza isabel baada ya ku ingia ndani

β€œ Hapana Isabel nipo Sawaa eeh vipi maendeleo ya shule ?!?” Alijitahidi kuzungumza na mdogo wake huku akitabasamuu lakini moyo unauma mno

β€œ Shule kuko Sawa ila nakumbushiwa ada kila siku Dada fanya ukalipe Jaman...” alilalamama isabel

β€œ Sawaa mdogo wangu nitaenda mapema keshoo ..” alisema Mariana na kumfanya ndugu yake kufurahi mno
Bila kujua hali Dada ni ngumu mno
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
BAADA YA SIKU KADHAA
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Brayton baada ya kuona amemkasilisha mpenzi wake alikwenda supermarket kubwa na kumchukulia zawad nyingi tyu kwaajili ya kuomba msamaha kwake

Brayton siku Hiyo aliiandaa vema kwaajili ya Camilla pekee mpenzi wakee na baada ya kumalizaa alimpigia simu mara nyingi lakini hakupokea simu

Hakuchoka alipiga zaidi na zaidi lakini simu hakupokelewaa ndipo akaona kwanza aendelee na kaz nyingine baadae atampigia akaweka simu mezani .

Kwel akiwa na kazi nyingine ndipo aliposikia simu inaita na alipoenda kutazama ilikuwa ni Camilla Ndio anapiga akapokeaa

β€œ Kipenz?!?”
β€œ Brayton umepiga sana kuna nini?!?”aliuliza Camilla
β€œ Hakuna kipenz ila naomba uje tafadhal Nina zawad yako please....”
β€œ Okay nitapitia hapo maana nilikuwa naenda nyumban ila nitapitia hapo kwanza...”
β€œ Asante sana kipenz....”

Brayton alifurahi ujio wa Camilla maana anampenda sana tena mno
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Mariana baada ya kufukuzwaa kazi alianzaa kutafuta kazi sehem tofaut tofaut bila mafaniko na hali ilizidi kuwa mbaya kwakee

🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Camilla aliwasilii kwa Brayton saa 2 usiku hivi na kumkuta Brayton mwenye mwingi wa maandalizii kwaajili yake lakini hata alipoona hakustukaa kabisa

β€œ Ooho maandalizi ya nini Haya ?!?” Aliulizaa Camilla
β€œ aaah mpenz unajua nimekukosea hivyo nilikuwa naomba radhii kwa kile kilichotokea huko nyuma nakuomba nisamehe sana Camilla Nakupenda mno ..”
Camilla alimtazamaa kwa muda kidogo kisha akasema

β€œ Unajua Nina kazi nyingi za kufanya isitoshee nawahi nyumban hivyo tutaongea...”

Brayton Alishanga mno ndipo akasema

β€œ Camilla Mbona uko hivyo isitoshee nimekumic sana tangu nimerud huna muda na mimi au kwasababu mimi Nakupenda sanaa ah?!?”

β€œ Kwani mimi sikupendi?!? β€œ aliuliza Camilla

β€œ Sijasema hivyo lkn kipenz tafadhal baki na mimi nimekumiss mno tafadhal...” alisema Brayton huku akimsogelea na kumshika kiuno chake na kutaka lips zakee ila Camilla alikataa

β€œ Mmh Brayton ulisema nije nimekuja na Bado unataka nibaki hapa vipi Nina kazi tafadhal..”

Camilla alisema hayo huku akitaka kuondoka ndipo Brayton akamkumbatia kwa nguvu huku akimwambia

β€œ please Camilla usiniache hivi Nakupenda mno tafadhal baki hapaa...”

Camilla alitaka kuondoka ila Brayton tayari alishamtawala mwilini mwake na kumfanya Camilla aanze kutoa ushirikiano .
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Mariana alizidii kutafuta kazi sehem mbali mbali bila mafanikio

Ndipo alikwenda chumbani kwa mdogo ake na kumkuta akijisomeaa taratibu Ali tabasam tu maana alimpenda sana ndugu yakee

β€œ Umefukuzwa kazii?!?” Swali hilo kutoka kwa mdogo ake lilimstua mno

β€œ Hapana Isabel Niko kazini Bado na Kwann nifukuzwee.?! Niko kazini Bado ...” Mariana aliongea huku akitabasamuu ili kuficha kinachoendeleaa

Ndipo Isabel alipotoa bahasha iliyokuwa na vyeti vyake kwamba anatafuta kazi
Mariana alistuka mno alipokea zile karatasi huku akimuangalia mdogo wakee

β€œ Kama Bado upo kazini kwanini unatafuta kazi tena Dada?!?” Aliuliza Isabel

Mariana alishindwa kujibu moja kwa moja maana hakutaka kumchanganya mdogo wakee kimasomo

β€œ Eeh dada Mbona hujibu?!? β€œ
β€œ Hapana mdogo wangu ..”
β€œ Hapana nini ?!? Wakati umefukuzwa kazi unanichanganya unajua ..” Isabel alionyesha dhahili kuchanganyikiwa

Ndipo Mariana akajikaza na kuanzaa kumueleweshaa

β€œ Niskilize mdogo wangu Sawa nimefukuzwa kazi ila nakuahidi nitamudu hali yako kwa kutafuta kazi na hapa tayar hoteli kadhaa zimenikubali nasubir simu tuu muda wowote ule naanza kazi...”

Kabla Mariana hajamalizaa kuongea simu iliita kwelii ndipo akamgeukia Isabel na kumwambia

β€œ Unaona ?!? Simu ya kazi ngoja niisikilizee...”

Isabel hakujibu zaid aliendelea kufanya kazi zake za shule hakutaka kusema kitu hivyo Mariana alitoka na kwenda Kupokea simu ila Ali shindwa kuongea kutokana na jina la mpigaji ni rafiki yake na sio simu ya kazi kama alivyomuahidi mdogo wake

Hivyo akaizima kisha akajifanya kama ana ongea na simu ya kazi

β€œ Halo yeah ni mimi Mariana.. okay.. sasa hivi Haya Sawa nakuja nakuja ...”

Mariana alikuwa ni mtu aliyechanganyikiwa vile ndipo alipomrudia Isabel na kumwambia

β€œ Simu ya kazi naenda kumsikilizaa nitarudi mapema ..”

Kabla Isabel haja jibu chochote Mariana alichukua mkoba wakee na kutoka nje ili Isabel ajue tyu ni kweli simu ya kazi ila hakuna kilichokuwa kinaendeleaa kwakwel Mariana aliumia kwelikweli.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Brayton baada ya kumalizaa huba kubwa yeye Camilla alitoka chumbani na kwenda moja kwa moja jikoni kuchukua maji ila hakukuta chupa hata moja kwenye jokofu

Na hii kutokana Aliishi mwenyew bachela Ndio maana hali inakuwa vile ndipo aliporudi chumbani ili kumfahamisha Camilla

β€œ itabidii nitoke mara kipenz..” alisema Brayton huku akivaa T-shirt

β€œ Kwanini ?!? β€œAliulizaa Camilla akiwa kitandani Bado

β€œ Hakuna maji kipenz nitawah kurudi usijal..”
Brayton alimkiss Camilla kisha akachukua funguo za gari na kutoka nje kisha akachukua gari moja wapo na kutoka nje .

Brayton ni Doctor mkubwa tyu na hapo jijini anamiliki Hospitali kubwa sana aliyoachiwa na baba yakee kabla hajafariki na ugonjwa wa kansa ya damu .

Aliishii kawaida sana na wala hakutaka kujiona wa juu sana kuliko wenzakee na hakupendea kabisa kukaa Hospitali yeye alijikita kwenye biashara zake binafsi zinazokuingizia pesa za kila siku na kubaatika kummiliki mdada matata sana Camilla

Ndipo alipofunga break nje ya duka kubwa na kuingia na kuchukua moja ya mahitaji yakee kisha akarudi ndani ya gari ili kurudi nyumban.

Wakati huo huo nao Mariana alikuwa barabaran akijaribu kutembea tembea ili kupoteza muda arudi nyumban

Brayton Akiwa anaendesha gari ndipo alipomuona mtu akikatiza barabara bila kutazamaa ndipo alijitahidi kufunga break ili asimguse maana alimpigia honi bila mafanikio

Kwel alikuwa ni Mariana hii kutokana na mawazo aliyokuwa nayo akajikuta Akivamia barabara bila kujua na kujikutaa anataka kugongwa ili kujitetea zaid aliangukia jiwe na kumfanya damu nying zianzee kutoka kichwani kwake

Brayton alishuka haraka kwenye gari baada ya kuona kuna mtu alitaka kumgonga ila kaangukia pemben ndipo alipomkuta Mariana akitokwa na damu nyingi kichwani

β€œ Mariana...!!!!!!” Brayton alistuka mno maana damu zilikuwa zinaruka ruka

Mariana nae kwa kiwewe alisimama na kutaka kuondoka huku akisema nakujiziba jeraha lakee kwa mkono

β€œHakuna shida kaka Niko Sawa nitaondokaa..”
β€œ Hapana Hapana huwezi kuondoka hivi... umeumia et..” alisema Brayton huku akimtaka aingie ndani ya gari

β€œ Hapana Niko Sawaa.....usi....”Mariana hakuweza kumalizaa kuongea alijikuta akihisi kizunguzungu sana hadi mbele hakuona kabisa ndipo alipoangukia mikononi kwa Brayton

Brayton hakufanya makosa tayari alimchukua na kumuingiza kwenye gari haraka ili kumpelekaa Hospitali haraka..

Itaendeleaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3


By Babie Love
Tsap 0742133100

Endelea

Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee

β€œ Mariana unaitwa na madam Camilla ofisin kwakee..” alikuwa meneja akimpa taarifa
β€œ Kwani kashafikaa...!?!”aliuliza Mariana
β€œ Ndio anakusubirii...”

Mariana hakupoteza muda alipandisha ngazi na kuelekeaa ofis ya Camilla na alipofika alifungua mlango na kuingia

Camilla alikuwa mezan kwake huku miguu ikiwa juu ya meza yakee akizungukuzungukaa huku peni mdomoni kwakee alikuwa na madaha mno

Mariana alijawa na hofu mno ya kupoteza kazi yakee ndipo Camilla alipomgeuzia laptop yakee ili atazame alichokifanyaa jana .

β€œ Sikuhizi umeanza kuwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/black-butterfly-3

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi black-butterfly
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

835
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19

706
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

577
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20

553
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

413
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

62
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

32
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

2

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.47K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.76K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.61K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.56K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.45K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.45K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers β€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee β€œ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest