Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
Gonga94 · Stories

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada y kumuacha mchumba sasa nikawa hoi yani , sio powa basi zena akanikumbatia akanambia nakupenda san mwanaume wangu, basi apo sasa , nikamwambia zena ,naomba nikuamishe apa mke wangu, zena akaniangalia akanmbia unipeleke wapi, nikasema.nataka tukakae sehemu nzuri mke wangu, zena akanmbia ahaaaa mi apa.sitaki kutoka mpaka unioe kabisaa, nikasema zena sindo nimefika mama, mi nimekuja apa tuongeeee vizuri mke wangu, na hii weeek naenda kwenu sasa kupeleka barua mke wangu, akanmbia sawa,.sasa ukipeleka barua nyumbani, apo ndo nitakuturuhusu utuamishe apa ila sio mwa sasa nisamehe honey, nikasema sawa mke wangu, basi nikamsogelea zena nikamshika kiuno kisha nikawa namtazama tu usoni,.uku najisikia rahaaa mnooo kumuona zena tu, mh zena akanmbia ebu niache nikaoge bwana ,arshaina ataaamka.mda sio mrefu, nikasema.sawa ,basi zena akaenda kuoga, na baaada ya mda akaludi, akawa busy na kuandaa chakuraaa

Na mimi nikaenda kuoga, na mwanangu aka kadogo, kakawa kashamaka nikawa nambembeleza pale, basi zena akawa busy kuniamdalia chakuraa, aseee nachek simu, nakuta mke wangu jalia kanipigia sijuh mala mbili, ni vile.simu yangu niliweka silence, nikaona aeeh mambo yasiwe mengi ,zena asije akaona apa alafu kikawaka , mimi na simu nikazima kabisaa, nikatulia na zena na baada ya mda mwanangu ummy akaludu sasa, na akiludi ummy ndo ndani kunachangamka mana anaongea sana , basi ummy alifurahi kuniona ,si ajaniona mdaa akanza kunidandia na maswali kabao, baba ulikuwa wapi mbona nilikuwa sikuoni, baba yangu mzuri mzuri, doooh yani maswali kibao mpaka nabaki kucheka, na namjibu na mimi asa nafanyaje, ummy utamuweza ,mpaka mama yake anamwambia ummy muache baba kachoka, mh kwan anakubali sasa, yani uyu mtoto alikuwa ananipenda mnoooo , yani kweli kweli, anaona kamam mm ndo baba yake na zena ndo mama yake maskini

Basi nilikaaa kwa zena mpaka usiku tulikula pale kwa pamoja tukiongea sana , yani ilikuwa rahaa mnooo, yani raahaaa kweli kweli, na kama familia tukaongea sana na wanangu mpaka saa 3 usiku, ndo apo wakalala, na maam yao akaenda kuwalaza chumbani ,nikabaki zangu na zena sebleni, tukawa tunaongea tu uku tunachek movue, na apo zena kalala mapjani kwangu, nikasema.zena bwana unajua nn, akanmbia ndio, nikasema hivi uhawahi kusikia ndoa za matara, na labda mm siku nikakwambia nataka nikuoe labda mke wa pili, kwa mfano ikawa nimeshaoa na alafu nikataka kukuoa ww mke wa pili inakuwaje, mhhh zena akakaaa kwanza , akaniuliza kwani wewe umeoa uko kwenu? Nikapata mpaka kigugumizi, nikasema.hapana mke wangu, sijaoa ,ila nimekuuliza tu, zena akanmbia siwez kukaa matala kwanza sitaki ata kuyasikia tu

Mh kazi ipo nikamuuliza kwa nn, akanmbia dada yangu kafa kwenye ndo za matala, alichomwa kisu na mke mdogo, mana dada yangu ndo alikuwa katangulia kuolewa na baba ummy , dada amepoteza maisha apo apo baada ya kuchomwa kisu , mpaka leo nalea mtoto ambae ni ummy, na ile siku dada alikufa mbele yangu tena kwenye mikono yangu, nakumbuka kabisa alinambia nisije kuthibutu kukubali kuolewa ndo ya mitaaala, yani mh sitaki ata kusikia hizo ndo za miatala , na yule mke mdogo mpaka.leo yupo jera kafungw kifungo cha maisha, binafsi sitaki kuyasikia kabisa matara, na kama una plan za kunioa mm, kisha uje kuongeza mkeee ,hapana mm binafsi siihitaji na nakupa chance wewe ya kubaki na uyo mwengine, apo zena alikuwa anaongea uku analia, mh nikasema zena no unalia nn sasa maam ,hapana usifanye hivyo mke wangu, zena akanmbia umenikunbusha mbali sana millan, nimemkumbuka marehemu dada, doooh nikamsogelea zena kisha nimmmkumbatia kwa nguvu, nikasema hapana zena nisamehe kwa kufanya ukumbuke hivyo nisamehe mama , nisamehe sana, nyiee nilibembeleza mnoo, ndo zena akakubali kunielewa na akanyamaza ,dooh nikaona kazi nnayo kudadeki, zena hawez kunielewa kivyovyote juu ya kumuoa mke wapili, tayali ana histolia mbaya na hizi ndoa za matala daah

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63


Baada y kumuacha mchumba sasa nikawa hoi yani , sio powa basi zena akanikumbatia akanambia nakupenda san mwanaume wangu, basi apo sasa , nikamwambia zena ,naomba nikuamishe apa mke wangu, zena akaniangalia akanmbia unipeleke wapi, nikasema.nataka tukakae sehemu nzuri mke wangu, zena akanmbia ahaaaa mi apa.sitaki kutoka mpaka unioe kabisaa, nikasema zena sindo nimefika mama, mi nimekuja apa tuongeeee vizuri mke wangu, na hii weeek naenda kwenu sasa kupeleka barua mke wangu, akanmbia sawa,.sasa ukipeleka barua nyumbani, apo ndo nitakuturuhusu utuamishe apa ila sio mwa sasa nisamehe honey, nikasema sawa mke wangu, basi nikamsogelea zena nikamshika kiuno kisha nikawa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-62-na-63

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

1.25K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

816
SHAMIRA Sehemu ya 60&61

SHAMIRA Sehemu ya 60&61

168
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10

160
SHAMIRA Sehemu ya58&59

SHAMIRA Sehemu ya58&59

154
SHAMIRA 62 63 na 64

SHAMIRA 62 63 na 64

148
SHAMIRA Sehemu ya 56&57

SHAMIRA Sehemu ya 56&57

147
SHAMIRA Sehemu ya 65&66

SHAMIRA Sehemu ya 65&66

115
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.

67
JOGOO WA KIENYEJI 1----5

JOGOO WA KIENYEJI 1----5

60

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.76K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.84K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.93K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.89K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.71K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.66K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.59K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI 1----5 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 1----5
@majario LIVE

🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 sehemu ya 1 Mwandishi:lissa mwalla Naitwa Talya jones,ni mtoto wa pili katika familia ya watoto wawili,wakwanza kakangu tommy na mie ndio last born sasa,baba yetu alikua mwanajeshi na mama yetu ni nesi.baba...

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11. Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Mama alipokea nikamuita atoke nje,vicram alibaki tu akinishangaa, mama alitoka akatukalibisha ndani, niliomba niongee nae pembeni, tulitoka nililia Kwa mama mpaka na mama nae akaanza kulia, badae nikaamua...

SHAMIRA Sehemu ya 65&66 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nilimuangalia sana nikamuuliza unamuongeleaa mtoto gani kwanza .akanambia ahaa si mtoto wangu ambae ulikuwa unakujaga nae nyumbani kuomba msada ama.nikasema sawa kumbe unakumbukumbu. Unahisi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
@majario LIVE

Baada y kumuacha mchumba sasa nikawa hoi yani , sio powa basi zena akanikumbatia akanambia nakupenda san mwanaume wangu, basi apo sasa , nikamwambia zena ,naomba nikuamishe apa mke wangu,...

SHAMIRA 62 63 na 64 Post Mpya
SHAMIRA 62 63 na 64
@majario LIVE

Sehemu ya 62 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana nilikuwa naumia sna moyoni ila nilisema uwenda akasaidiwa uko na akapona kuliko kukaa nae mie. lazima mwanangu ata kufa mana sina...

SHAMIRA Sehemu ya 60&61 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi niliwaza mno ila nikaona acha nipumzishe kichwa mungu atasaidia mbele . Na kweli kesho mimi nilimpeleka mtoto hospitali akapata hudumu.ma dr ...

SHAMIRA Sehemu ya58&59 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya58&59
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikanunua chakura kwanza ndani.kisha kesho yake niliamkia hopitali sasa. Nilishauliwa kwanza nimkatie bima kubwa mtoto ya laki 7. Nilikakata iyo bima .kisha sasa...

SHAMIRA Sehemu ya 56&57 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; 0742443214 Nikapanda kitandanni nikamlaza mwananagu kisha namie nikavuta shuka nikawa nipo busy namnyonyesha.tu. aisha akawa akanasema kwaiyo unaninyanyasa kwa sababu umenipa msingi ama.asee nilisema we kumamako...

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 9. Nilisaidiana na iren kutenga, walikuja kula chakula Kila mtu alikisifia, isipokuwa king,sikujali alimaliza Kila mtu akaingia kulala,nilijikuta nimemkumbuka mama angu, na Kwa muda huo nisingeweza kumpigia akiwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
@majario LIVE

Ibraa akanmbia kwanzaaa , wewe kaa na mkeo kama siku 3 kwa heshima kabisaa, na kubali tu kuwa ni mkeo na kuwa normal kwake, na uzuri mzigo si unakula basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN😎* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest