Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3)
Gonga94 ยท Stories

SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
SHAMIRA
Sehemu ya 71
Mwandishi; lissa wa huru media

Nikamwambia sawa nashukuru kama mimi ndo kiboko yako. Basi mchumba akaenda kuoga akatoka mwepesi kabisa akavaa kisha akachuku pochi aknihasabia laki 8 .akanipa akasema sikia hii pesa fanya mpango kwanza utafute nyumba .mh nikasema sasa mbona mimi wala sina vitu vya kukaaa nyumba nzima jamani.kama kuhama ntahama tu apa .ila natafuta chumba kengine. Akasema sikia mimi ndo nitakulipia kodi .wewe unawaza nini nimesema tafuta chumba .nikasema sawa kipenzi .basi akanmbia ntakupigia kesho .ila naomba usnipigie usiku nikachekea moyoni.nikasema sawa wala sikupigii wewe nenda tu kipenzi.akasema sawa kisha mwanaume uyo taratibu akaondoka zake .mh nikaona yes laki 8 ya haraka nimepata sa hizi bila ya kutegemea unyama sana
Nikajilalia zangu na hasubuh nikaamkia kwa husna. Nikamkuta anaosha vyombo.nikasema shost mbaya wewe kwaiyo ukamuelekeza hamadi kwangu .mdada mbea wewe.basi akacheka akasema ahaa bibi wewe mimi wala sina makosa. bwana ako kaja apa shiti anataka kunililia anaomba mno nimuelekeze kwako muje muonge kanipa na elfu 70. Nikaona isiwe kesi .nikamleta tu vp mmekiwasha tena nini.nikasema wala hatujaikiwasha ata. Tumeelewana tu . Na apa kanmbia nikatafute nyumba ndo nimekufata unipeleke. Aseeee husna akasema weee usinambie .nikasema ndio .we unzani vp . Na mchezo nimempa shoga kanitomba vizuri ndo kaenda kwa mkewe. Husna akacheka sana .akanambia wanaume bwana kajishaua mwisho kiko wapi. Nikasema we acha shoga yangu .kama ndoa ningeipata mimi. Ila naona hakuwa sio fungu langu .acha niwe mcheluko nijipigie pesa mie. Basi husna akawa anacheka kweli.nikasema sikia nipeleke bwna tukatafute nyumba asije kugairi bule. Basi shoga akanmbia ngoja nimalizie vyombo.nikatulia pembeni . Nikamngoja alipomaliza shoga akanikokota mpka kwa dalali .nikamuelezea kuwa nataka nyumba ila isiwe mbali na uku uku charambe na nataka nyumba nzuri . Yule dalali alaksema usijali kuna nyumba inakarabatiwa maeneo ya chini uku. Inaisha kesho mapema twende ukaione

Basi mie na shoga mpka kwenye iyo nyumba nikainagakia na kweli nikaipenda mana ni nzuri tu .nikasema apa mimi nimepapenda na nikakutana na mama mwenye nyuma akanmbia kodo ni laki mbili . Nyumba ilikuwa ina vyumba viwili. Dining na sebule .na chumba kimoja kilikuwa master.ila haikuwa mpya bali inakalabatiwa na apo ilikuwa inapigwa rangi. Yule mama aksema anataka kodi ya kuanzia miezi 6. Basi nikachukua namba za mwenye nyumba kisha nikamwambia nampigia mana boss hajanipigia na mie naogopa kumpigia ni mume wa mtu.
Nikaludi kwa shoga tukawa tunapiga story tu. Na mida ya mchana namba ngeni ikaingia kwa simu yangu.nikapokea nikasikia sauti ya hamadi.nikasema aloo akanambia yes leo nilikuw busy sana na kazi ndo mana sijakucheki since morning. Nikasema wala usiwaze na usijali kipenzi. Mi uyu baba wala sikuwa na plan nae sana kuna kitu kilishakaa kwenye moyo wangu ila nikawaza nikaona ngoja anipe mifumo ya maisha kwanza .
Basi akaniuliza umepata nyumba nikasema ndio na nikamuelekeza kuhusu kodi na miezi ya kulipa akanmbia sawa nakuja jioni unipeleke kwenye iyo nyumba nikaione kisha tutalipa mwaka. Nikasema sawa akanmbia tafuta ma sehemu ya bisashara shamira nikasema sawa. Na kweli nikaongea tena na husna tukaenda kuzulula tena roaad uko nikapata fremu nzuri mno . Na ilikuwa pembeni ya bala bala ya rami kabisa. Yani balabala kubwa kabisa maeneo ya maji matitu.kodi nikaambia 150k kwa mwezi .nikasema sawa hamna shida nikaongea na hamadi pia kuhusu hilo akanmbia limepita hilo kipenzi. Nikija tinalipia kote.

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
SHAMIRA
Sehemu ya 72
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media

Basi kweli jioni mwanaume akaja tukaaanza kwenye nyumba akaniangali akasema sawa patakufaa kwa kuanzia nikisha kuoa ntakuamishia uku. Fala ili et anaongea ndoa ya matala apo nikawe mke wa pili iyo. Mie nikawa namuitikia tu. Mwanaume tukaenda dukani akalipia kodi ya mwaka pia. Kisha akanipeleka sehemu moja nzuri ipo chaamnzi kwa ajiri ya chakura tukaagiza chakura . Tukawa tunakura uku tunaongea apo ni usiku kama saa 3 . Akaniuliza una plan ya kufanya biashara gani nikasema nataka kuuza nguoa za wadada akasema sawa kesho tunaenda kariakoo kufata mzigo sawa nikasema ndio. akasema kisha kesho kutwa nyumba ikikamalika.tutanunua furnitures za muhimu kwanza .nataka ukae sehemu nzuri . Ili ata nikija tufanye mambo yetu kwa free sawa .nikasema ndio baby. Chezea kupewa maisha wewe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Basi tukala tulivyomalaoza akanipeleka mpka kwangu. Na yeeye akaingia ndani nikajua anataka game wala hana lolote. Na mimi wala sikuwa mchoyo alipoonesha anataka mie nikampa mpka akawa analopoka jina langu tu.nikasema siku akienda kuropoka mbele ya mkewe jasho litamtoka pumbavu zake๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.akaondoka kwangu saa 5 kwenda kwake. Niliona wepesi wa maisha kidogo mana kudanga napo kunachosha jamni.mh. hakuna kazi ngumu kama kulala na mwanaume usiyekuwa na hisia nae. Na uumpe show nzito nyie acheni tu

Basi mie nikajipumzikia na kesho yake mida ya asubuh ndo mchumba aliniifata tukenda kariakoo . Nikachagua nguo nilizotaka kuweka dukani kwangu hatukubeba mizigo.kulikua na vijana ndo wanabeba mie kuagiza tu . Na niliagaixa mzigo wa kutosha mpka mwnegime mpenzi akanambia ataniletea kisho . Basi na kweli tukiondoka na mzigo mchache sana tukaenda kuubwaga dukani. Na baada ya siku 3 ndo hamdai alikamilisha kuniletea mzigo wote dukani.na aoo duka alinikarabatia kukpendeza mno. Na juu ya duka kulikuwa na jina langu yani SHAMIRA COLLECTION.na kule nyumba ilipokamilika mwanaume alininunulia vitu vyote ndani .Hii story mimi pekee ndo nnayo full.uko utaibiwa tu na itakatiwa season nyingi.kuipata full nichek mimi mtunzi kwa namba sefurisaba nanesita sabatisa sitatatu sitatatu.nyie nikawa na kila kitu ndani .hakuacha ata kimoja. Ila sasa akanambia nafanya yote ila hataki ujinga nataka utulie. Na nisisikie una mwanaume. Yani nataka mie ndo niwe mwanaume wako wa pekee. Nikasema sawa wala usijali .
Basi shoga yenu penzi na hamadi likaludi kwa kasi kama jana.japo mimi upendo ilipungua sana sikuwa kama mwanzo ila yeye niliona ananielewa sana. Mie nikaamua kutulia .sikutaka kupigana ngumi mana hamadi na mjua ata uswahiri nikapunguza. Kwenye mashuhuri nikawa siebdi.yani nikawa busy na kazi zaidi kuliko chochote. Mzigo ukiisha naenda kufata mwengime najaza dukani maidha yanaenda. Na ata hamdi alipungiza fujo mana kunipigia simu hovyo hawezi .mala nyingi anakuwa na mkewe. Alafu hamadi alikuwa ananonesha anampenda sana pia mkewe ila ni zile tama za wanaume. Mie wala sikuwa nangaika nae mandhari maisha yangu yananiendea basi inatosha. Mengine ni majaliwa mungu atanipa mbel kama atataka.

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
SHAMIRA
Sehemu ya 73&74
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media

Basi bwana shoga yenu nikawa mchepuko na kuhusu kumtupa mtoto wangu ilibaki siri sikuwah kumuelezea mtu ata mmoja ilo suala.mpka ukakata mwaka mmoja nipo na hamadi tu wala sikuwa na mambo mengi na sikuwa na shost mwengine zaidi ya husna nilamua kujitambua kwanza nifanye maendelea yangu.basi bwna nikawa napambana mdogo mdogo na kiukweli hamdi hakuwa yule mwanaume wa kuja kila siku kwangu hapna inaweza ikakata ata week 2 akaja mala moja tu
Na ata iyo anavyokuja wala alali. Hakuwa ananisnishughurisha ata mana ni mume wa mtu. Na mie nipo kwa faida zangu tu

siku iyo nipo zangi busy dukani akaja aisha bwana nilimshangaa mana mimi na uyu dada tulikaushiana mda sana .akanambia nakuona mrs hamadi umeludi kwa kishindo unapendeza na kuwaka kwa ajiri ya waume za watu .mpka duka umefunguliwa.na duka langu lilijaa na lilishona kuliko lake sasa sijuh ni wivu. Ama sielewi ni nini? Nikasema eeh unataka nini kwani shoga sema shida yako haraka haraka .akasema hapana nimekuja kukuungisha gauni.nikatabasamu tu kisha nikamuuliza umependa ipi. Akasema hii apa ni sh ngapi?.
Nikasema iyo ni elfu 60.ila najua hauna iyo pesa mimi nakupa bule.mimi mwenyewe nna dharau ya kutosha unanijua uannaisikia achana na mimi kabisa .basi akasemanooh kumbe unanipa bule aya asante ila nakukumbusha tu kuwa mume wa mtu sumu .kuwa makini .nikasema sasa kama mume wa mtu sumu mie ndo maziwa unasemaje. Akasema sawa ila yakikukuta ndo utaelewa nikasema nenda uko bwana kwenda usinistue mimi. Basi akaondoka uku anabinua midomo na mie nikawa busy na kazi zangu sina habari ata
Ikapita kama miezi 3 nipo busy na maiaha yangu .siku iyo nipo busy na kazi zangu na nilikuwa na husan ruanaongea.simu yangu ikaita namba ngeni.nikapokea bwana .nikasikia wewe dada unayejifanya unajua kutemebea na waume za watu naomba achana na mume wangu na tena achana na mume wangu unaelewa wewe. Yako yalishakuishia na ndo mana bwana akakuakacha na wala haukuihitaji na hana mpango na wewe na ndo mana akanioa mie mshamba wewe. Yani wewe shamira kumbe unijuh heee mimi ndo hadija.nilikuwa nakuona una heshima ulivyokuwa unakuja na litoto lako kujiombesha msamaha kumbe bado ulikuwa unamtaka mume wangu si ndio. Nakuuliza wewe mshenzi .mh niliishiw pawa mwenzenu ata nguvu ya kujielezea sikuwa nayo nilibaki kimya .nadikiliza nnavyochambwa kama mtoto ..basi dada aliongea jamani.nilibaki kimya kama vile sisikii maneno yake
Akasema saa nakupa habari nakujua mpka unapokaaa mshamba wewe.si umepangiwa nyumba eeh na umefunguliwa na duka .sasa ntakuonesha si unajifanya wewe ni mtoto wa mjini na charambe nzima wanakujua . Au sio wewe ndo shankupe na ngumi unaziweza na matusi unajua kutukana wewe basi haisumbui ila ntakuwasha nakwambia. Wewe ikilijua la huku mimi nalijua la kule. Nitkuaibisha mpumbavu mmoja wewe. Nyie sikuongea neno ata moja nikakata simu yangu tu. Hisna akaniuliza nani.nikasema ni mke wa hamadi . Akasema imekuwaje nikamuelezeaa. Aksema mh kapata wapi namba zako.nikasema sijuh ila kwa kusema kapta kwa simu ya mumewe nakataa mimi sio msumbufu kabisa kwa hamadi. Na now sina hisia sana na hamadi kwaiyo ayo mahaba mimi sina na hamadi naanzaje kumsumbua sumbua .ila nna wasi wasi na aisha huwenda kamfata kwake mana aisha anapajua kwa hamadi . Na mshuku sana yule.

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
SHAMIRA
Sehemu ya 75&76
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Husna akanmbia wewe achana nae ila mpigie simu hamadi umuelezee kuhusu ili. Nikasema sawa kabla sijampigiasimu hamadi.Hamadi ndo akawa ananipigia nikajua kumekucha nikapokea simu. Nikasema hamadi umeniwahi nilikuwa nataka kukupigia.asee hamadi akasema kwaiyo wewe maraya unanichukulia powa mimi si ndio. Kwaiyo umeiba namba za mke wangu katika simu yamgu alafu leo umempigia unamtukana na unamwambia kuwe nimekufungulia duka sijuh na nimekupangia hivi wewe unanakiri kweli we mwanamke mbona napata was wasi na akiri zako . Unanichukuliaj wewe yani we demu ningekuoa ungenipa shida sana.unapata wapi nguvu ya kunitukania mke wangu ushazoe kutukana watu we mwanamke.eeeh unazani mimi naendeshwa endeshwa we mpumbavu .nakuuliza wewe .

nikasema hivi hamadi ushawahi kuona nimeshika simu yako ata siku moja. Akasema sikia sitaki kuelewa ila unachofanya ni usenge kwanza unanilibia ndoa yule ni mke wangu na sio awala kama wewe.. unajua nampenda sana mke wangu yani nikuludi home tukazinguana kitakulamba nakwambia kisha akakata dimu .mh nna bahati mbaya shamira mie.

Nikamuhadithia tu husna nikiwa mnyonge sana .husna akanmbia sikia kausha ayo ni mambo ya kawaida sana na yataongeleka apo hamadi kachukia na itakuwa uyo mkewe ndo kamjaza maneno.nikasema yani hamadi anampenda sana mkewe kwaiyo kachanaganikiwa anaamini mie ndo nimefanya hivyo sawa yataisha bwana ngoja niakushe tu. Basi bwana jioni kabisa mimi nikafunga duka nilipita kwa husna nikala uko kwanza ndo nikaludi kwangu. Sikumpigia simu hamadi wala hamdi hakunipigia nikajua anatengeneza ndoa yake ngoja nimuache. Apo mimi sikuwa nanmwanaume mwengine zaidi ya hamadi na nilituliaia sana niliacha kudanga kabisa .nakuwa kazin na duka langu na biashaea zangu.na ela napata sasa kwa njni nikadange nikavhoshe mwili na kuma yangu

Basi bwana nmhamadi hakuja kwangu week 2 na hakunipigia namimi sikumpigia .na wala mkewe hakunipigia nikajua kajinunisha sikuwa na mda nikaendelea kuwa busy na biashara zangu. Siku iyo sasa asubuh nimeamka nikajiandaa vizuri nikavaa vizuri mtoto wa kike nikapendeza nataka kutoka na hamadi ndo anaingia. Nikamkalibisha vizur akasema asante vp ndo unaenda job nikasema ndio akanambia leo nimekuja najisikia kushinda na ww usifingue duka nikasema saww hamna shida. Boss sindo kaongea tena
Mie nikaludi ndani na yeye akaja chumbani akanikumbati kwa nyuma kisha kaleta mikono yake kwenye maziwa yangu akwa anayabinya uki ananmbia nimekumis sana shamir anaomba kidogo tu.mi wala sikujivunga nikampa aswaa yani tukafanyana sana tu.aipmaliza sasa ndo akanmbia sipendi tabia za kumpigia mke wangu naomba umiheshimu mke wangu plssss sitaki marumbano mana mke wangu amechukia sana baada ya kujua mimi nipo na wewe na nimetumia mda mwingi kumuweka sawa mke wangu. Nikamuuliza hivi unamoenda sana mkeo. Akasema hapan kawaida tu.nikasema ni uongo acha unafiki una mpenda sana mwanamke wako mimi nipo apa unanitumia tu na wala sio kwamba unanipenda.tangu unihaidi utanioa mke wa pili umepita mda gani kwani. Akabaki kimya .nikasema uzuri mimi sio mwanamke mjinga wal mbishi nimeshaielewa nafasi yangu kwaiyo nimejituliza tuli.
Basi bwana alikaaa mpaka jioni ndo akaenda kwake.ila kuanzia apo mkewe alijua sasa kuwa kuna mke mwenzie yupo charambe alikuwa ananitukana uyu dada jamani. Mpaka nikawa namshangaa alafu alikuwa najua mambo yangu mengi sana asa ya uku mtaaani nikajua uyu ni aisha tu mdo anampa info zangu uyu dada. Mana mambo mengine ata hamadi hayajui ila uyu mwanamke alikuwa anayajua na matusi juu. Mungu alinipa uvumilivu sikuwahi kumjibu uyu mwanamke ata siku moja .sijuh sababu milikuwa najijua nna makosa na kweli namuibia mumewe daah๐Ÿฅฒ
๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
SHAMIRA
Sehemu ya 77&78
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi bwna snilikuwa nayapoteze na siku zikawa zinaenda hivyo hivyo ayo ndo maisha yangu mpak mwaka ukakata . Na nikawa nipo busy na mambo yangu bwana ndo kama hivyo mala nyingi anakiwa busy na mkewe.na mimi sijuh umaray nilipunguza wal sikuwa na bwana wa nje. Hamadi ata akae mwezi kwa mkewe akija ndo atanitomba .basi mwanaume akaanza story zake oooh toa kijiti tuzae ndo nakuoa mke wapili.thubutu.nilimkatalia kata kata sikutaka ujinga mimi .
Akaw anajinunisha nunisha mimi sikuwa na mda nae. Na uyo mkewe alikuwa hajazaa sijuh akawa na hamu na mtoto ndo akawa anakuja kunisumbua mie nimzalie.wala sikuataka kuzaa kiukwrli .badi maisha yakawa yanaenda hivyo hivyo uku aisha na shoga yake mwajuma wakinipiga mikwara sana nikiona ya kawaida tu..
Sasa siku iyo nipo zangu kazini nipo busy na wateja akaingia mmama mtu mzima tu .kapendeza kwrli yani ukimuona uanajua awa ni wale wa mama wakisure. Nikamkalibisha vizuri yule mama.ila yule mama wala hakutaka kuitikia salamu zangu. Akanambia binti wewe ndo shamira .nikasema ndio mimi mama karibu .akanmbia oooh unanikalibisha dukani kwangu.apa si kakufungulia mwanangu basi apa ni kwangu mh nilipomuangalia vizuri kuna jinsi niliona kafanana na hamadi nikajua uyu ni mama yake hamadi
Yule mama akasema sasa wew binti wa uswahirini ndo unamsumbua mkwe wangu wewe.nikiwa nimebaki kimya nafikilia cha kumjibu yule mama nikaona anaingia mke wa hamadu pale.nikaona kumekucha kwaiyo wakawa wawili yani mtu na mkwewe wamenkjia leo
yule mama akasema sikia wewe ndo unajifanya mroto wa mjini sasa leo sisi tumekuja kukuonyesha .hivi hadija ni mala ngapi uyu umemuelezea sula la kuachana na mume wako.hadija akasrma mala nyingi mama tena mala nyingi mno ila ananaitukana tu anasema yeye kamkmata sana hamadii na ndo ananamjulia hamadi.na kasema ata hakikisha hamadi atasahau mpka familia. Yani mpka wewe mama hamadi ata kusahau. Na inasemeka uyu binti mchawi mchawi mama

Khaa yule mama hakiniuliza kanikamata kwa kunikwida dela langu nililolivaaa shingoni akauliza wewe unajikuta nani kwani .nikasema mama unaniumiza akasema kelele maraya wewe. ata kukujua kama ukoo hatukujui kisha unajikuta mjanja sinndio sasa tutakuomesha mshenzi wew. Yule mama pale pale akanza kunipiga mabao ya usoni. ana mkono mnene uyu mama jamani mabao yaliiniingia nikawa nalia najalibu kujichomoa ila uyu mama ana nguvu jamani. Ana mkono mzito alinitandika viabo vya mana yani vile viabao vizito mpaka nikawa naona nyota nyota. kisha akanibana akanivua nguo .akaniacha na chupi na sidira akawa nanivuta anitoe nje et khaaa nyie.nipo na chupi na sidiria tu anataka akanidhalilishe nje๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ

MWISHO WA SEASON 3.USIACHE KUSOMA SEASON YA MWISHO YA 4
BADO SHAMIRA ANA MENGI MATAMU YA KUTUAMBIAโค๏ธ na kujifunza piaha

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)


๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
SHAMIRA
Sehemu ya 71
Mwandishi; lissa wa huru media

Nikamwambia sawa nashukuru kama mimi ndo kiboko yako. Basi mchumba akaenda kuoga akatoka mwepesi kabisa akavaa kisha akachuku pochi aknihasabia laki 8 .akanipa akasema sikia hii pesa fanya mpango kwanza utafute nyumba .mh nikasema sasa mbona mimi wala sina vitu vya kukaaa nyumba nzima jamani.kama kuhama ntahama tu apa .ila natafuta chumba kengine. Akasema sikia mimi ndo nitakulipia kodi .wewe unawaza nini nimesema tafuta chumba .nikasema sawa kipenzi .basi akanmbia ntakupigia kesho .ila naomba usnipigie usiku nikachekea moyoni.nikasema sawa wala sikupigii wewe nenda tu kipenzi.akasema sawa kisha mwanaume uyo taratibu akaondoka zake .mh...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-71-mpk-78-mwisho-s3

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA  ๐Ÿ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA ๐Ÿ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA 8   MPK  12
SHAMIRA 8 MPK 12
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
SHAMIRA 62 63 na 64
SHAMIRA 62 63 na 64
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA 49 to 50
SHAMIRA 49 to 50
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA 67 to 70
SHAMIRA 67 to 70
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63

1.38K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3*  *64&65*

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3* *64&65*

297
JOGOO WA KIENYEJI 1----5

JOGOO WA KIENYEJI 1----5

257
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.

207
SHAMIRA Sehemu ya 65&66

SHAMIRA Sehemu ya 65&66

205
SHAMIRA Sehemu ya 60&61

SHAMIRA Sehemu ya 60&61

193
SHAMIRA 62 63 na 64

SHAMIRA 62 63 na 64

189
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12.

166
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 13.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 13.

124
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 14.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 14.

86

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.76K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.47K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.84K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.95K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.91K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.74K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.72K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.67K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“*  "1__5" Post Mpya
*BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“* "1__5"
@majario LIVE

SEHEMU YA "1"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ BY BABIE LOVE "Alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea๐Ÿ’ต" Nyie njooni niwaambie kitu โ€ฆโ€ฆโ€ฆ mnazijua chapati? Sambusa je ? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni...

Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood Post Mpya
Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood
@majario LIVE

. Nargis was known for her natural acting and powerful screen presence. Films like Mother India made her a timeless icon, and even today she is remembered as one of...

SHARON 1 mpka 5 Post Mpya
SHARON 1 mpka 5
@majario LIVE

๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ *SHARON* Sehemu ya 1 Kwa majina naitwa sharon hillary, mm ni mtoto wa 3 kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, so mm ni wa mwisho kuzaliwa wa kwanza ni kaka yetu anaitwa...

Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Post Mpya
Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ
@majario LIVE

Mara baada ya filimbi ya mwisho akatoa kadi yake nyekundu,anataka kumuona mtu amfuate kuhoji maamuzi yake. Kuna afisa mmoja wa benchi la Al Ahly alitaka kwenda,baada ya kuona kadi nyekundu imeshikwa...

SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3) Post Mpya
SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 71 Mwandishi; lissa wa huru media Nikamwambia sawa nashukuru kama mimi ndo kiboko yako. Basi mchumba akaenda kuoga akatoka mwepesi kabisa akavaa kisha akachuku pochi aknihasabia laki 8 .akanipa...

๐Ÿšจ SIMAMA KWANZA USIPITE! ๐ŸŒ BATTLE YA WAREMBO WA DUNIA Post Mpya
๐Ÿšจ SIMAMA KWANZA USIPITE! ๐ŸŒ BATTLE YA WAREMBO WA DUNIA
@majario LIVE

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, Burundi ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ, Rwanda ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ na USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Wote wamevaa rangi za nchi zaoโ€ฆ lakini NANI AMEUA STYLE ZAIDI? ๐Ÿ‘‘๐Ÿ”ฅ โš ๏ธ CHAGUA NCHI MOJA...

SHAMIRA 67 to 70 Post Mpya
SHAMIRA 67 to 70
@majario LIVE

62 MPK 70 (SEASON THREE) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 67&68 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikiwa nawaza sana pale akaingia husna .akagonga mlango...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12
@majario LIVE

:01 Natafuta ni wapi nianzie na ni wapi nimalizie, sijui kabisa yaani kwa maana moyo wangu, roho yangu, na hisia zangu vyote kwa pamoja vimejawa na furaha isiyo kifani. Maisha yangu ni...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 14. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 14.
@majario LIVE

Alinilegesha jamani king anajua kuandaa, anajua kutia sio Polepole jamani, nilijikuta nimempa yote bila kumbania, jamaa kumbe kiu ilikuwa kubwa na Mimi nilikuwa naukata kweli make kufanya hii kitu na...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3*  *64&65* Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3* *64&65*
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi nikapata na kipaji cha kubembeleza huu usiku mana zena hakuwa sawa kabisaa, na alikuwa na stress mnoo maskini na ni baada ya kumkubusha ya nyuma uko maskini, tulibembelezena mpka...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 13. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 13.
@majario LIVE

Tulifika nikakuta mke mwenzangu tayari yupo ukweni na anamimba japo ilikuwa haionekani, nilitukanwa matusi yote, Mimi tasa, maskini sina msaada wowote, nilikuwa niwakulia tu ukizingatia, sijawai tumia hats uzazi wa...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Baada ya king kuzimia,ilibidi apate huduma ya kwanza, Mimi ilibidi niludishwe kwenye Sheree, tulimaliza saa Saba usiku, nilikuwa nimechoka mno, nilioga nakuingia kulala, hata vicram pia alikuwa hoi,...

JOGOO WA KIENYEJI 1----5 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 1----5
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 1 Mwandishi:lissa mwalla Naitwa Talya jones,ni mtoto wa pili katika familia ya watoto wawili,wakwanza kakangu tommy na mie ndio last born sasa,baba yetu alikua mwanajeshi na mama yetu ni nesi.baba...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11. Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Mama alipokea nikamuita atoke nje,vicram alibaki tu akinishangaa, mama alitoka akatukalibisha ndani, niliomba niongee nae pembeni, tulitoka nililia Kwa mama mpaka na mama nae akaanza kulia, badae nikaamua...

SHAMIRA Sehemu ya 65&66 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nilimuangalia sana nikamuuliza unamuongeleaa mtoto gani kwanza .akanambia ahaa si mtoto wangu ambae ulikuwa unakujaga nae nyumbani kuomba msada ama.nikasema sawa kumbe unakumbukumbu. Unahisi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest