Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4)
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

(HURU MEDIA wababe wa hili Game)
πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
Sehemu ya 79
Mwandishi; lissa wa huru media


Nimawa nagoma kutoka .uku nalia nikawa nasema mama usinizalilishe plsss .yule mama akasema nisikuzalilishe nini wewe si unanjiona san maraya na unaweza sana kutembea na wanaume za watu sasa leo ndo ntakuonesha mshamba wewe. sasa ntakukomesha lioni na mishanga yake kiunoni kama lichawi .daaa yule mama hamuwezi amini alinisukuma mpka nje nikiwa na chupi na didiraia tu.kiukwrli mimi ni maraya na mshenzi ila huwa sivai nguo za ovyo kabisa. Sio mtu wa kujiacha uchi kabisa.mimi mala nyingi napenda kuvaa vijira vyangu tu. Ila uyu mama alipa ga kunikomesha jamni😭😭😭😭😭😭😭😭😭.basj nilipata fedheha ya mwaka siku .nilipotole nje pale dukani kwangu.nilishangaa kumkuta aisha yupo pale tena kajaa tele anashangilia madhaliliko yangu daah uyu dad jamani ina maana hakumbuki jema langu aya moja nililomfanyia.basi nilichuchuma kwa aibu ili nijifiche badj ma mana mh kulikuwa na watu kama wotr. wananishangaa jamani .bianadamu sisi ndo kwanza wananipiga oicha na kunichukua video na sio kuja kunisaodia.daah niliumia sana.
Tena yule mama na mkwe wake wakanifata pale chini nilipochuchimaa wakanza kunichangia.walinitandika mabao ya maana kweli kweli jamnia mh. Kiukweli sikujalibu ata kupigana nao niliona nitajizalilisha tu wakafanikiwa kunivua mpka sidiria uku watu wananipiga picha .nilidhalilika hii siku jamni sitaki kuwasmbia . Wakawa wanafosi eti wanivue na chipi alafu wanitembeze uchi mana wamesikia taarifa zangu kuwa katik huu mtaa mimi ndo maraya san na ni kWaida yangu kuchukua waume za watu daaah. Yule mama ana nguvu jamani mh. Nilisikia pale wanaonvea ongea kuwa yile mama ni mwanajeshi sijuh. Oyaa mbona nilieza mimi jamani daah . mimi na ujeuri wangu wote kwa yule mama nilifloat nakwambieni nilikuwa nalia uku naomba wasinifanyie hivyo.yani walikuja kunigombelezea wababa ndo wakawazuia wasiendele kunipiga na waache kunivua nguo. ila wanawake wenzangu ndo kwanza wanashangilia .acheni tu

Na mda uo uo ndo husna anafika maskini nahisi alisikia habari zangu labda kuwa shoga yake nadhalilishwa .husna alivyofika tu akanifunika kitenge kisha akanichukua .akanikodia boda na yeye akapanda nyuma uku tumemuacha yule mama anatukana mno .yani ata duka sikugfunga nililiacha wazi kabida mh nilidhaaririka sana ile siku mimi yani niliachwa utupu kasoro chupi tu .na ndp wafu wasingemigombelezea wangenivua leo daaah niliumuia sana
Nilipofika kwa husna nililia mno .husna akanmbia sikiliza hakuna kushindwa apa nataka twende polisi tukawashtaki kwanini wakudhalilishe vile.nikabaki nalia tu nikasema leo nimedhalilika mimi .yani leo nimeumbuka na naona ata aibu kutoka nje mimi.nililia sana .dakika 2 tu habari zangu zilismbaa charambe nzima kuwa nilikuwa natembea na mume wa mtu mama yake na mkewr wamekuja kunikomesha mpkannguo wamenivua na mamenitoa nje nikiwa na chupo tu daaah😭😭😭..watu wakawa wanatumiana picha zamgu jamani .mngeniona jinsi nilivyokuwa nalia na kuficha utupu wangu mngenionea huruma walijua kunidhalilisha sana .mimi

Uko mitandaoni nikawa gumzo daah. Milikiwa nalia mpka nikatamani kujiua kwa ile aibu ntatembeaje hii charambe mimi jamani.mbona naadhirika jamani.niliumia mno yani zaidi ya sna .nakumbuka nilojifungia ndani kwa shoga yangu husna week 2. Sitoki kabisa. Uku nikisikia nachambwa sana na kina aisha na duka langu lilikufa mana naskia yule mama alitupa vitu vyote nje yani aligawa kila kitu.kawapa watu et ..ina maana pale hakuna biashara zaidi ya fremu . Yule mama sitamsamahau jamani yani kama sio mwanamke mh.ana roho ngumu sana.na kwa mda wote uo hamadi hakuwa kunipigia ata siku moja yani kama vile hakuna kilichotokea

Eeeeh bwana hii mdo season ya mwisho ndo na buku lako uje kumaliza mambo ni motoπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ mno

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
Sehemu ya 80
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Apo na mimi simu sikuwa nayo mana katika lile varangati nilipoteza mpka simu. Sikuwa na raha ata kidogo niliwaza sana. nikaona kwanza hamadi sio mwnaume tena na kwa hii aibu dar naikimbia wallah yani hakunifai tena niliangalia akiba yangu niliona nna kama laki 8. Nikaona apa natafuta pa kwenda jamni.dar siwezi ntaweka wapi sura yangu bola mikoa mengine naweza pata amani kabisa.mana ntakuwa mgeni na hakuna ambahe atakuwa ananijua

Baada ya kukaa week 2 kwa husna week 2 nikijigungu kukwepa ainmbu ndo siku iyo sasa ndo hamadi alipiga na alimpigia simu husna akaomba kuongea na mimi
Nikachukua simu akasema sikia we maraya nazani ulichokitaka umekipata.na aya mambo wewe mwenyewe ndio uliyoyapaki.nazani ulikuwa hujui madhara yake ila sasa umejua na umeelewa bila shaka. kama ungetulia na usingemtafuta mke wangu ata mama asingeyajua ayo ila kuangaika kwako ndo kumekuponza mana wewe ulitaka mke wangu akujue kimekuramba sasa .na kuanzia leo tumeachana rasmi.kila mtu afanye maisha yake na mimi nifanye maisha yangu basi .mana kama kukusaidia nshakusaidia sana ila usaidiki .nikasema sawa kisha nikakata simu .sikutaka tena maelezo mana niliona ananiumiaza tu. na moyo wangu teali unavuja damu mno.kwaiyo sikutaks tena maneno.

Nilimtuma tu husna akanichukulie vitu vyangu vyangu vyote vya ndani pale nilipokuwa naishi .kisha nikamwambia aniuzie anaipe pesana na baadhi abmvichukue yeye mie nampa tu shoga yangu . Akanambia powa .na kqeli husna alienda kufanya uo utaratibu ila hakuchelewa sana akarudi kchoka mno akanmbia shosti hakuna kitu ata komoja kumbe mwanaume na ndugu zake walienda kutoa vitu vyake.mana mama mwenye nyumba alimwambia hamadi ndo alienda na watu wengine wakatoa vutu vyote.na shoga akanipa mchapo huo.nikasema sawa. Basi nikajivuta tena kwa siku kama tatu pale kwa husna. Apo nje sitoki mwenzenu naona aibu mno nyie kubakishwa na chupi sio mtaaani alafubwatu wamenipiga nyie hapana
Badi siku iyo nilimwambia shoga nashukuru nimekaa na wwe kwa wema sna ila nasepa zangu nakimbia dar ntaweka wapi sula yangu kila mtu ananijua naona niko uchi sana. Nilikua naongea uku nalia shoga yangu ndo alinibembelza akaniupiza unaondoka wapi sasa na unaenda kufikia wapi.nimasema mimi nimepafikilia dodma nikatafute maisha uko kwa dar nishaona sielewi

Basi husna akasema acha nikuelewe shoga yangu mana yaliyokukuta ni makubwa na mazito sana mungu akufanyie wepesi sana na akutangulie uko uendeko ila usiache kuwasiliana na mimi kipenzi changu .nikasema saw hamna tabu.na kweli mie ila akiba yangu ndo niliitoa na kesho yake saa 11 alafajir tu mimi ndo nilianza safari ya kuelekea stand kupanda basi ma kuelekea dodoma. Nakumbuka mpak mchana moda ya saaa 8 kasoro. niliingia dodoma mjini .nikiwa sielewi ata kitu kimoja apo mkono nna kama laki 7 na nusu .nishaingia mji wa watu sina sehemu ya kusihi na ndo ilikuwa mala yangu ya kwanza nafika dodoma na sijawahi kuelewa chochote kuhusu doduma ila akiri ilinambia uku tu huwenda nikatengeneza maisha yangu na mimi sasa mana daaah

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRAo
Sehemu ya 81
Wassap; 0742443214
Mwandishilissa wa huru media
Basi bibi mie niatafuaka kilodge cha bei ya elfu 10 nikalal kwanza mana nilichoka sana hii siku .nikaja kustuka usiku sababu ya njaaa nikaenda kutafuta chakura nikapiga msosi nikaludi tena kulala .mawazo yakiwa mengi sana nikaiwa nawaza uku ntafanikiwa kweli mungu wangu mbona sielewi au na uku yatanikuta yake yale.nikasema no muhimu ni kutuliza kuchwa na akiri yangu na nijitambue kuwa sasa mimi ni mtu mzima
Basi nililala lodge kama siku 3. Na nilipapenda dodoma kiukweli mana hali ya hewe ilitulia sana nikaona wala sio shida ngoja nitulie uku kwanza maisha yaendleee . Basi bwna nikaanza kutafuta dalali anitafutie chumba na kweli nikapata chumba kimoja tu tena cha kiza mana mambo yangu magumu sikutaka mambo mengi na niko katika miji ya watu na sina ndugu wala rafiki uku.
basi nikanunua kigodoro kidogo dogo na vyombo vyangu vichache nikaanza maisha hwana. Nilikaa kama weeek 2 ndo nilimkumbuk sasa shoga yangu husna iila sina simu.nikapunguza kiakiba changu nikanunua simu ya elfu 25 .na hii siku nikampig simu shosti na kweli haikupita mda akapokeaa .akanambia daahh nlivyoona kimya nilivurugwa sana .nikawa nawaza shoga yangu ndo kanichunia mpaka mimi hajanitafuta
Nikasema nipo bwana shoga yangu ila nilikuwa naweka mazingira sawa si unajua tena uku mwenzio mgeni . Akasema kweli vp chumba umepata. Nikasema ndio nimepata shoga .Akasema sawa we uko kuwa busy na maisha na usiwe mnyonge tafuta kazi yoyote fanya shoga yangu mladi maisha yaende tu. Na bola umeondoka uku shoga yangu. huwezi amini mke wa hamadi na mama yake hamadi walikuja tena mpka apa et wanakuta.mh Nikasema sikia achana nao .we fanya mambo yako kila kitu kitakaa sawa.basi tukaongea tu mambo mengi sana na shoga. Ila niliona familia ya hamdi wamepanga kuniua daaah. Na mbaya zaidi hamadi asimami upande wanngu ata siku moja .sasa apo kuna .apenzi aua usenge
Badi shoga yenu maisha ya dodoma ndo yakaanza sasa .mawazo yakiwa mengi sana nikawa nawaza uku ntafanikiwa kweli mungu wangu mbona sielewi au na uku yatanikuta yake yale.nikasema no muhimu nitulize kuchwa na akiri yangu na nijitambue kuwa sasa mimi ni mtu mzima
Kiukweli nilipapenda sana dodoma mana hali ya hewe ilitulia sana .nikaona wala sio shida ngoja nitulie uku kwanza maisha yaendleee .

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)


(HURU MEDIA wababe wa hili Game)
πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
Sehemu ya 79
Mwandishi; lissa wa huru media


Nimawa nagoma kutoka .uku nalia nikawa nasema mama usinizalilishe plsss .yule mama akasema nisikuzalilishe nini wewe si unanjiona san maraya na unaweza sana kutembea na wanaume za watu sasa leo ndo ntakuonesha mshamba wewe. sasa ntakukomesha lioni na mishanga yake kiunoni kama lichawi .daaa yule mama hamuwezi amini alinisukuma mpka nje nikiwa na chupi na didiraia tu.kiukwrli mimi ni maraya na mshenzi ila huwa sivai nguo za ovyo kabisa. Sio mtu wa kujiacha uchi kabisa.mimi mala nyingi napenda kuvaa vijira vyangu tu. Ila uyu mama...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-79-mpk-81-season-4

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA 82 MPK  86
SHAMIRA 82 MPK 86
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3)
SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA 8   MPK  12
SHAMIRA 8 MPK 12
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)
SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA 62 63 na 64
SHAMIRA 62 63 na 64
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
SHAMIRA 67 to 70
SHAMIRA 67 to 70
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA 49 to 50
SHAMIRA 49 to 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

341
SHAMIRA 82 MPK  86

SHAMIRA 82 MPK 86

318
SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3)

SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)

277
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)

SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)

232
SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4)

SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)

209
SHAMIRA 67 to 70

SHAMIRA 67 to 70

198
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12

NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12

187
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

155
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

150
SHARON 1 mpka 5

SHARON 1 mpka 5

148

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.78K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.49K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.85K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.95K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.93K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.75K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.73K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.67K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema β€œMuanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.” Alinitazama akisema β€œeenh chaupole wangu nipe nipe.” Nilimtazama na kusema β€œwewe tena...

NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA  ​Episode 1 Post Mpya
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA ​Episode 1
@majario LIVE

​Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita njia. Nilikuwa nimesimama kando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nikisubiri...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Basi bwana kakabaki ka laki na nusu nikasema hatakama kesho sipiki lazima tu niende road nikatafute chakuniinguzia pesa Mnakuja nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vitoto vya mskini sisi akili ni...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
@majario LIVE

πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Reyhan kwel ananifanyia mm hiv?niliumia sana huku nikimuangalia ivan anaonfoka zake.reyhan akasema imeisha hio huwez nifanyia mm umalaya ww,unanijua unaskia?sasa uneshakua malaya kweli washkaj malizaneni nae m najikataa.aliongea huku...

NAKUPENDA BILA  13 - 25 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 13 - 25
@majario LIVE

MIPAKA:13 β€œKeti tafadhali.” Nilimtazama, yeye hapo hata hajainua uso wake. Nilimeza mate nikaketi hapo moyoni najisemesha β€œwenye hela wana ringa jamani kwani si anitazame hata.” Nilipoketi aliniinua uso wake na kunikabidhi karatasi akisema...

SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR) Post Mpya
SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 87 Mwandishi; lissa wa huru media Siku iyo sasa nimeenda kazini. Ile nimefika tu asubuh love akainiita mh nikaogopa nikahisi au nimeharibu sehemu.mana kufika na kufika nimeitwa.nijaenda kisha ...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sasa hapo ndio nimekwisha sasa,uwiii,niliogopa nikamsukuma ivan,akasema nani huyo?nikasema ni ticha,akasema ticha wako ndio anakufata mpaka huku?mm nikatoa tu macho,ivan akasema subir hapa,nikasema sawa,akanyanyuka akavaa nguo akatoka mm name...

SHAMIRA 82 MPK  86   Post Mpya
SHAMIRA 82 MPK 86
@majario LIVE

(SEASON FOUR) (HURU MEDIA) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 82 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shoga yenu maisha yakaanza dodoma sasa. Nikawa nipo na kiakiba changu ndo kinanisapoti naendesha maisha mdogo mdogo. Apo...

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5 Post Mpya
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA Ni majira ya jioni ikiwa ni muda mfupi tokea ametoka bafuni kuoga kwa ajiri ya kujiandaa aweze kurudi nyumbani mara baada muda wa kazi kuisha, Isabela akiwa...

SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4) Post Mpya
SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)
@majario LIVE

(HURU MEDIA wababe wa hili Game) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 79 Mwandishi; lissa wa huru media Nimawa nagoma kutoka .uku nalia nikawa nasema mama usinizalilishe plsss .yule mama akasema nisikuzalilishe nini...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.
@majario LIVE

Nilikaa na kimimba changu kilimpenda, king Yani akikawia tu kuludi nyumbani najikuta naanza kulia, mpaka majilani nawapa Malala Miko napita Kwa majilani Yani mpaka king aje ndo naakubali kulejea nyumbani,...

*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“*  "1__5" Post Mpya
*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“* "1__5"
@majario LIVE

SEHEMU YA "1"πŸ’“πŸ˜½ BY BABIE LOVE "Alikuja kama muuza chai kumbe ni BillioneaπŸ’΅" Nyie njooni niwaambie kitu ……… mnazijua chapati? Sambusa je ? πŸ˜‚πŸ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni...

Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood Post Mpya
Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood
@majario LIVE

. Nargis was known for her natural acting and powerful screen presence. Films like Mother India made her a timeless icon, and even today she is remembered as one of...

SHARON 1 mpka 5 Post Mpya
SHARON 1 mpka 5
@majario LIVE

🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺 *SHARON* Sehemu ya 1 Kwa majina naitwa sharon hillary, mm ni mtoto wa 3 kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, so mm ni wa mwisho kuzaliwa wa kwanza ni kaka yetu anaitwa...

Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy πŸ‡ΈπŸ‡³ Post Mpya
Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy πŸ‡ΈπŸ‡³
@majario LIVE

Mara baada ya filimbi ya mwisho akatoa kadi yake nyekundu,anataka kumuona mtu amfuate kuhoji maamuzi yake. Kuna afisa mmoja wa benchi la Al Ahly alitaka kwenda,baada ya kuona kadi nyekundu imeshikwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest