Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 77
Gonga94 ยท Stories

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 77

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mwandiishi; LISSA

Nikasema.mm ndo nanukia ayo malashi mke wangu, akanmbia ndio.kwani apa si nipo mimi na ww. Nasikia marashi ya kialabu, mh nikajinusa sasa na mm. Eeh ni.kweli aya ni marashi ya jalia sasa sielewi imekuaje mpaka na mm nanukia aya marashi kudadeki na zena pua zake zinanusa mnoo, nikasema mke wangu aya marashi kuna mshikaji.wangu kanihug tulipokuwa kazini, itakuwa ndo yamebaki kwenye nguo yangu , mke wangua akanambia mbona ni marashi ya kike baba shadya lakini, nikasema.kweli tena mke wangu niamini mi sijuh chochote ila ni marashi ya mshikaji wangu, zena zekanmbia sawa, kisha tukaingia ndani, mi nikafikia mezani kwanza ,nikamwambia nna njaa nitengee chakura

Zena wala hakuwa na shida akanitengea chakura ila alikuwa kama anajiuliza hivi, naona majibu yanguu juu ya aya malashi nnayonukia hayakumlizisha kabisaa, basi mi nikakaza tu kujifanya nimepotezea ile mada, basi zena akaandaa chakura pale na tukala kwa pamoja ,nikawa namuongelesha sana zena ila zena wala hakuchangamka naona tayar alishahisi kitu, mi nikakausha, nilivyotoka pale ,nikapiliza kuogaaa, nilivyotoka kuoga, namkuta zena ananisubili kwa hamu kitandani, nikajua kesi ya malashi inataka kuanza upyaaa, nikasema nn mke wangu mbona umenuna hivyo na umekasilika shida ni nn si nishakwambia marashi ni mshikaji alinihug mama , zena akniuliza boksa uliyoondoka nayo asubuh umeacha wapi, dooh nilistuka nachek sasa boksa nilovaaa, ndo nakumbuka kuwa kula kwa jalia kanibadilishia, yani baada ya game akanipa boksa nyengine na sio niliyoenda nayo mamae ,kwisha mm

Nikasema ahaaa mke wangu boksa ipi, mbona mm tangu asubuh nimevaa hii hii mke wangu,zena kaanmbia millan mi ni chizi unaona mm ni chizi, mm sindo nimekuandaa asubuh ww, kwaiyo sijuh boksa uliyovaaa nakuuliza ww unahisi sijuh boksa uliyovaaa, nambia ihiii boksa umebadilisha kwa maraya zako, millan umeludia tabia zako, si ndio, apo teali kashaanza na kulia zena, doooh leo niljkamatika wanangu asa najitetea nn kwa mfano, nikasema.sikia mke wangu, mi nimetoka na hii biksa labda kama umesahau tu, mke wangu akanmbia sio kweli sio kweli baba shadya basi kwa hasira akawa anatoka ndani nikamshika mkono, nikasema.unaenda wapi akanmbia niche sitaki kulala na ww, nikasema hapana mke wangu basi tulia nakwmbia akanmbia nambie, daaaah namueleza nn sasa, mi nikashindwa ata cha kumdanganya mke wangu,nikabaki kimya kabisaaaa , ila macho yangu yakijieleza kabisaa kuwa nina hatia, mke wangu akaludi kitandani, akamvuta mwanae kisha akavuta shuka akalala, mi nikabaki nimekaa kwa pembeni ata sielwi, nilimind yani jalia kwa nn anibadilishie boksa na anajua kabisa mm nakuja kwa zenaz sikupemda kabisaaaa

Basi na mm nikapanda kitandni ila nilipotaka kumshika zena ni aligoma kata kata alikuwa na hasira sana alinambia ukiendelea kunishika nakuachia chumba iki, mh nikakausha wala sikumshika, tukalala.hivyo mpaka asubuh, asubuh sasa , zena aliamka na hasira mno,yani nipo chumbani ila namsikia uko chumbani kwa watoto anavyomfokea ummy sio masiharaa, si unajia shida za watoto wadogo wakati wa kujiandaa kwenda shule asubuh, aha uyo arshaina sijuh ata alifanya nn, nilisikia kapigwa konde hilo, yani kama.la kilo 2, ahaaaaa akina mama wakigombana na akina baba , alafu mtoto umchanganye utaelewa, daaah mpaka nikatoka, nikaenda chumba cha watoot nakuta ni anawandaa kwa hasira kweli kweli, apo arshaina analia alivyniona kaja kunikumbatia uku analia ,nikamnyanyua ,akanmbia mama chapa mm, nikamwambia nyamaza mwanangu , apo ummy ni ametulai na yeye machozi yanamlenga, nikamwambia zena waache nitawaandaa mimi

Zena akanmbia ebu toka apa , kwenda kabisaa, uwaaandae ww kwani mm nimekufa ondoka apa, nikaona nado ana hasira juu ya jana , na amejua kabisa jan nimetoka kucheat ,na nimeshindwa ata kujitetea, mi nikamsogelea kisha nikampokonya viatu alivyokuwa anamsaidia kuvaa ummy, nikamvakisha mm vile viatu ummy, kisha sasa ,yeye akawa amekaa tu kitandani, kisha sasa nikaanza kuwwaandaa wanangu ,nikamvuta na arshaina nikampaka mafuta, nimamvalisha basi nilipomaliza nikawachukua nikawatoa njeee tukawa tunngoja school bus sasa

Ummy akanmbia baba mama ana hasira leo kwani amekasilika nn mana amrkuwa kama simba , ummy bwana nikajikuta mpaka nimecheka kisha nikasema ahaa mama anaumwa kidogo ndo mana anakuwa na hasira so usimuwaze ummy sawa, ukiludi shule utamkuta mama.yupo sawa na mtaongea sana tu , ummy akasema.sawa baba nakupenda sana, nikasema.sawa, mwanagu nakupenda zaidi , basi ummy akataka pesa et akienda shule anunue sijuh nn na wakati shule wanakula kila kitu, ika sikuwa na shida nikatoa elfu 2 nikampa , arshaina nikamshika elfu 1, wakwa wana furahaaa tu watoto,kisha sasa school bus ikafika.nikawapakiza nikawaaga ao wakaenda shile, api sasa nikampigia simu ibraa nikamuelezea yaliyojili.kisha nikamwambia leo.kazini sitokei nabembeleza ndoa kwanza , ibra kanmbia sawa kaka. Na ni vile sikuwa na issue sana kubwa kazni nikaona nimute tu, basi nikaludi ndani

Nikamkuta zena bado yupo chumba cha watoto.ni anawaza sanaa, sikuwa naelewa ata anwaza nn, nikasma zena nisamehe basi mama, zena kanmbia nikusamehe usaliti wa kila siku, skkufichi millan naelekea kushindwa hii ndoa, kisha akanyanyuka akaondokaz daah ashindwe ndoa haina ata miaka 2, kunifumania kidogo tu anataka kushindwa ndoa sio kweli bwana, nikamfata uko uko chumbani, nikakauta kaenda kulala n mwanae, mana bado shadya alikuwa kalal, nikamfata mpaka.kutandani, niksema.zena neno.lankushindwa ndoa kati yetu halipo,mm.na wewe ni mpaka kuzikana, naomba ayo maeno usiyaongee tena ,kama changamoto ni za kuvumiliana tu, na mengine mi ntajilekebisha, zena wala hakunijibu kabisaaa, daaah mi nikatoka.njeee niakmpigia jalia, nikamuuliza kwa nn alinibadilishai boksa, akanmbia baby samahani mi.nilijisahau alafi niliona ile uliyokuja nayo ni chafu ndo.mana ulivyooga nikaona nikauwekee safi, nikasema.jalia naomba aya yasijiludie tena sio sawa, aknmbia mh samahani kwani zena kaahisi kitu, nikasema achana nayo ayo ,ila.kua makini aya yasijitokieze tena,jalia akanmbia sawa wala hakuna shidaaa mpenzi , nikasema powa , sikutka sana kugombana na jalia, mana ata yeye ni binadamu na ana moyo so kukosea hili tu sikuona shida na nikajua mm na zena ni tutayamaliza tu

Aseeee kuanzia hii siku mi ndani kwangu kukaingia mdudu, zena ni alinikasilikia kweli kweli, yani naweza sema alininunia , yani alinifungia vioo kweli kweli, yani hakuwa anaongea na mm kabisaaa, yeye ni busy na wanae, nikimuongelesha hanijibu kabisa yani ni kama hanisikii,tukilala hataki nimguse kokote, ni hataki ata kunisikia, nikimpigia simu mchana hanipokelei kabisa simu mm , yani alinikasilikia kweli kweli, siku iyi mm nilimwambia ibraaa na naikamueleze kuwa mke wangu mi kaninunia ,ibra akanmbia kaka wanawake kununua ndo zao, we mpelekeee zawadi, na endelea kumuongelesha mwenyewe atakuwa saw, nikasema sawa, ila kiukweli sikuwa na amani, yani hii zena.kunifungia vioo ilikuwa inanifanya nakosa amani.sanaaa, sikuwa naenda kwa jalia kabisaa, nilikuwa naludi.kwa zena kila.siku iki.kumfanye akae sawa kwanza ila wapi ni kanikazia tu na hana mda na mm , ikawa sasa kila kitu najiandalia mwenyewe , maana zena alinizila ata kuniandaaa, yani akiamaka.ni yupo busy na watoto wake sio mbwa mm๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ“Œ

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 77


Mwandiishi; LISSA

Nikasema.mm ndo nanukia ayo malashi mke wangu, akanmbia ndio.kwani apa si nipo mimi na ww. Nasikia marashi ya kialabu, mh nikajinusa sasa na mm. Eeh ni.kweli aya ni marashi ya jalia sasa sielewi imekuaje mpaka na mm nanukia aya marashi kudadeki na zena pua zake zinanusa mnoo, nikasema mke wangu aya marashi kuna mshikaji.wangu kanihug tulipokuwa kazini, itakuwa ndo yamebaki kwenye nguo yangu , mke wangua akanambia mbona ni marashi ya kike baba shadya lakini, nikasema.kweli tena mke wangu niamini mi sijuh chochote ila ni marashi ya mshikaji wangu, zena zekanmbia sawa, kisha tukaingia ndani, mi...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-77

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 74 na 75
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 74 na 75
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 76
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 76
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79

1.33K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 80

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 80

1.14K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

857
IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA*

IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA*

214
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO

177
IN LOVE WITH ZURI*   Chapter 7

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 7

171
LETICIA 15:16

LETICIA 15:16

144
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO

139
ROWAN (Mine alone) 1 - 5

ROWAN (Mine alone) 1 - 5

121
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š   Sehemu   ya   10

CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š Sehemu ya 10

110

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.91K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.62K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.87K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.42K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

3.02K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.98K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.78K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.7K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.66K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
@majario LIVE

:76 Nazwi niambie kuna tatizo, unagombana tena na dokta wako?โ€ Nilitabasamu na kusema โ€œmimi kugombana na dokta?, kwanini?, Hapana kuna vitu alikuwa ananielekeza tu.โ€ Alinitazama, Nadhani aligundua kitu mimi sijui Ila sikuwa nimempa...

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU. Post Mpya
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.
@majario LIVE

Tena ikiwezekana katika hizi nyumba za kupanga uwe na limit ya muda wa kukaa, mtu unakaa miaka na miaka kwenye hiyo nyumba mpaka unaonekana kama wewe ndiye mwenye nyumba. Inafikia...

LETICIA 15:16 Post Mpya
LETICIA 15:16
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 15 Mwandishi;LISSA Yule dada alikuwa mcheshi dakika mbili tushazoeana ,nilikuwaga namuona tu kijijini ila hii siku ndio nikamjua vizuri .alinambia anaitwa rehema. Tulipiga story mno akanipa na namb yake...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana sasa siku iyo nakumbuka nilikuwa kwa jalia , nikamuuliza jalia mbona huna tumbo alafu mimba si itakuwa na miezi 2 , akanmbia mh naona...

CHAGUO LA MOYO โฃ๏ธ SEHEMU YA 01--- 05 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO โฃ๏ธ SEHEMU YA 01--- 05
@majario LIVE

MTUNZI RITHA STORIES WHATSAPP 0754380244 AU 0680992844 SONGA NAYO................. Mpenzi msomaji Leo na kuletea kisa hiki Cha mapenz ambacho Kita kufunza mengi na kukusisimua,kukufurahisha, na kukuhuzunisha pia Karibu tuende wote๐Ÿ‘‡ Unaweza kuniita Sonia...

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO Post Mpya
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO
@majario LIVE

If you don't leave my house right now, I will cut you into pieces today. Mrs. Helen screamed, waving a big sharp cutlass in the air. Grace backed away, her...

CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š   Sehemu   ya   10 Post Mpya
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š Sehemu ya 10
@majario LIVE

Nilifurahi sanaโค๐Ÿ˜˜nikaletea mtoto wangu nikamuona nililia kwa furaha nikamshukuru sana Betty maana amekuwa msaada sana kwangu๐Ÿ™โค asubuhi ya siku iliyofuata mume wangu nae akaja kumuona mtoto nae alifurahi sana...

ROWAN (Mine alone) 1 - 5 Post Mpya
ROWAN (Mine alone) 1 - 5
@majario LIVE

MTUNZI: Mr Burudan Sehemu ya: 01 ANZA NAYO.... Niite Vee, jina la kifupisho cha jina langu la Vera, Vera ndio jina langu halisi nililopewa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
@majario LIVE

:66 Mimi nilitoka nikiwa na furaha sana, Niliondoka hapa ni Kama nimezaliwa upya. Moyo wangu ulikuwa umechangamka mno. Ingawa nilifika kwa kujivuta sana lakini siku imeisha na tabasamu pana kwenye uso...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 80 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 80
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi nikaludi ndani sasa , nikamkuta zena ana mawazo sana, nikasema zena naomba nikupe chakula kwanza kisha tutaongea tu nitakuelezea kila kitu mke wangu, zena akanmbia sawa, wala hakuwa na...

IN LOVE WITH ZURI*   Chapter 7 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Kitendo cha mimi kuongea kwa ukali kiasi hicho kiliwashtua sana Idress lakini pia na Ethan, Ethan yeye mpaka alinyanyuka na kuja sehemu niliyokaa kisha akachukua hiyo chai ambayo nasemea...

IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA*
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Kimya kifupi kilipita hii ni baada ya mimi kusikia kuwa Zuri ni mke wa mtu nilikuwa naumia sana sio siri jamani ila sema nilijikaza mbele ya mama asigundue "Unamaanisha kwamba...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79
@majario LIVE

Basi ikawa hivyo, na ikakat mwez amani ndani hakuna kabisaa, zena ni kanuna , yani hacheki na mm kabisaa, hatuna story ata, na mala nyingi nikiludi nyumbana namkuta kashalala et...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 77 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 77
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Nikasema.mm ndo nanukia ayo malashi mke wangu, akanmbia ndio.kwani apa si nipo mimi na ww. Nasikia marashi ya kialabu, mh nikajinusa sasa na mm. Eeh ni.kweli aya ni...

NAKUPENDA BILA  SEASON TWO 51 - 65 Post Mpya
NAKUPENDA BILA SEASON TWO 51 - 65
@majario LIVE

NAKUPENDA BILA MIPAKA:51 Nilitoka nikiwa nishapendeza hata mama alishtuka na kusema โ€œkulikoni tena? Nilishusha pumzi na kusema โ€œAcha tu mama ndiyo nishaitwa.โ€ Mama alinitazama na kusema โ€œhuna namna nenda. Sasa vipi pesa ya...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest