Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76
Gonga94 · Stories

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈


Basi mm nikaingia ndani ya gari yangu, nikiona tabasamu la mke wangu,na akanifungulia geti, uku akiwa ana tabasamu pana tu mke wangu, basi mi apo niktoa gari na ndo nikaanza kulekea kazini, kiukweli nilikuwa na hasira sana na mama ahmed, ila nikaona kwa kuwa sasa nna amani na mke wangu, na tumeelewana na kanambia niachane nae, basi sikuona sababau ya kumpigia na kuanza kumtisha au kimtafuta nikapotezea kabisaaa, nikaingia zangu kazini, unajua now ata maafande wa kike walikuwa wananishangaa yani macho niliyatuliza mnoo, sikuwa na mambo mengi kabisaa, mapka walikuwa wananaitania et nimerogwaa na uyo niliyemuoa mi nilikuwa nacheka tu, ila wala sikuwa nimerogwa ata ,ila tu ni upendo tu naona ulinikolea sana, kuna rahaaa mno ya kuwa na familia , nikaona nitulie tu, mana zena mwenyewe ndo hivyo, akinikuta na kosa ni kulia kweli kweli asa nakuwa sipendi na naumia mimi zaidi , japo anakuwa analia yeye

Basi nilivyofika job nilimsimulia mwanangu ibraa juu ya kilichotokea, ibraa kanmbia daaah kaka una mtihani, yule demu ulizaa nae vp, mwanamke mshenzi sana ,ana mambo ya kipumbuvu kweli kweli, yani ana boa kinoma, nikasema acha tu kaka, ila achana nae ,mi na zena tushayamaliza now yuko sawa kabisaa,ibraa akanmbia daah sema ibraa unampenda sna zena, yani akiwa hayupo sawa unavurgwa mnoo, nikasema acha tu kaka kweli nmamprnda sana yule mwanamke sikufichi,yani pale nimekamatika kabisaa, ibraa akacheka sana akanmbia powa bwana ,ngoja tupige kazi nikasema powa kaka ,na kweli kila mtu akaendelea na majukimu yake mpaka jioni mda wa kutoka sasa, jalia akanipigia ,nikapokea simu

Jalia akanisalimia nami nikamuitikia kisha sasa, akanmbia kipenzi, naomba leo uje nna hamu sana na ww nimekumiss sana mume wangu dooah apo sikuwa nimeenda kwake kama week 2 hivi, nikasema.sawa jalia nakuja ila mal moja, ntaludi kwa zena, kisha sasa utanipa mda nimdanganye zena kuwa nasafiri ndo ntakuja kukaa kwako ata week 2, jalia akasema wala hakuna shida kabisaaa mpenzi karibu sana, nikasema powa, basi mm nikamtumia sms zena ,kuwa mke wangu nna kikao cha muhimu sana leo ntachelewwa kuludi mke wangu, ila usilale mpkaa mumeo niludi, zena akajibu, wala usijali mume wangu nakungoja na sitakula mpaka wewe uludi., nikasema powa, basi bwana mm nilivyitoka job moja kwa moja nikapita kwa jalia kwanza viwege

Na jalia alionesha kunimisss sana, sio poa tulifikia chumbani kwanzaaa, tukatombana mnooo, mana jalia alikuwa anaonekana ananihitaji sana, nikajua ana ugwadu wa weeek.2, basi sikuona shidaa, nilimtibia aswaa inavyitakiwa, nilimtia kweli kweli, na baada ya apo sasa nikaenda kuoga, nilipotika nikamvaa nikamuaga , ila jikamuhaidi baada ya mda ntakuja kukaaa kwake ata week 2, jalia kanmbia jamani baby si ata ule basi, mh nikasema hapana ntaenda kuka kwa zena, niliogopa nile.apa nifike nyumbani nimeshiba si kitawaka, ntajielezea nimekula wapi kwenye kikao ama😅😅😅🙏🙏🙏, basi sikutaka kula ata, mi nikamuaga na haraka nikaaanza safari ya kuludi kwangu pugu kwa zena sasa, basi nikafika pugua mida ya kma saa 6 hivi, na nilimkuta mke wangu ananisubir uo usiku, basi nimefika akanikalibisha ndani vuzuri kisha akanikumbatia , nikaona zena kama kastuka hivi kisha akaniuliza mbona aunanukis malashi mazuri ulipita wapi, doooh malashi tena mm wala sikuyasikia, ila zena kayasikia ,nikaganda kwanza, nawaza nimjibu vp apa mke wangu

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Sasa nakupenda fully episode
Sasa nakupenda fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76


🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈


Basi mm nikaingia ndani ya gari yangu, nikiona tabasamu la mke wangu,na akanifungulia geti, uku akiwa ana tabasamu pana tu mke wangu, basi mi apo niktoa gari na ndo nikaanza kulekea kazini, kiukweli nilikuwa na hasira sana na mama ahmed, ila nikaona kwa kuwa sasa nna amani na mke wangu, na tumeelewana na kanambia niachane nae, basi sikuona sababau ya kumpigia na kuanza kumtisha au kimtafuta nikapotezea kabisaaa, nikaingia zangu kazini, unajua now ata maafande wa kike walikuwa wananishangaa yani macho niliyatuliza mnoo, sikuwa na mambo mengi kabisaa, mapka walikuwa wananaitania et nimerogwaa na uyo niliyemuoa mi nilikuwa nacheka tu,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-76

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 69
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 69
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

1.29K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 77

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 77

636
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

203
NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

186
NAKUPENDA BILA  SEASON TWO 51 - 65

NAKUPENDA BILA SEASON TWO 51 - 65

178
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "12_13"💓😽

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "12_13"💓😽

174
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 13

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 13

151
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "11"💓😽

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "11"💓😽

134
Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86

Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86

17
USISEME MTO MFUPI KABLA YA KUINGIA  Nimeshuhudia mchezo wa kiwango kibwa kunako Ligi Kuu , hii imekua mechi bora kuzidi Derby iliyopigwa pale Zanzibar.

USISEME MTO MFUPI KABLA YA KUINGIA Nimeshuhudia mchezo wa kiwango kibwa kunako Ligi Kuu , hii imekua mechi bora kuzidi Derby iliyopigwa pale Zanzibar.

12

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.87K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.58K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.87K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.41K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.98K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.98K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.81K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.76K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.65K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 77 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 77
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Nikasema.mm ndo nanukia ayo malashi mke wangu, akanmbia ndio.kwani apa si nipo mimi na ww. Nasikia marashi ya kialabu, mh nikajinusa sasa na mm. Eeh ni.kweli aya ni...

NAKUPENDA BILA  SEASON TWO 51 - 65 Post Mpya
NAKUPENDA BILA SEASON TWO 51 - 65
@majario LIVE

NAKUPENDA BILA MIPAKA:51 Nilitoka nikiwa nishapendeza hata mama alishtuka na kusema “kulikoni tena? Nilishusha pumzi na kusema “Acha tu mama ndiyo nishaitwa.” Mama alinitazama na kusema “huna namna nenda. Sasa vipi pesa ya...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "12_13"💓😽 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "12_13"💓😽
@majario LIVE

“Leo hakuandaa boss , but i promise u kesho unazipata, alijibu jamaa “Okay , dont worry just do it …..alisema yule boss wake kitandani “We dada wewe ni...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 13 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 13
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Sikuamin macho yangu, hiv n huyu kweli naemuona hapa mbele yangu? Yy alionesha kama ananifananisha mana alikua ananiangalia kwa makini sana, alionitendea yalinirudia akilini niliumia niliona kama nimeona mnyama...

USISEME MTO MFUPI KABLA YA KUINGIA  Nimeshuhudia mchezo wa kiwango kibwa kunako Ligi Kuu , hii imekua mechi bora kuzidi Derby iliyopigwa pale Zanzibar. Post Mpya
USISEME MTO MFUPI KABLA YA KUINGIA Nimeshuhudia mchezo wa kiwango kibwa kunako Ligi Kuu , hii imekua mechi bora kuzidi Derby iliyopigwa pale Zanzibar.
@majario LIVE

Pamba Jiji football club walikua kwenye ubora mkubwa zaidi kwa dakika zote, kuna muda Simba SC Tanzania walikua hawana tofauti na Jkt Tanzania football club. Mechi imechezeka kwa dakika tisini...

🚨😱 imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290. Post Mpya
🚨😱 imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290.
@majario LIVE

kwa makadirio ya kubadilisha fedha, Euro 290 ni takriban shilingi za tanzania (TZS) 750,000 hadi 780,000 (kulingana na kiwango cha ubadilishaji cha sasa cha karibu TZS 2,600–2,700 kwa dola 1). hii...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "11"💓😽 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "11"💓😽
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" "(Alikuja kama muuza chai)" “Twende huko na wewe mi siyo mchawi nilikuwa najilinda tu Faster boda akaongeza speed ili asilipoteze lile gari Yule jamaa akaendesha mpaka huko mjini zaidi...

 Increase Earnings from Pakistan → Get +10% Bonus!  Hello Partner! This week the spotlight is on Pakistan 🇵🇰 Post Mpya
Increase Earnings from Pakistan → Get +10% Bonus! Hello Partner! This week the spotlight is on Pakistan 🇵🇰
@majario LIVE

. If you increase your earnings from this GEO by 25% or more compared to last week, we’ll reward you with a +10% bonus on top. How Your Earnings Can Grow...

Fainali ya SIMBA 🆚 RS BERKANE ilipopagwa tu Zanzibar nilijuwa ni mipango ya huyu jama FAOUZI LEKJAA Post Mpya
Fainali ya SIMBA 🆚 RS BERKANE ilipopagwa tu Zanzibar nilijuwa ni mipango ya huyu jama FAOUZI LEKJAA
@majario LIVE

ona sasa anaanza kuumbuka kwa kuendesha mpira wa Afrika kwa Upendeleo FAOUZI LEKJAA yeye ni ✅️Makamu wa Rais CAF ✅️Mwenyekiti wa Fedha CAF ✅️Waziri wa Fedha Morocco 🇲🇦 ✅️Mjumbe wa kamati ya...

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1
@majario LIVE

NAKUPENDA BILA MIPAKA:46 Nilimwambia “nina kichukulio?, Dorice natamani unielewe huyo mwanaume alivyo kwanza Hapana sitaki, na unajua mimi kwasasa akili ni mwanangu tu na hata hivyo hawezi kunitaka mimi. Kwa kipi...

Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86 Post Mpya
Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86
@majario LIVE

Mwigizaji na gwiji wa sanaa za mapigano Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, huku taarita zikieleza kuwa alikuwa akiugua kabla ya kifo chake. Kwa mujibu wa familia...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Kichwa kilinigonga ina mana hayaki mtoto au imekuaje?mbona sasa hapatkan na amenikatia simu uwiiii mm nafanyaje jmn?mimba hii nafanyaje mamangu na baba wakijua je?nawambia nn kuwa babake amekimbia au...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi mm nikaingia ndani ya gari yangu, nikiona tabasamu la mke wangu,na akanifungulia geti, uku akiwa ana tabasamu pana tu mke wangu, basi mi apo niktoa gari na ndo nikaanza...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
@majario LIVE

🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 Mwandishi:lissa mwalla Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema...

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) Post Mpya
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
@majario LIVE

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya Göztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest