Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA 52 to 53
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA 52 to 53

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Sehemu ya 52
Mwandishi; lissa wa huru media

Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza kula na mashost wakaomdoka nikabaki mimi hospitali kujiangaliazia mshono. Nikiwa pale akaja uyo nurse anajifanya na mdomo atari .akaanzaa kinichamba tena nakwambia.akasema yani wewe dada umeniuzi sana unanajijua mja mzito alafu ulikuawa hauji clinic yani hata ujali kabisa kuhusu mtoto wako.yani unaletwa hospitali upo mbwi kwa mapaombe au ulikuwa umetoka lodge kulipa pesa za watu.mana unavyoonekana upo moto.nilichukia nikamuuliza kwani wewe dada unataka kujifanya una jali sana kuhusu mwanangu kuliko mimi si ndio. Alafu ni kitu gani kisichopita kila mkiingia mana kila mkiingia na migauni yenu meupye kama wanga mnanisema mimi tu vp kwema.labda nikwambia usenge na ukuma wenu siupendi na simind mshaongea nimewaelewa.nini sasa kila mkiingia nyoko nyoko wasenge nini. Au mnavyoona na wakaushia kimya manataka kunipanda. Sasa kawambia na wasenge wenzako mambo ya kuja kunisema sema mkome tena mnikome mafala nini. Sasa ole wake mtu ajifanye anachonga chonga .nitamkamata kisha nitamkunyuga hamtaaamini nawambiaaa kumamae zenu nyie. Tena naanzaa na wewe mama una mdomo nijibu nikuoneshe. Nitauwasha moto apa hosiptali nzima mtanishangaa wasenge nyie .nimewachoka kunisema sema pumbavu nyie. Heeee niliwatolea uvivu .yule dada akabaki kimya wala hakuongea tena na nilimpangia anijibu nimuoneshe nilitaka kumlukia mpaka angeeleza iki nini.ananiletea mie uwandawazimu thubutu🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Basi nikatulia wagongwa wengine wote wananiangalia mie na nilivyo mkavu .nikajikausha kimya kama siangaliwi mie vile. Nimevuta mdomo mbele tuli. Nipo busy na mwanangu akawa analia anataka kunyonya nikampa nyonyo akwa ananyonya.basi nahisi yule nurse alifikisha ujumbe wangu kwa nurse wenzie mana mpka natoka sikusemwa tena wla kuchambwa tena .nikaona nimewakomesha na wao .khaaa hawanisemi vikaniisha kila wakiingia wana shamira tu. Nikaona wasinitie nuksi mie.
Badi nikaruhusiwa na ata mjjono wangu ulikuwa uanendelea vizuri tu. Na iyo siku ambayo naruhusiwa dr amabae alikuwa ananitia mimi nikiwa pale alinambia nikawe makini kwa mtoto na nikajitahidi katika malezo ya mtoto. Nisiyumie vilevi kabisa mana maziwa ananyokunywa mtoto yatamuathiri palubwa.nikamuelewa na nikamuitika .naona alishaniona mambo mengi akaamuaku kunipa lisara mapema🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 na akanikumbusha umuhimu wa kumleta mtoto clinic nisiwe nakosa na wala nisidharau .nikasema sawa haman shida dr . Na shoga zangu wakanifata mie Nikaludi nyumbani sasa . Na shost zangu ndo walinifata uku hongera zikiwe nyingi. Uyo aisha ndo mda wote kamshika mwanangu aunt aunt kama zote .mh si alisema nitoe uyu khaa.acha nileee bwwna mie .sijuh kitakachononifaa mbele uko na kwa akiri hizi ndo kabisa
Basi bwana nikaanza kulea shoga yenu apo kidogo akiri ilitulia mana mh maneno ya yule dr yaliniingia nikaona ngoja kwanza nitulize akiri mwanangu ata atembeee. Basi kweli madanga yote nikayakaushia niliogopa kumbemenda mana dr pia aliligusia hili suala . Alinambia niwe makini nikiendeleza sana mapenzi nutambemenda mtoto

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
Sehemu ya 53
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media

Sada ikawa aisha ndo anatota sasa mimi nabaki home tu nakuwa busy na mtoto.na kazi zote za nyumbani . Nilikuwa na kiakiba mpka kikakata mana hospita ile peresheni na kukaa kule ndo nilimaliza pesa.nilikuwa namtegemea sana aisha na yale madanga niliyoyazoea. Yani unajua unakuwa na yule mtu wako ata kama hamjaemda kutombana ila anaweza akakusaidia pesa na miasha yanaenda. Kwaiyo shoga akiludi dukani ndo ananipa pesa maisha yanaendelea. Mwanzo alikuwa hana shida ula uku mbele nikawa naona kama annipa pesa ila hapendi na wakati mimi ndo nilimpa msingi wote. Yeye tena akawa anaona mie ndo namfilisi . Maisha aya

Badi bwana mtoto wangu alikuwa mzuri sana ila nilikua nashanga hakapati afya .yani kanakuwa chepesi alafu kikawa kinaumwa umwa sna. Apo alikuwa na miezi 5 hivi . Nikawa naona ata simuelewi.na nikampeleka hospitali uku uku charambe nikaambiawa ni malaria tu. Nikasema sawa.nikawa naendelea na majukumu yangu. Yani nilikuwa sina nyendo sana zaidi ya kwa kina husna kidogo na kuludi nyumbani
Nilipambana sana na mtoto mpka akafika mwaka acheni masihara . Apo shoga pesa akawa ananipa kanunua na uku ananisukumiza maneno kuwa bola ningefatisha maneno yake .mana alishaniambia nitoe mimba kulea mwenyewe sitaweza ila binadamu sisi.tunajisahau sana

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA 52 to 53

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Sehemu ya 52
Mwandishi; lissa wa huru media

Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza kula na mashost wakaomdoka nikabaki mimi hospitali kujiangaliazia mshono. Nikiwa pale akaja uyo nurse anajifanya na mdomo atari .akaanzaa kinichamba tena nakwambia.akasema yani wewe dada umeniuzi sana unanajijua mja mzito alafu ulikuawa hauji clinic yani hata ujali kabisa kuhusu mtoto wako.yani unaletwa hospitali upo mbwi kwa mapaombe au ulikuwa umetoka lodge kulipa pesa za watu.mana unavyoonekana upo moto.nilichukia nikamuuliza kwani wewe dada unataka kujifanya una jali sana kuhusu mwanangu...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-52-to-53

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 8   MPK  12
SHAMIRA 8 MPK 12
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA 49 to 50
SHAMIRA 49 to 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

1.09K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

1.04K
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.

164
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

160
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.

152
SHAMIRA Sehemu ya 51

SHAMIRA Sehemu ya 51

41
SHAMIRA 49 to 50

SHAMIRA 49 to 50

40
SHAMIRA 52 to 53

SHAMIRA 52 to 53

34

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.71K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.44K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.86K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.7K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.7K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mremboπŸ˜‹,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu πŸ”₯) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.
@majario LIVE

41 MPAKA 42 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

Daah yani asubuh ile sa 10 ndo nikamwambia basi mke wangu pumzika na mtoto.sasa, zena akanambia sawa mpenzi, na wewe upumzike sasa, nikasema sawa nakupenda sana zena , wewe...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu...

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest