Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10
Gonga94 Β· Stories

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


MTUNZI: SMILE SHINE
EP 9.
Nilisaidiana na iren kutenga, walikuja kula chakula Kila mtu alikisifia, isipokuwa king,sikujali alimaliza Kila mtu akaingia kulala,nilijikuta nimemkumbuka mama angu, na Kwa muda huo nisingeweza kumpigia akiwa na baba, Huwa naongea nae Kwa Siri sana, niliamua kulala tu nakufunga mlango, king alikuja akagongaa mi kimya akaamua kupiga simu nikavunga nimelala, akaindoka, kesho yake kazini, king alikuwa ananifanyia makusudi mpaka wafanyakazi wakatambua, tutakuwa tunaugomvi...

Aliniyesa mpaka nikajuta, zilipita kama wiki mbili nikapigiwa simu na mama, kuwa Kuna kijana kaenda kupeleka posa nyumbani anaitwa vicram na kakuombea msamaa Kwa baba ako, kasema yeye ndo muhusika toka mwanzo, nilikuwa nimekaa nikasimama,mama Mimi sitaki kuolewa saivi, huyo ni adui wa hapa ninapoishi mama, anafanya makusudi kwanza kapajuaje kwetu?..

Mama alisema Yani apa ninavyoongea na wewe, wapo ndani na baba Ako kashaita ndugu zake waje kupokea posa Yako, na kesho unatakiwa uje posa italetwa kesho Kun avitu ni lazima wanunue, na wewe unatakiwa kuwepo, uyo kijana katoa namba zako upigiwe uje,nilichoka sio kidogo mpaka machozi yakanitoka kumbe muda wote tunaongea nyuma yangu alikuwepo mama Fatuma, walipiga Kwa mama Fatuma na kuongea nae kesho niende, mama Fatuma akahisi nimemficha ila alivyokuta naongea na mama akapata picha sihusiki, alikaa na Mimi akanishauli, twende wote niwaeleweshe wazazi Kisha tutaludi...

Nilifurahi mno nikamshukuru, kweli kesho yake tuliondoka kwenda kwetu, tulifika tukapokelewa Kwa bwembwe mpaka majirani wamealikwa, Yani ni kama Kuna Sheree kabisa, nilijikuta nachukia mno, niliingia ndani tukasilimia, nika omba kuongea na wazazi nikiwa na mama Fatuma,kweli tukakaa nikajieleza pale, ila jibu la Mzee nililiniumiza mno, milembe usiniletee umalaya wa mjini, mtu amekuja mpaka nyumbani ameshatoa ng'ombe, unaniambua humtaki unataka hao wanaokuchezea huko bila kukuoa, Mzee aliongea mengi jamani mpaka akamtukana mama Fatuma akiwa yeye ndo ananihalibu, mala ananiuza na alinza tu vizuli kutaka kujua kama kaolewa, alivyojua tu Hana mme basii kikawa kigezo...

Nilijuta na kumuomba samahani mama wa watu alilia maneno aliyotoa baba angu yalikuwa makari mno,mama alijalibu kuingilia kati akapigwa makofi, ilibidi nikubali yaishe mama zangu walihudhunika mno, hamuwezi amini vicram alileta mpaka shehe nikabadilishwa dini, ndoa ikapita kijijinj kama utani...

Mama Fatuma alishuhudia Kila kitu, akanipa zawadi ya nyumba Kwa Siri sana, nilikuwa nalia tu ata laha sina harusi ilifugwa jioni saa Moja, mama alienda kulala gest, na sisi tulienda gest Ili asubuhi tuanze safari ya kuludi dar, sikuwa na furaha na yeyote ata kuaga nilimuaga mama angu tu, vicram alikuwa anajichrkesha tu ovyo, tulivyofika gest, niliingia kuoga nikavaa uko uko, mke wangu Sasa ndo nini kunivalia minguo muda wa kulala, sikujibu kitu, niliamua kukaa kimya tu, nikaingia kulala vicram aliingia kuoga, aliludi akiwa na taulo tu, alinisogelea ziro distance akaniita mke wangu, unachofanya sio sahihi naomba usinilazimishe nikuchanie nguo tena, aliongea Kwa upole, ila kauli yake ilikaa kisheria...

ItaendeleaπŸ”₯.
*MY HOT PILOT*
(rubani wanguπŸ”₯)

MTUNZI: SMILE SHINE
EP 10.
Aliamua kunivua mwenyewe, nilijikuta tu machozi yananitoka,aliniona nalia, hakutaka ata kuuliza tatizo, alivyomaliza kunivua alisogea nakunikumbatia tu, tukalala hakunigusa mpaka kunakucha, sikuamini niliamka nakuingia bafuni kujikagua,kweli hakunifanya chochote, nilioga nikavaa, nikakaa kumsubili aliamka saa 4 asubuhi, salha mke wangu umeamkaje? Mbona hujaniamsha?..
Sijui kama unapenda kusumbuliwa ukiwa umelala, nilijibu uku sitamani ata kumuona,aliingia kuoga, akiwa bafuni aliniita, mke wangu nimesahau mshwaki wangu naomba unichukulie kwenye begi uniletee, nilichukua nikafungua bafu, huku nimegeukia pembeni Nampa mswaki,nilishtuka ninevutiwa bafuni mtu Hana hata nguo...

Alinitizama machoni, nikamtizama pembeni, " salha mke wangu, nakupenda, naomba usinifanyie hivi basi, unaniumiza najua nimekukwaza kuja Moja Kwa Moja nyumbani, lakini sikuwa na budi kufanya hivyo, ningesema niongee nawewe ingechukua muda kunielewa...

Na Nina wiki Moja tu ya kuwa Tanzania, na sikuwa tayari kuondoka bila wewe, naomba unielewe kumjua moyo tuendelee mbele mke wangu, aliongea huku anataka kuniandaa Kwa mechi, vicram Mimi siko sawa, naomba uniache tu kwanza sikuelewi, salha kipi kigenj kati yetu kama uliweza kushiliki na Mimi ikiwa hunijui, Leo hii nimekuoa unasema huelewi kweli?..

Nilijisikia vibaya, nikakumbuka na maneno ya king aisee nikajua ndo Yale yake, naonekana kama nilijipeleka, machozi yalianza kunitoka Kwa kasi, vicram alinikumbatia akafungulia maji nikalowana, akati nilikuwa nimevaa, alihakikisha anatimiza hitaji lake Kwa akili sana...

Alivyomaliza alinisifia, huku akisema nikunjue moyo Ili niienjoy, sikujibu kitu nilioga nikiwa na hasira mpaka nikajikwangua ngozi Kwa kunisugua, alininyang'anya dodoki bila kusema kitu, akaamua kuniogesha mwenyewe, akanipaka mafuta na nguo akanivalisha, Kisha akaagiza chakula kilikuja tukala japo Mimi sikula sana, mke wangu naomba nikupitishe nyumbani ukawaage...

Haina haja nilishaaga Jana, nilijibu nikiwa na hasira za wazi wazi, vicram alinisogelea, salha mke wangu huku hatuludi Sasa hivi, kumbuka tunaenda ujerumani na huko Nina kazi ya mkataba wa miaka minne, na hapa bado siku tano tu tuondoke, hivyo hutokuwa na muda wa Kuja nyumbani tena, kuwaaga nilijikuta nalia tu, Kwa nini vicram umeamua kunifanyia hivi kosa langu ni kukusaidia? Nilikosa kukuokoa? Najuta emu niambie wapi nilipokukisea jamani 😭, nililia mno, salha mke wangu, sio kama nakuchukua ama nakukomoa hapana, nakupenda kutoka moyoni ndio maana nimekuja nyumbani, jalibu basi kunielewa mama...

Niliamka nikamwambia naomba nikamuage mama angu tu,ikiwezekana ata nje na nyumbani, mke wangu Kwa nini? Kwa nini kumbuka Kuna Mzee pia usimbague Kwa sababu yangu plz mke wangu, niliona vicram haniekewi, nikaanza kutoka tulitoka wote, akachukua usafili mpaka nyumbani, nilishuka nikampigia mama simu...

Itaendelea...πŸ”₯

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10



MTUNZI: SMILE SHINE
EP 9.
Nilisaidiana na iren kutenga, walikuja kula chakula Kila mtu alikisifia, isipokuwa king,sikujali alimaliza Kila mtu akaingia kulala,nilijikuta nimemkumbuka mama angu, na Kwa muda huo nisingeweza kumpigia akiwa na baba, Huwa naongea nae Kwa Siri sana, niliamua kulala tu nakufunga mlango, king alikuja akagongaa mi kimya akaamua kupiga simu nikavunga nimelala, akaindoka, kesho yake kazini, king alikuwa ananifanyia makusudi mpaka wafanyakazi wakatambua, tutakuwa tunaugomvi...

Aliniyesa mpaka nikajuta, zilipita kama wiki mbili nikapigiwa simu na mama, kuwa Kuna kijana kaenda kupeleka posa nyumbani anaitwa vicram na kakuombea msamaa Kwa baba ako, kasema yeye ndo muhusika toka mwanzo, nilikuwa nimekaa nikasimama,mama...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-hot-pilot-rubani-wangu-9-na-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-hot-pilot-rubani-wangu
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯)  EP 14.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 14.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯)  EP 13.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 13.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 12.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 12.
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 11.
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 11.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

346
SHAMIRA 82 MPK  86

SHAMIRA 82 MPK 86

320
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)

SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)

240
SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4)

SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)

210
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

156
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

150
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

138
NAKUPENDA BILA  13 - 25

NAKUPENDA BILA 13 - 25

133
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½

94
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final

89

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.78K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.49K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.85K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.95K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.93K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.75K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.73K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.67K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

SHAMIRA 92 kwa 93 Post Mpya
SHAMIRA 92 kwa 93
@majario LIVE

SHAMIRA Mwandishi; lissa wa huru media Sehemu ya 92 Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema β€œMuanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.” Alinitazama akisema β€œeenh chaupole wangu nipe nipe.” Nilimtazama na kusema β€œwewe tena...

NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA  ​Episode 1 Post Mpya
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA ​Episode 1
@majario LIVE

​Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita njia. Nilikuwa nimesimama kando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nikisubiri...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Basi bwana kakabaki ka laki na nusu nikasema hatakama kesho sipiki lazima tu niende road nikatafute chakuniinguzia pesa Mnakuja nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vitoto vya mskini sisi akili ni...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
@majario LIVE

πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Reyhan kwel ananifanyia mm hiv?niliumia sana huku nikimuangalia ivan anaonfoka zake.reyhan akasema imeisha hio huwez nifanyia mm umalaya ww,unanijua unaskia?sasa uneshakua malaya kweli washkaj malizaneni nae m najikataa.aliongea huku...

NAKUPENDA BILA  13 - 25 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 13 - 25
@majario LIVE

MIPAKA:13 β€œKeti tafadhali.” Nilimtazama, yeye hapo hata hajainua uso wake. Nilimeza mate nikaketi hapo moyoni najisemesha β€œwenye hela wana ringa jamani kwani si anitazame hata.” Nilipoketi aliniinua uso wake na kunikabidhi karatasi akisema...

SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR) Post Mpya
SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 87 Mwandishi; lissa wa huru media Siku iyo sasa nimeenda kazini. Ile nimefika tu asubuh love akainiita mh nikaogopa nikahisi au nimeharibu sehemu.mana kufika na kufika nimeitwa.nijaenda kisha ...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sasa hapo ndio nimekwisha sasa,uwiii,niliogopa nikamsukuma ivan,akasema nani huyo?nikasema ni ticha,akasema ticha wako ndio anakufata mpaka huku?mm nikatoa tu macho,ivan akasema subir hapa,nikasema sawa,akanyanyuka akavaa nguo akatoka mm name...

SHAMIRA 82 MPK  86   Post Mpya
SHAMIRA 82 MPK 86
@majario LIVE

(SEASON FOUR) (HURU MEDIA) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 82 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shoga yenu maisha yakaanza dodoma sasa. Nikawa nipo na kiakiba changu ndo kinanisapoti naendesha maisha mdogo mdogo. Apo...

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5 Post Mpya
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA Ni majira ya jioni ikiwa ni muda mfupi tokea ametoka bafuni kuoga kwa ajiri ya kujiandaa aweze kurudi nyumbani mara baada muda wa kazi kuisha, Isabela akiwa...

SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4) Post Mpya
SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)
@majario LIVE

(HURU MEDIA wababe wa hili Game) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 79 Mwandishi; lissa wa huru media Nimawa nagoma kutoka .uku nalia nikawa nasema mama usinizalilishe plsss .yule mama akasema nisikuzalilishe nini...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.
@majario LIVE

Nilikaa na kimimba changu kilimpenda, king Yani akikawia tu kuludi nyumbani najikuta naanza kulia, mpaka majilani nawapa Malala Miko napita Kwa majilani Yani mpaka king aje ndo naakubali kulejea nyumbani,...

*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“*  "1__5" Post Mpya
*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“* "1__5"
@majario LIVE

SEHEMU YA "1"πŸ’“πŸ˜½ BY BABIE LOVE "Alikuja kama muuza chai kumbe ni BillioneaπŸ’΅" Nyie njooni niwaambie kitu ……… mnazijua chapati? Sambusa je ? πŸ˜‚πŸ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni...

Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood Post Mpya
Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood
@majario LIVE

. Nargis was known for her natural acting and powerful screen presence. Films like Mother India made her a timeless icon, and even today she is remembered as one of...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest