Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
Gonga94 Β· Stories

*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈


Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala mana siwez kumdanganya kila siku zena ni atastuka tu au atahisi kitu ,mi kuna mama flan hivi, anaitwa mama tawfiq, uyu mama tawfiq huwa anaishi kalibu na nyumbani kabisa ,yani ni jilani tu na nyumbani ,na ni mama ambae ni nimemzoe sna, na uyu mwanae tawfiq mimi alikuwa ni mshikaji wangu mkubwa mnoo uku nyumbani na nimekua nae kabisa , ila uyo tawfiq ni alifariki bwana tulipomaliza form four tu 😭😭😭, jamaa akafalikigi ila bado mama yake ,mi naongea nae sana , na nikija uku huwa lazima nikamsalimie, ni kama mama yangu kabisa, yote sababu nilikuwa ni rafiki sana na mwanae na uyu mama huwa ananichukulia mm kama mwanae kabisaa, sasa basi nikaona asa apa niendee kwa mama tawfiq nikamsalimie na niongee nae hii issue yangu, basi bwana kweli mimi moja kwa moja nikaludi mpaka mitaa ya home, ila sikuenda nyumbani ata ,nikafiki kwa mama tawfiq, ahaaaa uyu mama aliponiona alinifurahia sana, yani alifurahi mnooo, akanmbia jamani baba umekuja lini, ahaa nikasema mama mimi ndo kwanza nimekuja jana na leo nikaona nije kukusalimia

Basi mama tawfiq akatoa mkekaa, na tukatandika uwani kwake tukakaa , tukaanza kusalimina vizuri, akawa ananiuliza naendeleaje na za masiku mingi, mana mm huwa siludigo myumbani ovyo ovyo kabisaa, nikasema nipo njema mama na naendelea vizuri, sijuh wewe apa, na yeye akanmbia kiwa anaendelea vizuri sana, basi akanmbia hongera sana , nasikia familia imekuolea mke , nikasema ndio mama, akanmbia lakini na nyie vijana mnajishau sana, millan ungeoa lini sasa, yani familia imekungojea uoe mpka wamechoka wamekuolea, nikasema acha tu mama, mam tawfiq akanmbia lakin jalia ni binti mzuri sana, asie na shidaa, yani mzuri mno yule mtoto wa tabia na kila kitu, kwaiyo naamini ata wazazi wako waliliona hilo kwake na ata mimi naamini umepata mkwe mzuri na mwema
​
Nikasema ni kweli anaonekana hivyo mama ila mama mimi nilishakuwa nimepata mwanamke uko dar, na tunapendana sana , na ana mtoto mmoja nimemzalisha na ana mimba yangu tena kwa sasa ,na uyo mwanamke ndo mimi ndo ninayempemda na ndo nilopanga kumuoa, kwaiyo mama ,hizi habari za kwamba nimeolewa mimi zimenistukiza sana ,na nimekuja kuzijulia apa , kiukweli sikua nimelizia kabisa juu ya uyu mke, mama tawfiq akanmbia pole sana kijana wangu, daah basi wasikilize wazazi, lakini pia wewe ni muislamu unaweza ukawaoa wote, yani ukawa na wake wawili, nikasema sawa maam, lakini uyu mwenzangu wa dar sijamueleza lolote juu ya yanaoyoendeea uku kwetu, mama tawfiq akasema hapana usimuelezee kwa sasa utamuumiza sana , apo ukiludi dar ndo ukamueleze, nikamwambia sasa mama, uyo wa dar anataka sana kuongea na mama ,na kama unavyomua mama yangu daah hawezi kukubali mana yeye anamtaka jalia tu, na nilipojalibu kumueleza habari za uyu mwengine ,kanmbia hamgaki kabisaa , na hamtambui, sasa naomba unisadie kuongea na zena mama, ili tu apate amani ,ya kwamba kaonge na mama yangu mzazi, na kwetu kakubalika, mi mambo mengine ntaenda kumuelezea mwenyewe nitakapoludi dar

Mama tawfiq akasema wala usijali mwanangu, mimi ni mama yako kabisaaa, wala hakuna shida, nipe niongee nae, daah nilifurahi, na harka nikampigia zena na zena akapokea simu, nikasema zena aaya nipo na mama naomba uongee nae sasa, zena akanmbia sawa, mimi sasa nikampa mama tawfiq simu akaanza kuongea na zena, daaah mi nilitulia kimya, niliona maam tawfiq ana play part vuzuri mnoo, anamuliz amaswali kweli kweli, kwamba kwenu wapi, una miaka mimgali , unafanya biashara gani, yani maswali yote amabyo nna uwakika ata mama yangu mzazi ni lazima angemuuliza zena, baada ya apo niliona mama tawfiq anafurahia tu kuongea na zena, na akawa anaulizia mpaka mtoto wangu, yanji mm mwenyewe nilipata amani kabisaa, na baada ya apo sasa, mama tawfiq akaagana na zena, kisha akakata simu akanipatia simu yangu, mama tawfiq akanambia ata uyu anaonekana ni mwanamke mzuri sana, na anaongea vizur na muelewa mnoo, nimempenda kweli, mi nikabaki natabasamu tu, mama tawfiq akasema kanambia anaitwa zena

Nikasema yaa anaitwa zena mama, ndo mwanamke amabe nampenda sana mm mam, mama tawfiq akanmbia pole sana lakini shida ni wewe ungeoa mapema aya ata yasingekukuta mwananagu, daah basi baada ya apo story nyengine zikaendelea na nikongea sana na mama tawfiq ,sikutaka kuwahi kuludi nyumbani kabisaa, mi nilitulia pale mpka chakura cha mchana nikala pale, niliposhiba sasa , nikasema mama tawfiq mimi leo nipo nipo apa ,ntaenda jioni home ,akanmbia wala usijali kabisa mwanangu, na pale kwake si kuna kafensi na miti mimngi, mi nikajilaza kwenye mkeka uku miti innipepea nikapiga usingizi pale, yote si nakimbia nyumbani , mana dah naenda kukutana na jalia na mdomo wa mama mi sikutaka ata, basi nikapiga usingizi pale mpka jioni saaa 12 ,ndo nikaamka nikamuaga mama tawfiq, nikatoa na chochote kutu nikampa yule mama, akapokea na akanishukuru sana , mimi sikukaaa tena ndo taratibu nikaanza kulejea nyumbani, nimefika home nakutana na broo barazanai, akanmbia ulikuwa wapi dogo, na nakupigia ukawa hupokei simu, ni kweli niliona simu zake ,ila sikutaka kupokea mna namjua mtu wa amri amri sana uyu, nikasema kazini nilipewa oders za kuja kufanya uku, so nilikuwa nimeenda kufanya baazi ya kazi ,kaka akaningalia sana kisha akacheka akaniuliza we si umepewa likizo hizo kazi wanakupaje dogo, mi.nikabaki kimya ,kaka akanmbia mkeo anakungoja ndani, na hongera kw akumkuta mwali mkeo,

Ahaa mimi wala.sikujibu kitu nikaingia ndani, nikamkuta mama yupo sebleni, nikasogea apo nikamsalimia mama, akaniitikia ,akanambianmbona umechelewa na nilikueleza kuwa wakwe zako wanakuja, nikasema mama kazi ni muhimu sana kwangu, nilikuwa na kazi nyingi zikanibana nikaona nimalizane nazo kwanza , ila si ntawaona tu hakuna shida na nataka kujua ni kwa mda gani ntakuwa uku, mma akanmbia mpaka umalize saba na mkeo ndo mtaenda ,nikasema sawa , basi nikainuka nikaingia chumbani kwangu ,nikamkuta jalia anaongea na simu na mama yake, aliponiona akasema ahaa mam ndo ameludi apa mume wangu, naona mma yake aliomba kuongea na mimi, nikapewa simu, daah sikuwa na jinsi nikamsalimia yu mama mkwe, basi hakuwa na jipaya zaidi ya kunisalimia na kunisihi sijiuh nikaishi na mwanae kwa mapenzi na wema mana anaelewa kuwa mtoto wake hana shida kabisaa, na yuko vizuri tu, mi nikasema sawa mama nimekuelewa na nitajitahidi kuhishi na jalia vizuri, apo akiri inawaza nataishi nae vp uyu mwanamke ,akiri na moyo kama utkuwa kwa zena acheni kabisaa, basi baada ya kuongea na yule mam, mi nikaenda kuoga, nilipotoka, nikakuta jalia kashajiandaa kunipa penzi ila nilimwambia leo hapana nimechoka sana nahitaji kupumzika , na nikajitupa kitandani, uku nachezea simu, yangu na nilikuwa nachart na.zena, basi bwana mi ata achakura cha usiku sikutaka kula kichwa hakikuwa sawa, nikamuaga zena kwenye charting na nikapumzika

Na ayo ndo yalikuwa maisha yangu kwa siku zote nilizokuwa uku pemba, ila sas mpka tunamaliza saba na jalia nilimgusa mala 2, ni mtundu sana na kama kufundishwa aliyashikilia ila mood sina mwanaume ,yani nilifanya nae mala 2 tu, kila siku namwambia sina mood, na kuna siku usiku natoka nje kuongea na zena, na zena akawa akitaka kuongea na mama naenda kwa mama tawfiq, anaongea nae na ndo ikawa hivyooo mpaka sasa ikafika siku ya kuondoka yani kuludi dar , mama akatuaga na akatutakila barka tele, ila sasa nikawa naludi na broo, kwaiyo uku dar sis tutliludi watatu yani.mm na mke wangu jalia , na brooo, mana kakayangu mm anakaa uku uku dar ,mdogo wetu wa mwisho ni dr ndo yuko pemba, apo mm sijamueleza chochote zena kuwa naludi dar, mana ibraa alinambia nisimwambie kitu ,mpka.nifike dar tuseti mipango kwanza, basi bwana tulito

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈


Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala mana siwez kumdanganya kila siku zena ni atastuka tu au atahisi kitu ,mi kuna mama flan hivi, anaitwa mama tawfiq, uyu mama tawfiq huwa anaishi kalibu na nyumbani kabisa ,yani ni jilani tu na nyumbani ,na ni mama ambae ni nimemzoe sna, na uyu mwanae tawfiq mimi alikuwa ni mshikaji wangu mkubwa mnoo uku nyumbani na nimekua nae kabisa , ila uyo tawfiq ni alifariki bwana tulipomaliza...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-season-3-sehemu-ya-hamsini-na-sita

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-season
* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO*     SEHEMU YA THELATHINI
* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* SEHEMU YA THELATHINI
*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*
*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

810
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

740
*AFANDE MILLAN😎* *57&58

*AFANDE MILLAN😎* *57&58

579
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

371
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.

271
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.

215
SHAMIRA 52 to 53

SHAMIRA 52 to 53

190
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55

SHAMIRA Sehemu ya 54&55

146
SHAMIRA 49 to 50

SHAMIRA 49 to 50

137
SHAMIRA Sehemu ya 51

SHAMIRA Sehemu ya 51

132

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.73K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.45K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.92K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.87K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.71K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.71K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN😎* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mremboπŸ˜‹,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu πŸ”₯) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest