*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐ฅ) EP 12.
MTUNZI: SMILE SHINE
Baada ya king kuzimia,ilibidi apate huduma ya kwanza, Mimi ilibidi niludishwe kwenye Sheree, tulimaliza saa Saba usiku, nilikuwa nimechoka mno, nilioga nakuingia kulala, hata vicram pia alikuwa hoi, kulikucha tulichelewa sana kuamka, tulijikuta tumeamka saa 6, tena Mimi ndo nilichelewa zaidi, niliingia kuoga nakuta simu na line kitandani, vicram akaniambia, salha mke wangu naomba uangalie hizo simu apo ziko tatu chagua utakayoipenda zaidi,vicram we nipe tu yoyote, salha ujue unanichanganya sana, sawa acha nikuangalizie mwenyewe, alichagua iphone ya maana, nikaweka line, wakwanza kupiga alikuwa ni baba, niliitambua no yake , nikaikaushia, salha mbona hupokei simu?..
Sikujibu kitu, alichukua simu akapokea Mimi kimya wakaongea na mzee, akanipa nikakata, vicram alinitizama sana hakusema kitu, niliamua kuizima tu mawazo yalinisumbua mno,sikujua nini kiliendelea kwa king mpaka siku naondoka tz kwenda ujerumani, sikuwa nimejua Hali ya king na mama...
Nilifika ujerumani nikiwa n stress zangu, sikuwa nafuraha hata kidogo, vicram alijitahidi kunifurahisha, alikuwa Kila ruti yake ya ndege alitaka niondoke nae, nilitembea nchi nyingi na pilot vicram, alijitahidi kunifurahisha, lakini sikuwa nafuraha,niliamua kuigiza kufurahi, mwaka uliisha, nikiwa bado sijampokea vicram kutoka moyoni, nilikuwa namuigiazia tu, salha mke wangu, nahitaji unisaidie kitu, vicram aliongea hapo tulikuwa mwaka wa pili Sasa...
Kitu Gani?, umwshakaa na Mimi ni mwaka Sasa na nusu, nafkiri umeshanijua vizuri, nahitaji kuwekeza king air Tanzania, naona wewe pekee ndo wakunisaidia mke wangu, tunapaswa kupambana Kwa ajili ya kesho yetu na watoto wetu tutakao jaliwa,huu kwangu ulikuwa mtihani, natambua kabisa king air na flower air ni paka na panya hawawezi kushirikiana Kwa sababu ya uhasama walionao...
Lakini pia kuwapatanisha ni hatari mno, ikitokea mmoja Kati Yao, akamgeuka mwenzake Mimi ndie nitakuwa tatizo, kuliko ije kuleta shida badae ni bola Kila mtu afanye kazi zake mwenyewe,nilivyojihakikiahia na moyo wangu hili jibu ni sahihi, niliamua kumjibu vicram mme wangu, naona ni vyema Kila mtu afanye mambo yake...
Ninyi kuwa pamoja ni vigumu lazima tu Kuna mmoja ataleta ujuaji na nitakaeathilika ni mimi, ninyi nyote ni watu wathamanj sana kwangu, hivyo naona hio haiwezekani kwangu, tupambane tu wenyewe sio lazima tuungane na king air,nilivyojibu hivyo viclam alipanick, akaniwasha kibao, hivi unajua Kwa nini nimekuoa kweli wewe?, unajua nimepoteza vitu vingapi Ili niwekeze tz, kilahisi tu badala ya kunisaport mme wako unaenda kumsaport hawala Yako, ama unafikili sitambui kama alikuwa bwana Ako? Na ndio maana niliamua nisikutongoze niendw kwenu Moja Kwa Moja, Ili kuvunja uhusiano wenu, mwanzo nilijitahidi nikupe nafasi angalau ya mke huenda ukaniungaa mkono, kumbe Ata akili huna, kuzaa mwenyewe huzai, mpaka Sasa hivi huna hata dalili...
Nilijikuta nalia, nimeona Sasa uhaalisia qa vicram, kumbe alinitoa Kwa sababu ya kumfunja moyo king na kunitumia Mimi kuwashawishi king na mama Fatuma , wakubali kuungana na vicram,na alinioa makusudi kumuumiza roho king, nakumchamganya Ili asifanye kazi zake vizuli, kampuni iyumbe na ashindwe kurusha ndege, huku vicram apaki kwenye soko la Africa bila mpinzani...
Japo hili nililihisi mapema Mimi na mama Fatuma na hii ndio Siri aliyonioa siku ya harusi yangu, na kuniomba niwe makini, alinipa na simu ya Siri Kwa ajili ya kuwasiliana nao, hivyo hapa kilichoniumiza ni Kofi tu ila ujinga wake wote Mimi nishauelewa mapema, king alikuwa ananitizama sana pind tukiwa kazini tena Kwa kujificha ikapelekea vicram kutambua jambo lake, kupitia wapambw wake...
Akaamua kufatilia mambo yangu kuanzia pale bar, alivyofatilia akaelekezwa Kwa anty yangu, na huyo ndie alietoa maelekezo yote ya nyumbani Kwa rushwa ya ml 2 tu, Toka siku nikataae kumsaidia vicram alibadilika akawa mtu walunipiga na kunifungia ndani, some time anakuja na Wana wake mpaka chumbani tunakolala, miaka mitatu ilitimia nilikonda na mwili ulijaa alama za vipigo, sijui nilifanya ujinga Gani Kuoa mwanamke kama wewe HUNA utamu, unanuka, alikuwa na kauli za kunifanya nisijiamani kabisa...
Baada ya muda alinipa taarifa anatoa, na nilazima nihudhurie harusi yake, ilitakiwa kufanyika dar Kwa wazazi wake, tulifunga safari kuludi tz...
Itaendelea...๐ฅ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni