Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
Gonga94 ยท Stories

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na utakapoona kuna jamboa halipo sawa, usisite kabisa kunipigia simu shemeji na kunielezea sawa, nna imani ntawaweka sawa na kila kitu kitakaa powa sawa shemeji, apo kaka angu anaongea hivyo mimi nipo kimyaaaaa, mnazani mi nasema nn sasa manina zangu, basi jalia akasema sawa shemeji, japo mm nna imani sana na mume wangu tutakaaa kwa wema na hatutazinguana kabisaaa, si et mume wangu, nikasema ndio jalia kuwa na amani, basi kaka akanmbia sawa mi sikai millan naomba tutoke njee tuongee kidogo ndo niondoke, nikase.a sawa kaka

Kweli mm na kaka tukatoka njeee, aseee tumefika nje, kaka akanmbia millan naondoka,but nakufahamu sana na tabia zako, naomba uache zote na uanze maisha mapya na mkeo, ndoa inataka kutulia sana, millan now sitaki kesi za wanawake wako sijuh akina mama ahmad hapana , nnachojua una mkee mmoja tu na utulie na mkeo, sitaki kesi yoyote, tusije tukagombana sawa ww, nikasema ndio kaka kuwa na amani hautasikia kesi kabisaa wala ,broo akanmbia sawa na kuhusu uyo zena sitaki kumsikia lea mwanao tu sawa ww , mh kaka nae, nikasema sawa brooo nimesikia na nimeelewa , kaka akanmbia fresh mi naondoka zangu utaniagia kwa mkeo, alafu mkeo mzuri aana tulia na acha mapepe, kaka bwana kweli uyu jalia mzuri ila ashamuona zena , nyiee zena ana nuru automaticlly tu, yule mwanamke bwana, ahaaaaa basi kaka akaondoka zake na mm nikaludi ndani, wala sikutaka kjmfanyia kisilani jalia, unajua zena alishanifundisha kuwa mwnamke ni wa thmani sana, ila angenikuta enzi zangu uyuu, kesho tu angeludi kwao pemba, ila ahaaaaa sikuona sababu ya kuwa mwehu kwake, mi nikamkalibisha vizuri, na nikamuagizia mahitaji ya kupika, na kila alichokitaka alinambia nikamuagizia, nikampa na pesa ya kumlipa niliyemuagizia, kisha nikamwambia mi naenda kwwa mshikaji wangu ntaludi usiku, akanmbia sawa mume wangu hakuna shida

Mi nikatoka zangu nje nikachukua ndinga, mpaka kwa ibraa, mana teali tilishawasiliiana ,na ibraa akanmbia yupo gomzi kwake, basi nilivyifika sasa nikamuomba aje njee ya nyumba yake tuomgee kwenye gali, mana mm wala sikutaka mkewe na ibraa asikie maongezi yetu, kweli ibraa akaja na akaingia ndani ya gari yngu tukasalimiana fresha,akaniuliza za pembe bwana harusi, nikasema mwanangu pemba jau , hakuna rahaa yoyoye niliyoisikia this time nikiwa nyumbani nimechanganikiwa kaka, kichwa kinanaiwaka moto kaka kweli kweli, ata sielewi nafanyaje, ibraa akanmbia umefanya kama nilivyokwambia kwanza zena hajui kama upo dar, nikasema yaaa hajui kabisaaa sijamwambia, akanmbiansaw sasa sikia mi nnachokiona ni lazima wewe umuoe zena ata iweje, lakini usimuache jalia, japo sijamuona ila unajua kama wazazi ndo wamekuchagulia sio mbaya ,usiwadessapount wazazi kwa kumuacha jalia, na usijidissapoint moyo wako kwa kutokumuoa zena, so apa kilichpo ni kwamba haumuchi jalia na unamuoa zena, nikakaa vizuri nikasema eeh nipe mipango inakuwaje iyooo

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59


Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na utakapoona kuna jamboa halipo sawa, usisite kabisa kunipigia simu shemeji na kunielezea sawa, nna imani ntawaweka sawa na kila kitu kitakaa powa sawa shemeji, apo kaka angu anaongea hivyo mimi nipo kimyaaaaa, mnazani mi nasema nn sasa manina zangu, basi jalia akasema sawa shemeji, japo mm nna imani sana na mume wangu tutakaaa kwa wema na hatutazinguana kabisaaa, si et mume wangu, nikasema ndio jalia kuwa na amani, basi kaka...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-59

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

810
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59

743
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58

579
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

371
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.

271
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.

215
SHAMIRA 52 to 53

SHAMIRA 52 to 53

190
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55

SHAMIRA Sehemu ya 54&55

146
SHAMIRA 49 to 50

SHAMIRA 49 to 50

137
SHAMIRA Sehemu ya 51

SHAMIRA Sehemu ya 51

132

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.73K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.45K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.92K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.87K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.71K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.71K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.64K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mrembo๐Ÿ˜‹,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu ๐Ÿ”ฅ) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest