Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.
Gonga94 · Stories

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


MTUNZI: SMILE SHINE

Mama alipokea nikamuita atoke nje,vicram alibaki tu akinishangaa, mama alitoka akatukalibisha ndani, niliomba niongee nae pembeni, tulitoka nililia Kwa mama mpaka na mama nae akaanza kulia, badae nikaamua kutulia nisimuumize mama yangu zaidi...

Nilimbembekeza nikamwambia plan ya vicram, mama alinihurumia mno,ila mama usijali Nina uenyeji kiasi mama Fatuma alinipeleka, naomba nikuachie simu yangu kubwa uifiche na uongee na mama Fatuma, atusamee Kwa ajili ya baba, amekisea sana, nilimpa no ya Siri na Kila kitu, nilimwambia pia Nina nyumba nimepewa na mama Fatuma, nitamuomba aitafutie mpangaji, afu pesa wawe wananiwekea kwenye acount yangu, Ili inisaidie huko ninakokwenda sijui pakuanzia, tuligongea mengi tukagawana pesa na namna ya kunisaidia endapo nitakuwa kwenye hatali nilichomia line Moja nikadondoka nayo Moja nikamuachia mama...

Vicram aliingia kumuaga Mzee, na uyo mwenzako Yuko wapi? Yuko na mama nje nafikili wanaagana, walipeana na pesa, apo Mzee akafurahi kweli, akatamani hata kubeba mkwe wake, Hawa mbona hawaji tutoke huenda wanalia, baba aliongea ikabidi watoke muda huo Mimi tayari nilikuwa kwenye gari namsubili vicram aje tuondoke, walitoka wakakutana na mama mlangoni anaingia ndani...

Mama milembe, uyo binti Yako Yuko wapi? yupo nje anamsubili mwenzie waondoke, nini? Inamaana haagi? Mama hakujibu kitu, ilibidi watoke nje wakaangaza hawanioni kumbe nipo ndani ya gari vicram akahisi wakaja kwenye gari, wakaniona, nikavunga tu, salha mke wangu njoo umsalie baba Yuko apa nje tuondoke, nilimkata jicho nikajikaza nikatoka nakusalimia kishingo upande na goti langu Hadi chini...

Mwanangu msafili salama, ukamuheshimu mme wako, na namba ya simu Yako nipe, nikajibu sina, wote wakanishangaa, nikajibu tu imevunjika, " baba usijal tukifika nitamnunulia Kisha nitakutumia namba zake muwasiliane, Mzee alijiongeza kuwa bado ninahasira nae, niliamua kuingia kwenye gari wamalizane wenyewe, baba aliamua kuniongelesha kisukuma Ili vicram asisikie,milembe usiniletee zalau nitakupigia mbele ya mme wako, umepata mme mzuri, unaleta kiburi Sasa kosa anipe malalamiko Yako, ukiachika ujue nakuozesha Kwa Mzee kurwa alikuwa anakutaka, kazidiwa tu mahali na huyu kijana Sasa kachezee ndoa Yako, nitakulaani hii ndoa ukiivunja Kwa ujinga wako hutokaa ukaolewa na mtu wa maana tena, Mzee aliongea hivyo huku alitena na mate chini kama ishara ya kiapo Cha radhi...

Nilijikuta nalia tu, Mzee akaondoka vicram alishangaa nalilia nini make hakuwa anaelewa kisukuma kabisa,tuliondoka kuekekea mwanza Ili tuwahi ndege ya jioni kwenda dar, tulifika tukaunga, salha mke wangu changamka basi, unalia muda wote mwisho utapata homa, Mimi sina shida niamini angalau hata kiasi...

Niliamua kupiga tu usingizi tumefika dar, ndo akaniamsha, akanipitisha mahali nikashangaa huku wapi? Nyumbani Kuna Sheree yetu hivyo tunapita utest nguo ya Sheree, nilichoka, tumefika bahati nzuri nilipata tena ilinipendeza mno, nikapigwa mecup,japo sikuwa na furaha ila nilipendeza mno, vicram alikuja kunicheki, kwanza akaganda, mpaka wakamshtua alijikuta amenikumbatia Kwa hisia mno, Kila mtu akamcheka...

Alinishika mkono tukapanda ndinga ya maana, hao mpakaaa ukumbi ulipo ulikuwa ni nyumbani tu, kumbe adi mama Fatuma alialikwa na king pia, tuliingia sikuwa na bwebwe kabisa Yani nilikuwa najilazimisha tu, muda wa zawadi nikamuona mama Fatuma na king aisee nilishindwa kujizuia nilimlilia mama angu huyu, mpaka akajuta kuja, tulilia pamoja, ilikuwa ngumu mno kunituliza, ilibidi wanitoe kidogo, king alikuja macho yake yalionekana kabisa Amelia sana, alikuwa pembeni analia kimya kimya, nilishang'aa huyu ananihurumia ama anamlilia mama🤔...

Nilikosa jibu badae mama alifanikiwa kunituliza aliomba aongee na Mimi tu, wote walitupisha tuligongea vingi ni Siri jamani, mtavijua badae, lakini Kuna hiki kilinishangaza, mama alinambia king Toka apewe taarifa zangu alizimia, na alivyopata fahamu hajaamini mpaka wamekunja wote, na hapo hayuko sawa kabisa nahisi anakupenda ila alikuwa anaficha Sasa hili kwake kimekuwa gumu, nilishangaa kwanza, ikabidi aitwe alikuja hata nguvu ya kuongea hakuwa nayo akazima aisee nilichoka...

Itaendelea...🔥

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.



MTUNZI: SMILE SHINE

Mama alipokea nikamuita atoke nje,vicram alibaki tu akinishangaa, mama alitoka akatukalibisha ndani, niliomba niongee nae pembeni, tulitoka nililia Kwa mama mpaka na mama nae akaanza kulia, badae nikaamua kutulia nisimuumize mama yangu zaidi...

Nilimbembekeza nikamwambia plan ya vicram, mama alinihurumia mno,ila mama usijali Nina uenyeji kiasi mama Fatuma alinipeleka, naomba nikuachie simu yangu kubwa uifiche na uongee na mama Fatuma, atusamee Kwa ajili ya baba, amekisea sana, nilimpa no ya Siri na Kila kitu, nilimwambia pia Nina nyumba nimepewa na mama Fatuma, nitamuomba aitafutie mpangaji, afu pesa wawe wananiwekea kwenye acount yangu, Ili inisaidie huko ninakokwenda sijui pakuanzia, tuligongea...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-hot-pilot-rubani-wangu-ep-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-hot-pilot-rubani-wangu-ep
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 12.
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 12.
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥)  EP 13.
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 13.
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥)  EP 14.
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 14.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

1.36K
JOGOO WA KIENYEJI 1----5

JOGOO WA KIENYEJI 1----5

247
SHAMIRA Sehemu ya 65&66

SHAMIRA Sehemu ya 65&66

201
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.

199
SHAMIRA Sehemu ya 60&61

SHAMIRA Sehemu ya 60&61

192
SHAMIRA 62 63 na 64

SHAMIRA 62 63 na 64

188
AFANDE MILLAN😎 *season 3*  *64&65*

AFANDE MILLAN😎 *season 3* *64&65*

171
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 12.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 12.

142
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥)  EP 13.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 13.

89
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥)  EP 14.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 14.

49

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.76K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.84K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.94K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.91K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.73K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.72K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥)  EP 14. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 14.
@majario LIVE

Alinilegesha jamani king anajua kuandaa, anajua kutia sio Polepole jamani, nilijikuta nimempa yote bila kumbania, jamaa kumbe kiu ilikuwa kubwa na Mimi nilikuwa naukata kweli make kufanya hii kitu na...

AFANDE MILLAN😎 *season 3*  *64&65* Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 *season 3* *64&65*
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi nikapata na kipaji cha kubembeleza huu usiku mana zena hakuwa sawa kabisaa, na alikuwa na stress mnoo maskini na ni baada ya kumkubusha ya nyuma uko maskini, tulibembelezena mpka...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥)  EP 13. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 13.
@majario LIVE

Tulifika nikakuta mke mwenzangu tayari yupo ukweni na anamimba japo ilikuwa haionekani, nilitukanwa matusi yote, Mimi tasa, maskini sina msaada wowote, nilikuwa niwakulia tu ukizingatia, sijawai tumia hats uzazi wa...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 12. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 12.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Baada ya king kuzimia,ilibidi apate huduma ya kwanza, Mimi ilibidi niludishwe kwenye Sheree, tulimaliza saa Saba usiku, nilikuwa nimechoka mno, nilioga nakuingia kulala, hata vicram pia alikuwa hoi,...

JOGOO WA KIENYEJI 1----5 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 1----5
@majario LIVE

🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 sehemu ya 1 Mwandishi:lissa mwalla Naitwa Talya jones,ni mtoto wa pili katika familia ya watoto wawili,wakwanza kakangu tommy na mie ndio last born sasa,baba yetu alikua mwanajeshi na mama yetu ni nesi.baba...

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11. Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 11.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Mama alipokea nikamuita atoke nje,vicram alibaki tu akinishangaa, mama alitoka akatukalibisha ndani, niliomba niongee nae pembeni, tulitoka nililia Kwa mama mpaka na mama nae akaanza kulia, badae nikaamua...

SHAMIRA Sehemu ya 65&66 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nilimuangalia sana nikamuuliza unamuongeleaa mtoto gani kwanza .akanambia ahaa si mtoto wangu ambae ulikuwa unakujaga nae nyumbani kuomba msada ama.nikasema sawa kumbe unakumbukumbu. Unahisi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
@majario LIVE

Baada y kumuacha mchumba sasa nikawa hoi yani , sio powa basi zena akanikumbatia akanambia nakupenda san mwanaume wangu, basi apo sasa , nikamwambia zena ,naomba nikuamishe apa mke wangu,...

SHAMIRA 62 63 na 64 Post Mpya
SHAMIRA 62 63 na 64
@majario LIVE

Sehemu ya 62 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana nilikuwa naumia sna moyoni ila nilisema uwenda akasaidiwa uko na akapona kuliko kukaa nae mie. lazima mwanangu ata kufa mana sina...

SHAMIRA Sehemu ya 60&61 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi niliwaza mno ila nikaona acha nipumzishe kichwa mungu atasaidia mbele . Na kweli kesho mimi nilimpeleka mtoto hospitali akapata hudumu.ma dr ...

SHAMIRA Sehemu ya58&59 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya58&59
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikanunua chakura kwanza ndani.kisha kesho yake niliamkia hopitali sasa. Nilishauliwa kwanza nimkatie bima kubwa mtoto ya laki 7. Nilikakata iyo bima .kisha sasa...

SHAMIRA Sehemu ya 56&57 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; 0742443214 Nikapanda kitandanni nikamlaza mwananagu kisha namie nikavuta shuka nikawa nipo busy namnyonyesha.tu. aisha akawa akanasema kwaiyo unaninyanyasa kwa sababu umenipa msingi ama.asee nilisema we kumamako...

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 9. Nilisaidiana na iren kutenga, walikuja kula chakula Kila mtu alikisifia, isipokuwa king,sikujali alimaliza Kila mtu akaingia kulala,nilijikuta nimemkumbuka mama angu, na Kwa muda huo nisingeweza kumpigia akiwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
@majario LIVE

Ibraa akanmbia kwanzaaa , wewe kaa na mkeo kama siku 3 kwa heshima kabisaa, na kubali tu kuwa ni mkeo na kuwa normal kwake, na uzuri mzigo si unakula basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest