Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75
Gonga94 Β· Stories

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Daaah apo na mm nilishachanganikiwa ,nikabaki nimemshika mkono zena sasa, nimemshika tu mke wangu kumtuliza, ila.wapi zena ana hasira ana lia tu, ananambia anataka twende viwege, akahakikishe uko kuna nani, nikanyamaza kimya kisha nikamsogelea mke wangu, nikamwmabia zena ebu tulia plssss usilie mpaka watoto wakasikia, zena akanmbia nani unahisi ana shida mala.zote ww ndo una shida ni ww, mala zote unaanzisha matatizo ww, na kwa sababau hujatulia millan, uyo mwanamke.wa kipemba ni mwanamke wako umemueka kwako si ndio, nambie ni kweli.umemuoa nambieee, nikasema.hapana sina mwanamke wa kipemba, ila nisikilize basi,.uyo mwanamke wa kipemba , nilicheat nae siku 1 tu, ndo mama.ahmed aliniona nae, kiukweli niliona bola.nikubali nusu shali, kwa mke wangu, kuliko shali kamilo, dooh yani kusema hivyo, zena akanisukuma akaaanza kulia kwa hasiraaa, akanmbia kwa nn unanaifanyia hivi millan, ni kipi sikufanyiii mume wangu mpaka unaenda kucheat eeeh nambie

Nikasema mke wangu tumeumbiwa tamaa tu, ila nakupenda sana naomba plssss unielewe mke wangu na unisamehe tu, na nilicheat zamani sana sio hivi karibun now nimetulia, nisamehe siludii mama.na uyo mwanamke wala now sipo nae ,nishaachana nae ,niamini mke wangu, niamini malkia wangu, zena akawa analia tu, mala namsikia ummy anagonga mlango ,nikaju watot wamesikia mama yao analia, nikatoka chapu, nikamkuta ummy mlangoni na mdogo wake arshaina, ummy akasema baba mama analia nn, anaumwa mama, nikasema ndio mama anaumwa ,aya njoeni uku wanangu, basi ummy akanambia naomba kumuona mama, nikasema.hapana now mama.hajisikii sawa kabisaaa nyie njooeni uku kusha mam tutaongea nae baadae sawa, ummy akasma sawa, basi mi nikawatoa nikawapeleka sebleni nikawaawashia tv, ila.ummh ana akili wala hakuwa sawa, nahisi kabisa alikuwa ananjiuliza kwa nn mama analia kule , basi nilivyowawashia tv, nikamwambia ummy usije chumbani naongea na mam, ummy akanmbia saw baba, nikamuita dada wa kazi, akaja nikamwambia waangalia watotot na wapakulie chakula, wale ,uwaogeshe wapumzike, akanmbia sawa kaka hakuna shida

Basi mm.nikaludi chumbani kwa mke wangu, namkuta anamnyonyesha shady ila bado hayupo saw, nikakaa pembeni yake, kiukweli hii siku niliumia mi sipendi kabisa kumfanya zena alie kwa sasa, nampenda mnook uyu mwanamke, basi mi nikawa nimekaa pembeni , zena alipomaliza kumnyonyesha mtoto akaenda bafuni akaoga ,kisha akaludi akamuogesha mwanae, nikaona kamlaza, akatoka njeee, nikajua kaenda kuwaangalia akina ummy, na baada ya mda akaludi, hakuongea na mm tena ,akapanda kitandani akamkumbatia mwanae et analala, mi nikapanda mpka kitandani, nikalala nyuma yake ,kisha nikamkshika.kiuno chake, nikasema.mke eangu, plssssss usinikasilikie naumia sana unavyokasilika naomba unisamehe, zena kanmbia niache nipumzike, sihitaji tena kuwaza mambo yako na kukuwaza wewe, doooh nikakausha kimyaaaaa

Nyieeeee mi nikamtumia smq mwanangu ibraaa nikampanga kilichotokea na kila kitu yani, ibraa akanmbia uyo mama ahmed katumwa ama ,mbona mwanamke mpekeneke sana, nikamwambia yule demu bado ananitaka sio bule , daah ananichania mikeka kila siku ibra akanmbia sikia we ongea nae vizur zena , shikilia apo apo ni kwa bahati mbaya ulicheat na uyo demu, ila usikubali kuwa umeoa na ni mke wako,balaaa litakuwa kubwa zaidi kaka, nikasema saw kaka ,siwez kukubali ata siku mojaa hilo suala, basi nilivyomaliza kuchati na ibraaa, nikaweka.simu pembeni, nikamsogelea zena naona kafumba macho yake nikajua kalala, na mimi nikmsogelea mke wangu, nikalala nyuma yake, nampenda sana uyu mwanamke ,yani namuelewa mnooo zena mm, daaaah na mm usingizi ukanipitia ,nyieeee mida ya saaa 8 usiku, nilistuka baada ya kusikia kwikwi za zena akilia, mie chapu nikainuka ,nikaaa kitandani ni kweli alikuwa anamnyonyesha mtoto ila analia, mh. Nikamchukua mtoto kwanza kisha nikatoka nae mpaka sebleni, kisha nikaenda kumgngea dada wa kazi chumbani kwke, akafungua mlango, nikampa mtoto nikamwmabia mbembeleze alale mama yake anaumwa, akanambia sawa kak kisha akamchukua mtoto.

Nikaludi chumbani sasa kwa mke wangu, daah nimamsogelea nikamkumbatia nikasema nyamaza plsss, zena akawa analia kwa nguvu sasa, analalamika namuumiza sana kila siku kwa nn, kwa nn namtesa na wakati ananipenda sana, naangaika na wanawake njeee na nna familia teali kwa nn namfanyia hivyo, au nataka yeye ateseke na watoto, nilijisikia vibaya, nilimpigia magoti mke wangu, nikasema zena mm nimekukosea ww, siwezi kurudiia daima mke wangu nisamehe nimejilekebisha siludiii tena yani siludiii tena kabisaaaa, ntatulia mama, zena akawa bado analia ,nikainuka nikamnyanyua mke wangu, nikampeleka bafuni, uko nikamwagia maji ,mana alikuwa na hasira, nikaona nimshushe hasira kwanza ,baada ya apo tukaludi ndani, nikampakata, nikamwambia basi mama yameisha mke wangu acha kulia basi nakupemda sana, zena akanmbia uyo mwanamke ni bado upo nae, nikasema.hapana sipo nae kabisaaa, na sijuh ata yupo wapi, niamini mke wangu, zena akawa katulia ila bado ana hasira, nikamsogelea mdomo wake nikaanza kumkissss taratibu uku napapasa kiuno chake chenye shangaa

Zena akatulia.kabisaaaaaa , na yeye akaanza kunipa.ushirikiano, tukakiss kwa mda sanaa, namuona ndo hasira zimepoa ana twetwa tu, nikasema basi mama , aya yasituhalibia furaha yetu na fumilia yetu ,mke wangu, naomba utulie kabisaa sawa, zena kwangu wewe ni wa zaidi ndo mana nimekuoa mengine ni tamaa tu za wanaume, si unaona nimekuoa mke wangu, na usijali mm mwezi huu naomba likizo nakupeleka nyumbani zanzibar mke wangu sawa ukaonane na wazeee kabisa. Na ndugu zangu wakakujue, zena akanmbia sawa, nikaona ananingalia jicho la kulegea ,nikatabasamu na yeye akatabasamu, sababu m namjua mke wangu, akitaka game haombi na macho yake tu yananambia, ntaona macho yake tu, najua leo anataka , hasemi kabisaaaa, basi nikawa nishamuelewa ,nikamlaza kitandani, kisha sasa nikaaanz akucheza na mwili wake, ahaaaaa zena akapagawa, na nikamtomba kweli kweli uhuuu usiku,basi tukasahu kabisa hasira na kila kitu na tukazama katika dimbwi la mapenzi, na tukafuria sana mapenzi yetu, hii siku nilimsugua aswaaa zena , zen alikuwa ni anaguna tu, zena bwana ,nampenda sana uyu mwanamkeee, basi usiku sana, ndo tumeachiana ananambia mi namtaka mwanangu, nimasema.ebu muache leo alale n dada njooo apa mke wangu nikamkumbatia akwa anacheka, akanmbia mh unataka ujana wakati ushakuwa ni baba wa watoto wengi ,nikasem ebu achana na ayo now natka kuwa na mwanamke wangu nnayempenda sna, zena akanmbia plssss millan kama.upo na uyo mwanamke wa kipemba naomba uachane nae sitaki plsss sitaki kabisaa, nikasema nilishaachana nae mda sana naomba nielewe mke wangu, zena akanmbia sawa , basi hii kesi ndo iliisha hivi

Na asubuh mke wangu wala hakuamka na kisilani kabisa ,aliamka kama kawaida , na hakuletea hasira kabisaaaa, akaandaa watoto kw ajili ya shule mana mpaka arshaina tulimpeleka shule, ana miaka.2 kasoro akacheze tu, mana akikaaa apa nyumbani wanamsumbua sana mke wangu, na bado anaangaika na aka kadogo, baada ya kuandaa watoto shule tukanywa chai, watoto wakafatwa na school bus, na mm nikamuaga kuwa naelekea kazini, akanmbia sawa uwe na kazi njema, ila naomba nikusihi kitu kimoja, nikasimama.nikasema ndio nakusikiliza mke wangu nambie, akanambia plsssss usigombane tena na mama ahmed, wala usiende kwake kumfanyia fujo ,wala usimpige , naomba uend kazini, na tuendelee na maisha yetu mm nimesmpotezea, na omba uzingatie hilo, nikasema.sawa mke wangu sitamftafuta na wala.sitafanya chochote kibaya kwake, zena akanambia sawa kisha akanikisss akanmbia uwe na kazi njema mume wangu, nyieeeeeee kwa hili huba mi naaachaje kuvurugwa na zena,

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75


Daaah apo na mm nilishachanganikiwa ,nikabaki nimemshika mkono zena sasa, nimemshika tu mke wangu kumtuliza, ila.wapi zena ana hasira ana lia tu, ananambia anataka twende viwege, akahakikishe uko kuna nani, nikanyamaza kimya kisha nikamsogelea mke wangu, nikamwmabia zena ebu tulia plssss usilie mpaka watoto wakasikia, zena akanmbia nani unahisi ana shida mala.zote ww ndo una shida ni ww, mala zote unaanzisha matatizo ww, na kwa sababau hujatulia millan, uyo mwanamke.wa kipemba ni mwanamke wako umemueka kwako si ndio, nambie ni kweli.umemuoa nambieee, nikasema.hapana sina mwanamke wa kipemba, ila nisikilize basi,.uyo mwanamke wa kipemba , nilicheat nae siku 1 tu, ndo...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-74-na-75

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 69
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 69
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73

1.21K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

1.14K
SHAMIRA 114 mwisho ni 115

SHAMIRA 114 mwisho ni 115

697
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

680
SHAMIRA 112 na 113

SHAMIRA 112 na 113

627
LETICIA 7-----------14

LETICIA 7-----------14

245
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "9_10"πŸ’“πŸ˜½

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "9_10"πŸ’“πŸ˜½

195
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

158
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

77
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

65

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.85K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.57K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.86K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.36K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.97K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.75K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.64K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi mm nikaingia ndani ya gari yangu, nikiona tabasamu la mke wangu,na akanifungulia geti, uku akiwa ana tabasamu pana tu mke wangu, basi mi apo niktoa gari na ndo nikaanza...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema...

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) Post Mpya
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
@majario LIVE

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya GΓΆztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa...

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5* Post Mpya
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*
@majario LIVE

*_________________________________________* *SEHEMU YA : 01* ANZA NAYO.... Ni katika jiji la Dar es salaam katika familia moja ya kitajiri sana, tunamuona binti mrembo, mrembo sana ambaye alikuwa na macho kama gololi na umbo...

◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM  Liverpool 4-0 Galatasaray  ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️ Post Mpya
◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM Liverpool 4-0 Galatasaray ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️
@majario LIVE

Liverpool inatinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa kishindo kabisa nyumbani, ushindi ambao wali stahili kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho , Liverpool...

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa? Post Mpya
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?
@majario LIVE

JIBU: Hili ni swala lenye khitilafu baina ya β€˜Ulamaa. Wako walioona kwamba Muislamu aswali Swalaah zote mbili; β€˜Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah, na wako walioona kuwa akiswali Swalaah moja baina...

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF, Post Mpya
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,
@majario LIVE

- Viongozi wamesisitiza kuwa pambano hilo halijaisha, huku baadhi ya wachezaji wakituma ujumbe mzito mtandaoni na kauli za 'njoeni mpige picha na kombe', Senegal inaita uamuzi huo kuwa si wa haki...

STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO. Post Mpya
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.
@majario LIVE

March 18, 2026 In football, the Laws of the Game are clear: the referee on the pitch is the final authority on decisions made during the match. Once play is allowed...

MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI Post Mpya
MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI
@majario LIVE

Mwaka 2007 , Wachezaji wa Lille walitoka uwanjani baada ya Gigs kufunga goli kwa mpira faulo [ Alipiga haraka ] muda ambao Lille walikuwa ndio wanaweka ukuta 2013, Kelvin Prince...

SHAMIRA 114 mwisho ni 115 Post Mpya
SHAMIRA 114 mwisho ni 115
@majario LIVE

( MWISHOOO ) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 114 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media AseΓ¨e nilikuwa sinanngibu kabisa nikasiki malngo unavunjwa apk mimi jilikuwa napata maumivu makari mno ya tumbo yani sama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75
@majario LIVE

Daaah apo na mm nilishachanganikiwa ,nikabaki nimemshika mkono zena sasa, nimemshika tu mke wangu kumtuliza, ila.wapi zena ana hasira ana lia tu, ananambia anataka twende viwege, akahakikishe uko kuna nani,...

LETICIA 7-----------14 Post Mpya
LETICIA 7-----------14
@majario LIVE

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ LETICIA Sehemu ya 7 na 8 Mwandishi; LISSA Basi hata hatukukaa sana wazazi wakarudi saa 3 ,na wakawa wanalalamika wamechoka walipitiliza kuoga na kulala ata chakula hawakula ,mama alisema wamekula uko walikotoka.​ Mimi...

wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. Post Mpya
wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.
@majario LIVE

Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. K sal ft ferooz Mwana mkiwa Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "9_10"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "9_10"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Chap yule jamaa akashuka kwenye gari na mzigo wake wa mboga , akashika sijui ni kisimu akakibonyeza chwaaaaaa chapuuuuuuu geti waaaaa likafunguka akaingia ndani bahati nzuri ...

SHAMIRA 112 na 113 Post Mpya
SHAMIRA 112 na 113
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 112 Mwandishi; HURU MEDIA HAIPINGWI NI CHAGUO LA WASOMAJI ) Basi mnazni jilillala sikuweza kulala ata kidogo. Nikashika vhini ya ile lodge kulikuwa na bar .aseee ndo jimaahiza pombe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest