Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
16 Mar 2026
88 views
VYOTE NDANI GONGA94
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 13.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Tulifika nikakuta mke mwenzangu tayari yupo ukweni na anamimba japo ilikuwa haionekani, nilitukanwa matusi yote, Mimi tasa, maskini sina msaada wowote, nilikuwa niwakulia tu ukizingatia, sijawai tumia hats uzazi wa mpango huenda kweli nikawa na tatizo...
Nilipata hofu sana juu ya uzazi, nilimweleza mama Fatuma na mama, ilipidi mama Fatuma aje kunichukua kama naenda kumsalimia japo ilikuwa ngumu ila tulifanikiwa kutoka, alinipeleka kwenye checkup, nilipimwa najibu yakatoka sina tatizo Niko sawa kabisa, Sasa nikashangaa kama Niko sawa , mbona sijawai kubeba mimba miaka yote mitatu na sijawai tumia Kinga yoyote🤔...
Ilinifikilisha sana, mama alipiga simu kuomba nilale, vicram alileta ngumu, badae akaniluhusu, baba angu alikuwa kumpigia simu kwakweli alikuwa alinitafuta ni salamu sitaki ziada, mtu pekee niliyekuwa naongea nae ni mama, hii kitu kumbe ilimuumiza baba kiasi Cha Kila siku kuniulizia...
Ilibidi mama aniombe nimusamee, na Kwa jinsi nilivyokuwa kwenye wakati mgumu, ata sikuweza kuyafatilia maswala ya baba,niliamua kumaliza kwanza matatizo aliyoniingiza, siku hio nililala Kwa mama Fatuma, nikiwa chumbani sina hili Wala like nilishtukia tu mtu kaja kasi, nakunikumbatia Kwa nguvu, kumbe alikuwa ni king, mile karibu sana, aliongea huku anafuta machozi, nilijikuta nalia tu alinimbembeleza huku ananitizama nilikuwa ninepungua mno japo kishape kilisalia, lakini sio vizuli nilikonda mno na mwili ulikuwa na alama Kila Kona, king alivyoona akaforce kunikagua aisee alichukia akataka kwenda kulianzisha, nilimuzuia lakini sikufanikiwa, wakati na muita alikuwa anaekekea chumbani kwake akachukue zana wakamalizane, niliamua kumuwahi nikiwa na khanga tu sina kitu mwilini..
Alivyoingia chumbani kwake na Mimi nikazama kumzuia nijafunga kabisa mlango, mile naomba uniache, anapata wapi,nguvu ya kukupiga kama hakitaki so akuache, anajua thamani yako kwangu? Ivi unajua ninavyoteseka aliongea Kwa hasira sana, huku akilazimisha kuondoka, niliona nitumie plan b, nikamvaa na kiss, dah jamaa ni kama alikuwa na uchups wa miaka, hakulivungia, akalipokea Kwa hisia Kali kweli, nikiwa nimeshajusahau kama ni mke wa mtu nikakumbuka miaka ya nyuma, alichonifanyia, nikapatwa na hofu, hisia zote zikapotea, nikaanza kujitoa ila mwenzake hakukubali, alinivutia kwake zaidi...
Tukajikuta kitandani ndo kabisa nikakumbuka alivyonipandishia mizuka, afu akaniacha tena Kwa kucheka na maneno ya kashfa, yeye hakuelewa Hilo alishasahau,apo kashaasaula nguo, nikaaamua kukataa, king sitaki, ata hakunielewa, king najua unachotaka kufanya, nakuapia utanifamya nikuchukie milele, sijasahau ulichonifanyia siku Ile, hapo ndo king akatambua Nina hofu juu yake, hakujibu aliamua kutumia vitendo...
Itaendelea...🔥
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) EP 14.
Alinilegesha jamani king anajua kuandaa, anajua kutia sio Polepole jamani, nilijikuta nimempa yote bila kumbania, jamaa...