Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11
Gonga94 · Stories

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Sikutaka kujua kama kaskia au hajaskia nilichokuwa nataka nikwenda nyumbani tuu kwaiyo nikampita kama simjui. Nikatoka njee nikamkuta bwashemeji 😂Jayson ananisubiri na gari. Nikapanda kweny gari ila Leo nikavunja ukimya nikamuuliza Iv wewe unampango gani na dadaangu, Uyo mkaka akaniangalia Kisha akatabasamu akaniuliza kwaiyo kashakwambia kabisa nikamjibu ndio ila nilimbana sana mpaka akaniambia.

Jayson akasema Yan mie dadaako nampenda sana sema yeye tuu anazingua, mie Tena nikajikuta mkutanisha wapendanao nikamuuliza nikutengenezee mazingira, nilivyosema ivo akasimamisha gari chap Kisha akaniuliza kwel, Hapo ndo nikajua mkaka wawatu kwel kapenda😂 yupo serious akaniuliza eenhe utanisaidiaje, nikamwambia aah shemeji usijali kabisa Yani pale mke unae mbona we kuwa mvumilivu tuu kidogo akasema sawa shemeji ukihitaji chochote utaniambia moyoni najisemea yes hapa shemeji nshamapata mbona.

Tukaongea kidogo then akanipeleka nyumbani nikawa nimepata kazi mpya sasa ya kumuonganisha dada na shemeji, nikafika nyumbani Jayson akaniingizia begi mpaka ndani, chezea shemeji wewe😂. Siku iyo dada Wala hakuenda kazini kwakuwa alikuwa kashapika akamkaribisha na Jayson tukala pale ila Muda wote nikimuangalia mkaka wa watu anamuangalia da Jully Yan Hadi huruma😂.

Baadae tulivyomaliza kula Jayson akaondoka nikabaki Mimi na Jully sasa Kila mtu anataka kuongea na mwenzie Ikanibidi nikamwambia aanze Jully.

Akaanza na kuniambia hivi ujue jana CEO Freemani kanipigia analalamika kwanini humpokelei simu zake 😳, nikataka niongee dada akanikatisha akawa anaendelea kuongea ananiambia mdogo wangu sio vizur unavomfanyia mtoto wa mwanamke mwenzio Yan hupokei hata simu tuu. Ikanibidi nimuulize sasa dada mie ningejuaje jamani mpaka unanilalamikia alafu ujue alinipigia mara moja tuu hakupiga Tena dada akaniambia haijarishi we kwanini hukumpigia sasa alivyopika, ila dada bhana anatetea maovu tuu nikamuuliza ila dada alafu yule si anamchumba kabisa jamani unataka nidate na mtu mwenyw mchumba alafu pia licha ya ivo yule pale yule hajanitongoza Yan sijui yupoje Leo mbele za watu ananifokea eti kwanini sijampokelea simu. Dada alivyosikia ivo akaanza kushangaa weeee shogaangu kwel nikamwambia ndio, dada akaaanza kushadadia unaona mkaka wawatu anavyokupenda unaona.


Sasa nikamwambia dada ujue hajanitongoza dada akasema ndio najua ila ndo anakupenda nikamwambia mie siwezi alafu pia Nina sababu nyingine ya kumkataa ukiachana na iyo. Dada akauliza eenhe sababu gani bibie nikamwambia mie nampenda Kendrick ingawa kwasasa tumegombana.

Itaendelea....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11


Sikutaka kujua kama kaskia au hajaskia nilichokuwa nataka nikwenda nyumbani tuu kwaiyo nikampita kama simjui. Nikatoka njee nikamkuta bwashemeji 😂Jayson ananisubiri na gari. Nikapanda kweny gari ila Leo nikavunja ukimya nikamuuliza Iv wewe unampango gani na dadaangu, Uyo mkaka akaniangalia Kisha akatabasamu akaniuliza kwaiyo kashakwambia kabisa nikamjibu ndio ila nilimbana sana mpaka akaniambia.

Jayson akasema Yan mie dadaako nampenda sana sema yeye tuu anazingua, mie Tena nikajikuta mkutanisha wapendanao nikamuuliza nikutengenezee mazingira, nilivyosema ivo akasimamisha gari chap Kisha akaniuliza kwel, Hapo ndo nikajua mkaka wawatu kwel kapenda😂 yupo serious akaniuliza eenhe utanisaidiaje, nikamwambia aah shemeji usijali kabisa Yani pale mke unae...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 13
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 13
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 14
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 14
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 10
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 10
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 15
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 15
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 7
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 7
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 8
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 8
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 6
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

938
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

654
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

584
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

552
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

396
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

348
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

186
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

105
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.23K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.67K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.58K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest