*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐ฅ) EP 14.
Alinilegesha jamani king anajua kuandaa, anajua kutia sio Polepole jamani, nilijikuta nimempa yote bila kumbania, jamaa kumbe kiu ilikuwa kubwa na Mimi nilikuwa naukata kweli make kufanya hii kitu na mtu wa hisia nae, na yule wakulazimisha ni mateso tu, nilimwagiza mala tatu mpaka nguvu za kutembea nikakosa...
Apo ndo king akapoa, aliniogesha nakunisifia mpaka nikashangaa, huyu mtu mbona anakuwa mwema sana, na anachonisifia Kila siku vicram anavikosoa nakusema sio, sikutaka kujali sana, nikaamua kuvunga tu nilipitiwa usingizi humo humo chumbani Kwa king..
Nilikuja kushtuka, ananiamsha Nile, nilikula nikaludi kulala asubuhi kulikucha, king akaniambia mile jiandae kupokea talaka nahitaji kukuoa mwaka huu huu, nilimtizama huku nawaza anachokiongea, nilimkubalia tu Ili kuepusha kagomvi, make huyu kuchukia ni kidogo tu..
Nilitoka Kwa wizi mama asinione na iren, lakini bahati haikuwa kwangu, mama alinikamata hakusema kitu, alinichukua tu kimya kimya, kuniludisha ukweni kwangu, nilikuta mambo ya harusi Yako moto, siku ya harusi ilifika, ndoa ikapita, aisee walijua kunisema baada ya ndoa, walienda honeymoon, Mimi nikaenda nao kama house girl wao...
Nilikuwa na plan zangu, nilifanya makusudi ya kumpiga Kofi mke mwenza, Ili tu nipewe niachike, aisee, nilijuta hicho kipigo nilichopewa kilikuwa ni zaidi ya vipigo vyote alivyowahi kunipiga, nilipigwa kiasi Cha kushindwa kutembea,nilijikuta namuogopa vicram mno, nilimuona tu natetemeka Kwa uoga, bahati nzuri yule mwanamke alinifanyia vitimbwi na kesi zikazidi mpaka vicram akanindikia talaka...
Nilijua zote kumbe mbili, aisee nilichukia apo nikawa nimeanza Kupona, nililudi Kwa mama Fatuma, nikaongea na mama, akaja na baba, pia alionekana kama kujuatia, alimuomba msamaa mama Fatuma, Kisha wakaanza kufatilia talaka yangu, vicram alivyojua nataka talaka ya Moja Kwa Moja alichukia mno, alikataa kutoa talaka kabisa, ikabidi tupelekane mahakamani, king alihakikisha anasimamia Kila kitu, Mungu alikuwa upande wangu baada ya kusumbuana Kwa muda mrefu kama miezi mitatu talaka ikatoka...
Vicram alikuwa kama kachanganyikiwa, hakutaka kuniacha kabisa, hii kitu ilimkela mke wake, wakawa wanalumbana Kila kukicha ni ugomvi, vicram akaanza kulewa kupitilizaa, upande wangu nilipelekwa nje kutibiwa majeraha na kufanyiwa checkup ya Kila kitu..
King alihakikisha sipati mawazo kanisa ila ajabu nilikuwa pia na ujauzito kuhesabu taree ni ya king, aisee alifurahi mno, ata Mimi nilifulahi mno uku nilishangaa hii imewezekanaje, Yani uyu king ni mala moja tu na mtoto, ila yule mwendawazimu miaka, hakufanikiwa kuniwekea mtoto , kweli Mungu alikuwa upande wangu, napaswa kumshukuru mno, hii taarifa ilibidi tumpe mama Fatuma alitushuki tuoane mapema sana uzuli nilikuwa nishamalizana na taratibu zote za ndoa na vicram, hivyo nilikuwa huru kabisa kuolewa tena...
Japo nilikuwa naa hofu sikutamani tena kuolewa, king alielewa Hilo akajitahidi kuniweka sawa, lakini haikusaidia Kwa sababu hata vicram alianza na ukarimu mwisho wake akatoa makucha,huyu nikikumbuka yake maneno yake, nasita kabisa Yani niliona bila niwe single mother tu, nilimuomba nijifungue kwanza...
Lengo nipate utulivu tu kwanza, na nimchunguze vizuri, nisijitiw kumjua sana,alikubali japo kishingo upande,mama Fatuma aliomba nikae kwake Kwa Hali yangu, nilitaka kugoma kumbe mama Fatuma alikuwa kaahamjulisha mama, mama akapigilia msumali ,nibaki hapo kwanza baba asijue kitu italeta ugomvi kati yaa baba na mama Fatuma, kuepusha Hilo niolewe, niliona bila tu nikubali kubaki kweli nilibaki, na tayali hata makovu yaliisha nilitibuwa vizuri mno...
Itaendelea...๐ฅ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni