Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA Sehemu ya 60&61
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA Sehemu ya 60&61

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi niliwaza mno ila nikaona acha nipumzishe kichwa mungu atasaidia mbele . Na kweli kesho mimi nilimpeleka mtoto hospitali akapata hudumu.ma dr wakawa nananitia moyo kuw mtoto atapona kama ataendele kuja hospitali .mh mbona wananitia moyo ila mimi sion ata mabadililiko kwa mtoto nilikuwa namuona yupo vile vile ila madaktari wakawa wananmbia apo ndo anaendelea vizuri so nipambane tu kumleta mtoto hospitali.nikasema sawa hamna shida.
Sikukoma mwenzenu nilienda zaidi ya mala 3 kwa hamadi kumuomba sana amsaidie mwanae ila hamadi alikata kata kta. Kuna mdaakawa ata hataki kunidikiliza . Na ilifikia stage mkewe akija kugungua geti akiniona ananifukuza naona mumewe alishamwambia nisikalibishwe. Nilijishulua kwa hamadi nikawa napambana kivingine.
Basi bwana apo nikaaanza kuangaika pesa imekata sina ata cha kuuza kumpeleka mtoto hospitali. Zaidi ya kumkopa husna pesa ya kula.nikaona isewe kesi nikaludi kudanga nikawa namuacha mtoto kwa husna naenda na bwna ila nakuwa silali ili kuunga unga kupata pesa ya matibabu ya mtoto .ila bado nakwazika wanaume wenyewe mizinguo.unaenda unafanywa wanakupa elfu 20 .mala 30 nakuwa napata pesa ya kula tu.daah acheni maisha aya . Basi nikawa najichanga hivyo hivyo.nilipe kodi .nile bado niangaike na mtoto acheni

Ikawa sasa nakosa mpaka pesa ya kumpeleka hospitali mtoto. Au nikimpeleka leo navuata ata wekk 3 ndo nanpeleka akawa anazidi kuwa na hali mbaya nakumbuka siku iyo nimempeleka clinik mtoto.dr alinisema sana kuwa napitiliza siku mpka mtoto anakuwa na hali mbaya na nikifanya masihara mtoto anakufa siku si nyingi .daaah nilijikuta nalia mno .yule dr alikuwa ni mbabu akanambia pole ila lazima nikwambia ukweli pambana serious na mtoto. Alikuwa kashaanza kupona lakini wewe unakaa sana ndo unakuja tatizo haliwezi kuisha .yani unazingua we binti.nilishindwa ata kuongea mana pia sikumuelewa uyu dr. Sijuh anahisi mimi sipendi mtoto wangu apone.ila nakwama mambo ya pesa mana apo ata simu mimi nilikuwa sina nilishauza jamani. Mpka mwenyewe najiuza ili tu mtoto apate huduma ila bado .daaaaah nilitoka ndani mule nimechoka sana namuangalia tu mwanangu alikuwa kamelala ila hakipo vizuri kabisa

Nilitoka mpka nje nikasogea kwa nyuma ya hospitali nikakaa kwanza nikiwa sielewi nafanya nini kumsaidia mtoto wangu. Hamadi ameshakuwa haelewi tena au nianze kupita kuchangisha watu wanisaidie au nishukuru afe tu.yani mawazo yalikuwa mengi sana. Nikimuangalia mwanangu alivyo mzuri sasa daah roho inaniuma sana.nikiwa pale sasa ikaingia gari moja kali mno nyeusi.mana pale nilipikaaa nilikuwa naangaliana na parking ya magari

Akashuka kaka mmoja .kapiga suti ya kijivu imetulia mno.mkononi kashika simu 2. Ila yule kaka na yeye kama alikuwa na haraka haraka. So aliposhuka akasukuma mlamgo tu kisha haraka nikaona anaelekea ndani ya jengo moja apa muhimbili .nyie kwa jinsi nilivyomuoma yule kaka nikajua pesa anayo uyu. Kwa jinsi amevaa na ile gari ahaa uyu mpunga anao. Basi nikasema apa nafanya maamuzi magumu tu. Nikisema nikapambane na uyu mtoto atakufa tu sina pesa za kugaharamia matibabu yake mimi. Nikasema ngoja nikasoge moka katika lile gari .nikjalibu kufungua mlango wa mbele ukafunguka daah kumbe alikuwa hajafunga mlango naona sababu za haraka zake
Basi taratibu nikamshusha mtoto nikamlaza katika siti ya mbele alikuwa kalala .nikamlaza vizur mikamfunika nikaweka na makadi yake ya kuonesha ugonjwa wake .nikamuacha pale mwanagu nikafunga malango kisha nikaanza kuondoka.nilihisi huenda uko mwanangu atasaidiwa na mimi nilishashindwa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA Sehemu ya 60&61



Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi niliwaza mno ila nikaona acha nipumzishe kichwa mungu atasaidia mbele . Na kweli kesho mimi nilimpeleka mtoto hospitali akapata hudumu.ma dr wakawa nananitia moyo kuw mtoto atapona kama ataendele kuja hospitali .mh mbona wananitia moyo ila mimi sion ata mabadililiko kwa mtoto nilikuwa namuona yupo vile vile ila madaktari wakawa wananmbia apo ndo anaendelea vizuri so nipambane tu kumleta mtoto hospitali.nikasema sawa hamna shida.
Sikukoma mwenzenu nilienda zaidi ya mala 3 kwa hamadi kumuomba sana amsaidie mwanae ila hamadi alikata kata kta. Kuna mdaakawa ata hataki kunidikiliza . Na ilifikia stage...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-sehemu-ya-60-61

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira-sehemu-ya
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 48
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

1.19K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

1.08K
*AFANDE MILLAN😎* *57&58

*AFANDE MILLAN😎* *57&58

821
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

569
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10

155
SHAMIRA Sehemu ya 60&61

SHAMIRA Sehemu ya 60&61

147
SHAMIRA Sehemu ya58&59

SHAMIRA Sehemu ya58&59

146
SHAMIRA Sehemu ya 56&57

SHAMIRA Sehemu ya 56&57

137
SHAMIRA 62 63 na 64

SHAMIRA 62 63 na 64

120
SHAMIRA Sehemu ya 65&66

SHAMIRA Sehemu ya 65&66

45

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.75K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.46K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.84K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.93K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.88K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.71K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.59K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA Sehemu ya 65&66 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nilimuangalia sana nikamuuliza unamuongeleaa mtoto gani kwanza .akanambia ahaa si mtoto wangu ambae ulikuwa unakujaga nae nyumbani kuomba msada ama.nikasema sawa kumbe unakumbukumbu. Unahisi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
@majario LIVE

Baada y kumuacha mchumba sasa nikawa hoi yani , sio powa basi zena akanikumbatia akanambia nakupenda san mwanaume wangu, basi apo sasa , nikamwambia zena ,naomba nikuamishe apa mke wangu,...

SHAMIRA 62 63 na 64 Post Mpya
SHAMIRA 62 63 na 64
@majario LIVE

Sehemu ya 62 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana nilikuwa naumia sna moyoni ila nilisema uwenda akasaidiwa uko na akapona kuliko kukaa nae mie. lazima mwanangu ata kufa mana sina...

SHAMIRA Sehemu ya 60&61 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi niliwaza mno ila nikaona acha nipumzishe kichwa mungu atasaidia mbele . Na kweli kesho mimi nilimpeleka mtoto hospitali akapata hudumu.ma dr ...

SHAMIRA Sehemu ya58&59 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya58&59
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikanunua chakura kwanza ndani.kisha kesho yake niliamkia hopitali sasa. Nilishauliwa kwanza nimkatie bima kubwa mtoto ya laki 7. Nilikakata iyo bima .kisha sasa...

SHAMIRA Sehemu ya 56&57 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; 0742443214 Nikapanda kitandanni nikamlaza mwananagu kisha namie nikavuta shuka nikawa nipo busy namnyonyesha.tu. aisha akawa akanasema kwaiyo unaninyanyasa kwa sababu umenipa msingi ama.asee nilisema we kumamako...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 9. Nilisaidiana na iren kutenga, walikuja kula chakula Kila mtu alikisifia, isipokuwa king,sikujali alimaliza Kila mtu akaingia kulala,nilijikuta nimemkumbuka mama angu, na Kwa muda huo nisingeweza kumpigia akiwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
@majario LIVE

Ibraa akanmbia kwanzaaa , wewe kaa na mkeo kama siku 3 kwa heshima kabisaa, na kubali tu kuwa ni mkeo na kuwa normal kwake, na uzuri mzigo si unakula basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN😎* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest