Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.
Gonga94 Β· Stories

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilikaa na kimimba changu kilimpenda, king Yani akikawia tu kuludi nyumbani najikuta naanza kulia, mpaka majilani nawapa Malala Miko napita Kwa majilani Yani mpaka king aje ndo naakubali kulejea nyumbani, ilibidi, king awe anasafili na Mimi uku anarusha ndege pembeni yake niwepo, nikatulia na nikiwa nae tu sifanyi Fujo kabisa natulia, haka kama anakazi simsumbui..

Alikuwa ananidekeza mno, nilijikuta nanawili na kunenepa na mimba ilinikubali hata sikuharibika, siku Moja tukiwa zetu tunatembea tulikuwa Nairobi, tunakutana na vicram, hapo kimimba kina miezi 7 ni alishituka kuniona na mimba tena kubwa, alisogea bila ata salamu, salha kumbe uliniacga na mimba mke wangu? Kwa nini Sasa hukusema mke wangu..

Nilimshangaa huyu nae katokea wapi, king alinikingia kifua, vicram naomba umuache mile Kwa amani, mateso uliyompa yanatosha, na kingine usipoteze muda kumfatilia hii sio mimba Yako," king tutazinguana sana, najua kabisa salha Hana mwanaume mwingine, Kwa muda mfupi hivi hawezi kuwa kapata bwana wakumpa mimba ifike hivi, na kipindi Niko nae hakuwahi kunichit namjua vyema mke wangu, vicram aliongea bila hata kuweka kituo...

Vicram we kweli kichaa, Yani ulijua nitakaa kukungoja wewe,kuwa muelewa hii sio mimba Yako, vicram hakuelewa, ilΓ­bidi tutumue nguvu, ndo tukaondoka, na uzuri siku hio hio tulikuwa tunaludi zetu Tanzania,tuliludi maisha yakaendelea, kumbe vicram aliamua kwenda Kwa baba kushtaki, aisee kiliumana nikaitwa ilibidi tujiandae wote tukayamalize...

Tulifunga safali ilibidi twende na ndege nilikuwa kavivu mno king alichukua private yakwake akanipeleka, Mzee alichukia mno, nimemtia aibu, kesi ikaanza nikasema sio ya vicram lakini, hakuelewa kabisa, tukakubaliana twende nje kupima DNA, kwasababu huko DNA inapimwa ata ukiwa na mimba...

King alinitetea, Kwa Sasa tungesubili ajifungue amechoka kumzungusha zungusha sio sahihi Kwa Sasa, ila hili tails hata halikuelewa, ilibidi tu tukapime, kweli majibu yakatoka hamuwezi kuamini aisee majibu yalivyotoka πŸ˜­πŸ™Œ...

Itaendelea...πŸ”₯
*MY HOT PILOT*
(rubani wanguπŸ”₯)

MTUNZI: SMILE SHINE
EP 16.
Majibu yalitoka, kuwa watoto ni WA king, sikuwa na mtoto mmoja niwa tatu, ila kibaya nilikuwa nahali mbaya, ikabidi nijifungue kabla ya muda kuokoa watoto na Mimi, vicram alilia kama mtoto, hakutarajia, kabisa kumbe hata yule mkewe alimbambikizia mimba, mtoto alivyozaliwa ni mchina mtupu, akampa talaka na kumbe alikuwa kwenye mission ya yule baba ake mdogo, ikabidi wafatilie wafuasi wake wote, make yeye tayari alikuwa jera, lakini alikuwa anawatu nje anawapa kazi...

Walisumbuana mpaka kuja kuweka Kila kitu sawa, king alimhurumia sana akamshauli apimw Hali yake asiogope, alileta ubishi na kiburi ila badae alikubali alipima akakutwa alikuwa ananywesha vitu, kwenye vinywaji vyake, ndo vimepelekwa kufifisha uwezo wake wakuzalisha, na kama angeendelea zaidi asingewahi kupata mtoto kabisa ashukuru akawahi tatizo lilikuwa mwishoni aisee alilia, ikabidi aingie kwenye matibabu, baba alimkazia king alipe mahali nikiwa Reba jamani dah,nilifanikiwa kuleta watoto ila Hali yangu ikawa mbaya mpaka nikazimia, aisee king alilia, alikosa uvumilivu kama mwanaume walikuja kunionesha wake maness wa pale jinsi mme wangu, alivyo kuwa ananililia Kwa siku mbili zote nilizokuwa sina fahamu hajaweza hata kula...

Nilijisikia amani na furaha Kuona, kumbe anaenijali na kunihitaji kweli, alikuja kutoka kulipia bill akakuta nimeamka alisahau ata kama anamadawa mkononi alinikimbia kunihug,akataka kuangusha dawa bahati nzuri ness, akaziwahi, king alifurahi mno, familia pia ilipata taarifa, tulikaa hosptal Kwa miezi mitatu ndio tukaruhusiwa, vicram alimaliza matibabu yake nae akalejea ila hakuacha kunisumbua, salha mke wangu nisamee Niko tayari kuwalea hao watoto kama wakwangu naomba nikukejee plzπŸ˜­πŸ™, nakupenda kweli Toka moyoni ni tamaa tu, n sikujua kama sijiwezi bila wewe...

Nimeshajitambua mke wangu, nakuapia nimejifunza naomba nipe nafasi Moja tu ya mwisho, nitakutreat vizuri, tafadhari naomba unielewe,nilimkazia alikuwa anakuja naa maua yake kujitilisha huruma, akaona Mimi sielewe akaenda Kwa Mzee, na uzuli ni kwamba jana yake king, alitoka kunitolea posa na fain juuu...

Alimweka wazi haiwezekani tena Mimi nimeshatolewa mahali Jana tu, tayari ni mke wamtu na Leo ndo anajiandaa kwenda dar Kwa ajili ya kuhudhuria harusi, aisee vicram alilia kama mtoto mdogo, ilibidi tu akubali kushindwa ila akiweka uadui na king, akaanza kumfatilia Ili kama ikitokea kafanya kosa aliliport kwangu mapema,Ili niombe talaka anioe, aliamini ataweza kunipata tena, alifanya visa na mitego kibao, Kwa wadada aliwalipa Ili tu wamshawishi king achit nao, afu ushahidi unifikie, lakini alifeli, king alikuwa smart sana haendeshwi na hisia kabisa...

Itaendelea...πŸ”₯

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.


Nilikaa na kimimba changu kilimpenda, king Yani akikawia tu kuludi nyumbani najikuta naanza kulia, mpaka majilani nawapa Malala Miko napita Kwa majilani Yani mpaka king aje ndo naakubali kulejea nyumbani, ilibidi, king awe anasafili na Mimi uku anarusha ndege pembeni yake niwepo, nikatulia na nikiwa nae tu sifanyi Fujo kabisa natulia, haka kama anakazi simsumbui..

Alikuwa ananidekeza mno, nilijikuta nanawili na kunenepa na mimba ilinikubali hata sikuharibika, siku Moja tukiwa zetu tunatembea tulikuwa Nairobi, tunakutana na vicram, hapo kimimba kina miezi 7 ni alishituka kuniona na mimba tena kubwa, alisogea bila ata salamu, salha kumbe uliniacga na mimba mke wangu? Kwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-hot-pilot-rubani-wangu-ep-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-hot-pilot-rubani-wangu-ep
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯)  EP 14.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 14.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯)  EP 13.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 13.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 12.
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 12.
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 11.
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 11.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

347
SHAMIRA 82 MPK  86

SHAMIRA 82 MPK 86

320
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)

SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)

241
SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4)

SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)

210
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

156
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

150
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

138
NAKUPENDA BILA  13 - 25

NAKUPENDA BILA 13 - 25

133
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½

94
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final

90

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.78K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.49K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.85K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.95K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.93K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.75K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.73K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.67K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

SHAMIRA 92 kwa 93 Post Mpya
SHAMIRA 92 kwa 93
@majario LIVE

SHAMIRA Mwandishi; lissa wa huru media Sehemu ya 92 Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema β€œMuanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.” Alinitazama akisema β€œeenh chaupole wangu nipe nipe.” Nilimtazama na kusema β€œwewe tena...

NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA  ​Episode 1 Post Mpya
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA ​Episode 1
@majario LIVE

​Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita njia. Nilikuwa nimesimama kando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nikisubiri...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Basi bwana kakabaki ka laki na nusu nikasema hatakama kesho sipiki lazima tu niende road nikatafute chakuniinguzia pesa Mnakuja nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vitoto vya mskini sisi akili ni...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
@majario LIVE

πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Reyhan kwel ananifanyia mm hiv?niliumia sana huku nikimuangalia ivan anaonfoka zake.reyhan akasema imeisha hio huwez nifanyia mm umalaya ww,unanijua unaskia?sasa uneshakua malaya kweli washkaj malizaneni nae m najikataa.aliongea huku...

NAKUPENDA BILA  13 - 25 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 13 - 25
@majario LIVE

MIPAKA:13 β€œKeti tafadhali.” Nilimtazama, yeye hapo hata hajainua uso wake. Nilimeza mate nikaketi hapo moyoni najisemesha β€œwenye hela wana ringa jamani kwani si anitazame hata.” Nilipoketi aliniinua uso wake na kunikabidhi karatasi akisema...

SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR) Post Mpya
SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 87 Mwandishi; lissa wa huru media Siku iyo sasa nimeenda kazini. Ile nimefika tu asubuh love akainiita mh nikaogopa nikahisi au nimeharibu sehemu.mana kufika na kufika nimeitwa.nijaenda kisha ...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sasa hapo ndio nimekwisha sasa,uwiii,niliogopa nikamsukuma ivan,akasema nani huyo?nikasema ni ticha,akasema ticha wako ndio anakufata mpaka huku?mm nikatoa tu macho,ivan akasema subir hapa,nikasema sawa,akanyanyuka akavaa nguo akatoka mm name...

SHAMIRA 82 MPK  86   Post Mpya
SHAMIRA 82 MPK 86
@majario LIVE

(SEASON FOUR) (HURU MEDIA) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 82 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shoga yenu maisha yakaanza dodoma sasa. Nikawa nipo na kiakiba changu ndo kinanisapoti naendesha maisha mdogo mdogo. Apo...

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5 Post Mpya
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA Ni majira ya jioni ikiwa ni muda mfupi tokea ametoka bafuni kuoga kwa ajiri ya kujiandaa aweze kurudi nyumbani mara baada muda wa kazi kuisha, Isabela akiwa...

SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4) Post Mpya
SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)
@majario LIVE

(HURU MEDIA wababe wa hili Game) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 79 Mwandishi; lissa wa huru media Nimawa nagoma kutoka .uku nalia nikawa nasema mama usinizalilishe plsss .yule mama akasema nisikuzalilishe nini...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.
@majario LIVE

Nilikaa na kimimba changu kilimpenda, king Yani akikawia tu kuludi nyumbani najikuta naanza kulia, mpaka majilani nawapa Malala Miko napita Kwa majilani Yani mpaka king aje ndo naakubali kulejea nyumbani,...

*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“*  "1__5" Post Mpya
*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“* "1__5"
@majario LIVE

SEHEMU YA "1"πŸ’“πŸ˜½ BY BABIE LOVE "Alikuja kama muuza chai kumbe ni BillioneaπŸ’΅" Nyie njooni niwaambie kitu ……… mnazijua chapati? Sambusa je ? πŸ˜‚πŸ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni...

Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood Post Mpya
Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood
@majario LIVE

. Nargis was known for her natural acting and powerful screen presence. Films like Mother India made her a timeless icon, and even today she is remembered as one of...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest