Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05
Gonga94 · Stories

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


MTUNZI RITHA STORIES

WHATSAPP 0754380244 AU 0680992844

SONGA NAYO.................

Mpenzi msomaji Leo na kuletea kisa hiki Cha mapenz ambacho Kita kufunza mengi na kukusisimua,kukufurahisha, na kukuhuzunisha pia

Karibu tuende wote👇

Unaweza kuniita Sonia Arjun
Ni binti wa miaka 22 nilizaliwa mkoani songea,
Nikiwa na miaka 2 mama yangu alifariki hivyo nikabaki nikilelewa na Bibi yangu ambae nae alifariki nikiwa na miaka 10 baada ya bibi kufariki ndugu walikaa kikao ili kujadiliana Nani atakae nichukua na kuhusu huduma hasa shule.

Pacha wake mama (ma mdogo) alisema yeye atanichukua na atakuwa akinisomesha yeye mwenyewe ,
Kweli nilifurahi maana nilikuwa nampenda sana ma mdogo hivyo siku ya safari ilifika tukaondoka kuelekea mwanza ambako yalikuwa makazi yake,haikuwa Mara yangu ya kwanza kufika nyumban kwake kila Mara tulipokuwa tunafunga shule nilienda hivyo sikuwa mgeni kwenye familia yake,

Tulifika nyumban tukapokelewa na watoto wake pamoja namsichana wa kazi mamdogo aliniambia nikaoge Nile alafu nipumzike na mm nikatii na kufanya Kama alivyo niambia.

Kesho yake mchana alituita wote sebleni Kisha akaongea

"Nimewaita hapa ili kuwa mbia kuwa kwanzia leo Sonia atakuwa anakaa hapa na sisi"

Baada ya kusema hivyo mtoto wake wa kwanza(joy) aliongea

"Heee mama kweli ee nilikuwa nataka Nije kukuombea hilo hilo afadhali maana nampenda
Sana da Sonia"

"Aaaha! vizur sasa nataka muishi vizuri kwa upendo sawaee"alisema mamdoga

"Sawa mama"tuliitikia wote akaendelea kutuambia mambo mengine alipomaliza tulirudi kucheza,

Juma tatu walienda shule mm nikabaki nyumban na dada,jioni aliporudi kutoka kazi iliniita nakuniambia

Mwanangu naomba univumilie kidogo nikamilishe Mambo yako ili uweze kwenda shule sawaee "
Nikajibu "sawa "

SEHEMU YA 02

Baada ya kumjibu aliniambia sawa unaweza kwenda
Niliinuka na kurudi jikon

Wiki iliisha nikiwa nashinda nyumban

Siku moja alikuja mmama hivi akagonga nikaenda kumfungulia, aliingia ndani na kukaa Mimi nae huyo ni kaenda kumuita mamdogo

"Mamdogo Kuna mtu amekuja yuko sebleni"

"Mtu gani"

"Simjui

Okay nakuja.
Nilirudi na kummwambia amesema anakuja"

"Sawa binti"

Nilitoka na kwenda kwa wenzangu ambao walikuwa chumbani,kabla sijafika chumbani dada aliniita nakunipa nimpelekee mgeni mimi huyo nikapeleka na kumkuta mamdogo ameshafika

"Hee Martha kumbe umtoto mzuri hivi jamani,unajua sikuwahi kujua Kama umeolewa na mtu mweupe"

"Hapana huyu sio mtoto wangu ni wa marehemu dada yangu"

"🥺🥺ooo!jamani kumbe mama yake amefariki duh kanatia huruma bado mdogo Sana, Ila dada ako alizaa bwana khaa mtoto mzuri Kama nn ona unywele ona sura yake🥰aki nimempenda bure dada yako alikuwa ameolewa na mahindi au mwarabu maana sura yake ilivyo Kama muhindi alochanganya na mwarabu vile au nakosea" Sasa bwana nilivyokuwa kihele hele nikaropoka

"Hapana baba yangu sio mwarabu ni muhindi"weee niliona mamdogo kanikata jicho Hilo balaa mwenyewe nikageuza na kuondoka,
Sasa Yule mama Hadi anaondoka alikuwa akinisifia.

Baada ya kuondoka mamdogo aliniita na kuniambia

"Wewe ninani aliye kwambia nikiwa nimakaa na mgeni wewe unakaa au kuongea kitu,hiyo tabia ikome kwanzia leo sawaee

"Sawa "nilijibu na kuondoka baada ya kuambiwa niende,

Sasa watu walifululiza kuja pale nyumban naona no kumfariji kwa msiba,Sasa kila aliye kuwa akija alikuwa ananisifia kuwa ni mzuri sana jambo ambalo halikumpendeza mamdogo.

Baada ya watu kupunguza kuja nyumban,siku hiyo aliniita na kuniambia

"Kwanzia leo huruhisiwi kutoka/kuja sebleni mgeni yoyote akiwepo unanisikia ?"

"Ndio mamdogo"

Basi ilipofika jioni mamadogo akaniita na kuniambia niende nje kwa kaka was getini aninyoe nywele,yaani nilijihisi moyo 💔 vile napenda nywele zangu sikutaka kunyoa Ila sikuwa na jinsi basi kinyonge nikaenda kwa kaka wa getini 🥺

Nifika nakukaa alichukua wembe kutaka kuninyoa Mimi nikamstopisha. Kwa kusema mjomba siunatumia mkasi maana unazipunguza tu akajibu

Hapana mama yako kasema nikunyoe kipara...........😭woii jamani 💔 nikanyolewa bhna baada ya kumaliza niliingia ndani ukweli sikuwa nimependa
Mamdogo alivyoniona tu akasema enhe...... unatakiwa kuwa hivyo na huo ndio utakao kuwamuonekano wako siku zote utakazo kuwa humu ndani. Sawa .........

Sawa 😭😭

Unalia Nini kuna mtu kakupiga au
Aliuliza kwa ukali nikajibu

"Hapana"
"Sasa kinachokuliza ni kitu gani
Nitakupiga sitaki mideko ya ajabu hapa kwangu Mimi sio bibi yako sawaee

"😭Ndio" nikajibu huku nikifuta machozi
"Haya toka mbele yangu"
Nilitoka na kuingia chumbani nilikokuwa na lala na Dada nikajiangalia kwenye kioo kichwa kilikuwa kinawaka bonge la upala nililia pale Hadi nikalala

Sijui ni kitu gani kilitokea Ila mama yangu mdogo alibadilika Sana tena saana allikuwa akinikaripia bila hata sababu yamsingi nilifanya kosa dogo napigwa kipigo Cha paka mwizi
Nilikaa miezi na miezi bila kupelekwa shule kwajinsi alivyokuwa mkali kwangu niliogopa hata kumuuliza

Baada ya mwaka mmoja alimuondoa dada wa kazi kwakusema Hana sababu ya kuajili mtu wakati Mimi nipo,😓
Kumbuka hata shule hajanipeleka.
hivyo nikawa mtu was kazi tu nakumbuka wakati nakuja pale hawakuwa wamelima mboga mboga Ila baada ya dada kuondoka aliniambia natakiwa kulima mboga mboga na kila. Nywele zikikuwa kidogo tu napigwa kipala ........😭😭

SEHEMU YA 03

Maisha yalikuwa magumu upande wangu so kwasababu ya kufanya kazi no Bali matusi navipigo vya mara kwa mara,

Nilikuwa napika chakula lakin sikuruhusiwa kula hadi wao washibe so mara nyingi niliishia kushinda bila kula nilitamani niwe basi na kula jikon wakati napika Ila sikuweza maana aliweka. Camera hadi jikon Sasa ole wako akuone utaomba mbingu zifunguke

Nilimkumbuka Sana Bibi yangu na kumwambia Mungu kwann ulimchukua Bibi yangu 😭😭

Kila siku ilikiwa bora Jana yaani Kama nisipopigwa basi ujue nitatukanwa au sitokula siku hiyo

Chaajabu hata watoto wake nao walinibadilikia wakawa wakirudi shule wanavuruga vitu makusudi mda mwingine kama nimepika chakula nikatoka kumwagilia mboga nje wao wanakuja na kujaza chumvi Sasa mama yao akirudi😭ni matusi na kipigo juu

Hakuna kitu kilikuwa kikiniuma Kama alipokuwa alisema kuwa mama yangu alikuwa Malaya akajiona mzuri na kumpanulia miguu boss wake akidhani atamuoa mwisho aliishia kupata ukimwi 😭

Wakati huo alipokuwa anaongea maneno hayo nilikuwa na miaka 12 tu Mara ooo utakuwa Malaya Kama mama yako na utakufa na ukimwi mbwa wewe ,

Yaani alikuwa akikasirika anichagulii tusi linalomjia ndio Hilo anatoa

Niliendelea kuishi hivyo Hadi nilipofikisha miaka 20

Wakati huo moyo wangu ulikuwa unavuja damu yaani nilitama kuokolewa katika Yale maisha Ila wapi Nani aniokoe Sasa wakati huo nilikuwa nimeshakuwa binti na bado niliendelea kupigwa kipala tu nguo nilizokuwa navaa ukiniona unaweza 😭 nilikuwa nimezishona Shona Sana bila kusahau vilaka vilikuwa vyakutosha nilitolewa kwenye nyumba kubwa n kuhamishwa nyumba ndogo ambayo alikuwa analala mlinzi nyumba yenyewe ilikuwa ya chumba kimoja hivyo mm ndio nililala sebleni kwenye mkeka na shuka liliochakaa Sana huku mlinzi alikuwa analala kwenye godolo tena zuri

Lakini pamoja nashida zote hizo nilikuwa mzuri bhna 🥰 nakipala changu nikatunukiwa shepu ya mama weee nilikuwa mwembamba ndio Ila Kama nimecholwa vile 😁 sio kwamba najisifia hapana bwana ndivyo nilivyo

Basi nilikuwa navaa minguo mipanaa hatari

Nilikuwa kila siku namuomba MUNGU anitoe katika yale maisha Ila Hadi nafika miaka 22 sikuona mwanga au dalili ya kutoka nje 😓 nilikata TAMAA hata ya kuomba tena maana sikuona umuhimu wa maombi maisha yangu yalikuwa ya maumivu kiasi ambacho nilikuwa najiuliza kwann nilizaliwa kwann mimba isinge haribika tu kuliko kuja dunian kuteseka hivi nilivaa nguo ambazo zilikuwa zimeisha yaani nilikuwa naweka vilaka vya kutosha sikuwa hata na nguo ya ndani ,😓 (nadhani utakuwa unapicha ya maisha yangu Kama mtoto wakike kukaa bila nguo ya ndani inakuwaje hasa kipindi cha siku za hedhi)

siku zilienda hatimae ikafika siku ambayo Joyce alikuwa anasheherekea kuhitumu chuo kikuu.........ilikuwa siku ambayo kila mmoja kwenye familia alikuwa na furaha ya kipeke yake nakumbuka niliambiwa nipike chakula Cha watu 100 watakuja kwenye sherehe sikuwa na pingamizi nilipewa vitu vya kupika na kikapewa mda kuwa wakitoka kanisani wakute chakula tayari .......basi niliamka saa kumi nakuanza kuandaa vitu ....mida ya saa moja alikuja mmama moja hivi alikuwa ni rafiki yake mamdogo

"Shikamoo mama Anethi"
"Marahabaa hujambo?"
"Sijambo "
"Nani yupo nyumban"
"Nipo mwenyewe'
"Sasa nisikilize nimekuja kukutorosha kwahiyo vaa hii nguo tuondoke"....😳kutoroka tukikamatwa je sinitauliwa mm

SEHEMU YA 04

Nilifikilia nikikamatwa wataninywa supu😔 Ila siko tayari kuendelea kukaa humu ndani..........nilizama kwenye dimbwi la mawazo mwisho nilistuka baada ya mama Anethi kunivutia ndani ....."hembu vaa hiyo nguo haraka bila hata kuongea niliingia nilikokuwa na lala nikavaa na kuchukua picha ya mama na ya bibi Kisha tukatika nduki mda wote mlinzi alikuwa nyuma ya nyumba akifua nguo zake hivyo alikuwa hajui kinachoendela ....... masikini sijui wakija na kukuta sipo atakuwa kwenye Hali gani Ila Sina jinsi😓........niliacha baadhi ya vyakula jikon watajiju 😏........ tuliingia kwenye gari na kuondoka Hadi stendi kuu ya mabasi .......tulifika akasimama na kuniambia....."Sasa sikia unaenda dar es salaam huko utakuwa mfanya kazi wa ndani kuhusu mshahara ntaelewana wenyew, hakikisha unafanya kazi yako vizur na uwe na malengo najua maisha yako unayajua hivyo ukiharibu huko sitakuwa na msaada tena"...... "Asante sana mama kwa msaada wako" ......... usijali Mimi ni mama nimeshindwa kuona ukiumia kila siku........hakikisha hauvui hicho kitambaa usoni wasije kukuona sawa.......sawa......alishtuka akanikatia ticket na Kisha akaongea na kinda ili alifika ampigie mwenyeji wangu.....niagana nae kwa machozi Kisha nikapanda na safari ikaanza .......na baada gari kutembea kwa mda mrefu hatimae tulifika dar watu walishuka na Mimi nikawa wamwisho nilisubiri mwenyeji wangu nilimkumbusha konda akasema kuwa bado hajafika nilikaa pale Hadi konda akaanza kufoka kuwa anachelewa sana hivyo ataondoka........niliogopa na nikawaza vipi Kama hatokuja😓

Baada ya kusubiri lisaa hatimae alifika alikuwa ni mdada mmoja hivi mrefu mwembamba kiasi mweupe na alikuwa na nywele ndefu Hadi mgongoni ....niliwaza huyu ni mzungu au Ila hapana Hana sura ya kizungu labda kachanganya. ....hello dear sorry nimechelewa kulikuwa na na foleni Sana..... aliongea Yule dada........haina shida shikamoo...nilijibu na kumuamkia........acha zako Mimi sio mkubwa hivyo vo uko wap mzigo wako....... hapana Sina mzingo (sikuwa nimebeba nguo kutokana na nguo nilizokuwa nazo zilikuwa zimechakaa Sana hivyo nilichukua picha tu) nilivyomjibu hivyo hakutaka kuuliza maswali mengi zaidi tuliongozana Hadi kwenye gari safari ikaanza mada wote huo nilikuwa bado nimevaa nikabu ......
Inaitwa Nani(aliuliza)
"Naitwa Sonia"
"Oo! hongera unajina zuri mimi naitwa Nicole"
"Asante"
"Wewe ni mwarabu au mpemba au mhundi, usishangae nimeona rangi yako pamoja na macho yako walivyo ndio maana nimeuliza"......
"Ni mchanganyiko wa muhindi na mtanzania"......wow hatimae Rahul kapata mwenzake".....
(😳 Rahul kapata mwenzake 🤔 Mungu wangu usikute naenda kuuzwa🥺)......."Rahul nikaka yangu yeye baba yake ni muhindi ndio maana nasema kapata mwenzake so usihisi vibaya😊"....... (afadhali maana nilikuwa nimeanza kuwaza)
"So una miaka mingap"
"Nina 22"
"Wow mwezi wangap".
"Wapili"
"Tarehe ngap"
(Huyu dada vp mbona maswali mengi)"tarehe 14"
😲😲 What so tunalingana namm nimezaliwa mwezi wapili tarehe hiyo hiyo wow nimeipenda hii🥰"
Nilitabasamu maan sikujua nijibu nn

SEHEMU YA 05

"Mmezaliwa wangapi"aliendelea kuuliza
"Niko mwenyewe"
"Duh pole, sisi tulizaliwa 7 Ila Sasa tuko 6 na wakike ni mimi tu last born wamama,. Kaka yangu wakwanza baba yake ni mkorea,wapili baba yake ni mturuki,watatu baba yake mchina,wanne baba yake ni muhindi,watano baba yake ni mwarabu,wasita ni mm baba yangu ni mzungu wa marekani yakusini na wamwisho Bab yake alikuwa mtanzania (mpare)....😳😳huyo mama alitaka kuzaa na kila nchi au ...."najua unawaza nn Mimi mwenyewe kila siku nilikuwa namuuliza hivyo hivyo"........huyu dada anaongea hata hachoki Mambo mengine hata sioya kuyaongea ukitegemea tumeonana dakika chache tu huyu siwezi kukwambia Siri yangu anaonesha fliji lake bovu haligandishi😒

Yaani njia nzima alikuwa anaongea tu 😏 baada ya mda mrefu tulifika nje ya geti ..... Alipiga honi na geti lilifu nguliwa 😲nilitoa macho baada ya kuona jumba sio nyumba hili ni jumba palikuwa pazuri kama anaishi mfalme vile,...... Sonia..nilistuka baada ya kuitwa bhn ...abee .......twende ....haraka nilimfuata huku nikishanga sangaa .......wow ndani nikuzuri balaa hembu subiri humu wanaishi watu au majini maana kulikuwa kumepambwa vitu vya thamani Sana ....... Karibu hapa ndio nyumban kuwa huru kabisa..alisema baada yakufika sebleni ...Mara alikuja mmama na kusema mmefika ?.... hapana bado hatujafika .....😁alimjibu Nicole sijui ni Nani yake maana anamjibu Kama vile wanamatani....karibu binti ... Asante shikamoo......

Marahabaa hujambo.......... sijambo...... karibu sana, we johari njoo umpeleke mgeni chumbani kwake......😳 Johari Tena huyu siamesema yuko pekee yake Sasa inakuwaje"...
Alikuja huyo johari mwenyewe alikuwa mrefu mweusi alafu bongee

Shikamoo.... nifate
Hee mbona hajaitikia Sasa au ni mdogo Ila hapana mbona sura imekomaa hivyo...

Waooo chumba kilikuwa kizuri balaa "samahani dada johari hiki ndio chumba changu"

"Hapana Cha Bibi yako,alafu Mimi sio dada yako ukiniita Johari inatosha"

Alinionesha bafu na vitu ngine Kisha akaniambia namna ya kutumia
"Sasa ukatumie vitu tofauti na nilivyokwambia utarudi kijijini kwenu ukalime huko,alafu kingine hiyo minija huruhisiwi kuivaa humu ndani hatutaki uchulo sawae"

"Sawa" nilijibu Kisha akaondoka nilibaki niakuangalia chumba kilivyo kizuri ......... nikaenda kuoga nakushuka chini nilikuta johari anaangalia tv ........

"Chakula Kiko hapo mezani "
" Haya Asante"
............
Nisogea mezani nakufungua hotpot 😋mate yalinijaa baada ya kuona nyama ya kuku kitambo Sana sijala zaidi ya kula harufu yake

Nilipakua na kuanza kula wow chakula kitamu balaa........ Sasa wakati niliendelea kula alipita mkaka mmoja hivi bonge la handsome hatari nilibakia nakijiko mdomoni nikimshangaa Hadi akaishia

Nilimaliza kula nikamshukuru akanielekeza jiko lilipo nikaenda na kuisha vyombo ..........Nyie hapa nipazuri kwanzia ndani hadi nje .........kutokana ni uchovu niliamua kwenda kulala ....... Wakati usingizi ikiwa unanipitia mlango wa mchumbani ulifunguliwa nilishtuka na kukaa ......... oooh kumbe ni Johari ......
"Unashtuka nn au unadhani Kuna wabakaji "

"Hapana "

"Sasa nimekuja kukwambia kitu kimoja kabla kesho haijafika ,humu ndani Kuna wanaume 5 saa unaruhusiwa kucheza na hao wa 4 Ila mmoja kaa nae mbali narudia tena kaa nae mbali "

"Samahani mbona sikuelewi"
"Usichoelewa nn hapo nakwambia kaa mbali na Rahul Ila hao wengine unaweza pita nao "

Alimaliza kuongea na kuondoka Mimi nilibaki nashangaaa tu

Sijui usingizi ulinipitia sangap Ila nilikuja kushituka kumekucha

Itaendelea.......
Full 1000

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05



MTUNZI RITHA STORIES

WHATSAPP 0754380244 AU 0680992844

SONGA NAYO.................

Mpenzi msomaji Leo na kuletea kisa hiki Cha mapenz ambacho Kita kufunza mengi na kukusisimua,kukufurahisha, na kukuhuzunisha pia

Karibu tuende wote👇

Unaweza kuniita Sonia Arjun
Ni binti wa miaka 22 nilizaliwa mkoani songea,
Nikiwa na miaka 2 mama yangu alifariki hivyo nikabaki nikilelewa na Bibi yangu ambae nae alifariki nikiwa na miaka 10 baada ya bibi kufariki ndugu walikaa kikao ili kujadiliana Nani atakae nichukua na kuhusu huduma hasa shule.

Pacha wake mama (ma mdogo) alisema yeye atanichukua na atakuwa akinisomesha yeye mwenyewe ,
Kweli nilifurahi maana nilikuwa nampenda sana ma mdogo hivyo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chaguo-la-moyo-sehemu-ya-01-05

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chaguo-la-moyo-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO

1.28K
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓

315
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

240
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

229
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17

133
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

102
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

54
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼

7

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.68K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.07K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.02K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.73K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu 📱 hapo hapo nilishikwa na machungu 😔 sana nilifuta namba yake kwa hasira😡nikaanza kulia 😭 kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼 Post Mpya
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼
@majario LIVE

Binafsi bado sijaona cha kunishawishi kwa huyu mwamba tofauti na wengine wanavyompa Hype. Niliangalia mechi zote mbili walizocheza TRA United na timu za Kariakoo, kiufupi mwamba alikuwa Anajitutumua ili aone...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Na kama ni kweli zena kanizungukia namshukuru mana nilikuwa nishapotea sana lakini yeye ndo kaniludisha kwenye mstari, yani imetulia.sana.na ninawaza maendelea tu na familia yangu , mpaka sasa...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) nikalala wee kukakucha mapema sanaaa Nikakusanya ndoo zangu zilizojaa bites huyoooo site kwangu Nikafanya usafi pale nikapanga kabati langu nikaweka mzigo nikakaa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89
@majario LIVE

Basi nikajikuta usingiz umenipitia kabisaa, nahisi ni ile kuchoka na mawazo sana, nikaja kustuka ni mida ya usiku hivi, kwa pembni naona wanangu , arshaina ndo wa kwanza akananza kunipandia...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest