Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
Gonga94 Β· Stories

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
πŸ“


Mwandishi:lissa mwalla
Reyhan kwel ananifanyia mm hiv?niliumia sana huku nikimuangalia ivan anaonfoka zake.reyhan akasema imeisha hio huwez nifanyia mm umalaya ww,unanijua unaskia?sasa uneshakua malaya kweli washkaj malizaneni nae m najikataa.aliongea huku akivaa nguo zake.nilihisi nakufa leo maana walichokua wananifanya hawa watu n mauaji,mara mlango ulifunguliwa tena aliingia ivan sikuamini.rey akasema oyaa n vip tena?ivan akasema mwacheni huyu dogo.rey akasema tumwache vip akat anataka mwenyew?ivan alimpiga ngumi ya uso kisha akasema nimesema mwacheni,wale wakaka waliokua wananifanya wakaniachia na kwenda kugombana na ivan,ivan aliwapiga akaniambia nyanyuka vaa nguo,mm hata nguv sina,wale wakaka wakaamka kutaka mpiga ivan,akasema kwa hiki mlichofanya hakikishen mnaniua mana nikitoka hapa naenda kuwashtak aniguse mtu.waliogopa ivan akanivalisha na kuanza kunikokokotea nje.nilikua naona aibu sana tulivofika nje nikamkuta da frida pale,sikujua kafikaje.ivan akasema mchukue.da frida akanichukua ivan akatuacha bila hata kusema kitu.tulirud nyumbn nilibandikiwa maji ya kuoga nikaoga kisha nikalala nikilia tu,nilitendewa kitendo cha kinyama sana na mwaname niliempenda sana,ivan niliamin kwel ananipenda lkn nilijua kabisa hawez rudiana na mm sababu aliona kila kitu.niijiona sina thaman tena duniani,nilichukia sana wanaume.zilipita siku tatu sikuwah muona wala skia kuhusu ivan,tuition niliacha kwa mshenz rey na sikuwah muona sababu nilikua nakaa ndani tu.hakuna aliejua siri yangu.matokeo ya darasa la saba yaliyoka nilifauru kwenda shule moja ya wasichana watupu,nilifurahi sana mana sikua nanraha kabisa ya kusoma jirani na nyumbn wala kuishi karibu na nyumbn.nilibadikika na kuwa mzubavu sana muda wote nina mawazo nikiwa naogopa hata kutoka nyumbn mana nahisi kila mtu anajua kilichonipata.miriam alikua anakuja kama kawaida nyumbn lkn alionesha kutokujua nn kimenipata.baba yangu alirudi safari yake kabla ya mama haharudi toka tabora kwa mgonjwa nilifurahi sana kumuona baba.nilimjuza kuhusu kufauru kwangu akasema amefurahi sana.alitafuta mawasiliano shule ninayoenda akauliza vitu han vinahitajika akaambiwa akaninunulia vyote.mama alirudi na kaka tommy wakakuta nishanunuliwa kila kiu na kaka nae majibu yao yalitoka alifaulu pia wazazi wetu walifurahia sana.miriam alifel hivo alitaftiwa shule ya private.baba aliniplrka shulen nikapokelewa vizur na kuanza masomo pale.nilikua mtiifu sana na nilikua nasoma sana mana kama uchungu wa dunia nilishaujua.nikimaliza kidato cha nne salama nikiwa sijawahi kuwa na mahusiano tena.nilifaulu vizuri nikachaguliwa shule ya kidato cha tano mbeya loleza.da frida bdo alikua anaishi kwetu kipindi chote hiko,siku mbili kabla sijaenda shuleni mbeya sasa da frida alimuaga mama akisema anataka kwenda kuondoka,mama akasema kwa nn unataka kuondoka?akasema mama mm ni mjamzito.mama akasema mjamzito?mimba ya nani?akasema na kijana mmoja hiv mama huwezi mfaham,mama akasema frida kweli una mimba'?na unataka kuondoka?akasema ndio mama sababu sitaki kukutua aibu.mama akasema hapana nimeishi na ww kwa muda sana nataka kma unaondoka uondoke kwa heshima frida mwambie huyo mwanaume aje hapa akuchukue kwa heshima.da frida akasema mama nisamehe mm nimeshaamua na nimekutaftia msichana mwingine anakuja kesho,mama akasema kumbe ulijipanga eeh?da frida akasema hapana mama nilijua hali yangu ndio mana.mama aliendelea kumsihi da frida amlete bwanake ndipo aondoke lkn da frida alikua anabisha mara baba akatoka maana alikua chumbn,akasema nn kinaendelea hapa?mama akasema frida anataka kuondoka,baba akasema kwa nn?mama akasema ana mimba et.baba akasema sasa shida nn mbona kama mabishano?mama akasema nilitamani kumuaga vizur,baba akasema umuage vizur nn mtu ashakuambia anataka kuondoka?mwache aende.mama akasema sawa.basi da frida aliingia chumbn akafunga vitu vyake huku mm nikiwa nahuzuni sana.nikasema da frida unaenda kuish wapi?akasema sijajua baba kijacho kanitaftia wapi lkn namba yangu ya simu si unayo?nikasema ndio.akasema basi tutawasiliana.nikasema naskitikasana,akasema tutakua tunawasiliana wala usijali nikasema sawa.kesho yake alikuja dada wa kazi mdogomdogo.mama alimpa pesa na vyombo da frida vya kuanzia maisha kisha da frida akaondoka zake.nilienda shule na mm na kuendelea na masomo yangu.sikuwah mpata da frida kwenye simu sijui alibadilisha au ilikuaje sijui.nilimaliza form six nikafaulu vizur nilikua nasoma science hivo nikaanza kutafuta chuo cha kwenda kusomea udokta nikapata muhimbili nilifurahia mana ndio chuo nilikipenda sana.nikiwa nasubir tarehe zifike za kuripot nilianza kufanya taratibu za chumba cha kuish maana nilikua sitaki kukaa hostel nikapata chumba,baba akaninunulia kila kitu cha ndani kama kitanda na jiko la ges,feni mama akanunua vyombo na tv nikawa nina kachumba changu kamekamilika.nilifungua chuo masomo yakaanza.nilipata rafiki chuoni aliekua anaitwa bella alikua akiishi ilala tulipatana na wote tulikua wasongo wa chuo.bella alipata boyfriend chuo lkn mm sikua na boyfriend kabisa na sikutaka mambo hayo.siku moja ilikua jumamos hatukuwa na vipindi bella akasema nimpitie kwao twende beach angalau tukapoteze muda,nikasema sawa hivo mapema nilijiandaa na kupanda zangu gari na kwenda ilala sasa.nilishuka na kuanza kutembea kuelekea kina bella nikiwa natembea nilitupa macho dukani mara nikamuona da frida akiwa na katoto mmh da friidaaaa niliita,lkn hakuskia anadhani alishanunua kitu chake maana alianza kundoka akiwa na kale katoto amekashika mkono wanatembea,akioi yangu ikaniambia nimfate kimya kimya nijue anaishi wapi.nilimfatilia nikaona anaingia kwenye nyumba moja nzur tu ina geti.alivoingia nikasubir kidogo labda atatoka lkn hautoka niichunguia nikaona anafua kibarazani nikajua ndio kwake nikasukuma geti nikaingia da frida alistuka akaniangalia nikasema da friddaa waoo.da frida alionesha tabasam la woga sikuelewa nilienda na kumkumbatia mara kale katoto kakawa kanatoka ndani kukaangaia kamefanana sana na kaka tommy mmh kabla sijasema lolote alitoka baba yangu akiwa na kitenge tu na singlend 😳😳.....

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

πŸ“


Mwandishi:lissa mwalla
Reyhan kwel ananifanyia mm hiv?niliumia sana huku nikimuangalia ivan anaonfoka zake.reyhan akasema imeisha hio huwez nifanyia mm umalaya ww,unanijua unaskia?sasa uneshakua malaya kweli washkaj malizaneni nae m najikataa.aliongea huku akivaa nguo zake.nilihisi nakufa leo maana walichokua wananifanya hawa watu n mauaji,mara mlango ulifunguliwa tena aliingia ivan sikuamini.rey akasema oyaa n vip tena?ivan akasema mwacheni huyu dogo.rey akasema tumwache vip akat anataka mwenyew?ivan alimpiga ngumi ya uso kisha akasema nimesema mwacheni,wale wakaka waliokua wananifanya wakaniachia na kwenda kugombana na ivan,ivan aliwapiga akaniambia nyanyuka vaa nguo,mm hata nguv sina,wale wakaka wakaamka kutaka mpiga ivan,akasema kwa hiki mlichofanya hakikishen mnaniua mana nikitoka...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jogoo-wa-kienyeji-sehemu-ya-7

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jogoo-wa-kienyeji-sehemu-ya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

342
SHAMIRA 82 MPK  86

SHAMIRA 82 MPK 86

318
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)

SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)

236
SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4)

SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)

209
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

156
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

150
*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“*  "1__5"

*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“* "1__5"

149
SHARON 1 mpka 5

SHARON 1 mpka 5

148
NAKUPENDA BILA  13 - 25

NAKUPENDA BILA 13 - 25

125
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

124

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.78K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.49K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.85K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.95K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.93K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.75K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.73K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.67K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema β€œMuanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.” Alinitazama akisema β€œeenh chaupole wangu nipe nipe.” Nilimtazama na kusema β€œwewe tena...

NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA  ​Episode 1 Post Mpya
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA ​Episode 1
@majario LIVE

​Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita njia. Nilikuwa nimesimama kando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nikisubiri...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Basi bwana kakabaki ka laki na nusu nikasema hatakama kesho sipiki lazima tu niende road nikatafute chakuniinguzia pesa Mnakuja nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vitoto vya mskini sisi akili ni...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
@majario LIVE

πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Reyhan kwel ananifanyia mm hiv?niliumia sana huku nikimuangalia ivan anaonfoka zake.reyhan akasema imeisha hio huwez nifanyia mm umalaya ww,unanijua unaskia?sasa uneshakua malaya kweli washkaj malizaneni nae m najikataa.aliongea huku...

NAKUPENDA BILA  13 - 25 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 13 - 25
@majario LIVE

MIPAKA:13 β€œKeti tafadhali.” Nilimtazama, yeye hapo hata hajainua uso wake. Nilimeza mate nikaketi hapo moyoni najisemesha β€œwenye hela wana ringa jamani kwani si anitazame hata.” Nilipoketi aliniinua uso wake na kunikabidhi karatasi akisema...

SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR) Post Mpya
SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 87 Mwandishi; lissa wa huru media Siku iyo sasa nimeenda kazini. Ile nimefika tu asubuh love akainiita mh nikaogopa nikahisi au nimeharibu sehemu.mana kufika na kufika nimeitwa.nijaenda kisha ...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sasa hapo ndio nimekwisha sasa,uwiii,niliogopa nikamsukuma ivan,akasema nani huyo?nikasema ni ticha,akasema ticha wako ndio anakufata mpaka huku?mm nikatoa tu macho,ivan akasema subir hapa,nikasema sawa,akanyanyuka akavaa nguo akatoka mm name...

SHAMIRA 82 MPK  86   Post Mpya
SHAMIRA 82 MPK 86
@majario LIVE

(SEASON FOUR) (HURU MEDIA) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 82 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shoga yenu maisha yakaanza dodoma sasa. Nikawa nipo na kiakiba changu ndo kinanisapoti naendesha maisha mdogo mdogo. Apo...

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5 Post Mpya
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA Ni majira ya jioni ikiwa ni muda mfupi tokea ametoka bafuni kuoga kwa ajiri ya kujiandaa aweze kurudi nyumbani mara baada muda wa kazi kuisha, Isabela akiwa...

SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4) Post Mpya
SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)
@majario LIVE

(HURU MEDIA wababe wa hili Game) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 79 Mwandishi; lissa wa huru media Nimawa nagoma kutoka .uku nalia nikawa nasema mama usinizalilishe plsss .yule mama akasema nisikuzalilishe nini...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.
@majario LIVE

Nilikaa na kimimba changu kilimpenda, king Yani akikawia tu kuludi nyumbani najikuta naanza kulia, mpaka majilani nawapa Malala Miko napita Kwa majilani Yani mpaka king aje ndo naakubali kulejea nyumbani,...

*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“*  "1__5" Post Mpya
*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“* "1__5"
@majario LIVE

SEHEMU YA "1"πŸ’“πŸ˜½ BY BABIE LOVE "Alikuja kama muuza chai kumbe ni BillioneaπŸ’΅" Nyie njooni niwaambie kitu ……… mnazijua chapati? Sambusa je ? πŸ˜‚πŸ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni...

Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood Post Mpya
Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood
@majario LIVE

. Nargis was known for her natural acting and powerful screen presence. Films like Mother India made her a timeless icon, and even today she is remembered as one of...

SHARON 1 mpka 5 Post Mpya
SHARON 1 mpka 5
@majario LIVE

🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺 *SHARON* Sehemu ya 1 Kwa majina naitwa sharon hillary, mm ni mtoto wa 3 kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, so mm ni wa mwisho kuzaliwa wa kwanza ni kaka yetu anaitwa...

Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy πŸ‡ΈπŸ‡³ Post Mpya
Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy πŸ‡ΈπŸ‡³
@majario LIVE

Mara baada ya filimbi ya mwisho akatoa kadi yake nyekundu,anataka kumuona mtu amfuate kuhoji maamuzi yake. Kuna afisa mmoja wa benchi la Al Ahly alitaka kwenda,baada ya kuona kadi nyekundu imeshikwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest