Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
Gonga94 Β· Stories

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mwandishi:lissa mwalla
Kichwa kilinigonga ina mana hayaki mtoto au imekuaje?mbona sasa hapatkan na amenikatia simu uwiiii mm nafanyaje jmn?mimba hii nafanyaje mamangu na baba wakijua je?nawambia nn kuwa babake amekimbia au nasemaje?kwak dar sipajui mm nilianzaje?niliwaza nikakosa raha.nilirud nyumbn nikajilaza chumbn nikiwa mwingi wa mawazo,
Mida hio ilikua saa nne asubuhi hiv,nililala mpka saa nane mama alitudi akaniamsha,niliamka cha kwanza nikashika simu,mama akasema umelala sa iv unaumwa?na mbona unaangalia simu?nikasema nilikua naangalia muda tu mama,akasema unaumwa?nikasema hapana mama wala siumwi kabisa,akasema basi amka unisaidie kumenya ndizi uganda zipo jikon baba yako anakuja leo nataka nimpikie ndizi nyama.nikasema sawa.nilinyanyuka nikaenda kuandaa ndizi lkn akili haikua pale kabisa,niliwaza mengi sana kuhusu mimba yangu na hatma yangu,niliwaza au nitoe mimba?mmh nitakua nimeua na nina enda kanisani sasa kanisa gani wanapokea mtu kama mm?eeh Mungu nisaidie niliomba huku nikimenya ndizi.keanu aliamua kunikomoa yani mapenzi yote yale mahaba yote yale leo ananiuliza hiv?niliwaza huku mchozi ukinitoka.mara mama aliingia akaniona akasema unalia nn?ww mbn sikuelewi una nn?nikasema hakuna kitu mama.akasema kwa hio ww chizi sasa unalia bila sababu?nikasema hamna macho tu yananiuma,mama akasema haya mficha maradhi kifo humuumbua.nilimtizama tu nikaendelea na kaZi.nilimenya nikamaliza akaja akasema nensa kapumzike acha nipike mie nimpikie mme wangu,nilimuonea huruma angejua baba anaishi pia na frida asingesema mama hayo mama yangu.akasema na wewe dokta tee ukija kuolewa tu ujuenunatakiaa mme kumpikia wewe kama ww sio msichana wa kAzi,vinginevo msichana wa kaZi atakua mke mwenzio mana akipika vitam kuliko ww mmeo atatamani zaidi kwake.maskin mama yangu japo alikua anampikia baba lkn baba ana frida mm nikasema mama sidhani kama nitakuja opewa,mama akasema kwa nn usiolewe mwanangu?nilivokuzaa nilikunenea maneno matamu ya uchungu,nilisema utakua na akili utasoma na kupata kazi nzur kisha utaolewa na mwanaume mzuri sana utaishi vizur na kwanza mwanangu ww umejitunza mpaka
Leo sijawahi skia una mwanaume mwanangu umejitunza usichana wako vizur,pili ww mzuri tatu umesoma mwanangu,mwanaume gani asietaka kuoa mwanamke kama
Ww?nikamtizama nikatabasam ikwa woga kwanza yani mama anahisi mm msichana?nishatembea na wanaume watano tena watatu wale ilikua kwa mkupuo siku moja muda mmoja na hapa mm mjamzito bwana hapokei
Simu.niliumia sana.nikatoka tu jikon kimya kimya nikawaza niende hata msamvu tu nikabuz buz (kipindi hiko baba karudi tena morogoro tunaishi kihonda kwenye nyumba yake) lkn nikaona haina mana,nikapata wazo nimwambie tu da frida mana ndio suluhu atanipa wazo litaniingia.nilitoka nje nikijifanya naenda dukani huko nikamtwangia da frida nikalalamika kila kitu,da frida akasema wala usichanganyikiwe,umemaliza chuo salama unasubir tu chet na graduation ,babako alishaanza kusuka mipango ya ww kupata kazi serikalini tulia utalew mimba hio,mtoto ni wa mama siku zote tulisana achana nae.nikasema lkn naumia mana kanuacha gafra sana,akasema tulia hawaachagi kwa saut mdogo wangu tulizana mtizame Mungu si unasali ww?nikasema ndio. Akasema achaaa hajakuua utazaa mwanao atakua zawadi yako mana kuna wengi wanalia wanataka mimba na hawapat tulizana sawa.nilimskiliza alinishauri mno na kunitia moyo,akasema kama vipi njoo dar upoteze mawazo huku nitakudekeza utapumzika sawa?nikasema sawa.nilirudi nyumbnnikiwa na wazo la kwenda kwa da frida nikamwambia mama nataka niende dar nikafatilie mambo ya chuo huko.mama akasema lini wataka kwenda?nikasema kesho.akasema mpigie kakako akutumie pesa.nikasema sawa.kaka tommy alikua engineer hivo anapesa nikampigia nikamdanganya mambo kibao akasema ananitumia pesa nikasema sawa asante kaka.niliingia chumbn nikapanga nguo zangu baadhi tayari kwa safari.kaka alinitumia pesa ya kutosha nikamjuza mama na kumshku kisha tukakaa kumsubir baba.baba alifika tukasalimiana mm nikamuacha na mke wake na kwenda kulala zangu.siku hio hata sikula usiku kabisa.nikiwa fofofo nikaskia simu yang inaita hiv,mmh naota au nn?nilikua nimeiweka chaji mbali kidogo nikaona uvivu nikaiacha.kulikucha nikaichukua kisha nikaangalia nikaona namba ngeni niliipigia lkn haikuwa hewani,mmh nani sasa alipiga jmn? Nikasema atapiga tena kama anashida.nilijiandaa nikamuaga mama na mme wake kuwa naondoka zangu wakasema sawa.niliondoka zangu nikaenda msamvu nikakwea hood hadi dar.nilimkuta da frida ananisubir stend tukaondoka hadi kwake kipindi hiko anaishi kwake amejengewa kimara na baba na alikua mjamzito kipindi hiko.tulifika kwake nilikuta ameniandalia vyema misosi na chumba kizuri,nilimshkuru snaa,tuliongea mengi na alinielekeza namna ya kuishi na mimba na mengine mengi.siku hio tulilala pamoja mm na da frida usiku tena simu yangu iliita,da frida alinisogezea mana alikua jirani nayo.ilikua ni ile namba nikapokea nikaskia bby uko poa?alikua ni keanu,nilikuupuka nikakaa kitandani nikasema umeamua kunitafuta umefikiria sana ee?akasema hapana bby mm nipo kikazi mahali sikukujuza sababu ilitakiwa iwe siri,nilipokua naongea simu yangu ilizima chaji na tupo porini nisamehee mamangu,jana nikapiga usiku hukupokea hii simu n ya mwenzangu kafanikiwa kuificha mahali inapatkna kwa muda tu.nikasema usemayo ni kweli au unanipanga?akasema kweli kabisa sa kwa nn nikupange?sijagombana na ww na hakuna baya mtoto wa watu umenifanyia na kuhusu mimba nimefurahi sana sana mpnz wangu,asante kwa zawadi hio,nina wiki moja huku nakaa nikirudi nitafanya juu chini nije nionekane nyumbn kwenu,pia kwa sasa nimempa namba wifi ako mkubwa atakupigia na mkubaliane aje kukuchukua akupeleke dar wakakuone nyumbn mana niemewambia una mimba tyr.sikuamin maneno yake,nikasema unanitania?akasema hapana niko serious kabisa.nakupenda na nilikuahidi kukuoa na sasa una mimba yangu nina kila sababu ya kuharakisha.nikasema asante sana.akasema kwa hio uko nyumbn au?nikasema hapana niko dar kwa dadangu frida,keanu akasema kumbe rahisi kesho dada atakuja basi.naomba nikuache mpnzi wangu nakupenda ww na mwanangu mana muda umeisha sasa iv,nikasema sawa bby asante.nilikata simu da frida alikua anaskia kila kitu akasema uhuuuuuuu afadhari sasa nina amani,
Nikasema siamin mpaka nione kafanya.tukacheka tukalala zetu.kesho yake saa 12 asubuhi simu yangu iliita namba ngeni nikapokea akasema hellow wifi,nikajua mambo yamekwiva,nikasema
Hellowa shikamoo,akasema marahabaa,sasa naomba nikufate basi nikupeleke kwa mama na baba .nikasema sawa akaniambia muda nikawa nasubir sasa.aliwahi kufika kwa maelekezo kisha tukaondoka hadi kigamboni kwao sasa.tulifika salama nilipokelewa kama
Malaika niliandaliwa misosi nikala balaa kisha wakasema nibaki nilale nikakaataa nikasema siku ingine wakasema sawa.nilirudishwa nyumbn mida ya saa mbili usiku nikiwa na raha kama zote mana nimeshapata uhakika wa ukweni.zilipita siku tatu nikaona niende kariakoo kununua vitu mbalimbali,nilichukua bajaji nikaenda nilifika kakoo nikaanza kuzunguka mara nikaona heren nzur sana na mikifu kwenye duka fulani nikaona acha niingie.niliingia nikaanza kuangalia bila hata kuangalia nani anaeuza nilitizama mara nikaskia karibu dada.mmh saut haikua ngeni maskion mwangu niligeuka fasta kumuangalia cheeeeeee alikua ni reyhan na weupe wake pale.........

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHAMIRA fully episode
SHAMIRA fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12


Mwandishi:lissa mwalla
Kichwa kilinigonga ina mana hayaki mtoto au imekuaje?mbona sasa hapatkan na amenikatia simu uwiiii mm nafanyaje jmn?mimba hii nafanyaje mamangu na baba wakijua je?nawambia nn kuwa babake amekimbia au nasemaje?kwak dar sipajui mm nilianzaje?niliwaza nikakosa raha.nilirud nyumbn nikajilaza chumbn nikiwa mwingi wa mawazo,
Mida hio ilikua saa nne asubuhi hiv,nililala mpka saa nane mama alitudi akaniamsha,niliamka cha kwanza nikashika simu,mama akasema umelala sa iv unaumwa?na mbona unaangalia simu?nikasema nilikua naangalia muda tu mama,akasema unaumwa?nikasema hapana mama wala siumwi kabisa,akasema basi amka unisaidie kumenya ndizi uganda zipo jikon baba yako anakuja leo nataka nimpikie ndizi nyama.nikasema sawa.nilinyanyuka nikaenda kuandaa ndizi lkn...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jogoo-wa-kienyeji-sehemu-ya-12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jogoo-wa-kienyeji-sehemu-ya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

1.3K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

1.1K
SHAMIRA 114 mwisho ni 115

SHAMIRA 114 mwisho ni 115

835
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

219
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

125
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

123
NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

83
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

69
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "11"πŸ’“πŸ˜½

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "11"πŸ’“πŸ˜½

45
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,

15

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.86K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.58K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.86K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.98K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.98K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.76K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.64K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
🚨😱 imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290. Post Mpya
🚨😱 imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290.
@majario LIVE

kwa makadirio ya kubadilisha fedha, Euro 290 ni takriban shilingi za tanzania (TZS) 750,000 hadi 780,000 (kulingana na kiwango cha ubadilishaji cha sasa cha karibu TZS 2,600–2,700 kwa dola 1). hii...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "11"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "11"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" "(Alikuja kama muuza chai)" β€œTwende huko na wewe mi siyo mchawi nilikuwa najilinda tu Faster boda akaongeza speed ili asilipoteze lile gari Yule jamaa akaendesha mpaka huko mjini zaidi...

 Increase Earnings from Pakistan β†’ Get +10% Bonus!  Hello Partner! This week the spotlight is on Pakistan πŸ‡΅πŸ‡° Post Mpya
Increase Earnings from Pakistan β†’ Get +10% Bonus! Hello Partner! This week the spotlight is on Pakistan πŸ‡΅πŸ‡°
@majario LIVE

. If you increase your earnings from this GEO by 25% or more compared to last week, we’ll reward you with a +10% bonus on top. How Your Earnings Can Grow...

Fainali ya SIMBA πŸ†š RS BERKANE ilipopagwa tu Zanzibar nilijuwa ni mipango ya huyu jama FAOUZI LEKJAA Post Mpya
Fainali ya SIMBA πŸ†š RS BERKANE ilipopagwa tu Zanzibar nilijuwa ni mipango ya huyu jama FAOUZI LEKJAA
@majario LIVE

ona sasa anaanza kuumbuka kwa kuendesha mpira wa Afrika kwa Upendeleo FAOUZI LEKJAA yeye ni βœ…οΈMakamu wa Rais CAF βœ…οΈMwenyekiti wa Fedha CAF βœ…οΈWaziri wa Fedha Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ βœ…οΈMjumbe wa kamati ya...

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1
@majario LIVE

NAKUPENDA BILA MIPAKA:46 Nilimwambia β€œnina kichukulio?, Dorice natamani unielewe huyo mwanaume alivyo kwanza Hapana sitaki, na unajua mimi kwasasa akili ni mwanangu tu na hata hivyo hawezi kunitaka mimi. Kwa kipi...

Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86 Post Mpya
Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86
@majario LIVE

Mwigizaji na gwiji wa sanaa za mapigano Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, huku taarita zikieleza kuwa alikuwa akiugua kabla ya kifo chake. Kwa mujibu wa familia...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Kichwa kilinigonga ina mana hayaki mtoto au imekuaje?mbona sasa hapatkan na amenikatia simu uwiiii mm nafanyaje jmn?mimba hii nafanyaje mamangu na baba wakijua je?nawambia nn kuwa babake amekimbia au...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi mm nikaingia ndani ya gari yangu, nikiona tabasamu la mke wangu,na akanifungulia geti, uku akiwa ana tabasamu pana tu mke wangu, basi mi apo niktoa gari na ndo nikaanza...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema...

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) Post Mpya
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
@majario LIVE

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya GΓΆztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa...

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5* Post Mpya
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*
@majario LIVE

*_________________________________________* *SEHEMU YA : 01* ANZA NAYO.... Ni katika jiji la Dar es salaam katika familia moja ya kitajiri sana, tunamuona binti mrembo, mrembo sana ambaye alikuwa na macho kama gololi na umbo...

◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM  Liverpool 4-0 Galatasaray  ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️ Post Mpya
◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM Liverpool 4-0 Galatasaray ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️
@majario LIVE

Liverpool inatinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa kishindo kabisa nyumbani, ushindi ambao wali stahili kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho , Liverpool...

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa? Post Mpya
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?
@majario LIVE

JIBU: Hili ni swala lenye khitilafu baina ya β€˜Ulamaa. Wako walioona kwamba Muislamu aswali Swalaah zote mbili; β€˜Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah, na wako walioona kuwa akiswali Swalaah moja baina...

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF, Post Mpya
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,
@majario LIVE

- Viongozi wamesisitiza kuwa pambano hilo halijaisha, huku baadhi ya wachezaji wakituma ujumbe mzito mtandaoni na kauli za 'njoeni mpige picha na kombe', Senegal inaita uamuzi huo kuwa si wa haki...

STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO. Post Mpya
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.
@majario LIVE

March 18, 2026 In football, the Laws of the Game are clear: the referee on the pitch is the final authority on decisions made during the match. Once play is allowed...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest