SHAMIRA 94 Hadi 96
Sehemu ya 94
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Nikasema hapana mimi sijawah.akasema basi mimi niliwahi kuza mwenzio ila kwa bahati mbaya nilikosa il uchungu niliuona aswaa. Unauma sana shoga yangu lakini kuna wanawake wapumbavu wanatupa watoto huwezi amini. Mh nikaona nafsi inanisuta .mana mwanamke mpumbavu mwenyewe ndo nipo mbele yake apa .ila hanijuh tu
Akasema gift ni mtoto ambaye kaka alikuta kawekewa kwenye gari lake na mtu asiejulikana uku akiwa na vyeti vyake vikionesha anaumwa moyo.na kka alivyouliza alaiambuwa kuna mwanamke ndo alikuwa maeneo ayo kabeba mtoto. Aseeee acha kwanza ilikuwa ni siki mbaya sana kwetu. mana tulimpoza mama yetu aloyekuwa anaumwa kwa mda mrefu pale muhimbili.basi mama anafariki . Na tukapata mgeni bwana.basi tukafanya msiba wa mama .kisha sasa kaka akamchukua mtoto na kuja nae uku kwake dodoma . Mahari alipokuwa anaishi na mkewe . Nikasema ahaa kumbe alioa akasema ndio lakini gift ndo alifanya kaka amuache mkewe.mh nikamuiluza kivip sasa
Akasema mkwewe alishindwa kuelewa kuwa kaka kaekewa tu mtoto kwenye gari na sio wake. Ila yeye alikuwa anamshutumu kuwa kaka kamsaliti.na amezaa uko nje ndo katupiwa mtoto wake.ilikuwa ni shida yani varangati la kutosha navyokwambia full ngumi. Acha tu .yule mwanamke akawa hamtaki uyu mtoto kabisa.kaka anasema ile ni zawadi kafa mama kaletewa uyu kwaiyo wamleee acha tu shamira. Mh nilijisikia vinbaya kumbe nimegombanisha mtu na mkewe kwa mambo yangu jamani daah
Basi love akawa anaendelea kunihadithia . Akasema basi ndo hivyo mwanamke yule akaaanza kudai taraka na akawa hamtaki kabisa uyu mtoto na mwisho kaka akampa tarka japo kaka anampenda sana uyo mwanamke mpka kesho.japo nasikia kashaolewa tena .na kaka ni hakimu.na yule mwanamke alikuwa wakiri.basi ikabidi wagawane mali.ila kaka alimuachia zote. Akaanza upya kabisa . Mpka nyumba waliyokuwa wanisho ipo chamwino kule ila alimuachia .na kaka akaanza kimlea sasa uyu mtoto ila mtoto alikuwa anaumwa .alikuwa na shida ya moyo.asee kaka alipambana nae sana uyu binti mpka india alifika nae na ndo kaenda kuponea uko
Basi kaka anampenda uyu mtoto dunia ya mwisho kwanza uyu bonti kuna jina alilikuta katika yale makaratasu yake ya kuumwa ila kaka alilikataa ilo jina akumuita gift yani zawadi yake kutoka kwa mungu anasemaga kwakuwa mama kaondoka ndo mana mingu kamletea uyu.kwaiyo kaka anmpenda sana uyu mtoto na anamuita gift daniel .yani ni mwanae kabisa anasema .na huwezi amini mpka mali zake anamuandikisha uyu mtoto. Tena hataki kusikia kuwa uyu mtoto aliekewa tu kwenye gari anasema ni mtoto wake na anampenda sana. Hataki kuelewa ndo hivyo shoga
Kwaiyo ilo ji jicho la kaka kuwa nae makini uyu mtoto usimpige ata siku moja. Kaka atakufukuza kweli kazi sure. Aseeee yale maongezi yalinigusa mpaka machozi yakawa yananitoka mimi. Love akasema hee mbona unalia sasa jamani. Nikasema hii story imenigisa sana kaka yako ana moyo mzuri sana mingu atamlipa. Akasema usijali bwana ni moyo wake tu. Nikasema sawa .basi akanmbia ni siri usije ukamsimulia mtu wala usimuulize kaka mikasema wala usijali sitafanya hivyo . Nikamuuliza mweni nyie mpo wawili tu .akasema ndio tupo wawili tu anaanza yeye kisha nafata mimi. Baba alianza kufariki. Na akafata mama siku yuliyompata gift.nikasema sawa na poleni
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRA
Sehemu ya 95&96
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Nikamuuliza kwa iyo uo ugonjwa wake wa moyo gift alipona?. Aksema ndio alipona kabisa ila broo ametumia pesa nyingi sana na kaangaika nae mno. Yani sana tu.nikasema ahaa sawa .love akasem sasa kipenzi leo umemuuzi san broo namjua kaka yangu pale kachukia sana . Na si umemsikia kasema kazi basi .mh nikasema ndio nimesikia .akasema nenda tu ukaongee nae ni muelewa sana muombe msamaha. Mana ata kule supermakrt ni yake. Kama atachukia utaokosa kote ntashindwa kukusaidia.nikasema saww hamna shida
Badi kweli mie taratibu nikatoka chumbani kwa love .nikamkuta daniel yupo sebleni na gift et wanacheza game.mh uyu baba analea vibaya mtoto ipo siku uyu mtoto atmchezea pumbu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.
Basi nikamsogelea nikasema boss samahani naomba tuongee . Nikaona kaniangalia kisha akamwambia gift nenda chumbani kwanza mrembo angu. Basi kikasimama kinaninyali khaaaa aka katoto jamani .hivi anajua mi na mshono wake .mbona ana akiri mbaya hivi au kwa sababu nilikuwa nakunywa pombe nikiwa na mimba yake jamani khaaaaa.katoto kadogo ila kapashukuna mno
Bai mtoto alivyoondoka akasema nakusikiliza. Nikasema boss samahani ni bahati mbaya tu sitaludia kumpiga tena mtoto. Akasema ooh unajua nilivyokuona niliona umefanana sana na gift nikajua utakuwa dada mwema kwake na kumlea vizuri kumbe sivyo. Aseee sitaki mtoto wangu aguswe yani sitaki ata kidogo. Hamjui mimi nimepitia changamoto gani kwa uyu mtoto plsssss naomba asiguswe.nikasema sawa boss sitoludoa.akasema alafu wewe apa nakulipa sh ngapi? Nikasrma laki 4. Akauliza ushawahi kuona dada wa kazi analipwa laki 4.nikasrma hapna .akasrma nakulipa pesa nyingi kwa sababu namjua binti yangi ni mtundu sana so sikupi pesa bule plss shamira kama unaona hii kazi imekushinda basi naomba uache.sihitaji maneno kabisa mana siku nikisikia umempiga tena uyu mtoto nami ntakupiga vibao hautaamini.
nikabaki kimya mana babayalikuwa yanamtoka atari nikasema sawa .akasema mimi namjua binti yangu akiongea uongo najua na ukweli najua so plsssssss sihitaji ili lijiludie tena.nikasema sawa kaka halitajiludia akasema sawa kaendelaee na majukumu yako
Basi nikanyanyuka nikaenda kuendelea na kazi zangu. Basi ikakata week 3 shoga yenu nikawa simgusi kabisa uyu mtoto namuangalia tu.nikimsema akiludi baba yake anamwambia yote.looh mbea mtoto uyu.basi baba yake kila siku ananipa last warning. Anafoka kweli. Ila unajua kama mzazi nakuwa nashindwa kabisa kuvumilia tabia za gift natamani kumdunda mda mwengine .anakuwa ananiumiza sana .ila ndo hivyo na kazi nayo naitaka mana kule nimepanga na kodi nalipa japo naenda mala moja moja
Kwanza mtoto kuna mda ananiita mpka jina langu ety we shamira looh. At least ata love kuna mda anamsema sema ila ile kumsema uku anambembeleza jamni. Nikaona mtoto ataharibika uyu ni vile basi tu.basi bwana siku iyo sasa nakumbuka ilikuwa usiku danielei alichelewa sana kuludi .yani ata kivuruge wake alikuwa kashalala.alililudi kama saa 5 hivi mimi nilikuwa sebleni nachek game. Basi alivyoingia sebleni akasema shamira njoo chumbani kwangu mie nikasema sawa.nikanyanyuka mpka chumbani kwake. Kiukweli ilikuwa ndo mala ya kwanza naingia katika chumba chake .mana at usafi chumbani kwake hataki ata kidogo niingie ata ngua ananitoleaga nifue sio kuzifata ndani kwake.ila nilishangaa hii siku
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni