WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
SONGA NAYO.......
Japokuwa nilimfukuza lakini ukweli huyu binti nimetokea kumpenda jamani, Leo ndio naweka hisia zangu wazi maana siku zote nilikuwa nawaficha mnisamehe sana 🥹
Basi somo liliendelea na hatimaye kipindi changu kiliisha niakondoka zangu na kwenda osfini ambako niliweka vitu vyangu vizuri kabisa
Na kutoka mpka form three kwa lengo la kwenda kumuangalia Lizy lakini sikumkuta, nikatoka huyo mpaka ofsini uku nikijipa moyo kuwa kipindi cha remidial
Basi muda ulienda siku hiyo nililetewa chakula hata sikula kwa kisingizio kuwa nipo kwenye mfungo, na wakati yote hayo yanaendelea madam penina alikuwa ananikata jicho huyo 😂
Sikuwa namjali kabis maana yeye ndio msababishi wa yote haya 😢 nilikuwa najilaumu hasa nilipofikiria kibarua changu jamani nilikuwa naishiwa pawa
Hatimae ule muda wa remedial ulifika nikiwa na shauku ya kutaka kumuona Lizy niliharakisha kwenda kukaa, 😂 yani nilifika hata kabla wanafunzi hawajafika nyie 😂
Nikaa zangu na kuanza kutazama huku na huko wanafunzi walianza kuja taratibu nikawa najipa moyo atakuja lakini wapi, mara nikamuona rafiki yake ambaye amekuwa wanaongozana sana.
Rafiki yake alikuwa mwenyewe harafu alikuwa mnyonge kweli, basi hatimae somo lilianza rasmi nilikuwa nafundisha lakini sikuwa sawa kabisa
Mkumbuke usiku sijala na asubui na mchana napo hivyo hivyo ila ndugu yenu hata kusikia njaa hamna yani naona fresh tu
Nilifundisha hivyo hivyo mpaka somo liliisha na sijui kama walinielewa kweli maana kuna muda nilikuwa nauliza habari za Lizy tu dah 😂🙌🏾
Basi hatimae muda wa kwenda majumbani ulifuka nikachuka kibegi changu na kuondoka kwa mwendo wa uchovu kŵeli siku hiyo hata sikuwa nasikia kabisa mlio wa magari wala pikipiki
"Henry we Henry..."
Kuna mtu alikuwa ananiita lakini sikuwa namsikia kabisa maana hakili haikuwa kwenye ulimwengu huu bali vilienda mbali huko alipokuwa lizzy.
Yule mtu aliekuwa ananiita alikuwa ni Penina, baada ya kunigusa begani ndio nikashtuka, nikamuona penina akiwa amepanda boda
"Panda twende.."
Aliniambia, kwa kuwa sikuwa sawa sikuleta ubishi nilipanda kwa nyuma yake haook mpaka geto, tumefika gets Penina akaingia jikoni na kupika, akafanya usafi kila kitu akachukua nguo zangu ili afue lakini nikamzuia 😂
Nakijua kilichomo kwenye nguo ndio maana namzuia mimi sitaki kesi na huyu binti wa kisukuma. 😂
"Vipi..?"
Aliniuliza baada ya kuona nimemshika mkono,
"Acha tu hizi nguo nitafua mwenyewe weekend sio mbali, ila sio kufua usiku huu.."
Nilisema hivyo, Nyieeee huyu mdada I muelewa akanielewa akarudisha nguo na kuja kukaa karibu yangu huku akanishika
"Mpenzi twende tukaoge sasa.."
Penina alizungumza huku akinipunguzia nguvu mwilini, nilikataa kusema ndio maana nilikuwa nimeechoka sana, basi kwa mahaba makubwa akanisaidia kunivulisha nguo tukazamma bafuni
Siku hiyo sikuwa sawa kwahiyo nilimwambia tufanye siku nyingine akakubali, tukaoga baada ya kumaliza kuoga tulikaa mezani na kuanza kula
Nyie nyie huyu dada anajua kupika pia ana sifa zote za kuwa wife material, yani huyu binti japokuwa nilimkuta akiwa sio bikra ila sasa njia yake ilikuwa ndogo arafu ngumu 😂
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni