SHAMIRA 92 kwa 93
Mwandishi; lissa wa huru media
Sehemu ya 92
Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh na alichokuwa ananiuzi ni uongo.yani kaongo . Kibishi .kivivu na kijeuri yani yeye anajua kabisa mimi mfanyakazi .kuna mda unamuongelesha anabaki kimya hakujibu ata kidogo. Yeye ni baba yake tu. Na anaongea na aunt yake. Mie ananiona paka wao sijuh ata simuelewagi .alafu hashindwi kukuzushia meneno ya uongo kwa baba yake.basi uyu baba atanifokea mno mpka alikuwa anasema kazi itanishinda mana kwanza mwanae hanipendi.mh nilisema uyu mtoto nimemzaa mwenyewe hawezi kunishinda ngoja
Basi siku iyo kapo nyumbani .ilikuwa j mosi hajaenda shule. Baba yake wakati anaondoka akanmbia nimuache mtoto alale mpka saa 4 .apumzike daah et jamani katoto kakike cha mika 5 . Nikasema sawa . Basi bwana uyo akaondoka na mimi wala sikuwa na shida nikamuacha alale .kakamka saa 5 kabisa kimetoka kimenikuta mie nipo sebleni hajanisalimia ata .akasema we dada shamira njoo uniogeshe. Nikamuuliza hiyo ndo salamu wee hujuh kusalimia wew ukiamka. Eeh muangalie kwanza msula wake ilivyo mbaya umejaa mitongo tingo kama paka nyooo mshenzi kabisa wewe. Kakabaki kamesimama kananiangalia tu
Nikamwambia niamkie ndo ninaynyuke apa. Kikanisalimia uku kimenuna shikamoo. Nikaitia ndo nikanyanyuka nikaenda kumuogesha nikampaka mafuta vizur .nikamvalisha kisha nikaenda kumtengea chai.nikamuacha ankunywa chai mie nikaludi kumfanyia usafi chumbani kwake. Nikamuwekea safi kabisa. Mtoto anachumba kiziro uyu mh acheni tu. Mpka rahaa. Analala pazuri mwanangu jamani. Aya maisha ata baba yake hamdi sizani kama angeweza kumpa wallah
Basi nikalidi nikamkuta yupo sebleni . Anaangalia katoon .nikamuuliza ushamaliza kula akasema ndio. Nikasem sahani uliyokulea mezani umetoa ? Akasema mimi sijatoa katoe wewe. Nikamwambi aya katoe sahani. Kikanijibu mie siendi huoni nangalia katooni siendi . Jamni nimbonyeza konzi ilo hawezi kunisahau๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Akalia kwa sauti mi mwenyewe lile konzi lilinitoka wallah. Nikamwambia aya haraka nyanyuka katoe sahani yako. We kikanyanyuka uku kinakimbia .kikaenda kutoa akapeleka jikoni akaeka vizur kumbe adabu anayo uyu ila anachekewa .kikatoka kinalia uku kimeshika kichwa chake. Nikasema au nimemuumiza mwanangu .nikaenda kumuangali kwanza .nikamtoa mkono kichwani wala hajavimba ata mbichwa mgumu huu kama wa hamadi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ. Nikaanza kumbembeleza mwanangu niampakata .mpka akalala.kisha nikaenda kumlaza basi nikalala nae uko uko na nikamkumbatia kabisa mtoto wangu. Tukaja kustuka jioni kabisa tena yeye mdo kaniamsha akanambia dada shamira mim nna njaa.nikasema saw. Nikaemda kumpikia wali haraka haraka. Nikatenga mezani na tukala kwa pamoja uku nampigisha stiry kumsahaulisha lile konzi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ . Basi tulovyomaliza kula kikatoa sahani yake akapeleka jikoni.nikasema yes kumbe ana elewa uyu pumbavu
Basi uo mda tukaelewena vizuri nikimuuliza kitu ananijibu mpka usiku nasikia honi sasa nikajua baba yake analudi .basi ile anaingia tu sebleni kheeee gift kaanzaa kulia. Et baba uyu simtaki leo kanipiga kozi apa khaa konzi tangia asubuh anali sasa hivi et nyie uyu mtoto๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRA
Sehemu ya 93
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Asee nikaona mwanaume kakasirika akasema ni kweli umempiga mtoto wangu. Nikasema hapana sijampiga. Gift akasema muongo bba kanifanyisha na kazi simtaki. Aseee nikaona dani kwanza kambeba mwanae akawa anamuangalia et kakupiga wapi.akasema hapa baba na hapa. Looh mtoto muongo uyu et nimempiga sehemu mbili. Mbona nilichoka mimi.nikasema wewe mjinga wewe nimekupiga wapi na wap.we mtoto mbona muongo hivyo .dani akafoka akasema kelel mpumbavu wewe. Unaongea kama nani kwenye nyumba yangu
We ni nani mpka unampiga mwanagu nakululiza wewe. Una akiri sawa sawa wewe. Unamfanyisha kazi gani mtoto wangu eeh. Nikabaki kimya namuangalia tu uyu baba.nikasema uyu baba mwanae wa kumzaa atakuwa anampenda vp . Mana uyu sio wake ila anampenda vibaya sana.na iki kitoto kinajua kama baba ananipenda basi weeee kina visa mno. Nikasema samahano boss alinijeulia. Akasema kwaiyo akikujeulia si unalipwa apa. Ama unafanya kazo bule nakuuliza wewe mshenzi.
Mimi mwenyewe sijawahi ata kumsukuma singi mtoto wangu wewe unampiga kabisa tena makonzi ya kichwa unataka kumuua. Nakuuliza unataka kumuua .mh mwnzenu lilinishuka shuu.nikabaki kimya ata la kusema sina jamani.basi daniel alifoka mno.mwanaume aliongea kweli kweli .alifoka sana tena kwa hasira. Mie wala sikujibu nikabaki tuli. Mala akaingia love. Akakuta kaka yake ananichamba atari uku kambeba mwanae. Basi love akauliza imekuwaje kwani kaka mbona hivi tena
Dani akasema sikia simtaki uyu mfanyakazi wako. Ataniulia mtoto. Kisha akapanda chumbani kwake na mtoto wake. Basi yule mtoto akawa anacheka kisha ananizomea khaaa nilichukia .mana yake iki kitoto ni kigombanishi daah.
Basi love akanichukua mpka chumbani kwake akaniuliza shida nini kwani baby .nikasema sikia madame uyu mtoto mnamuharibu mnamlea vibaya sana mtoto wa miaka 5 .akiend chooni akachambishwe. Kutoa sahani yake aloyokulia hawezi.mtoto ana majibu mabaya mno. Nimemuonya kidogo tu. Love akasema daah ni kweli gift ana hizo tabia ila bado ni mdogo usimchukulie serious bwana.nikasema hapana lakini anakuwa hizi tabia ataendelea nazo na uyu ni binti lakini. Love akasema nakuelewa sana shamira inachokiongea ila ngoja kwanza mimi nitaongea na kaka na tutaliweka sawa gift kwa sasa asikuumize kichwa ni binti mdogo sana.nikasema sawa. Kwani uyu mtoto mama yake yuko wapi?
Akasema mh ni story ndefu ila achana nayo bwana shoga. Nikasema sijuh kwa nini nimetamani kujua. Akasema ni siri kubwa. Na tunaijua wachache sana ila nikwambie kitu shamira sisi wanawake tuna roho mbaya sana. Hivi shamira umeshawahi kuzaa mh.mnona swali gumu
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni