Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
Gonga94 Β· Stories

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“

Mwandishi:lissa mwalla
Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema sawa,nilingia ndani yeye akiwa amesimama palepale,nilivoingia nikachungulia haraka dirishani,mana ukiwa dirishan unaweza kuona mtu wa mlangoni.nilimuona anageuka aondoke huku anatabasam.mmh huyu anatabasam nn sasa?mara msg ikaingia kwenye simu yangu,imetoka kwake amesema β€œleo imekua siku nzuri sana ,nimeenjoy sana kampan yako na pia nimeondoka nikiwa salama nashkuru sana”nikacheka nikajibu β€œsiku nzur kweli hata mm nimeenjoy sna,ila kwa nn umesema umeondoka ukiwa salama?” akatuma viimoj vya kucheka kisha akajibu β€œnilivokukumbatia nikajua kabisa leo nitaishia mochwari mana ungenisukuma ningeangukia ngazi huko baaassss kwisha habari yangu?nilicheka sanaaaa nikajibu β€œhakuna bana ilikua amani tu,siku hizi mm sio wa kiivo" akasema "mmh kweli eeeh?umekuaje siku hizi?"nikacheka nikajibu "watu wanabarikiwa kwa sasa nipo kwenye point naskia aman na maisha yangu sana na natamani sana kuishi" akajibu "naweza kupigia?" Nikasema nipigie haina shida,alipiga simu nikapokea muda huo nilikua peke angu tu,keanu akasema tayla nimefurahi sana kuskia hivo kuhusu ww,naamin sasa nitakua rafiki ako wa karibu kama utaruhusu.nikasema naweza ruhusu.akasema asante sana,unaweza nipa ratiba yao ya kesho'?nikasema kesho nitaenda kanisani kisha mida ya mchana nitakua huru,akasema kanisa gani unasali?nikasema roma,akasema mm niko anglican nutafutahi sikumuishiriki nasi kwenye ibada,nikasema siku utafika tu,akasema naomba jioni unisindikize mahali nikatizame mpira kama hutojali,nikasema sawa haina shida.akasema asante snaa.basi tulipiga piga stor tulaagana mm nikapanda kitandani nikalala zangu.kulikucha bella kama kawaida yake yy alifika mbeya akapata na mwanaume wa mbeya hivo alienda kulala kwake mida ya kwenda kanisani akarudi tulajiandaa pamoja tukaenda kusali wala sikumuambia kitu.baada ya kusali tulirudi tukapika mana dokta alietuachia nyumba alikua amehamishwa japo hakuahamisha vitu alipelekwa mkoa mwingine hivo tulikua wenyewe kwa wakati huo.baada ya kula nikaangalia kuda ilikua saa tisa na nilishakubaliana na keanu kuwa saa 10 anifate hivo niliingia bafunintena nikaoga,nikavaa suruali yangu ya jeans na top yangu flan nzur snaa fupifupi,nikajipulizia marashi ili ninukie bella akasema ww mbn kama unajuandaa kuna mahali unaenda? Nikasema ndio kuna mahali naenda ,akasema wapi?nikasema keanu ameomba tukaangalie mpira wote.bella akasema keanu n nani?nikamwambia ndio stewart hilo keanu ndio jina lake halisi,akasema mmh hadi meanza kupelelekana mpirani mambo so mabaya.mm nikacheka tu,akasema kweli kabisa m naona Maendeleo sasa kama ndo hivo?ujitahidi sana dia na wa upate bwana khaaaa,tena keanu anafaa sana kwa matumizi ya binadam.nikacheka nikasema niache basi ushaanza mambo yako,bella alinitania mpaka simu yangu ikaita alikua keanu akisema anakaribia kufika,mm kwa mdomo wa bella nikamwambia ukifika nistue nitatoka,bella akaicheka sana.nilivaa viraba vyangu simple na kinainai changu begani nikatoka nje nikapanda gari hao tukaanza kuelekea zetu sasa mpirani.tulienda kwenye bar moja maarufu mbeya huko tukakutana na rafiki zake kibao tukaka nao pamoja.niliambiwa niagize kinywaji nikaagiza windhoek ikaletwa nusu katoni mezani nishindwe mie,yy aliagiza heinken tukaendelea kunywa mdogo mdogo.keanu alinijali sana,kila muda japo mpira unaendelea alihakikisha ananitizamanna kuniuliza kama niko powa,mie namjibu nikopoa,mara aseme agiza chakula dia,mm nilikua bado nimeshiba nikasema badae nitaagiza usijali.basi waliangalia mpira huku na mm nipo
Sikuboeka mana kila muda ananijali tu.baada ya mpira kuisha tuliendelea kunywa na rafiki zake hadi mida yaa saa nne usiku nikaomba kuondoka mana nilishachoka sasa na bia ilikua imenikolea.keanu akakubali na kunipeleka nyumbn.tulifika akaniaga kwa kunikumbatia kisha akaondoka baada ya mm kuingia ndani.nilimbebea bela bia nilizobakisha hivo nilivoingia tu akazidaka na kuanza kunywa huku akisema nisimulie kila kitu usiache kitu.nikasema hakuna hata kipya,nikamsimulia vya mpira na kunywa basi,akasema anakuvutia kasi huyo we suburi tu.keanu alipiga simu kunijuza amefika salama kisha akanitakia usiku mwema.tulilala kulipokucha tukajiandaa kwenda hospital kazini sasa mafunzoni, kulikua busy sana kuasi sikuweza kabisa shika simu,mida ya saa nne ndio nilipata muda sasa,nikaenda kunawa mara nikaskia mtu ananiulizia nikasema mm hapa nilimtizama alikua kashia kimfuko kizuri na maua rose mengi mekundu yaliofungwa pamoja nilistuka siuwah haya mambo mie.akasema nina zawadi zako hapa.mmh zawadi?toka wapi?aKasema utamjua tu,hizi hapa pokea,nilipokea zile zawadi yy aaaga zae.yale maua yalikua na kikad,nilifungua kimeandikwa " maua mazuri kwa msichana mzuri,tayla wewe n mzuri kwangu mfanowa ua rose.i lov u. Its keanu"uwiii nilijiskia furaha et nikayanusa 😜mmmh yananukiaaaa nikafungua kifuko kilikua na kikontena cha vyumba vyumba kina vipande vya keki,sambusa,sosej na kipande cha kuku kikubwa cha kukaanga na juice ya box na kiglas cha take away.nilifurahiaaaa nikashika simu nakutana na missed call zake na msg za salam na kaz njema.nikapigia kushukuru.hio ilikua tabia ya keanu kuleta maua kila siku japo moja hata na msos asubuh na mchana jion tunakua wote.nilikua naskia raha sanaaa na hakua na haraka.baada ya wiki tatu akaniambia kuwa ananipenda sana anaomba niwe wake,sikukataa wala nilikubali japo moyoni hauwepo ila malezi na huduma zake zilinifanya nikubali.tulianza upenzi mm na yy kwa kasi sana.tulidumu mpaka nikamaliza intern madokta na manes walituaga kwa sherehe na keanu alikua anamaliza pia ili arudi dar sasa jeshin mana alikua kikos cha dar.kabla hatujaondoka alinitambulisha kwa dokta peru kuwa mm ni mpenzi wake na Mungu akipenda ndie nitakua mama wa watoto wake.dokta peru alifurahi sana.tuliondoka wote na gari yake hadi morogoro tukiwa mm na yy na bella tukalala moro mjini kesho yake bella akaenda kwao dodoma mm na keanu tukaenda kwetu lkn hakufika alinishusha jirani tu na nyumbn.yy akaenda dar.tuliendelea na mawasiliano maZuri huku akinipa ahadi mbalimbali za kunioa mm mwezi ukapita sikuona siku zangu.nilienda kupima nikakuta imo.nikaona acha nimwambie.nilimpigia akapokea akanisalimia vizur kisha akasema mambo vipi lkn?nikasema sio shwali ,akasema nn bby unaumwa?au huna pesa mama nikutumie?alizoea kunipa sana pesa.nikasema hapana mm nimetoka kupima hapa nina mimba,akasema unasemaje?nikasema nimetoka kupima hapa nina mimba akasema unasema kweli au unanitania?nikasema ni kweli kipimo ninacho hapa.mara akakata simu 😳nikapiga haipatkani πŸ₯Ί.........

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“

Mwandishi:lissa mwalla
Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema sawa,nilingia ndani yeye akiwa amesimama palepale,nilivoingia nikachungulia haraka dirishani,mana ukiwa dirishan unaweza kuona mtu wa mlangoni.nilimuona anageuka aondoke huku anatabasam.mmh huyu anatabasam nn sasa?mara msg ikaingia kwenye simu yangu,imetoka kwake amesema β€œleo imekua siku nzuri sana ,nimeenjoy sana kampan yako na pia nimeondoka nikiwa salama nashkuru sana”nikacheka nikajibu β€œsiku nzur kweli hata mm nimeenjoy sna,ila kwa nn umesema umeondoka ukiwa salama?” akatuma viimoj vya kucheka kisha akajibu β€œnilivokukumbatia nikajua kabisa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jogoo-wa-kienyeji-sehemu-ya-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jogoo-wa-kienyeji-sehemu-ya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

1.3K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

1.1K
SHAMIRA 114 mwisho ni 115

SHAMIRA 114 mwisho ni 115

824
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

219
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

122
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

119
NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

75
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

68
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "11"πŸ’“πŸ˜½

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "11"πŸ’“πŸ˜½

37
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,

15

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.86K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.58K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.86K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.98K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.98K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.76K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.64K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
🚨😱 imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290. Post Mpya
🚨😱 imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290.
@majario LIVE

kwa makadirio ya kubadilisha fedha, Euro 290 ni takriban shilingi za tanzania (TZS) 750,000 hadi 780,000 (kulingana na kiwango cha ubadilishaji cha sasa cha karibu TZS 2,600–2,700 kwa dola 1). hii...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "11"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "11"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" "(Alikuja kama muuza chai)" β€œTwende huko na wewe mi siyo mchawi nilikuwa najilinda tu Faster boda akaongeza speed ili asilipoteze lile gari Yule jamaa akaendesha mpaka huko mjini zaidi...

 Increase Earnings from Pakistan β†’ Get +10% Bonus!  Hello Partner! This week the spotlight is on Pakistan πŸ‡΅πŸ‡° Post Mpya
Increase Earnings from Pakistan β†’ Get +10% Bonus! Hello Partner! This week the spotlight is on Pakistan πŸ‡΅πŸ‡°
@majario LIVE

. If you increase your earnings from this GEO by 25% or more compared to last week, we’ll reward you with a +10% bonus on top. How Your Earnings Can Grow...

Fainali ya SIMBA πŸ†š RS BERKANE ilipopagwa tu Zanzibar nilijuwa ni mipango ya huyu jama FAOUZI LEKJAA Post Mpya
Fainali ya SIMBA πŸ†š RS BERKANE ilipopagwa tu Zanzibar nilijuwa ni mipango ya huyu jama FAOUZI LEKJAA
@majario LIVE

ona sasa anaanza kuumbuka kwa kuendesha mpira wa Afrika kwa Upendeleo FAOUZI LEKJAA yeye ni βœ…οΈMakamu wa Rais CAF βœ…οΈMwenyekiti wa Fedha CAF βœ…οΈWaziri wa Fedha Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ βœ…οΈMjumbe wa kamati ya...

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1
@majario LIVE

NAKUPENDA BILA MIPAKA:46 Nilimwambia β€œnina kichukulio?, Dorice natamani unielewe huyo mwanaume alivyo kwanza Hapana sitaki, na unajua mimi kwasasa akili ni mwanangu tu na hata hivyo hawezi kunitaka mimi. Kwa kipi...

Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86 Post Mpya
Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86
@majario LIVE

Mwigizaji na gwiji wa sanaa za mapigano Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, huku taarita zikieleza kuwa alikuwa akiugua kabla ya kifo chake. Kwa mujibu wa familia...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Kichwa kilinigonga ina mana hayaki mtoto au imekuaje?mbona sasa hapatkan na amenikatia simu uwiiii mm nafanyaje jmn?mimba hii nafanyaje mamangu na baba wakijua je?nawambia nn kuwa babake amekimbia au...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi mm nikaingia ndani ya gari yangu, nikiona tabasamu la mke wangu,na akanifungulia geti, uku akiwa ana tabasamu pana tu mke wangu, basi mi apo niktoa gari na ndo nikaanza...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema...

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) Post Mpya
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
@majario LIVE

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya GΓΆztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa...

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5* Post Mpya
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*
@majario LIVE

*_________________________________________* *SEHEMU YA : 01* ANZA NAYO.... Ni katika jiji la Dar es salaam katika familia moja ya kitajiri sana, tunamuona binti mrembo, mrembo sana ambaye alikuwa na macho kama gololi na umbo...

◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM  Liverpool 4-0 Galatasaray  ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️ Post Mpya
◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM Liverpool 4-0 Galatasaray ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️
@majario LIVE

Liverpool inatinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa kishindo kabisa nyumbani, ushindi ambao wali stahili kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho , Liverpool...

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa? Post Mpya
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?
@majario LIVE

JIBU: Hili ni swala lenye khitilafu baina ya β€˜Ulamaa. Wako walioona kwamba Muislamu aswali Swalaah zote mbili; β€˜Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah, na wako walioona kuwa akiswali Swalaah moja baina...

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF, Post Mpya
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,
@majario LIVE

- Viongozi wamesisitiza kuwa pambano hilo halijaisha, huku baadhi ya wachezaji wakituma ujumbe mzito mtandaoni na kauli za 'njoeni mpige picha na kombe', Senegal inaita uamuzi huo kuwa si wa haki...

STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO. Post Mpya
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.
@majario LIVE

March 18, 2026 In football, the Laws of the Game are clear: the referee on the pitch is the final authority on decisions made during the match. Once play is allowed...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest